SAKATA LA GSM LACHUKUA SURA MPYA!! WANASIMBA WAIJIA JUU TFF KUHUSU SHERIA YA KUDHAMINI TIMU SITA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 380

  • @adamsonmwaisumo6791
    @adamsonmwaisumo6791 หลายเดือนก่อน +3

    Kwahiyo simba mlitoa point sita alifadhiriwa na GSM

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 หลายเดือนก่อน +6

    kwa kweli GSM anaharibu mpira wetu sana hiyo sio sawa kabisa

    • @georgelyimo2138
      @georgelyimo2138 หลายเดือนก่อน +2

      Nenda mahakamani katafute haki yako,si umwambie mo adhamini vilabu vilivyobaki na yeye kama ana pesa kweli,mnataka vilabu vishindwe kujiendesha halafu mpeleke bahasha zenu ili muwe mabingwa?

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 หลายเดือนก่อน

      ​@@georgelyimo2138Mo hawezi nimchungu sana bairi kama nini

    • @rukiamkwayo6302
      @rukiamkwayo6302 หลายเดือนก่อน +1

      Simba alipigwa inje ndani poiti sita vp nae kazaminiwa na gsm? Sajilini wachezaji

  • @JideeboeMboma
    @JideeboeMboma 25 วันที่ผ่านมา

    Mungu amlaze mahali pema peponi daah magufuli

  • @MchungajiNzelani
    @MchungajiNzelani หลายเดือนก่อน +6

    Wamegundulika ujanja kwishaaa

  • @frankmataka7185
    @frankmataka7185 29 วันที่ผ่านมา +1

    Simba ya saba amechangia point Tisa je amezaminiwa na Gsm acha kumhoji huyo mjinga

    • @selemanidihanuka2903
      @selemanidihanuka2903 29 วันที่ผ่านมา

      Nilitaka kutoa mawazo hayo hayo umenifilisi

  • @user-sn9cd5lv9z
    @user-sn9cd5lv9z 29 วันที่ผ่านมา

    The problem is way of thinking, arguing without reasoning

  • @hawahussein137
    @hawahussein137 หลายเดือนก่อน

    GSM kaja kuharibu Moira wa Tanzania

  • @ZabibuMwenda
    @ZabibuMwenda 25 วันที่ผ่านมา

    Wanasimba tupeleke barua CAF hili jambo litatuumiza sanaa tuamkeni jamaniii

  • @ZabibuMwenda
    @ZabibuMwenda 25 วันที่ผ่านมา

    Kabisa wana Simba pigeni kelele hili jambo halijakaa sawa kabisa

  • @wazirimagayuka9681
    @wazirimagayuka9681 29 วันที่ผ่านมา

    Makolo mnaongea sanaaaa!! Mwambieni MO azidhamini timu 10 zilizobaki 😂😂😂

  • @Winstonfying
    @Winstonfying หลายเดือนก่อน

    Fungueni kesi, kama Mzee Magoma tu, peleka GSM na TFF mahakamani tu

  • @davidmangole-z1z
    @davidmangole-z1z หลายเดือนก่อน

    mbeya city,mbeya kwanza zlikuwa na mpira mzuri zilixhuka ................7bu ya kukataa iyo ktu ya gsm

  • @JumaIbrahim-k1q
    @JumaIbrahim-k1q หลายเดือนก่อน

    Huitaji kukaa darasani kuelewa hoja ya kiongozi wa mpira pesa

  • @drallan6879
    @drallan6879 หลายเดือนก่อน

    umeongea vyema mwenyeliti;keep it up

  • @SeciliaKasian
    @SeciliaKasian 29 วันที่ผ่านมา

    Kweli mnajitoa ufahwaamu sportpesa boss aba vis talimba mwana yanga aliwafadhiri nyinyi simba na timu ilifanyavizuri mbona hatukusikia hizi kelele

  • @bmkaskazinib4363
    @bmkaskazinib4363 28 วันที่ผ่านมา

    Woga tu wanao Simba msitoe sababu Hanna kiwango tu,juzi goli NNE mmebebwa na refa hamsemi hill ondoeni woga.huyo Maria no Simba anaheshimu sheria

  • @dahelahmad6331
    @dahelahmad6331 หลายเดือนก่อน +2

    Kwani Azam sports Club imedhaminiwa na GSM.Mbona imefungwa 4-1.
    Simba nayo imefungwa 1+0. Je imefadhiliwa na GSM.

