Makonda Awasweka Ndani Waliouza Nyumba ya Mjane Kimagumashi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 82

  • @alicegeorge1796
    @alicegeorge1796 6 ปีที่แล้ว

    Mungu akuweke miaka 100 we baba kazi yako sio bure iko siku utalipwa kwa Mungu usipozimia moyo ...kwani Mungu huwa anambariki na mumlinda MTU anaepigania haki za wengine hata Bible inasema ukishugulikia ya wenzio na Mungu anashugulikia yako...Nakuombea kwa Mungu akuinue Mara dufu na kila ulifanyalo usiwe mkia ukawe kichwa pia Mungu akawapige upofu wale wote wanaokufikiria mabaya big up Baba...we love huu😘

  • @sallykanze
    @sallykanze 7 ปีที่แล้ว

    Pongezi sana mh.makonda kwa kazi yako nzuri u were born to serve the nation,God will help u

  • @mzeewamadodoso1816
    @mzeewamadodoso1816 6 ปีที่แล้ว

    mnyonge mnyongeni haki yake mpeni...Mungu akubariki Makonda you are the super Leader

  • @abdulmillanzi7355
    @abdulmillanzi7355 7 ปีที่แล้ว +7

    Upo vizuri Mkuu Wangu wa Mkoa

  • @sheshetv2549
    @sheshetv2549 6 ปีที่แล้ว

    Ishaallah mungu atakulipa ..Fanya kaxi mkuu sisi wananchi tuko pamoja na wewe..Hongera sana Makonda

  • @yasinshaban4933
    @yasinshaban4933 7 ปีที่แล้ว +9

    Big up, najiuliza sana juu ya uwezo wako mkubwa sana wa uelewa wako my RC makonda "Piga kaz mdogo wangu"

  • @reenycolor2085
    @reenycolor2085 7 ปีที่แล้ว

    Asante Mh Makonda Mungu akubariki kwa kazi ya mikono yako🙏🏿

  • @akimmbwego797
    @akimmbwego797 7 ปีที่แล้ว +10

    NAZANI SIKU MOJA UTAPATA UWAZIRI........ME NAKUOMBEA SANA UWE MRISI WA LUKUVI INSHAALLAH

  • @raphaelnjangaje1739
    @raphaelnjangaje1739 7 ปีที่แล้ว +4

    hao wenye vieti safi ndiyo walio tufikisha hapa. nakukubali sana kiongozi wangu

  • @dharesfadhil2236
    @dharesfadhil2236 7 ปีที่แล้ว

    Am from kenya but nimependa kazi yako.mungu akulinde

  • @janethmkoba2689
    @janethmkoba2689 6 ปีที่แล้ว

    Mungu aendelee kukutunza mh makonda

  • @donaldsamwel683
    @donaldsamwel683 7 ปีที่แล้ว

    Hongera sana uonevu ulizidi inchi hii,ubarikiwe wewe mh.Makonda ni mfano wa kuigwa kwa viongozi vijana.

  • @fatumahengo6849
    @fatumahengo6849 7 ปีที่แล้ว +4

    safi sana muheshimiwa Kwa maamuzi yako mazuri sana

  • @elineymachambua9508
    @elineymachambua9508 6 ปีที่แล้ว

    mungu akulinde

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 7 ปีที่แล้ว +8

    mungu akukinge daima makonda umri wauongozi uzidishiwe kaka wazazi wako walisema ulikua bora toka mtoto mungu aendelee kukufanya bora hadi uzeeni

  • @roseemmanuel4492
    @roseemmanuel4492 7 ปีที่แล้ว

    Mungu Akupe Maisha Marefu Mh Makonda Uzidi Kuwasaidia Watu.

  • @shau78
    @shau78 6 ปีที่แล้ว

    Makonda wewe ni mtumishi wa Mungu.

