Part 4_SINTOSAHAU NILIVYONUSURIKA KUTOLEWA KAFARA MGODINI || Ushuhuda wa kweli wa kijana Daudi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 40

  • @sabunimariette7085
    @sabunimariette7085 4 ปีที่แล้ว +2

    Mungu ni mwema kwetu kila saa na kila dakika. Mungu akubariki kaka na pia tuzidi kuwaombea na wengine ambao bado wako kwenye maisha ya zambi, pia hata wa kristo ambao bado wanapigana na nguvu za giza. Bwasu awenasi sikuzote amen. (Nikikufuata nikiwa hapa nchini Marekani) nimejifunza mengi kuanzia part 1 hadi part 4. Mwenyezi Mungu atubariki.

  • @janetnzai9866
    @janetnzai9866 4 ปีที่แล้ว +1

    Amina God is always faithful.all Glory be to God Almighty

  • @navokisembo
    @navokisembo 3 ปีที่แล้ว +1

    Nabarikiwa saana na hizi shuhuda. Barikiwa mtumishi wa Mungu

  • @janetnzai9866
    @janetnzai9866 4 ปีที่แล้ว +1

    I'm blessed with your testimony, May

  • @hebronsdaughter1661
    @hebronsdaughter1661 4 ปีที่แล้ว +3

    Ushuhuda wako una nguvu sana barikiwa

  • @vaghoghontweki9827
    @vaghoghontweki9827 4 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe mtumishi wa Mungu,,kwl Mungu kakupgania sana,,Ameni

  • @biblianenolaukweli5616
    @biblianenolaukweli5616 4 ปีที่แล้ว +2

    Mungu atupaki wake kaka yangu

  • @lilianachiengministries3386
    @lilianachiengministries3386 4 ปีที่แล้ว +2

    Am still here from 7 am now to now .9.37,am still watching .the lord is your strength.

  • @hugowilfredlukoo4971
    @hugowilfredlukoo4971 4 ปีที่แล้ว +2

    YESU OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEE.zomeaa shetani hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiilooooooooooooooooooo

  • @lilianluhasi5053
    @lilianluhasi5053 4 ปีที่แล้ว

    Usimwache Mungu kabisa nasi tinabarikowa Sana

  • @kelvinramson2164
    @kelvinramson2164 4 ปีที่แล้ว +1

    Nimebarikiwa na ushuhuda

  • @lilianachiengministries3386
    @lilianachiengministries3386 4 ปีที่แล้ว +1

    The lord is patience...let's not miss use His kindness and grace....akutie nguvu usirudi nyuma tena.

  • @estasage5506
    @estasage5506 4 ปีที่แล้ว

    The best thing was to find a good church as soon as you were rescued from the enemy's snare. The lord is the greatest

  • @happytz6190
    @happytz6190 4 ปีที่แล้ว +4

    Nasubili mwendelezo bado mwinjirist wetu hajamaliza ushuhuda Jactani utakuwa hututendei haki mpe nafasi amalizie

  • @noreenedwardmawenya6384
    @noreenedwardmawenya6384 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana tunajifunza tunaelimika

  • @happytz6190
    @happytz6190 4 ปีที่แล้ว +1

    Pole na hongera sana

  • @aminaally4163
    @aminaally4163 4 ปีที่แล้ว

    Amen ubarikiwe sana

  • @Emmanuela_pius
    @Emmanuela_pius 4 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana kijana

  • @josephmusagasa5566
    @josephmusagasa5566 4 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe na mimi pia,amina

  • @marymwatsuma6704
    @marymwatsuma6704 4 ปีที่แล้ว

    Asante nmejfunza vtu mingi

  • @janengaga2928
    @janengaga2928 2 ปีที่แล้ว +1

    Ulivyokombolewa na kuzimu na kusikia sauti ya MUNGU ......Ni neema kubwa bora umesimama ktk MUNGU vita bado vipo.Shetani hatulii Tuombe KWA bidii

  • @mwajumabulonvu7038
    @mwajumabulonvu7038 3 ปีที่แล้ว

    MUNGU NI MWEMA ALIKUPIGANIYA KWELI.SIFA KWA YESU KRISTO.

  • @winifrida8641
    @winifrida8641 4 ปีที่แล้ว +2

    Mtumishi tunasubili sehem ya 5 tafadhali

  • @kingkendrickk
    @kingkendrickk 4 ปีที่แล้ว +1

    Jactan utatumalizia hii shuhuda,

  • @davidwambura5915
    @davidwambura5915 4 ปีที่แล้ว

    👂👂

  • @zawadipaul3326
    @zawadipaul3326 4 ปีที่แล้ว

    Ushindi wa rohoni kwa mwilini ni aibu

  • @dawhiteschola8847
    @dawhiteschola8847 4 ปีที่แล้ว

    Tuambiee🙏 tupone 👂👂👀💕💝

  • @lauriansaid5964
    @lauriansaid5964 4 ปีที่แล้ว

    Mwambie aache kulamba midomo

    • @victorianchimbi8640
      @victorianchimbi8640 3 ปีที่แล้ว

      Ndivyo alivyozoea, pamoja na pungufu hilo lkn Mungu alimuona hakuangalia km wewe mwanadamu uangiliavyo

  • @safiamani7005
    @safiamani7005 4 ปีที่แล้ว

    Wacha kurudia rudia neno moja maratatu go straight to the point please.

    • @victorianchimbi8640
      @victorianchimbi8640 3 ปีที่แล้ว

      Ur perfect kuliko mtu yeyote, acha aongee jinsi Mungu alivyomjalia