ความคิดเห็น •

  • @AbdremaneIzaqueSefo
    @AbdremaneIzaqueSefo วันที่ผ่านมา +21

    Kila alilolifanya Mungu kuna sababu zake...Asante kwa vyote Mungu wewe ni wakipeke...❤❤❤

  • @lucymtui8680
    @lucymtui8680 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +8

    Nyakati za mwishoo
    Mungu ataweka utawala wakee❤❤❤

  • @JeanjacquesAmuri
    @JeanjacquesAmuri วันที่ผ่านมา +11

    Mungu ni mkubwa ni mwema sana nipo apa DRC congo 🇨🇩

  • @shuaibsalim9816
    @shuaibsalim9816 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +10

    Alama za Qiyama na nyakati za mwisho mwisho....kutakuwa na mito na maziwa na Kila mahali jangwani kutageuka Green. Turudini kwa Mola these are not normal times

    • @sundaymsuya1433
      @sundaymsuya1433 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Hakuna mwisho wa dunia msituletee story zenu za jaba

    • @shuaibsalim9816
      @shuaibsalim9816 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      @@sundaymsuya1433 hahahhaa sawsawa wajiamini wasema ngoma foreva sio

    • @AsyineHansy
      @AsyineHansy 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      ​@@sundaymsuya1433 au sio
      msemo wa dj suma
      time will tell
      hatuongei sanq tunafikisha ujunbe atakaekubal akubali anaepinga apinga
      qiyama kipo katibuni.

    • @hanafhamad2801
      @hanafhamad2801 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@sundaymsuya1433 ikiwa hakuna mwisho wa dunia bc walio kufa kwa kudhulumiwa hapati haki yao
      Bc acha ujinga ndungu yangu soma ujue na uelewe

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +8

    Hiyo huenda ndio sehemu pekee kwenye dunia ambapo mafuriko yakitokea watu hushangilia.

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tumshukur Mungu... Mungu wetu ni mwema

  • @jinnahsameer
    @jinnahsameer 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    ❤❤❤ love this gyan

  • @AFRICA_D669
    @AFRICA_D669 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Huuuuu 😂😳😊😊😊,huku sindiko kinapigaga kiangazi mtu akitembea linaonekana vumbi hii ni ishara ya ukombozi kwa mataifa ya falme zakiarabu, yanayo onewa

    • @Oldskulgemini9991
      @Oldskulgemini9991 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Acha kupenda kuwaza Sana mambo ya nadharia kuliko uhalisia

  • @nadhifamustapha7557
    @nadhifamustapha7557 วันที่ผ่านมา +9

    Hizi Ndo Akhir zamaan Quran ilishaeleza majangwa yatakua kijani ,..tusubir parapanda tu sasa

    • @fatumabaraza6997
      @fatumabaraza6997 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      SubhanaAllaah!

    • @sailantjoseph7411
      @sailantjoseph7411 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Uislam ni uongo acha ujinga wewe

    • @TheMaquiN
      @TheMaquiN 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@sailantjoseph7411 tupe thibitisho za unachokisema, unaita uongo wakati yaliyo tabiliwa ndo yanayotokea uongo uko wap hapo??

    • @sailantjoseph7411
      @sailantjoseph7411 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@TheMaquiN Dini ya kutunga tunga kwa msaada wa majini

    • @martinisadru9899
      @martinisadru9899 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Quran haijatabili kitu chochote,, maana warabu na warumi wali copy kutoka vitabu vya wayahudi na wakristo, hayo yalisha tabiliwa ktk bibilia kabla muhamadi wenu kuzariwa na waraq kuja na Quran yenu.