    • @adammwandambo4143
      @adammwandambo4143 หลายเดือนก่อน

      Tunapozungumza ligi hatuongelei tim tatu,naona wew mpira huujui,ulishaona wap mwanachama na mshabik wa club Moja anaanza kudhamn vilabu vingine wakt ndan ya ligi anatim kuu anayoidhamin,,hiyo haipo Dunia nzima haipo

    • @nassorsharifu9837
      @nassorsharifu9837 หลายเดือนก่อน

      Bahresa kadhamini ligi nzima wakati yeye ni mdhamini wa Azam​@@adammwandambo4143

    • @simonnjovu586
      @simonnjovu586 หลายเดือนก่อน

      ​@@adammwandambo4143dunia nzima unayoijua? Emirates kwenye UEFA inadhamini Arsenal, Psg, Madrid, AC Milan, nk. Hiyo ni ligi moja. Acheni ujinga kolozidad.

  • @user-vx5jj7vl1w
    @user-vx5jj7vl1w หลายเดือนก่อน

    Shaban shoga anatunzwa na changudoa muuza juisi sokon

  • @EdsonMwamtobe
    @EdsonMwamtobe หลายเดือนก่อน

    Kwa mini ligi daraja la kwanza

  • @abdullramadhanii626
    @abdullramadhanii626 หลายเดือนก่อน

    Kariaa akiondoka mtaliaa sana

  • @WadhifHajji
    @WadhifHajji 22 วันที่ผ่านมา

    Azochukua kwasimba inakuwaje

  • @boyngota4497
    @boyngota4497 29 วันที่ผ่านมา

    Simba chezeni mpira gsm hachezi mpira wachezaji ndio wanacheza

  • @dr.allyahmada
    @dr.allyahmada 29 วันที่ผ่านมา

    Hapo Simba ilipochukua miaka 4 ilikuwa inachukua kwa sababu ya kuwanunua wachezaji wa Yanga . Kumbuka Simba iliifunga Yanga 4-1 na ikabainika kuwa kuna wachezaji wameuza timu wakiwemo, Jaffar, Juma Abdul, Yondani, Shishimbi na Yanga ilipogundua iliwafukuza wote kwa hiyo hayo huyasemi

  • @Saidi-x4h
    @Saidi-x4h หลายเดือนก่อน

    Yaan ubora wa yanga kwenye peach wala huonekani, hi hoja zaifu sana

  • @johnmweji9345
    @johnmweji9345 หลายเดือนก่อน

    Hapo Tff wamekaribisha rushwa mpirani

  • @comsmkemwa2671
    @comsmkemwa2671 หลายเดือนก่อน

    Mngekuwa na timu bora hizo taarabu zisingekuwepo, hizo ni riwaya ni baada ya kujishtukia timu yenu usajili mbovu, so mnajihami mapema,

  • @razacklazaro6678
    @razacklazaro6678 28 วันที่ผ่านมา

    Mo dewji hata Leo anaruhusiwa,Hana huo uwezo

  • @abdullramadhanii626
    @abdullramadhanii626 หลายเดือนก่อน

    Simba katowa pwent ngap kwa yangaaa

  • @ALEXLOTAN
    @ALEXLOTAN หลายเดือนก่อน

    Kama Kuna ukwel katika hizi hatua ichukuliwe haraka sana

  • @chiefmajai9345
    @chiefmajai9345 หลายเดือนก่อน

    Hakuna mtu aliyezuiliwa kusajiri mo vipi azim vipi

  • @dr.allyahmada
    @dr.allyahmada 29 วันที่ผ่านมา

    Hawa Simba kweli ni mbumbumbu, GSM anadhamini vilabu 6, sio kufadhili ni kudhamini. Hivi Simba na Azam wote wamefungwa je nao wanadhaminiwa na GSM?

  • @juliussenzia
    @juliussenzia หลายเดือนก่อน

    Hivi Azamu mbona anafadhili timu zote ninyi hamsemi,Sasa mwambieni Mo Afadhili timu zilizobaki

  • @kazumarihokororo9153
    @kazumarihokororo9153 28 วันที่ผ่านมา

    Yaani ajajibu swali japo mojaaa
    Ana bwabwajaa tuuu

  • @Joseph-i8x1d
    @Joseph-i8x1d 26 วันที่ผ่านมา

    Jibu swali we kumaa

  • @leonardmabula9472
    @leonardmabula9472 หลายเดือนก่อน

    Mtangazaji unasumbuka huyo anawewesuka anaihofia Yanga

  • @RamadhaniMtupa-qg8ci
    @RamadhaniMtupa-qg8ci 25 วันที่ผ่านมา

    Simba imefungwa gori Sabamulinunuliwa na gsm acha woga ushangalia timu ya ulio sajili mbovu munaanza visingizio

