NINI KINAENDELEA MAURITANIA BAADA YA KIKOSI KUWASILI? MSIKIE ALLY KAMWE AKIZUNGUMZA HAPA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 114

  • @OmaryMjuba
    @OmaryMjuba 15 วันที่ผ่านมา +11

    Mungu ibarik young African

  • @AISHAANDREA-o3g
    @AISHAANDREA-o3g 14 วันที่ผ่านมา +4

    Mungu ibariki yanga. Tuwafunge midomo wanao tuombea mabaya💛💛💛💛

  • @Nasma-eb4ef
    @Nasma-eb4ef 15 วันที่ผ่านมา +10

    Mungu awe pamoja nanyi awape wepes muipambanie timu yetu so naiman naa koch ramovic mtafanya vizur na tutapata poent 3 insha Allah

  • @SaidAkili
    @SaidAkili 14 วันที่ผ่านมา +2

    Inshallah KHER Allah awatangulie wachezaji wote Inshallah tuombe Mungu

  • @SussankhanKhan
    @SussankhanKhan 14 วันที่ผ่านมา +4

    Mungu atubariki daima mbele nyuma mwiko

  • @janejonathan9846
    @janejonathan9846 14 วันที่ผ่านมา +2

    Nawaombea kwa Mungu mkarudi na Ushindi nahiyo ndio furaha yetu,daima Mbele nyuma mwiko

  • @ZenobiaJohn-p5x
    @ZenobiaJohn-p5x 14 วันที่ผ่านมา +3

    Mungu awabariki wote wachezaj wetu.na nawatakia ushind wa magol matatu 🎉

  • @CheerfulRallyCar-sy8dq
    @CheerfulRallyCar-sy8dq 14 วันที่ผ่านมา +6

    Mungu ibariki Tanzania 🇹🇿 Mungu ibariki Yanga Africans

    • @RukiaJames-t2t
      @RukiaJames-t2t 13 วันที่ผ่านมา

      Yang dual kwa yanga

  • @MlimawaMungu-b6m
    @MlimawaMungu-b6m 15 วันที่ผ่านมา +3

    Mungu awape nguvu pya awatangulie paka Cku ya mechi naamn tutashda wote tuseme Amena ❤❤❤❤❤❤❤

  • @FloraIkwabe-qy3yb
    @FloraIkwabe-qy3yb 15 วันที่ผ่านมา +4

    Mungu atawasaidia mshinde

  • @fatmaomar8335
    @fatmaomar8335 15 วันที่ผ่านมา +2

    KILA LA KHERI INSHAALLAH POINT 3 MUHIMU DAIMA MBELE NYUMA MWIKO KAZI IYENDELEE 💚💚💛💛

  • @JumaSaidy-d5n
    @JumaSaidy-d5n 14 วันที่ผ่านมา +2

    Alhamndulilh mw/ajalie afya njema kwa wachezaji wetu

  • @AbelyMagu
    @AbelyMagu 14 วันที่ผ่านมา

    MUNGU ibariki Young African ipate USHINDI kesho 🙏🙏

  • @YoelLameck-b9i
    @YoelLameck-b9i 14 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu ibariki yanga ipate ushindi...amina

  • @shabanmnali4390
    @shabanmnali4390 14 วันที่ผ่านมา +3

    Mungu ibariki yanga sc

  • @jacksonmaximilian7495
    @jacksonmaximilian7495 14 วันที่ผ่านมา +2

    Ee Mwenyez Mungu tunakushukuru kwakua tim imefka salama twakuomba utujalie ushind muhimu siku ya mech

  • @HumphreyKabonga
    @HumphreyKabonga 14 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu awatangulie katika mechi hiyo

  • @RamadhanBrash
    @RamadhanBrash 14 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu ibariki yanga yangu ipate ushindi

  • @mgenikhalfan7471
    @mgenikhalfan7471 15 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu ibariki yanga yetu ipate ushind mnono Jumapili Inshaallah kher 🤲🙏🔰💛💚💚🟢🔰💛💚

  • @petrochikawe1797
    @petrochikawe1797 14 วันที่ผ่านมา +2

    Kila la kher DAR YOUNG AFRICANS

  • @BernadethaKamagi
    @BernadethaKamagi 14 วันที่ผ่านมา

    Mwenyezi mungu akawe upande wa yanga mungu ni mwema naamini mungu wetu mwaminifu atakuwa pamoja nasi

