ความคิดเห็น •

  • @shammoha5297
    @shammoha5297 5 ปีที่แล้ว +4

    Nice speech. Mheshimiwa Yusuf Makamba Mola akubariki😘😍👍

  • @evshukurulupale6959
    @evshukurulupale6959 3 ปีที่แล้ว +4

    Huyu Baba kwa kweli anaongeaga point sana , Mungu akubariki sana

  • @zennokimaro4324
    @zennokimaro4324 3 ปีที่แล้ว +7

    Kiukweli huyu Mzee Makamba Mungu azidi kukutetea, una Hekima kubwa sana mzee wetu

  • @henokoriziki9704
    @henokoriziki9704 3 ปีที่แล้ว +8

    Mzee makamba hongera sana baba Wa hekima big up walisishe wanao waongea pointi mwanzo mwisho

  • @johnkahekwa8962
    @johnkahekwa8962 3 ปีที่แล้ว +6

    Loh! Ndugu zetu was Tz, munaiva kisiasa kweli. Muendeleye nakutaja jina la Mungu katika siasa yenu na bila ubaguzi wa dini. Sijawahi kusikiya Islam anahusiyana vizuri na mkristo. Hongera kubwa na mubarikiwe sana. Mimi toka Bukavu, D. R. Congo

  • @josephnchunga3019
    @josephnchunga3019 5 ปีที่แล้ว +10

    Huyu Mzee amekomaa kisiasa yuko vizuri sana

  • @bensonjumapili6780
    @bensonjumapili6780 7 ปีที่แล้ว +17

    makamba unanivutia kuingia kwenye siasa,nakupenda sana mzeee wangu makamba

  • @bagayajimloja3610
    @bagayajimloja3610 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu amrehem jpm

  • @florianmombo2867
    @florianmombo2867 8 ปีที่แล้ว +5

    asante sana simu tv mnatusaidia sana sisi watanzania tuliopo nnje ya Tanzania.

    • @jabirmawazo9680
      @jabirmawazo9680 6 ปีที่แล้ว +1

      Baba tupo vizuri tunamiliki sim siku hizi na ......... sifa ya muongo mwenye shibe ni kunywea maji. Sawa mzee

    • @jabirmawazo9680
      @jabirmawazo9680 6 ปีที่แล้ว +1

      Mwenye shibe hunywea maji

  • @johnrickmwamselele1036
    @johnrickmwamselele1036 ปีที่แล้ว

    Hapo sawa

  • @victorialubwaza1583
    @victorialubwaza1583 ปีที่แล้ว

    Usiwaguse masihi wa Bwana ukiwagusa umeguaa mboni ya jicho la Mungu

  • @halimajamaniamekuwamndeme9617
    @halimajamaniamekuwamndeme9617 3 ปีที่แล้ว +2

    Mzee noma, I love you, Makamba wangu

  • @erodeshayo8672
    @erodeshayo8672 2 ปีที่แล้ว

    Unaakili sana mzee maneno yako ni zaidi ya chochote nakupenda Sana mzee wang

  • @brendanadrian1976
    @brendanadrian1976 3 ปีที่แล้ว +3

    Leo hii ni mgombea wa CCM kiti cha Ubunge Kawe.

  • @kundaelisengasu4972
    @kundaelisengasu4972 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakukubali mtumishi makamba

  • @ibramollel4196
    @ibramollel4196 3 ปีที่แล้ว

    Nampenda sana huyu mzee basi amezeeka mungu ampe Afya njema

  • @ZeAniamalTV
    @ZeAniamalTV 3 ปีที่แล้ว +2

    🤣🤣🤣🤣 very interested but badala ya wapinzani tukabatizwa wote kwa moto🤣🤣🤣🤣

  • @mkalikwanza2536
    @mkalikwanza2536 3 ปีที่แล้ว +1

    Napenda Sana speech za huyu mzee

  • @greatiq8234
    @greatiq8234 5 ปีที่แล้ว +2

    "Juhudi zetu hapa hatumpigi mtu kamba. Na mwisho tuna malizia kwa salam za Makamba! Baba yetu Makamba.....