  • @rajabumalonda2625
    @rajabumalonda2625 หลายเดือนก่อน

    Kwani Mo akitaka kudhamini vilabu 6 mtalalamika?Hizo ni chuki endeleeni kujenga timu yenu

  • @razacklazaro6678
    @razacklazaro6678 28 วันที่ผ่านมา

    Waloanzisha hii mada sidhan Kam wako timamu!!! Hawana facts

  • @bmkaskazinib4363
    @bmkaskazinib4363 28 วันที่ผ่านมา

    Simba homa hiyoooo INA homa siku hizi hawana kiwango na viporo hawana ndio maana wanalalamika waongeze juhudi tu wakuze kiwango ,hawajui kuwa waamuzi wengi ni wao hats wanachama wao wanalijua hilo

  • @suleimanmwenyemvua995
    @suleimanmwenyemvua995 หลายเดือนก่อน

    Hilo jamaa halina hoja lina bwata tu😅😅

  • @VedasElly
    @VedasElly หลายเดือนก่อน

    Simba vichaa badala ya kutengeneza timu mnawaza ujinga😂😂😂😂😂😂

  • @AbdallahMchekwa
    @AbdallahMchekwa หลายเดือนก่อน

    Hao waandishi wazingua wanajua ila wanatufanya cc mapoyoyo.

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 หลายเดือนก่อน

    Akili hama nyinyi mnaoshindwa kuhudumia hata familia zenu,wewe ulishawahi miliki hata paka Mia acheni vilabu vinashida ya pesa

  • @idrissaidrissa3876
    @idrissaidrissa3876 หลายเดือนก่อน

    Uyu ana jipya mweu tu

  • @robertzamani5612
    @robertzamani5612 หลายเดือนก่อน

    Hayo maneno ya wakosaji

  • @MAGEMEYOHANA
    @MAGEMEYOHANA หลายเดือนก่อน

    Huna akili kalale Kwan mo anashindwa kudhamin zilizobak

  • @saalim5401
    @saalim5401 29 วันที่ผ่านมา

    Kweli haya makolo akili zao mbovu mpaka vichwa vyao na haya ndio machizi yanayotaka kutuharibia ligi tunaijua hiyo hamkuanza leo mtabweka sana mbwa nyie

  • @HamzaHeri
    @HamzaHeri หลายเดือนก่อน

    WEWE MWAMBIE HUYO ACHE UJINGA MBONA BAHARESSA AMEZAMINI LIGI NZIMA

  • @jankenkasambala7687
    @jankenkasambala7687 หลายเดือนก่อน

    Kwanini na nyie msimshawishi Dewji adhamini timu 10

  • @idrissaidrissa3876
    @idrissaidrissa3876 หลายเดือนก่อน

    Yani shida uyu kwer zipo janan

  • @edwardmizambwa237
    @edwardmizambwa237 หลายเดือนก่อน

    Nchi imegubikwa na shetani baya kuliko yote Duniani nalo ni RUSHWA.
    Baadhi ya wafanya biashara hawalipizwi kodi stahiki matokeo yake wanakua na pesa haramu zaidi ya uhutaji wao ' wamevimbilwa ' .
    Bahari mbaya sana pesa za rushwa haziwekwi bank badala yake zinagawiwa kama njugu.
    Leo mnalalamikia ftt kukiuka taratibu na hii itaiingia kwenye taasisi nyingine tu hapa kwetu

  • @daudkondo4069
    @daudkondo4069 หลายเดือนก่อน

    Huyu mwehu Azam hujui kadhamini vilabu vingapi

  • @geraldbagole4494
    @geraldbagole4494 หลายเดือนก่อน +1

    Katika ligi ijayo mechi zote za Simba nitaangalia kwa sababu pale kuna Mpira wa kweli.Kukamiana,Kuumizana,Kubadishs viwanja,marefa kujizima data.Wachezaji wakivuka walau wakapata nafasi ya 2,Simba nusu finali Africa anafika.

