JINSI YAKUA MTUNZI BORA WA NYIMBO “EPISODE 1” (HOW TO COMPOSE SONGS)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 77

  • @onlinefixtool
    @onlinefixtool 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarkiwe Sana Brow, Kazi yako ni njema Sana. Alafu Una Mungu, Umejaa NENO aise. Mungu akutunze sana

  • @ambindwilehosea6837
    @ambindwilehosea6837 5 หลายเดือนก่อน +3

    Unajua sana kaka Mungu akutunze sana naam akuzidishie marifa zaidi coz mimi mejifunza mengi sana kutoka kwako bado kidogo tu nitabeba mawasiliano yako ili ukunywe maji barikiwa sana kaka

  • @PetroMaduhutz
    @PetroMaduhutz 2 หลายเดือนก่อน

    Elekezi njema mtumishi MUNGU akubariki sana

  • @collinswandera7470
    @collinswandera7470 5 หลายเดือนก่อน

    Good one i am blessed brother

  • @gepa_gerrypartrick9770
    @gepa_gerrypartrick9770 5 หลายเดือนก่อน

    Napenda sana hivo

  • @joshuamatinde7494
    @joshuamatinde7494 5 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤ mungu akuinue

  • @isayasamson8761
    @isayasamson8761 5 หลายเดือนก่อน +1

    Big up sana brother kenan

  • @simonimeshaki
    @simonimeshaki 3 หลายเดือนก่อน

    Bro mungu akubarik san na akutunz kiukwel nimependa san tena san na nataman kuwa mwanafunz wako ili nijifunz vitu kutok kwako man uimbaji nikit ambach nakipenda maishan mwangu❤❤

  • @Judithwebson
    @Judithwebson 2 หลายเดือนก่อน

    MUNGU akutunze ubarikiwe kwa kazi ya MUNGU

  • @PascalDaudi-r1v
    @PascalDaudi-r1v 5 หลายเดือนก่อน

    Safi sana brother

  • @peterachuka8565
    @peterachuka8565 5 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi nzuri ndugu

  • @IsayaGodfrey1
    @IsayaGodfrey1 5 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa sana kaka

  • @mountluck
    @mountluck 2 หลายเดือนก่อน

    thanks , helped me alot

  • @BenjaminGwambaye
    @BenjaminGwambaye 5 หลายเดือนก่อน +1

    Sawa teacher

  • @davidbyamasu7885
    @davidbyamasu7885 5 หลายเดือนก่อน +1

    Very nice kiongozi wangu

  • @edgarlwesha4577
    @edgarlwesha4577 5 หลายเดือนก่อน +2

    Nakubal by EDGAR LWESHA au mr eddo tulifanya wimbo unaoitwa sina wasiwasi arusha

    • @eaglesrecacademy3424
      @eaglesrecacademy3424  5 หลายเดือนก่อน

      @@edgarlwesha4577 Nimekumbuka kaka karibu sana

  • @nickdr_tv
    @nickdr_tv 5 หลายเดือนก่อน +1

    ALOOO NOMA SANA...

  • @agaboobedy
    @agaboobedy 5 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa sana kaz nzur naiman itatujenga❤

  • @Elishamagene
    @Elishamagene 5 หลายเดือนก่อน

    Asante saanaaa

  • @eliabuelisantemziray5908
    @eliabuelisantemziray5908 5 หลายเดือนก่อน +1

    Amen kaka

  • @piusmsoma3326
    @piusmsoma3326 5 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa sana mtumishi

  • @ministerkaysam2348
    @ministerkaysam2348 5 หลายเดือนก่อน +1

    wow kwa kweli nimejifunza kitu kipya ....

  • @Sam_JB
    @Sam_JB 5 หลายเดือนก่อน +1

    Naaam🎉 mwalimu

  • @shadrackkisavi7464
    @shadrackkisavi7464 5 หลายเดือนก่อน +1

    This is great, bro.