  • @ChristopherBernard-j6g
    @ChristopherBernard-j6g 13 วันที่ผ่านมา

    Inshallah naamin mungu atasaidia tutarud na ushindi wa gori 1

  • @reganclarence4657
    @reganclarence4657 14 วันที่ผ่านมา

    Tunawaombea Mungu asimame nanyi tanzania kwanza✍️✍️...tro belle...❤️

  • @ShebyTz-c6l
    @ShebyTz-c6l 14 วันที่ผ่านมา

    Mungu ibariki chama langu nawatakia Kila la kheri inshaallah

  • @ShabaniDagila-d3r
    @ShabaniDagila-d3r 14 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu ibariki yanga❤❤

  • @jemssipaskal
    @jemssipaskal 14 วันที่ผ่านมา

    Mungu awabariki

  • @paulmasunga1754
    @paulmasunga1754 14 วันที่ผ่านมา

    Insha-Allaah Gusa achia inasubiliwa kwa hamu sana na wapenda soka uliwengun huko Mauritania 🔰🔰🔰

  • @BakariChivaulla
    @BakariChivaulla 14 วันที่ผ่านมา

    Mungu Hawabariki Yanga Yetu Tupate Twenty 3 Inshaallah

  • @MashakaJuma-o2w
    @MashakaJuma-o2w 14 วันที่ผ่านมา

    Mungu u pamoja nasi tutashinda inshalah❤❤❤

  • @LucaiyaKyaka
    @LucaiyaKyaka 15 วันที่ผ่านมา

    Kilakheir Timu yng kwakufika salama na kuomba M/Mungu ijaalie baraka na mafanikio kikosi Chang Inshaallah

  • @KondoNgoma
    @KondoNgoma 14 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu ibariki yanga

  • @SemeniSaidi-gq7be
    @SemeniSaidi-gq7be 14 วันที่ผ่านมา

    Mungu,ibariki,yanga

  • @nurusaid4698
    @nurusaid4698 13 วันที่ผ่านมา

    insha Allah Mutashinda Cmameni Na Mungu

  • @RanksThedon-io2cc
    @RanksThedon-io2cc 15 วันที่ผ่านมา +1

    God bless our champions inshallah

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 15 วันที่ผ่านมา

    Mungu awatetee mshinde naamini kwa pira mliloonyeshana MTASHINDA

  • @ChuchiBalya.
    @ChuchiBalya. 14 วันที่ผ่านมา

    ❤ Mungu tusaidie tim zetu zshinde tunaanza na Yanga inafata smba

  • @JacklineNyoni-eg5rg
    @JacklineNyoni-eg5rg 14 วันที่ผ่านมา

    Mwenyezimungu awalinde sikuzote nawafanyie wepesi ktk mchezo uwo tupate ushindi 🤲

  • @DickisonKapinga
    @DickisonKapinga 14 วันที่ผ่านมา

    God bless good result

  • @BeyayoMakoja
    @BeyayoMakoja 15 วันที่ผ่านมา

    Mungu atusaidie ushindii ameniii mungu ibaliki yanga africaa

  • @JosephGama-k8u
    @JosephGama-k8u 14 วันที่ผ่านมา

    Mungu aijarie yanga yetu

  • @TeddyPaul-qo2iy
    @TeddyPaul-qo2iy 14 วันที่ผ่านมา

    All the best my team

  • @attiliokasuga1764
    @attiliokasuga1764 15 วันที่ผ่านมา

    Mungu yu PAMOJA NASI wananchi, ushindi ni hakika!

  • @Johanesrichard-f3i
    @Johanesrichard-f3i 14 วันที่ผ่านมา

    Mungu yuko pamoja nas wana yanga naiombea yanga goli 2

  • @shaibusaady2420
    @shaibusaady2420 14 วันที่ผ่านมา

    Allaah Akbar

  • @nicholousulimwengu6587
    @nicholousulimwengu6587 14 วันที่ผ่านมา

    Tunawategemea Dua yetu MUNGU atazisikia

  • @nicholousulimwengu6587
    @nicholousulimwengu6587 14 วันที่ผ่านมา

    Ally kamwe tunawaombea USHINDI ila semeni na wanajeshe wetu wajitume watumie nafasi zikijitokeza USHINDI ni walazima kwetu MUNGU ibariki yanga MUNGU ibariki Tanzania