    • @ALEXLOTAN
      @ALEXLOTAN หลายเดือนก่อน

      😢😢😢😢 sitaki kuamini

  • @SaimonMichael-qx8vk
    @SaimonMichael-qx8vk หลายเดือนก่อน

    TFF haipo.kiluchobaki ni siasa . mpira umebaki nijukwaa lakampeni laccm hilohalina ubishi

  • @hawahussein137
    @hawahussein137 หลายเดือนก่อน

    Hatuna Imani na. Tff

  • @daudkondo4069
    @daudkondo4069 หลายเดือนก่อน

    Huyu fala kina Aziz ki Pacome , Chama wamesajili wafanye kazi gani,?

  • @HassanKassim-ei8ko
    @HassanKassim-ei8ko หลายเดือนก่อน

    Anaaribu ushindani wa mpira uyu sigara sm. Mana G mshamba akuna😂😂😂

  • @SeciliaKasian
    @SeciliaKasian 29 วันที่ผ่านมา

    Mwambieni mo nayeye adhamini hakuna shida

  • @hajihassan5433
    @hajihassan5433 29 วันที่ผ่านมา

    Unaonaje ikiwa kinyume yake kwamba hizo timu nyingine waifunge Yanga. Point 36 + 6 za Simba na mke mdogo Azam 6 = 48. Yanga kweli Bingwa!

  • @nassorsharifu9837
    @nassorsharifu9837 หลายเดือนก่อน

    mnatutia hasira tabu ipo palepale mnaanza kuogopa eenh.

  • @AshelyAbel-kg4kx
    @AshelyAbel-kg4kx หลายเดือนก่อน

    Tff wanamasirahi na Gsm ndio maana wanangata maneno nabahati mbaya ya simba wamewekwa mfukoni niwazito kufanya maamzi magumu ila ingekua niviongozi wa yanga tayari wangekua wameshawasha moto

  • @RajabuNakapala1
    @RajabuNakapala1 29 วันที่ผ่านมา

    Pia udhamini wa Azam kwa Yanga pekee huo nao usngaliwe haieezekani AZAM idhamini timu zote 16 kidha iwe na tena Yanga pekee hiyo sio fair play hilo nalo liangaliee vinginevyo udhamini huo ujumuishee kwenye udhamini mama wa timu zote 16

  • @jonamnyone8014
    @jonamnyone8014 หลายเดือนก่อน

    Hapo kweli hakuna Fair Competition. TFF wasilifumbie macho hili mbona lipo wazi sana. GSM ni mwekezaji/mfadhili mkuu wa Yanga anazitumia hizo timu ndogo kuipatia points za bure Yanga. Mpira ni biashara kama TFF wameshindwa kukemea na kurekebisha hili Simba ilipeleke hili jambo FAIR COMPETITION BOARD na Takukuru. Hapa kuna viashiria vya rushwa.

  • @SaidySaidysalum
    @SaidySaidysalum 29 วันที่ผ่านมา

    Anachoongea brother tupo sahii kabisa. Uwezi kuwa na tm 8 kwenye league Moja. Upangaji wa matokeo inaanziaga kwenye mtindo huo.

    • @AdamMohamed-u4p
      @AdamMohamed-u4p 29 วันที่ผ่านมา

      Na wewe huna akili kumbe Kuna tofauti kati kudhamini na kuwekeza

  • @paulotemba8881
    @paulotemba8881 หลายเดือนก่อน

    Simba ni wivu unawasumbua nawashauri na wao watafute timu wazi thamini waache utoto na mawazo ya umasikin8

  • @sailoo5722
    @sailoo5722 หลายเดือนก่อน

    Ati mliondoa wote waliosababisha mkafungwa home and away,,mbna hao wapya pia mlidingwa kimoja

  • @frankmataka7185
    @frankmataka7185 29 วันที่ผ่านมา

    Tenge nezeni timu yenu mbona tulifungwa na yanga mechi za ligi zote na ngao jumla goli name tumezaminiwa na Gsm acha maneno😅😅😅😅

  • @hamisally9255
    @hamisally9255 29 วันที่ผ่านมา

    Hata tff wamehongwa na gsm

  • @paulmwandambo7799
    @paulmwandambo7799 หลายเดือนก่อน

    Kwanza huyu mwandishi ni kolo na amekomalia sana suala la udhamini

  • @paulmwandambo7799
    @paulmwandambo7799 หลายเดือนก่อน

    Tuliwapiga makolo ndani , mbona Simba tulimpiga tano

  • @adammwandambo4143
    @adammwandambo4143 หลายเดือนก่อน

    Hiv www utampiga baba anaekupa ulaji
    TFF AMKENI HAKUNA MWANACHAMA NA MSHABIKI MKUBWA PIA MDHAMIN ET ARUHUSIWE KUDHAMIN TIM ZAID YA MOJA NDAN YA LIG MOJA,,HAIPO HIYO DUNIAN KOTE