  • @rukiamussa9509
    @rukiamussa9509 3 ปีที่แล้ว +5

    Weweeeee wasambaaa mkoapiiiii👏👏👏👏👏👏👏👏👏hebu tujipigie makofi wasambaaaa

  • @elishawema7725
    @elishawema7725 3 ปีที่แล้ว

    Haleluyaaa

  • @joashnyabange8830
    @joashnyabange8830 7 ปีที่แล้ว +9

    safi sana baba

  • @azizawadh5973
    @azizawadh5973 3 ปีที่แล้ว +1

    Mzee Makamba ulitoa neno lakini kuna waliokuchukia hapo walikua wskijichekesha tu sasa unayaona binadamu wabaya sana

  • @fidelisnairowa6121
    @fidelisnairowa6121 2 ปีที่แล้ว

    makamba umetisha

  • @kabogeof9597
    @kabogeof9597 3 ปีที่แล้ว +1

    Maneno yanadumu ba hayabadiliki ila alieyasema anabadilika

  • @kingwatabata4230
    @kingwatabata4230 3 ปีที่แล้ว +1

    Kama umesikia kimemo cha makamba kimekataliwa tuonane😂

  • @halimajamaniamekuwamndeme9617
    @halimajamaniamekuwamndeme9617 3 ปีที่แล้ว

    Maneno mazuri sana, ya Mh makamba,

  • @ezramakina8030
    @ezramakina8030 6 ปีที่แล้ว +3

    Nafurahia sana hotuba zako mh

  • @fatmaali2050
    @fatmaali2050 3 ปีที่แล้ว

    Kwa hiyo na ccm yatoa utume na kazi yake ni ya mungu

  • @greatiq8234
    @greatiq8234 5 ปีที่แล้ว +3

    Siku ukikosea moja tu, jibaba anakumwaga kaa uharo!

  • @johnbernad6806
    @johnbernad6806 3 ปีที่แล้ว +2

    Maneno mazito yenye hekima na busala

  • @timboxlee919
    @timboxlee919 ปีที่แล้ว

    Huyu si mtanzania mzarendo ni bonge la nafiki,Rip JPM

  • @halimajamaniamekuwamndeme9617
    @halimajamaniamekuwamndeme9617 3 ปีที่แล้ว

    Nampenda sana makamba,

  • @abdallahrunwa1886
    @abdallahrunwa1886 3 ปีที่แล้ว +2

    Hapo sasa ndipo unadhibitika usemi anaopenda kusema mheshimiwa rais Magufuri kuwa msema kweli ni mpenzi wa Mungu mzee umeudhihilishia umma wakitanzania kuwa wewe humumnyi mdomo huo ndiyo mzee wewe ndiyo jembe la CCM nakwaminia sana majipu sugu hayahitaji kupasuliwa kwa ngazi ni makavu hivyo hivyo kwani chama chetu bado kina misingi imara wala visitokee vibaraka kujikweza eti wanaipenda CCM hao ni wanafiki wakuwa wepesi wakutanguliza kauli zao mbaya baadae wanasahau kauli zao nimefurahi sana hotuba zako mzee mwenzangu ni zautu uzima hazna unafiki ndani yake inabaki aibu kwa yule kwa kusema kwake hakuweka pazia...!usemi wa wahenga usitukane wakunga uzazi ungalipo...!

    • @generosemwashambwa8285
      @generosemwashambwa8285 3 ปีที่แล้ว +1

      Yaani fasihi yako ipo njema ingawaje hiyo hotuba naona itaelewka kwa kwa kundi dogo sana lkn big up babake

  • @bujiiclassic1964
    @bujiiclassic1964 3 ปีที่แล้ว

    Safi xana Mzee makamba

  • @atugonzalugemalila5142
    @atugonzalugemalila5142 5 ปีที่แล้ว +2

    Asiyatie kichwani mwake maneno yenu maana mlitufikisha pabaya

  • @m.mmarckus6298
    @m.mmarckus6298 5 ปีที่แล้ว +1

    Haaaaaaaaaa Haleluya tena safi sana

  • @shwaibumsuya6731
    @shwaibumsuya6731 3 ปีที่แล้ว

    Safi sana mzee makamba

  • @fraviansweetberty8819
    @fraviansweetberty8819 2 ปีที่แล้ว

    Sasa Kama mlitaka apamban na mafisad Magufur kwann mlimuhuwa Mungu ana wasubili kwa amu

