NILIKUA MCHUNGAJI KANISANI | HII NDIO AYA ILIYONIFANYA NIKASILIMU | SHEIKH ISSA JOHN LUVANDA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • NILIKUA MCHUNGAJI KANISANI | HII NDIO AYA ILIYONIFANYA NIKASILIMU | SHEIKH ISSA JOHN LUVANDA
    #MasjidMtoroTv #NasahaZanguTv

ความคิดเห็น • 339

  • @hamidahamida1473
    @hamidahamida1473 4 ปีที่แล้ว +12

    Subhanalha AlhahuAkbaru Alhamdulilah

  • @anordlazarolazaro8445
    @anordlazarolazaro8445 4 ปีที่แล้ว +6

    Umepotea kwa kutosoma maandiko na ukayaelewa nashida ya wakristo wengi wanapotea hivyo pole sana

    • @umizandonga8867
      @umizandonga8867 4 ปีที่แล้ว +1

      Tulia ww kondoo mpotevu, subiri ufe ukazamishwe kwenye visima vya Moto

    • @rehemaconeriocostance9011
      @rehemaconeriocostance9011 4 ปีที่แล้ว

      @@umizandonga8867 wew je umaimani utaenda peponi? Imani yko ndy itakayo kupelek maala pema acha kujidangany

  • @zakariaathman9019
    @zakariaathman9019 4 ปีที่แล้ว +23

    Mungu atakuongoza in shaa na akujalie ufe ukiwa muislam

  • @shamimhayat7637
    @shamimhayat7637 4 ปีที่แล้ว +11

    Insh Allah atakuhifadhi utadumu katika uislam semeni ameen

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 4 ปีที่แล้ว +12

    Taqbirrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
    Allah amuongoza amtakaee!
    Shukrani shekh endeleza dawa sawsaw tunakuelewa
    "Din ya kweli hakki mbele ya M/Mungu n UISLAMU
    sura ya 3 aya 19(3:19)
    hii haina shakaaa kabsaaaa

    • @agaowajouniar6614
      @agaowajouniar6614 4 ปีที่แล้ว

      Allah Akbar

    • @fatmaadam85
      @fatmaadam85 4 ปีที่แล้ว

      May Allah gurd us all ameen yarab ❤🙏🙏🙏

  • @zayedbinharith4665
    @zayedbinharith4665 4 ปีที่แล้ว +17

    Masha Allah sheikh luvanda. Mungu akuongoze wewe na Jamii yako yote pamoja na sisi waislam wenzako. Amin insha Allah.

  • @ZainabZainab-tv9ir
    @ZainabZainab-tv9ir 4 ปีที่แล้ว +13

    Mashaallah alhamdulillah allah akbarru

  • @rayaalhabsi1725
    @rayaalhabsi1725 ปีที่แล้ว +1

    Subhana Allah. Masha Allah tabaraka Rahman. Welcome back brother to your original faith Alhamdulilah Rabbil Aalamiin Allah bless you and all Muslims around the world. Allahumma Ameen yaarabil Aalamiin

  • @zarafysalum3916
    @zarafysalum3916 4 ปีที่แล้ว +7

    Allah baarik

  • @francinensavyimana5601
    @francinensavyimana5601 4 ปีที่แล้ว +8

    Masha Allah kule welcome to islam njo dini ya yesu namanabi wote wa Allah

  • @kijangwazay7711
    @kijangwazay7711 4 ปีที่แล้ว +12

    Maa sha Allah shukran sheikh wangu Allah akupe umri mrefu uzidi kuitetea dini ya haki

  • @ramadhanmwamwa6910
    @ramadhanmwamwa6910 4 ปีที่แล้ว +1

    Mwenzi munguu awafungulie njia waingie katika uislm maana ndio palipo na ukweli wa Allah

  • @seifhabib5987
    @seifhabib5987 4 ปีที่แล้ว +27

    Mashaallah, Mungu akubark na akuzidishie neema ya kuwa Muislam katika dini ya kweli na Aliyoiridhia Allah na akuingize peponi endapo utarudi kwake.