  • @gabrieltomeka6110
    @gabrieltomeka6110 หลายเดือนก่อน

    Kama wanadhani ni rahisi hivyo si wamwambie Dewji naye afadhili timu nyingine..... Fanyeni mazoezi siyo kulalamika tu ovyooo

  • @peterchande957
    @peterchande957 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa anapiga kelele as if yuko sokoni lkn pia hajui kuongea

  • @mimi-vi6qs
    @mimi-vi6qs หลายเดือนก่อน

    We ni kiazi mo nae adhamini vilabu vilivyobaki

  • @charleswestone7931
    @charleswestone7931 หลายเดือนก่อน

    Huyo bwana hajiulizi simba baina ya timu zingine mechi zinakuwa ngumu kwa simba? Ila kwa yanga hizo zingine mechi inakuwa ya kilafiki? Acheni utani tuta enda fifa tuka lalamike

  • @daudkondo4069
    @daudkondo4069 หลายเดือนก่อน

    Tatizo vilabu hawawajibu hawa wehu mpira ni pesa bila wadhamini timu zitajiendeshaje? Tarimba wa Sport pesa na Azam mbona hamuwataji?

  • @mbarakasijaona7638
    @mbarakasijaona7638 หลายเดือนก่อน +3

    Mashabiki wa simba ni vilaza sana mwambie Mudi azamini vilivyobakia na nyinyi muchukue point za bure

    • @simonnjovu586
      @simonnjovu586 หลายเดือนก่อน +1

      Simba mna matatizo ya uelewa. Mnajua tofauti ya Mwenye timu, mdhamini na mfadhili?
      Azam ana timu kwenye ligi kuu na amedhamini timu zote. Mbona mko kimya.
      Mudi alidhamini Simba, Lipuli, Singida United mbona mlikaa kimya.
      Halafu GSM siyo mmiliki wa Yanga.

    • @houmdmajid-ur9dp
      @houmdmajid-ur9dp หลายเดือนก่อน

      Ukwel unakuuma ww fikiria t kwa hiz akili zako ambazo sio kilaza ina uhalali mt 1 kuwa mdhamin wa vilabu 6

    • @houmdmajid-ur9dp
      @houmdmajid-ur9dp หลายเดือนก่อน

      ​@@simonnjovu586 Azam amedhamin haki ya matangazo kuonesha live azam hajamvisha mt nembo yake yy kanunua matakazo aoneshe live kuwen na akili

    • @JohnsonMichael-c2x
      @JohnsonMichael-c2x หลายเดือนก่อน

      Yanga wamezoea ubingwa wa kununua miaka yote

    • @robertzamani5612
      @robertzamani5612 หลายเดือนก่อน

      Azam mbona inadhamini klabu zote na Wana timu ya Azam fc Hilo wanasimba hamlioni mnaona ya gsm tu

  • @user-sn9cd5lv9z
    @user-sn9cd5lv9z 29 วันที่ผ่านมา

    Cheese, cheesecake factory

  • @jumas.sendekwa2788
    @jumas.sendekwa2788 หลายเดือนก่อน

    Udhamini sio ufadhilii... Halafu brother ukipelekwa TAKUKURU utatoa ushahidi?

  • @floravenance4931
    @floravenance4931 18 วันที่ผ่านมา

    KWELI KAKAYANGU UMESEMA AKUNA MPIRA

  • @Ahmedsalum-l5s
    @Ahmedsalum-l5s 29 วันที่ผ่านมา

    Hili suala lipelekwe CAF na FIFA FTT na na bodi ya ligi wameshindwa kuliweka sawa

    • @kazembeally1619
      @kazembeally1619 27 วันที่ผ่านมา

      Kuna tofaut kati mwekezaji na mdhamini.