  • @madehasamwel8519
    @madehasamwel8519 3 ปีที่แล้ว

    Watanzania ni wanafiki xana xana,,.ya leo yanafurahixh xna

  • @aginiweyessayakyando9855
    @aginiweyessayakyando9855 5 ปีที่แล้ว +1

    Duuh....!!!! Kweli kwa upinzani huu ni ubatizo wa moto 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @mohamedkigwehe3561
    @mohamedkigwehe3561 3 ปีที่แล้ว

    Luwasa sijui kama anasikilizaga hii kumbe nifisadi/ngwajima naye nimuongo duh? Chama hicho kinasema leo hii wapo tena ccm.

  • @frankkaiza3658
    @frankkaiza3658 3 ปีที่แล้ว +3

    Mzee lowasa kaunga juhudi yuko nyumbn amerudi ufisadi kauacha wapi.....!???

  • @gracewiliam8872
    @gracewiliam8872 3 ปีที่แล้ว

    Ok mkuu nakuelewa

  • @palmalazulazul4939
    @palmalazulazul4939 3 ปีที่แล้ว

    huyu mzee daah nimechelewa kumjua na kumfuatilia ila nimegundua ana hekma sana

  • @lucaschisamalo2852
    @lucaschisamalo2852 2 ปีที่แล้ว

    Alimnadi mwisho wapicha alipigwa chini hiyo ndo ccm

  • @hidayaswai3119
    @hidayaswai3119 3 ปีที่แล้ว

    Duuuh mzee makamba. Umenikosha mnoooo. Namuombea Mungu hekima zako na zaidi

  • @arlecoboazsote5056
    @arlecoboazsote5056 3 ปีที่แล้ว

    Kweli kifo hakina huruma.

  • @dominickmihayo5764
    @dominickmihayo5764 3 ปีที่แล้ว +2

    Nimekumic sana mzee wangu

  • @beckasalum2620
    @beckasalum2620 2 ปีที่แล้ว

    Ndio maana mm nasemaga gwajima mnafki Sana Ila tripu hii kanyoshwa na mama

  • @felixkamkala3303
    @felixkamkala3303 5 ปีที่แล้ว +1

    Ubatizo wa Wa moto sasa wanaupata mzee baba nishida Mjini!!

  • @vanessagoodluck7176
    @vanessagoodluck7176 6 ปีที่แล้ว +2

    Ubatizo wa moto sasa unatupata wote manaa jua linawaka mpaka vyumbani

  • @trophainamagogwa9590
    @trophainamagogwa9590 5 ปีที่แล้ว +3

    Makamba aise angekuwa bado Kijana angegombea Uraisi na Angeshinda

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga2848 2 ปีที่แล้ว

    Vita vya Gwajima na kikwete muda mrefu.pia Gwajima alianza kumtetea Magufuli muda mrefu.na Magufuli alijua sifa hizi zina sababu.iliJanuary Makamba awe waziri mkuu.

  • @frankkaiza3658
    @frankkaiza3658 3 ปีที่แล้ว

    Anayo kazi mchumia tumbo gwajima kondoo awawezi iyo mchumia tumbo tutajua mengi mzee makamba ubalikiwe cn na mungu!!!!!