  • @petermtweve1468
    @petermtweve1468 7 ปีที่แล้ว

    Big up mheshimiwa makonda. Work hard

  • @summanelson5523
    @summanelson5523 7 ปีที่แล้ว

    Safi sana sana. Wamezidi kuonea watu wasiojua sheria.

  • @dadapaul2533
    @dadapaul2533 7 ปีที่แล้ว

    Hongera sana kaka makonda ama kweli unatenda haki mungu azidi kukupigania zaidi maana unatenda mema mnooo nakubali usemi was dady is camping soon nakukubali sana

  • @mussamussamussa8444
    @mussamussamussa8444 7 ปีที่แล้ว +1

    Kwa uongozi uliotukuka mungu akubariki sana kwa kuwakomboa wanyonge ukweli nchi yetu alikufa kabisa mungu azidi kuwatia nguvu uongozi wa awamu ya 5

  • @reonaldmsenga73
    @reonaldmsenga73 6 ปีที่แล้ว

    Safi sana,clouds hawatumii akir sioni msingi wa msimamo wao bali ni roho mbaya tu

  • @rosemwakisu9024
    @rosemwakisu9024 7 ปีที่แล้ว

    Mungu akulinde mweshimiwa tunakukubari sn tu

  • @kastorymarko3179
    @kastorymarko3179 6 ปีที่แล้ว

    Makonda nakupenda sana

  • @christinamonyi4275
    @christinamonyi4275 7 ปีที่แล้ว

    Good rc makonda god bless you.

  • @thomasmhindi1469
    @thomasmhindi1469 7 ปีที่แล้ว +1

    Hongera makonda

  • @marymary2090
    @marymary2090 6 ปีที่แล้ว +3

    Well done Makonda for fighting for poor people. Yes some of them in the bank they work with gangsters that is for sure.

  • @abubakarimwasumilwe7293
    @abubakarimwasumilwe7293 7 ปีที่แล้ว

    Nakupenda sana mkuu. pigs kazi

  • @jacquilinemahumbi5950
    @jacquilinemahumbi5950 6 ปีที่แล้ว

    Anza n Mungu maliza name M
    ungu Paul bashite

  • @neemajavan4125
    @neemajavan4125 7 ปีที่แล้ว +4

    Mungu akubariki

  • @jumannehassan6214
    @jumannehassan6214 7 ปีที่แล้ว +1

    safi sana makonda

  • @jumannehassan6214
    @jumannehassan6214 7 ปีที่แล้ว

    big up makonda rais wa dar eslaama

  • @thomasmhindi1469
    @thomasmhindi1469 7 ปีที่แล้ว +1

    agzo nililolickia kuhusu kuingilia mahakama mheshiwa halikugusi kweli ,,,kw mfano umesema n pamoja na kutengua agzo LA mahakama,,, nnakupenda makonda heb liangalie na hlo liskupe dosari mheshimiwa theGreat RC

  • @hidayamussa4273
    @hidayamussa4273 7 ปีที่แล้ว

    Safi sana

  • @leilainnocent6532
    @leilainnocent6532 7 ปีที่แล้ว

    Nakupenda sana Makonda ♥️ Tunamshukuru Mungu kwa kutupa kiongozi makini.

    • @tumainmatokeo586
      @tumainmatokeo586 7 ปีที่แล้ว

      makonda unapaswa kuhamishiwa makao makuu dodoma.tunaibiwa mpaka hakuna mfano.Namuomba jpm asikuache dar akulete dom.

    • @tumainmatokeo586
      @tumainmatokeo586 7 ปีที่แล้ว

      makonda unapaswa kuhamishiwa makao makuu dodoma.tunaibiwa mpaka hakuna mfano.Namuomba jpm asikuache dar akulete dom.

