Story nzur sana yenye kufundisha mengi
Big up great powerful message hallelujah from Kenya watching
Hyo ni kweli mtumishi amtegemeaye mwanadamu alaaniwe
Amina nimejifunza kitu.....ubarikiwe
Ameeeeen bishop blessing you
Bishop. Ubarikiwe Sana sana.
Amen mtumishi
Nakukubr sanaa
Balikiwa mcungaji
Dahhhh nimejifunza kitu aisee dahhh
Amina amina
Real pastor
Hamna lolotee , mimi nitapenda Sana uwafundishe vijana. Lakini usimtumie Yesu(Mungu) kama mwamvuli.
Amen
Acha hadithi za kizee
🙏
Zaburi 34:
7 Malaika wa Bwana hufanya kituo, Akiwazungukia wamchao na kuwaokoa.
*MALAIKA WA BWANA MUNGU ANAKULINDA NA HATARI ZOTE SASA NA SIKU ZOTE!!!*
Alipata wapi hewa? Stori ya uongo...
Hii Nchi kila kukicha wachungaji na makanisa yanongezeka siri hasa ya haya yoye ni nini?
Amen
Wambie washilika wapunguze kusuka sana mtumish wa mungu masanja lakin nimejifunz kitu baba