Watoto hawa wananibariki pamoja na familia yangu. Mubarikiwe. Nawaombea maisha marefu yenye utauwa na kumcha Mungu. Ningekuwa na uwezo siku moja ningewalika kuja kanisani kwetu, Lakini umbali hauturuhusu,. Watoto wangu wanajifunza kiswahili kupitia nyimbo zenu. Again, be blessed.

Ameeen Barikiwaa sana ndugu,kwani mnaishi sehemu gani!?
Mungu awatunze watot wazur zelish wew rebeca .josephin nawapend mno
Barikiwaa Baba!!
Ameen nimebarikiwa na wimbo mzur Mungu aendelee kuwatunza
Ameen,zidi kutuombea
Mungu awaatamie watoto wazuri!
Ameen ubarikiwee
Mungu ajuaye yote awabariki na kuwatunza
Ameeen ndugu