mmh yani kuna watu,watu,watu na viatu wanatamani ufeli,ufeli ili wakucheke daily yani kuna watu,watu,watu na viatu wanatamani ufeli,ufeli ili wakucheke daily tena usijali sir God yupo anakulinda usiku mchana yupo ata watamani kunyeshe mvua bado ulimwenguni tutatusua tena usijali sir God yupo anakulinda usiku mchana yupo ata watamani kunyeshe mvua bado ulimwenguni tutatusua tutazidi kuwa kera,kera,kera
mmh yani kuna watu,watu,watu na viatu
wanatamani ufeli,ufeli ili wakucheke daily
yani kuna watu,watu,watu na viatu
wanatamani ufeli,ufeli ili wakucheke daily
tena usijali sir God yupo anakulinda usiku mchana yupo ata watamani kunyeshe mvua bado ulimwenguni tutatusua
tena usijali sir God yupo anakulinda usiku mchana yupo ata watamani kunyeshe mvua bado ulimwenguni tutatusua
tutazidi kuwa kera,kera,kera
👌
Oya brother respect gd job🎉🎉
Big up
nakubari amoni
🙏✌️