  • @tinamzava834
    @tinamzava834 3 ปีที่แล้ว

    Yan mnahangaika kipind hii du polen

  • @oswardukulule1638
    @oswardukulule1638 3 ปีที่แล้ว

    Mzee makamba tunakushukuru kwa ushauri wako lakini pia tutakumiss sana

  • @hassansaid5166
    @hassansaid5166 3 ปีที่แล้ว

    Mzee upo sahihi

  • @danielmwaipyana4501
    @danielmwaipyana4501 3 ปีที่แล้ว

    Huyu mzee anaunabii ndani yake sema hajijui tuu

  • @hekimafungo5303
    @hekimafungo5303 3 ปีที่แล้ว

    Leo gwajima anaonekana ni mzuri

  • @hellenmgonja5165
    @hellenmgonja5165 3 ปีที่แล้ว

    Sema ucogope sema

  • @kassimmohammed4949
    @kassimmohammed4949 5 ปีที่แล้ว +1

    Majanga tuuu yumo akufuru

  • @fransicsamson106
    @fransicsamson106 6 ปีที่แล้ว +5

    Wagombea mbona walikuwa wengi?Sasa Leo lnageuka alijitokeza mmoja eti nitume Mimi umegeuza maandiko mzee.swali hilo ktk Bblia liliulizwa hawakujitokeza zaid ya mmoja.kama ndvo kwa CCM walijitokeza weeengi kupitia mchakato na akabak mmoja
    Nitofaut na jins umekalili kwenye Bbilia Umeonopa

    • @yasinkihupi9583
      @yasinkihupi9583 3 ปีที่แล้ว +1

      Hukumuelewa. Mheshimiwa alikataa kuwa mwenyekiti wa ccm. Walitumia hekima kumuomba. Sababu tamaduni ya ccm ni kuwa raisi ndio anabeba dhamana ya uenyekiti wa chama. Ila yeye alishinda uraisi ila walipotaka wamkabidhi uenyekiti wa chama alikataa. Sababu ukiwa raisi na mwenyekiti wa chama unajifunga kuna baadhi ya mambo huwez fanya kwa ajili ya kurinda heshima na hadhi ya chama katika jamii

  • @user-dw1um8rc2w
    @user-dw1um8rc2w 10 หลายเดือนก่อน

    Kilasiku wewe kwenyeutubayako umesoma kwa waluteti tumechoka

  • @yahayaolomi1057
    @yahayaolomi1057 3 ปีที่แล้ว

    Mzee makamba bhana

  • @habibumdetele6530
    @habibumdetele6530 3 ปีที่แล้ว +2

    Hapa ndipo tunajifunza uwezo wa kufikiri ulivyofifishwa na elimu yetu.Leo ccm na gwajima tena kampeni manager makamba hahaha...

  • @maxcharles5436
    @maxcharles5436 3 ปีที่แล้ว

    ccm ya unafiki mbona gwajima yupo. bungen

  • @ezkielyohana4964
    @ezkielyohana4964 5 ปีที่แล้ว

    😂😂makamba hatare Sana.

  • @nicotitus2987
    @nicotitus2987 3 ปีที่แล้ว

    Mzee makamba ishi miaka miambili katika jina layesu aameni

  • @pascalmerkior4119
    @pascalmerkior4119 5 ปีที่แล้ว +4

    Sasaivi upo kitaa unalia na ccm imekutupa

  • @julianajohn5256
    @julianajohn5256 2 ปีที่แล้ว

    Kana ongea haka kafupi

  • @tereseamasawe8111
    @tereseamasawe8111 3 ปีที่แล้ว

    MAKAMBA HII KAULI ILIKUWA NI YA KIFISADI TU. ULIKUWA UNAJIPENDEKEZA KWA RAIS ILI UPATE KULA VYA BURE. LAKINI MAGU ALLIGUNDUA HILO .MSIMAMO WA MAGU UKAWA NI KUTUMBUA TU MPAKA WEWE MAKAMBA UKAAMUA KUSUSA NA KIKAO DODOMA MWAKA HUU 2020.

  • @eliyawilliammagesamarwa8413
    @eliyawilliammagesamarwa8413 5 ปีที่แล้ว

    Safi

  • @trophainamagogwa9590
    @trophainamagogwa9590 5 ปีที่แล้ว +2

    Gwajima nje nje na Makamba

  • @mercyshepherds7206
    @mercyshepherds7206 2 ปีที่แล้ว

    Mafarisayo

  • @mtanzaniamzalendo7001
    @mtanzaniamzalendo7001 5 ปีที่แล้ว +1

    Mzee Makamba na misemo ya vitabu vya Imani.