    • @kesiaomari2173
      @kesiaomari2173 7 ปีที่แล้ว

      Mkuu wa mkowa Paul usizani una sahidia wa Tanzania tu la hasha bali unafundisha watu wengi uzalendo na namna ya ku chapa kazi kwa bidii.
      Mimi nina jifunza kila siku kutoka kwako na Viongozi wengine wazuri including mzee wa kazi Magufili na waziri Mkuu.
      Asante

    • @devothayun1586
      @devothayun1586 7 ปีที่แล้ว +1

      Mungu akubariki,, Mungu akulinde,, akupe maisha marefu, hata kama hutolipwa dunian basi mbinguni utalipwa Insha Allah

  • @ziadaalute6836
    @ziadaalute6836 7 ปีที่แล้ว

    Dar,matapeliwengi sanaa

  • @fatumafashiondesigner1461
    @fatumafashiondesigner1461 7 ปีที่แล้ว

    Safi sana huyu kaka makonde

  • @leonardmrope9528
    @leonardmrope9528 7 ปีที่แล้ว

    Great

  • @jifunzekuhusuwewe7475
    @jifunzekuhusuwewe7475 7 ปีที่แล้ว

    Nakukubali mkuu

  • @joycemashikolo9096
    @joycemashikolo9096 7 ปีที่แล้ว +3

    Waliokuwa wanakuulizia vyeti nahisi alishafariki.MUNGU akubariki sana kwa kusaidia wanyonge.

    • @christinasangu8040
      @christinasangu8040 7 ปีที่แล้ว

      njoo Tuijenge inchi 😀😀walishafariki😀

    • @joycemashikolo9096
      @joycemashikolo9096 7 ปีที่แล้ว

      Christina Sangu ndio walifariki wewe bado unawaona tena.😃😃😃maana ilikuwa sio mihemuko hiyo mwisho wa siku wamebaki kuwa km kina nabii Tito.Nework hazisomi.

    • @christinasangu8040
      @christinasangu8040 7 ปีที่แล้ว

      njoo Tuijenge inchi 😂😂😂😂😂

    • @wilsonkaseha2034
      @wilsonkaseha2034 7 ปีที่แล้ว

      walikuwa wajinga tu, Ila sasa wamekuwa werevu, hakuna haka ya vyeti kwa MTU kwwnye uelewa mkubwa na ubunifu ktk kazi Wa namna hii. this guy, is a gold standard ki utendaji

    • @joycemashikolo9096
      @joycemashikolo9096 7 ปีที่แล้ว

      Wilson Kaseha kabisa bro ni ujinga kweli.

  • @birthaaugustin8331
    @birthaaugustin8331 7 ปีที่แล้ว

    Mungu akuzidishie hekima na busara Rc makonda

    • @salamasaidi7363
      @salamasaidi7363 7 ปีที่แล้ว

      hongera sana Rc makonda unatetea wanyonge hata sisi tumedhulumiwa tutakuja kukuona tunakupenda sana asante

  • @ndikumagengeeric971
    @ndikumagengeeric971 6 ปีที่แล้ว +1

    safi saana! aje hata Burundi kwetu atusafishie

    • @alexkabeho5609
      @alexkabeho5609 6 ปีที่แล้ว

      NDIKUMAGENGE Eric kwenu kazi ipo bro duuh😎😎😎

    • @engibertmzaula9461
      @engibertmzaula9461 6 ปีที่แล้ว

      hongera sana Mheshimiwa Makonda,,mm binafs nakukubali sana 100%100% mheshimiwa

  • @nancymohamedy6411
    @nancymohamedy6411 6 ปีที่แล้ว

    Daah watu noma sana kwenye utapeli mokonda na magufuli oyeeee kwa kuwanyoosha

  • @davidwambura5915
    @davidwambura5915 7 ปีที่แล้ว

    umependeza sana kuvaa jezi ya chadema

  • @maulidimsingwa3263
    @maulidimsingwa3263 7 ปีที่แล้ว

    Kwa anae mchukia huyu mh makonda nafikiri apimwe akili,huyu niwakumuombea mungu apewe uwazili tena wa ardhi,kuna watu wamedhurumu sana maskini,da makonda njoo tanga kuna watu wamedhurumiwa nyumba zao,mashamba,aisee mwenyezi mungu akupe umri mrefu.

