Utaratibu wa kuwatafuta makamishna wa IEBC kuanza kesho

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.พ. 2025
  • Shughuli ya kuwatafuta makamishna saba wa tume huru ya uchaguzi na mipaka, itaanza kesho wakati jopo la uteuzi litakapowatangazia wale wanaotaka kujaza nafasi hizo kutuma maombi yao. Jopo hilo lilisema shughuli hiyo itachukua muda wa takriban miezi mitatu na kisha kuwasilisha majina ya wale waliohitimu kwa rais kwa uteuzi. Mwenyekiti wa jopo hilo Nelson Makanda alikuwa akihudumu katika wadhifa huo kabla ya rais William Ruto kuvunja jopo la hapo awali.
    Connect with KBC Online;
    Subscribe to our channel: t.ly/86BKN
    Follow us on Twitter: twitter.om/KBC...
    Find us on Facebook: / kbcchannel1tv
    Check our website: www.kbc.co.ke/
    #kbcchannel1 #news #kbclive

ความคิดเห็น •