  • @minvincentmusicacademy3590
    @minvincentmusicacademy3590 5 หลายเดือนก่อน +1

    I love this sir

  • @Ypjimoku
    @Ypjimoku 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nakubali kaka

  • @sulupeacecharles1397
    @sulupeacecharles1397 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe kk

  • @elibarickShabani
    @elibarickShabani 5 หลายเดือนก่อน

    Naomba no za kaka

  • @joshuajustustz
    @joshuajustustz 5 หลายเดือนก่อน +1

    Asante kaka🎉🎉🎉❤

  • @alexmkonyi1433
    @alexmkonyi1433 5 หลายเดือนก่อน +1

    💯

  • @daudkweka240
    @daudkweka240 5 หลายเดือนก่อน +1

    God Bless You family 🙏

  • @SusanIngaitsa
    @SusanIngaitsa 5 หลายเดือนก่อน +1

    🙏🙏🙏🙏

  • @KasbertNyangasi
    @KasbertNyangasi 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu azidi kuinua huduma yako brother kupitia wwe kuna mengi sana tunajifunza.. MUNGU atimize maono yako piaa

  • @mwljastinmwampote8559
    @mwljastinmwampote8559 5 หลายเดือนก่อน +1

    Niko hapa ninakutana na haya madini Mungu AZIDI kukufanya viwango vya juu 🔥🔥🔥🔥

    • @eaglesrecacademy3424
      @eaglesrecacademy3424  5 หลายเดือนก่อน

      @@mwljastinmwampote8559 Amina asantee

    • @gwakisamwakilema
      @gwakisamwakilema 5 หลายเดือนก่อน +2

      ​@@eaglesrecacademy3424blessings Sir...

    • @gwakisamwakilema
      @gwakisamwakilema 5 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@eaglesrecacademy3424Exactly...

    • @eaglesrecacademy3424
      @eaglesrecacademy3424  5 หลายเดือนก่อน

      @@gwakisamwakilema Amen

  • @DanyHadreck
    @DanyHadreck 5 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana ila naomba nawewe Anza kufanya nyimbo zako mbona we una hatari sana bro

  • @rweyerukabuka5808
    @rweyerukabuka5808 5 หลายเดือนก่อน +1

    Teacher nakukubali mno

  • @mtotonaomi
    @mtotonaomi 5 หลายเดือนก่อน

  • @Jacklinefrank1
    @Jacklinefrank1 5 หลายเดือนก่อน +1

    🙏

    • @eaglesrecacademy3424
      @eaglesrecacademy3424  5 หลายเดือนก่อน

      @@Jacklinefrank1 nikefurahi kuona Coment yako ubarikiwe sana

  • @EDSONDAUSON
    @EDSONDAUSON หลายเดือนก่อน

    Kwa wale ambao wako mbali sana darasa tunaipata je uduma yako

  • @elkanakilumbe
    @elkanakilumbe 5 หลายเดือนก่อน +1

    100

  • @israeljohnmwasha6458
    @israeljohnmwasha6458 3 หลายเดือนก่อน

    How can I find you brother 🔥

  • @sandacksai250
    @sandacksai250 5 หลายเดือนก่อน +1

    Habari, ni kwel hata mimi melody na nyimbo , huwa zinakuja sana , ila nikianza kuziandika naishia nijani na na kwa sasa nimeaza kuzirekodi kwa simu ,

  • @johnsakawa3393
    @johnsakawa3393 5 หลายเดือนก่อน

    Teacher nahitaji kujifunza piano? Nakupataje

  • @salomedaniel4659
    @salomedaniel4659 5 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana....Mara nyingi mimi huwa napata melodi kwa kuota...nyingine huwa nasahau na nyingine huwa nakumbuka...ila sasa kuna ambazo nashindwa kabisa kuweka mashairi jamani.. nifanyeje?

  • @Dr.SamuelElijah
    @Dr.SamuelElijah 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ninatamani tuwasiliane tafadhali

  • @maombikonga
    @maombikonga 5 หลายเดือนก่อน +1

    AMINA KUKAA VIZURI NA MUNGU

  • @lucaslyimo2118
    @lucaslyimo2118 2 หลายเดือนก่อน

    Shalom kaka,
    Rebecca ni mtoto wako?

  • @josepndayay
    @josepndayay 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi nzuri mwalimu