  • @iddmsham196
    @iddmsham196 7 ปีที่แล้ว

    safi mkuu

  • @saidsaid9463
    @saidsaid9463 7 ปีที่แล้ว

    Safi sana mungu akupe nguvu zaidi

  • @erickmkosha3126
    @erickmkosha3126 6 ปีที่แล้ว

    sisi watanzania hatuna cha kukulipa mungu atakulipa tunakuombea makonda

    • @saidimwisi5303
      @saidimwisi5303 6 ปีที่แล้ว

      Saidi mwis safi sana makonda gunga kabisa majizi hayo

  • @isumaiyamohamed3808
    @isumaiyamohamed3808 7 ปีที่แล้ว

    Kila la kheri katika utendaji wako wa kazi

  • @kenethmagwila1425
    @kenethmagwila1425 6 ปีที่แล้ว

    Aise Mkuu wamkoa Makonda saloot sana tna sana ww ndie aje hatumtegemei mwingne mtetez wawanyonge

  • @kakafranc8913
    @kakafranc8913 7 ปีที่แล้ว

    Hiv ndiyo inavyotakiwa maana walizowea kututapeli kila kukicha

  • @nurdinchelsea3297
    @nurdinchelsea3297 6 ปีที่แล้ว +1

    Kaka umehamia chadema? Mana hyo suti yako nika kama zile

  • @wcbwanatishakiranikirudiab2349
    @wcbwanatishakiranikirudiab2349 7 ปีที่แล้ว

    Yani mkuu sijuwe tutowe duwa gani mungu mkubwa awe pamoja nawe

  • @mussachuo250
    @mussachuo250 6 ปีที่แล้ว

    Natamani uwe mkuu wetu wa mkoa wa Pwani maana huku kuna madudu.

  • @stephanokanyika6988
    @stephanokanyika6988 7 ปีที่แล้ว

    we ni kichwa makonda wahachee wanao beza utendaji wako piga kazi makonda

  • @hamismabula2307
    @hamismabula2307 7 ปีที่แล้ว

    siku zote wenye upeo Wa kuona mbali walishangazwa na waluokuwa wanakupiga vita eti oooh vyeti!!! vyeti ndo nn bwana watu tunataka tuone kazi inatendwa. angalieni huyu Mh, ameweza kutekeleza na kusimamia mambo meengi sana kuliko RC yeyote je nini basi tunskitaka? Mh, rais anatambua watu Wa kufanya nao kazi

  • @josephinedavid3072
    @josephinedavid3072 7 ปีที่แล้ว

    BABA YANGU NA MUNGU WANGU, TULINDIE HUYU RC WETU

  • @radhiasalum833
    @radhiasalum833 7 ปีที่แล้ว

    watimue kaka

  • @suzanafabian6659
    @suzanafabian6659 7 ปีที่แล้ว

    cwezegi kujikomba mpk nakufa

  • @dachjunior4766
    @dachjunior4766 6 ปีที่แล้ว

    MATAPELI wakubwa nyie mwapaswa kabisa kuchukuliwa hatua ... HEADING mloandika ni TOFAUTI kabisa na CONTENT ... yaani mmeona hiyo ndo namna ya kupata viewers wengi ama ...

  • @nazaletmwampungu1120
    @nazaletmwampungu1120 6 ปีที่แล้ว

    wewe ni kiongozi was watu

  • @othmanshahib1115
    @othmanshahib1115 6 ปีที่แล้ว +1

    huyu jamaa hana chet feck ukimsikiliza ni zaidi ya chet original

    • @jacquilinemahumbi5950
      @jacquilinemahumbi5950 6 ปีที่แล้ว

      Othman Shahib kukosa Cheti so kukosa maarifa Mungu n zaidi na nmuwezeshaji