  • @mahsinmbarak7191
    @mahsinmbarak7191 ปีที่แล้ว +1

    اللهم صل وسلم وبارك على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه أجمعين عدد خلقه ورضا نفسه وزنه عرشه ومداد كلماته

  • @a.856
    @a.856 4 ปีที่แล้ว +6

    Jazakallah khayran

  • @aminalibondo7507
    @aminalibondo7507 4 ปีที่แล้ว +9

    Mashaallah waliahmdhulilai Allah wakbru

  • @ashiraally527
    @ashiraally527 4 ปีที่แล้ว +8

    Mashallah

  • @salhaaaa3720
    @salhaaaa3720 4 ปีที่แล้ว +8

    👏👏👏👏😘mashaallah mungu akuzidishie naudumu Ktk.uislamu wetuu

  • @alimuhamed1830
    @alimuhamed1830 4 ปีที่แล้ว +1

    Allah akujalie iman thabit shekhe akusmamie katika ukweli

  • @fatumahamis9206
    @fatumahamis9206 4 ปีที่แล้ว +7

    Shukran Alah akujaze kheri

  • @merinarobin1894
    @merinarobin1894 4 ปีที่แล้ว +2

    Subhannalah yaarab tujalie mwisho mwema

  • @alimuhamed1830
    @alimuhamed1830 4 ปีที่แล้ว +2

    Ninemaa kubwa sanaa kuwa muslim allah atufishe haliyakua niwaislam

  • @noormahd5540
    @noormahd5540 4 ปีที่แล้ว +9

    Mashaallah Tabaraka Allah. Allah atujaalie mwisho mwema. Ameen
    Alhamdulillah

  • @ucjvvjcjjvih9934
    @ucjvvjcjjvih9934 4 ปีที่แล้ว +6

    MASHAALLAH SHEHE ISSA ALLAH AWAZINDUE WENGINE AL HAMDULILLAH AKUZIDISHIE MOYO WA IMANI

  • @bennymochiwa4800
    @bennymochiwa4800 4 ปีที่แล้ว +8

    hakika islam ni dini ya haki, ALLAH AKBARI

  • @salimmohamedy9852
    @salimmohamedy9852 4 ปีที่แล้ว +5

    Mashaallah mashaallah mashaallah

  • @mahmoudjuma3825
    @mahmoudjuma3825 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah sheikh mungu akupe kila la heri

  • @tonymushi1148
    @tonymushi1148 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah hakika allah umuongoz amtakae katik njia iliyo nyoka mimi pia nikatika muslimu niliye jaaliwa pata nema kubwa hii saana ya kua katika waislamu alhamdulillah

    • @dulividuli5237
      @dulividuli5237 ปีที่แล้ว

      Hongera sna ndgu ni jambo la kumshkuru Allah(S.W)

  • @rilkabuya6519
    @rilkabuya6519 4 ปีที่แล้ว +7

    Inshallah mungu akuzidishie kila la kheir shekh wangu

  • @harrishussein6992
    @harrishussein6992 4 ปีที่แล้ว +1

    Assalam alaykum shukran sana Allah atujaalie neema kubwa sote waislam tushkamane ili tukaingie peponi kwa Rehma za allah

  • @aminamarie2387
    @aminamarie2387 4 ปีที่แล้ว +7

    Mashallah,,Alhamdulillah mwenyezi mungu akuongoze Zaidi na akujaalye neehma,,Amiin Thuma Amiin.

  • @tamimaali8718
    @tamimaali8718 4 ปีที่แล้ว +3

    Ma Sha ALLAH, ALLAH akuongoze wewe na Sisi njia ilonyooka na atufishe tukiwa waislam

  • @jannatyabubakar9038
    @jannatyabubakar9038 4 ปีที่แล้ว +4

    MashaAllah hakika Allah kakuinguza ktk rehma miongoni kwa rehma kubwa saana...Allah azidi kukuongoza inshaAllah...

  • @amanmilonge3733
    @amanmilonge3733 4 ปีที่แล้ว +7

    Masha Allah Allah bless you

  • @omanseeb8609
    @omanseeb8609 4 ปีที่แล้ว +5

    Mashaaallh allah azidi kukuongoza atuongozee na ss

  • @ALIMOHD-bk9lr
    @ALIMOHD-bk9lr 4 ปีที่แล้ว +1

    Maashallah. Mungu atupe MWISHO ulio WEMA na ATUWAFIKISHE KTK kufata amri zake na kuacha MAKATAZO YAKE🙏🙏🙏

  • @ashasudi8802
    @ashasudi8802 4 ปีที่แล้ว +5

    Masha Allah watabakallah,alfu mabrook.