  • @xaverisunday699
    @xaverisunday699 15 วันที่ผ่านมา

    Mungu pamoja nasi kila wakati

  • @IbrahimuBenjamini
    @IbrahimuBenjamini 15 วันที่ผ่านมา

    Mungu🙏 ibaliki young

  • @MuslihiShafii
    @MuslihiShafii 15 วันที่ผ่านมา +1

    Allah ajaalie ushindi kwa yanga

  • @FrankBoniphacemugwe
    @FrankBoniphacemugwe 14 วันที่ผ่านมา

    Kila laheri timu chama langu la yanu❤🎉

  • @AllicePaullline
    @AllicePaullline 13 วันที่ผ่านมา

    God bless YANGA ❤❤❤❤

  • @MpoleJuta58
    @MpoleJuta58 15 วันที่ผ่านมา

    Mungu atuongoze mchezo wetu dhidi ya Al hilal tupate ushindi young African tuludi na point tatu mihimu Amiin

  • @GracePaul-k2l
    @GracePaul-k2l 14 วันที่ผ่านมา

    Mungu awe nanyi na kuwapambania

  • @mihayomustafa2384
    @mihayomustafa2384 14 วันที่ผ่านมา

    Eee Mola Jalia timu yetu Young Africans Sc tuweze kushinda mchezo wetu siku ya Jumapili Inshaallah

  • @RukiaJames-t2t
    @RukiaJames-t2t 13 วันที่ผ่านมา

    Mungo atubari daima mbele

  • @aishafranco1055
    @aishafranco1055 15 วันที่ผ่านมา

    Mungu bariki yanga yetu tupate arama 3 ktk mchezo wetu

    • @MatiasBroo-z7b
      @MatiasBroo-z7b 15 วันที่ผ่านมา

      Wakati mlisema mnataka malaika Leo mnamtaja mungu

  • @FemidaYahaya
    @FemidaYahaya 14 วันที่ผ่านมา

    Kila la kheri Team ya Wananchi..

  • @SilverYanga
    @SilverYanga 15 วันที่ผ่านมา

    All the besty champion

  • @allymaranya
    @allymaranya 14 วันที่ผ่านมา

    Ikawe kher kwetu

  • @GodfreyKarino
    @GodfreyKarino 14 วันที่ผ่านมา

    Yanga Africans daima mbele nyuma mwiko

  • @Fathasssane-vs2th
    @Fathasssane-vs2th 15 วันที่ผ่านมา

    Tunasubiri ushid❤❤❤

  • @tegemeakyangenyenka6111
    @tegemeakyangenyenka6111 14 วันที่ผ่านมา

    Sofa na utukufu kwa Mungu,tunawatakia kila rarely na ushindi

  • @HusseinKafuta
    @HusseinKafuta 14 วันที่ผ่านมา +1

    Kila la kheli timu yetu pendwa Yanga Africans inshallah tutashinda mechi hiyo

  • @DatiusMweri
    @DatiusMweri 14 วันที่ผ่านมา +1

    Tunawaludixhia mabao yao mawili

  • @chamajared1328
    @chamajared1328 14 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤❤

  • @Chunja-m2g
    @Chunja-m2g 14 วันที่ผ่านมา

    💚💚💚🔥🔥🔥

  • @KelvinMirau
    @KelvinMirau 13 วันที่ผ่านมา

    Mfungwe tu nyinyi hamna kazi

  • @rachelcheyo-p5z
    @rachelcheyo-p5z 11 วันที่ผ่านมา

    Yanga bingwa

  • @perepetuajohn
    @perepetuajohn 14 วันที่ผ่านมา

    Ee MUNGU tupambanie TUPATE point 3 SISI peke yetu hatuwezi . Mungu TUNAKUOMBA IBARIKI Yanga turudi na USHINDI home TZ

  • @RukiaJames-t2t
    @RukiaJames-t2t 13 วันที่ผ่านมา

    Mashlaa kushinda ni kawaida yetu

  • @dorissimfukwe4857
    @dorissimfukwe4857 14 วันที่ผ่านมา

    Re Mungu tusaidie tupate point 3

  • @Edrissaa
    @Edrissaa 15 วันที่ผ่านมา

    Boa sorte menino

  • @hamadsuleiman5177
    @hamadsuleiman5177 14 วันที่ผ่านมา

    Punguzeni stori zisizokua na Theme yoyote...Sisi tunahitaji matokeo tu sio hizi stori teleee😂

  • @kelvinkimei
    @kelvinkimei 14 วันที่ผ่านมา

    Mungu aibariki Yanga.🙏

  • @aishafranco1055
    @aishafranco1055 15 วันที่ผ่านมา

    Kama unaamini kama mimi kua tutaondoka na point 3 gonga like hapa tujuane

  • @spiaemason5490
    @spiaemason5490 15 วันที่ผ่านมา

    🔥 🔥

  • @monicalucas3738
    @monicalucas3738 14 วันที่ผ่านมา

    Ss wanayanga ni maombi tu tunaendelea nayo kwenu MUNGU wetu awajalie afya njema

  • @shadrakagalus1185
    @shadrakagalus1185 15 วันที่ผ่านมา

    MUNGU ibarik sana timu yetu ya yanga ipate ushindi wa goli tatu kwa sifuri dhidi ya Ali hilal

