ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Nawapata vizuri dw nikiwa hapa tabata dar es salaam Tanzania
Abdallag Soud-wa Igunga Tabora ila kwa sasa nipo Puntiland-Somalia ,Hivi mpaka lini dunia itatulia bila vita?...Biashara haramu za silaha zinaendeshwa na mataifa makubwa yenye kujitia ndo walinzi wa dunia!.Muogopeni mungu