  • @mwanahawamohammed8540
    @mwanahawamohammed8540 4 ปีที่แล้ว +2

    Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi wa kila jambo lako na upate mafanikio ktk maisha yako hapa duniani na kesho akhera. Amina yaarabbil-aalamina

  • @ayubbaluch4063
    @ayubbaluch4063 2 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah..,Alhamdulilah

  • @user-sw2fi1gu4j
    @user-sw2fi1gu4j 11 วันที่ผ่านมา

    Maashaala jazakallah khair ❤❤❤

  • @suleimanmashy1851
    @suleimanmashy1851 4 ปีที่แล้ว +1

    Ma Shaa Allah.
    Alhamdulillah neema kubwa kuwa muislam.

  • @saadaabdallah7473
    @saadaabdallah7473 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah Allah akubarikie ulimi wako juu ya kuwalingania watu wako na wote wengine na akutilie taufiq Ammeen

  • @salmawangu2589
    @salmawangu2589 4 ปีที่แล้ว +4

    Mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah
    I'm proud to be a Muslim

  • @babyhamisi5331
    @babyhamisi5331 4 ปีที่แล้ว +4

    I like the confidence, ALLAHU AKBAR

  • @parismk7460
    @parismk7460 4 ปีที่แล้ว +3

    Natamka damu ya yesu ikuponye ufinyangwe ufanywe upya

    • @najmamakame9881
      @najmamakame9881 4 ปีที่แล้ว

      Pole umepotea

    • @rehemaconeriocostance9011
      @rehemaconeriocostance9011 4 ปีที่แล้ว

      @@najmamakame9881 ata wew umepotea

    • @najmamakame9881
      @najmamakame9881 4 ปีที่แล้ว

      @@rehemaconeriocostance9011 nikupe ushahid wa mm sijapotea na dini yangu ni ya kweli tena ya mungu aliyetuumba kwa ushahid wa Qur'an wewe mwenye bibilia yako huna ushahid wa dini yako wala kitabu chako mpaka muda huu hapo ulipo bado hujui yupi mungu wako mana bibilia yako inapingana pingana ndyo utaweza nilinganisha Mimi na wewe?wewe umepotea na huko uliko sio sehem salama

    • @noorkhamisi2490
      @noorkhamisi2490 4 ปีที่แล้ว

      Sana Tena hajui amapokwenda wala alipotoa

    • @dulividuli5237
      @dulividuli5237 ปีที่แล้ว

      Ww kushawahi kuiona iyo damu ya Yesu usituletee pumba zko hapa

  • @shifaazawadi4438
    @shifaazawadi4438 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah mwenyezi mungu akulinde nauzidi kueneza umuislam kwani ndio dini ya hakhi mbele za mwenyezi mungu

  • @moanamohammed1406
    @moanamohammed1406 4 ปีที่แล้ว +2

    Masha Allah

  • @faridaali6850
    @faridaali6850 4 ปีที่แล้ว +2

    Allah akubarik

  • @babyhamisi5331
    @babyhamisi5331 4 ปีที่แล้ว +3

    MashaAllah tabarakaAllah Allah akufanyie wepesi katika kila hali

  • @bahatibakari2159
    @bahatibakari2159 4 ปีที่แล้ว +6

    MashaAllah. tabaraka Rahman.