  • @aymanmahgoub2759
    @aymanmahgoub2759 15 วันที่ผ่านมา

    Hilali atawashinda, timu ya Young Africans ya Tanzania! Timu ya MC Alger itaungana nasi kupanda

  • @DhahabuSafi
    @DhahabuSafi 14 วันที่ผ่านมา

    Hatuna shaka.goli 2 ikibidi

  • @aymanmahgoub2759
    @aymanmahgoub2759 15 วันที่ผ่านมา

    Mtalia sana, Yanga wa Tanzania! Je, mnakumbuka wakati droo ilipofanyika na mkafurahi kwamba Al-Hilal yuko kwenye kundi hili pamoja nanyi, mkisema alama 6 zimehakikishwa kutoka kwa Al-Hilal? Jumapili mtalia sana

  • @جميلهخميس-ط5ث
    @جميلهخميس-ط5ث 15 วันที่ผ่านมา

    💚💛💚💛🙏🙏

  • @MtashobyaJosia-wt9jq
    @MtashobyaJosia-wt9jq 14 วันที่ผ่านมา

    mtashobya josia nikiwa Kenya nawapata kwauzuri tuko pamoja mpaka mwisho tunawatakia ushindi wakishindo

  • @upendoluva2066
    @upendoluva2066 14 วันที่ผ่านมา

    Tunawaombea wote na Wana jeshi wetu mpambane Kila njia yoyote point 3 tupate ila tunawaombea.

  • @omaryamiri3175
    @omaryamiri3175 15 วันที่ผ่านมา

    Nawatakia ushindi mwingine kwenye mchezo wenu timu yangu

  • @RajabuismailLyando
    @RajabuismailLyando 15 วันที่ผ่านมา

    Kuna dogo nyuma kule kavaa kanzu ya njano
    Kayayuka 😅🙌🏾

  • @KamugishaSupe
    @KamugishaSupe 15 วันที่ผ่านมา

    MUNGU atutangulie

  • @L72-t5w
    @L72-t5w 15 วันที่ผ่านมา

    Kila la kheri

  • @radhiamussa1629
    @radhiamussa1629 15 วันที่ผ่านมา

    Kila la kheri point 3 muhimu msimdharau mpinzani wenu haijalishi anapoint ngapi muhimu tushinde mechi zetu na wachezaji wajitoe kwa jasho na damu nawatumie nafasi kwa usahihi furaha yetu ni point 3 muhimu kuja jangwani

  • @aloycemataruma2301
    @aloycemataruma2301 14 วันที่ผ่านมา

    Gusa achia twende kwao

  • @timothyberege2594
    @timothyberege2594 14 วันที่ผ่านมา

    Kila la kheri wananchi uko Mauritania

  • @dottoseyd
    @dottoseyd 15 วันที่ผ่านมา

    Kesho munafungwa 1

    • @FaustineJonasi
      @FaustineJonasi 15 วันที่ผ่านมา

      Sio kesho dua lako alifiki😅😅

  • @willisonkahamba4344
    @willisonkahamba4344 14 วันที่ผ่านมา

    Dube anavyo shangaa

  • @JamesMaruwa
    @JamesMaruwa 15 วันที่ผ่านมา

    ALUTA CONTINUA!

  • @DullahSele-kg2dp
    @DullahSele-kg2dp 15 วันที่ผ่านมา

    Kila la khery chama langu

  • @jumamchina9038
    @jumamchina9038 14 วันที่ผ่านมา

    Kila la kheri na mafanikio

  • @ismailismailjee632
    @ismailismailjee632 15 วันที่ผ่านมา

    Al Hilal atapigwa tu

  • @MatiasBroo-z7b
    @MatiasBroo-z7b 15 วันที่ผ่านมา

    Kila la kheri al hilal piga ao vyura wa jangwani wapunguze mdomo

  • @MasoudAbdala
    @MasoudAbdala 15 วันที่ผ่านมา

    Emung mumba mbingu na aridh tunaomba tueke mkono wa gher dhid ya mech ya jumapil

  • @mhariritv7315
    @mhariritv7315 15 วันที่ผ่านมา

    Kila lakheri