  • @rahmazahor4333
    @rahmazahor4333 3 ปีที่แล้ว

    Nina huko Leo gwajuma huko mbungeni CCM...

  • @reginaldtemu6305
    @reginaldtemu6305 3 ปีที่แล้ว

    Huyu anayesemwa ni gwajima yupi?

  • @marthamungure1777
    @marthamungure1777 3 ปีที่แล้ว

    Alikosea kumgeuka Lowasa

  • @hidayaswai3119
    @hidayaswai3119 3 ปีที่แล้ว

    Duuuh mzee ulikua jembe

  • @jimushijoseph2408
    @jimushijoseph2408 5 ปีที่แล้ว +2

    Usimguse masihi wa. Bwana.Usimtukane mkuu wa watu.

  • @frankmwanga1135
    @frankmwanga1135 ปีที่แล้ว

    1à111

  • @elizabethludovick9075
    @elizabethludovick9075 3 ปีที่แล้ว

    Tuna.Wazee.wenye.busara.sina.shaka

  • @amonamiri4487
    @amonamiri4487 3 ปีที่แล้ว

    Mnafiki tu huyu

  • @trophainamagogwa9590
    @trophainamagogwa9590 5 ปีที่แล้ว +1

    Makamba Kwa kweli unafaa saana kwani unasema ukweli

  • @robertjunior9916
    @robertjunior9916 3 ปีที่แล้ว

    Makamba kapigwa kamba kimya 😂😂😂😂😂

  • @flavianwilliam7937
    @flavianwilliam7937 8 ปีที่แล้ว +3

    wapinzani ubatizo wa moto

  • @joelmisholi4958
    @joelmisholi4958 3 ปีที่แล้ว

    Dr Magufuli una majembe Baba MUNGU Akusaidie TUPO Baba!

  • @KUTOKA-ep2fk
    @KUTOKA-ep2fk 3 ปีที่แล้ว

    Mzee ni mhubiri ni kiplan

  • @onesmokamili2968
    @onesmokamili2968 3 ปีที่แล้ว

    Gwajima mgombea ubunge kawe

  • @macktoshnyabicha2779
    @macktoshnyabicha2779 3 ปีที่แล้ว +1

    Aliona mbali. Jpm amebatiisa kwa moto. Mimi no mkenya nampenda sana.

    • @kulwasalum3597
      @kulwasalum3597 3 ปีที่แล้ว

      Nafasi za uongozi za ukuu wa wilaya , ukijipendekeza kwa Rais unapata. !!!
      Duuuuh .... !!!!!

  • @m.mmarckus6298
    @m.mmarckus6298 5 ปีที่แล้ว

    Mmmmmm upande mwingine madongo yamewafikia wenyewe wahusika

  • @aminamakacha6258
    @aminamakacha6258 4 ปีที่แล้ว +2

    Sikwa madongo ayo nimekupenda bure. Makamba

  • @salumjonas7636
    @salumjonas7636 3 ปีที่แล้ว

    Nimeipenda umri mzigo tutakukumbuka wakati wote mzee Makamba

  • @priscambwambo1030
    @priscambwambo1030 3 ปีที่แล้ว

    Babu kulikoni??

  • @lucasjacob9733
    @lucasjacob9733 3 ปีที่แล้ว +1

    Sasa hivi. Mzee kwisha ulimfagilia mwisho wake Sasa hivi kimya jamaa hashauriki

  • @cypmkutubi3109
    @cypmkutubi3109 5 ปีที่แล้ว +3

    Kumbe Gwajima alianza uwongo kitambo sana.

  • @maalimtowba5784
    @maalimtowba5784 5 ปีที่แล้ว +1

    Yaako waapi leo maneno mzr ya wazee wetu?

  • @mwanashazingas3977
    @mwanashazingas3977 5 ปีที่แล้ว +1

    Gwajima mnafiki tu wakawaida

  • @mawazoaliselemani
    @mawazoaliselemani 3 ปีที่แล้ว

    "atawabatiza kwa moto"lakini leo mmemruka wakati mlimtuma awabatize wapinzani kwa moto.
    hilo ndio jambo nililolichukia kuhusu ccm.