  • @Stanbul.Y
    @Stanbul.Y 4 ปีที่แล้ว +3

    MashaAllah

  • @husseinkhalfan9467
    @husseinkhalfan9467 4 ปีที่แล้ว +1

    ما شاء الله تبارك الرحمٰن

  • @kalssambaboo9705
    @kalssambaboo9705 4 ปีที่แล้ว +1

    In shaa allah baba allah yupo pamoja nawee

  • @sharifmbarouk2796
    @sharifmbarouk2796 4 ปีที่แล้ว +1

    Allah akuthibitishe na akupe Imani thabit ktk uislamu

  • @mamuually5579
    @mamuually5579 4 ปีที่แล้ว +1

    Masha allah mungu azidi kutuongoza sisi sote

  • @hamisali668
    @hamisali668 4 ปีที่แล้ว +2

    Allah akufanyie wepesi asimame na ww kwa kila hatua inshaallah

  • @kimzymamy6594
    @kimzymamy6594 4 ปีที่แล้ว +3

    mashaallah Allhamdhulillah Allah akujalie uislamu mpaka mwisho wa umri wko🙏

  • @mariamumapunda4614
    @mariamumapunda4614 4 ปีที่แล้ว +1

    Allah akupe mwisho mwema sheikh issa luvanda

  • @muhidinally3753
    @muhidinally3753 4 ปีที่แล้ว +1

    Allah akuzidishie Sheikh Issa. Allah ameapa kuilinda dini yake. Na hakuna neno linaloanguka bureau kwenye Quran ya Allah

  • @Da-cr6ow
    @Da-cr6ow 4 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah Allah akufanyie wepesi Insha Allah karibu kwenye dini yetu ya hakki takbiir Allahu Akbar kwakweli niraha

  • @nurumuhammad8502
    @nurumuhammad8502 4 ปีที่แล้ว +2

    Alhamdullilah sheikh Allah barik

  • @ibrahimmchucha3034
    @ibrahimmchucha3034 4 ปีที่แล้ว

    Mashaallah Allah akujaalie kheir

  • @osamashakeeb7194
    @osamashakeeb7194 4 ปีที่แล้ว +1

    Allah akulipe pepo 🤲

  • @selezungu4474
    @selezungu4474 4 ปีที่แล้ว +1

    الحَمْدُ ِلله جزاك اللهُ‎

  • @alhamdulillah5796
    @alhamdulillah5796 4 ปีที่แล้ว +2

    Maa shaa Allah, Allah akuhuishe, akufishe na akufufue hali ya kua ni muisilam, Amiin

  • @imansaid8020
    @imansaid8020 3 ปีที่แล้ว

    Maashaallah, Allah Akbaru

  • @mzuvendi
    @mzuvendi 3 ปีที่แล้ว

    Masha ALLAH akupe kila la kheri ndugu yetu karibu ili ufaulu duniani na akhera..

  • @jumahory3069
    @jumahory3069 4 ปีที่แล้ว +1

    jazakallah kheri

  • @noraevers8868
    @noraevers8868 4 ปีที่แล้ว +1

    ManshaAllah Allah Akubariki na azidi kukuongoza .🤲

  • @mariamali1887
    @mariamali1887 4 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah mashaAllah Allah barik. Mollah atakudumisha katika uislam na akuzidishie ilmu mashaallah

  • @salmaathuman9156
    @salmaathuman9156 4 ปีที่แล้ว +1

    Waleykumsalaam warahama tullah wabarakatuh mashaa allah allah azidi kukuongoza kwenye dini ya kweli na uendelee kusimamia msimamo wako na mungu azidi kukuongoa inshaa allah uislaam Raha sana quruan tukufu ndiyo kitabu kitakatifu na hakina upingamizi

  • @mkurugenziwanidhamu8751
    @mkurugenziwanidhamu8751 4 ปีที่แล้ว

    Mashaallah mwenyezi mungu akutie moyo ulokuwa na nuru ya uislamu uupende wala usione mgumu kwako uzidi kuupende na kuwapenda ulowakuta ktk dinii hii tukufu inshaallah nakuhusia nafsi ako na me nikijihusia nasfi Angu mwenyzi mungu atufishe ktk dii hii tukufu ya uislamu inshaallah jazakallah khaila.

  • @shabaniissa9792
    @shabaniissa9792 4 ปีที่แล้ว +1

    Shukrani sheikh

  • @faizahamim2799
    @faizahamim2799 4 ปีที่แล้ว +4

    Manshallah ALLAH akuhifadhi ww na family yako na akujaaliye mwisho mwema insha ALLAH

  • @abubakarmpole4000
    @abubakarmpole4000 4 ปีที่แล้ว +2

    Masha Allah, mungu akuongoze hadi peponi.