  • @dr.allyahmada
    @dr.allyahmada 29 วันที่ผ่านมา

    Kwanini na Mo alikuwa anaifadhili African lyon ameiacha nasasa ameamua kuifadhili Simba? We huna point unabwabwaja tu, chezeni mpira

  • @rajabushabani8386
    @rajabushabani8386 29 วันที่ผ่านมา

    Kwa Nini Simba tu mnalalamika kwani moo Hana uwezi wa kudhamini vilabu vingine vilivyobaki

  • @suleimanmwenyemvua995
    @suleimanmwenyemvua995 หลายเดือนก่อน

    GSM aachwe awekeze simba tengenezeni timu imara madunduka wote na hao waandishi wa habari wanaojo udhamini wa timu nyingi akili hawana wote😂😂😂😂😂

  • @protasnyoni3801
    @protasnyoni3801 หลายเดือนก่อน

    Msimu Uliopita Simba Umempa Yanga “Point” Sita (6) nyie mnadhaminiwa na GSM?. Mmeishiwa Hoja, tafuteni Wapi Mnakosea Mkibaki na Malalamiko yasiokuwa na Msingi Mtaendelea Kufungwa kila Msimu.

  • @zahiruhamisi4162
    @zahiruhamisi4162 หลายเดือนก่อน

    Wajumbe wa Tifua tifua ote wala rushwa tu mamae zao😏

  • @dochikibaraza2944
    @dochikibaraza2944 หลายเดือนก่อน

    Makolo wamezowea kuhonga. Si mnakumbuka Enzi zile za kina BENARD MADALE, sasa timu zina pata PESA za kutosha hawataki HONGO.
    KAMA MAKOLO WANAOGOPA WAJITOWE !!!!.

  • @rubanimponzi8259
    @rubanimponzi8259 หลายเดือนก่อน

    Hivi mashabiki wa simba najitambua kweli!!
    Yaani simba amefungwa na yanga mfululizo unamaana nao wamefadhiliwa na GSM?
    Simba mjitahidi kuboresha timu yenu ili mpate mafanikio.

  • @hafidhnzota2142
    @hafidhnzota2142 หลายเดือนก่อน

    Tuwashawishi VIONGOZI Wetu na jopo la wanasheria Wetu,iusishwe TAKUKURU WATUPE UTAALAMU WA VIASHIRIA VYA RUSHWAA ILI TUPELEKE CAF NA FIFA WENYE MPIRA WAO.

  • @barakamusapolekidoti957
    @barakamusapolekidoti957 หลายเดือนก่อน

    Kaka umeongea ukweli mtupu

  • @AlonimwelemiJumla
    @AlonimwelemiJumla 29 วันที่ผ่านมา

    Akuna sheria yakimpila duniani inayo kubaliana na tff eti gsm iko sawa duniani ni Tanzania tu mwambieni wambula kama anajua sheria zampila tuojiane

  • @JacobWaryoba
    @JacobWaryoba หลายเดือนก่อน

    Anayedidimiza ligiii ya Tanzania ni karia na bodi. Take. Uwezi. Kuwa na. Kanuni ya udhamini huoo. Ni rushwaaa

  • @comsmkemwa2671
    @comsmkemwa2671 หลายเดือนก่อน

    Hakuna jambo linafanyika bila sheria na kanuni, unataka bila sheria wala kanuni mtu achukuliwe sheria?

  • @dr.allyahmada
    @dr.allyahmada 29 วันที่ผ่านมา

    Acheni janja janja chezeni mpira

  • @maruhe1958
    @maruhe1958 หลายเดือนก่อน

    Hivi kama simba wanaona gsm kudhamini timu sita ,pengine ndo maana yanga anazifunga timu hizo, je simba isiyodhaminiwa na yanga na ni timu kubwa mbona imegeuka kuwa ngoma. Kila mara simba imekuwa inakula kipigo.
    Ndg zangu uwezo..

  • @rajabumalonda2625
    @rajabumalonda2625 หลายเดือนก่อน

    Halafu ukiendelea kumjadili GSM ndugu yangu utakufa na kihoro kumbe hapo ndo mnapofeli mnaacha kujadili simba yenu mda wote agenda in GSM

  • @adammwandambo4143
    @adammwandambo4143 หลายเดือนก่อน

    Tuache ubabaishaji kama vip Simba wajitoe watafte ligi nyingine wahamie huko ili tumua he GSM na vilabu vyake aendelee kuvidhamin

  • @idrissaidrissa3876
    @idrissaidrissa3876 หลายเดือนก่อน

    Si timu nyingine zipo amwambie mo asanili uyu ana jipya

  • @kazumarihokororo9153
    @kazumarihokororo9153 28 วันที่ผ่านมา

    Huyyuuuu chzzzz

  • @SharifuBakari-tr7hd
    @SharifuBakari-tr7hd หลายเดือนก่อน

    Nyie wapuuzi xna msimu ulopita mumeichangia Yanga pointi 6 hv munaweza kutueleza inamaanisha nn?😂😂😂