  • @wizboy4790
    @wizboy4790 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu ni wetu sote na ni mwema mda wote hachelewi sana na hawahi sana

  • @thehomeoffootballskills4358
    @thehomeoffootballskills4358 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Akhir zaman yani zama za mwisho mwa dunia tupo Quran na hadithi zishaongeles hilo pia na barafu zitatililika jagwani kama ilivokuwa mwanzoni

  • @hemedjackson2261
    @hemedjackson2261 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Dalili za kiama na siku za mwish hizi

  • @ceciliaathanas3135
    @ceciliaathanas3135 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Lakini katika yote kuna Mungu

  • @monicasimpilu6257
    @monicasimpilu6257 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu wetu ni wa ajabu sana. Hizi ni dalili za mwisho tujiandae

  • @jumamussantuiche
    @jumamussantuiche 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Kwa mungu kana maana kubwa

  • @MohamedAhmada-ie7ke
    @MohamedAhmada-ie7ke วันที่ผ่านมา +13

    Qur'an ishamaliza kua majangwa ytakua kijani

    • @Oldskulgemini9991
      @Oldskulgemini9991 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Nyie Kila kitu Quran lishamaliza😃 hiyo ni nature ya Dunia tu bana tushawachoka nyie😅

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@Oldskulgemini9991 nature ya dunia dunia yupo anae iendesha hii

    • @shaibukhamis863
      @shaibukhamis863 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@Oldskulgemini9991usicho kijua sas Qur'an imetoa ufafanuz wa kil k2 mpk dunia itakapo isha juw hil na kam uamn kaa chini na askovu wako mwenye akil timamu akupe ufafanuzi ..mpuuz ww

    • @AsyineHansy
      @AsyineHansy 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@Oldskulgemini9991 quran ishasema na watu wa ainna kam nyinyi hatushangsi.

    • @shaibukhamis863
      @shaibukhamis863 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@Oldskulgemini9991una hakil timamu ww ukiikataa qur 'an na ukaikubali sayasi ujatoka bado kwenye utafit ulio fanyika miaka zaid ya ,500 iliopita na mtume

  • @tutorialsPlatform
    @tutorialsPlatform 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ni maafuriko kweli haya? Naona kama vibwawa tu mbona

  • @VictorMkaka
    @VictorMkaka 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Daa ili jamaa linatangaza vizuri

  • @piusmbwana3329
    @piusmbwana3329 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sahara hapo mwanzo hakukuwa na jangwa kwahyo mazingirq ya Natabia ya kujirudia

  • @salumabdallah2990
    @salumabdallah2990 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Kiama tayari qur an imesema katika dalili ambazo za kiama moja wapo ni hio

    • @Oldskulgemini9991
      @Oldskulgemini9991 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hamna kama Wala nini utakufa wengine watazaliwa maisha yanasonga, kama walianza kuwazia vizazi vya kale huko😅

    • @shaibukhamis863
      @shaibukhamis863 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@Oldskulgemini9991sio kosa lako hil kosa la wazazi wako walkosea san kuto kupa elim yyt mpuuz ww

    • @salumabdallah2990
      @salumabdallah2990 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@Oldskulgemini9991 sasa kama qur an imedanganya si umeona yameanza kutokea hayo ni mungu kaaahidi hayo unapigana na mungu au

    • @HassanLamata
      @HassanLamata 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kama huamini KUWA tuko karibu sana bac kasome Daniel yote kaka​@@Oldskulgemini9991

    • @sundaymsuya1433
      @sundaymsuya1433 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hiyo story zenu za jaba kila ki2 Quran hiyo ni asili ya ulimwengu ndio maana wa Africa utuendelei kwa kung,ang,ani tamaduni za wa2

  • @merrynancesimon1562
    @merrynancesimon1562 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @MgasaEmanoeli
    @MgasaEmanoeli ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sahara kipindi cha Misri ya kale ilkua na mvua nyingi tu kwahyo asili inajirudi

  • @BenPeter-vp2cy
    @BenPeter-vp2cy 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Jambo jema wapande miti sasa

  • @alfair_group_2023
    @alfair_group_2023 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mwisho wa dunia

  • @mwanahamisimohamed1364
    @mwanahamisimohamed1364 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    WEATHER MODIFICATION ( Chemitrails, Cloud seeding , HAARP Technology)

  • @simondogtrainer7498
    @simondogtrainer7498 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wapande miti haraka

  • @jerlasKambale-kx5yf
    @jerlasKambale-kx5yf วันที่ผ่านมา

    0:25 0:28

  • @simondogtrainer7498
    @simondogtrainer7498 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nawaata kutoka morocco

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 วันที่ผ่านมา

    Wanaloga

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