  • @mohamedmaalim8628
    @mohamedmaalim8628 2 ปีที่แล้ว

    TAKBIRRRRR ALLAHU AKBAR

  • @yussufumusso6737
    @yussufumusso6737 4 ปีที่แล้ว +4

    Wallhwahi.Allha akuzidishie imani

  • @rajahamy9700
    @rajahamy9700 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashallh

  • @hassanwanje7373
    @hassanwanje7373 4 ปีที่แล้ว +4

    Mash Allah shekh Allah akuzidishie

  • @fardhosafahadi5022
    @fardhosafahadi5022 4 ปีที่แล้ว

    Masha Allah Allah akuzidishie kila la kheri karibu katika dini iliyonawiri ya kiislamu

  • @shamimhayat7637
    @shamimhayat7637 4 ปีที่แล้ว +3

    Mashaaalah Mwenyezi Mungu umuongoza ampendae

  • @yusufmwangichannel6692
    @yusufmwangichannel6692 4 ปีที่แล้ว

    Masha Allah, Allahu Akbar, Allah azidi kukuongoza katika haki na akufishe hali ukiwa muislam, Amiin Thumma Amiin

  • @MwaitaHussein
    @MwaitaHussein 5 หลายเดือนก่อน

    Mashallah Allah Azidi kukuenua

  • @hashirabbas2087
    @hashirabbas2087 4 ปีที่แล้ว

    Allah akuhifadhi ila jitahidi katka usomaji wa qur`an make hamna udhuru wa kukosea katka usomaji kaaa kwa walimu wakunyooshe ulimi

  • @amirichaka355
    @amirichaka355 4 ปีที่แล้ว

    Amina Amina Amina shekhe Issa bin John Allah atufanyie wepesi InshaAllah

  • @mtipulaiddy6694
    @mtipulaiddy6694 4 ปีที่แล้ว

    Alhamdulilah

  • @safiasuleiman3119
    @safiasuleiman3119 4 ปีที่แล้ว +1

    Big up upo sahihi

  • @kibalikikubwa804
    @kibalikikubwa804 4 ปีที่แล้ว +2

    Hukuwa kwa Yesukristo, bali ulikuwa kwenye dini ya kikristo na Sasa upo kwenye dini ya kiislamu. Yesu sio dini ya kikristo, Yesu na dini ya kikristo ni vitu viwili tofauti

    • @shamsisaady4029
      @shamsisaady4029 4 ปีที่แล้ว

      Cjakuelewa unamaanisha nini hapa mkuu, ebu fafanua hiyo kauli yako ya kwamba hakuwa kwa yesu kristo bali kwenye dini ya ukristo...na kwamba dini ya kikristo na yesu ni vitu viwili tofuati. Japo kwa upande fulani nakubaliana na wewe kwmb yesu na dini ya kikristo ni vitu viwili tofuati kwa sababu yesu hakuja na ukristo duniani.

    • @dulividuli5237
      @dulividuli5237 ปีที่แล้ว

      Kwaiyo Yesu haujui Ukristo ama unamaanish nini?

  • @ahshbsbx2991
    @ahshbsbx2991 4 ปีที่แล้ว

    Mashaallah shekh wetu Allah atuongozee wote

  • @meekman1805
    @meekman1805 2 ปีที่แล้ว

    Maashallah!

  • @ms_caramel2688
    @ms_caramel2688 4 ปีที่แล้ว

    MashaAllah mashaAllah mwenyezmung azidi kukuongoza baba ang

  • @najimshaib9306
    @najimshaib9306 ปีที่แล้ว

    Mashallah mashllah❤

  • @omaryshafii1174
    @omaryshafii1174 4 ปีที่แล้ว +1

    Allah atujaalie mwisho mwema

  • @noelariki3618
    @noelariki3618 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashaaallah Allah akuongoze shekh

  • @aminahamadi4017
    @aminahamadi4017 4 ปีที่แล้ว

    masha allah tabaraka allah allah atakulipa kwa rejma zakd

  • @abdulisaid3802
    @abdulisaid3802 4 ปีที่แล้ว +1

    mashaallah

  • @alsaarh239
    @alsaarh239 4 ปีที่แล้ว +3

    Allah akilinde yaarab na akujaze imani

  • @shabanismaily5777
    @shabanismaily5777 4 ปีที่แล้ว +1

    Allah Akbar!!!!!!!!!!

  • @kutailadifi2854
    @kutailadifi2854 4 ปีที่แล้ว +1

    Shukran Jazzakallah khaira

  • @minabuelysee8
    @minabuelysee8 4 ปีที่แล้ว +1

    Allah Akbar