DADA WA KAZI AGEUKA MKE EP YA 38..NASEMAJE ZA MWIZI AROBAINI ZIMEFIKA......

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 423

  • @VeronicahOtwori
    @VeronicahOtwori 13 วันที่ผ่านมา +6

    Woooooo mpoji leo umanifurahisha kwa kweli😢😢😢😢akili yako n ndefu sana waja mungu azidi kukuonekania 🎉🎉jukua hyo mtoto ukae naye siku mama shadya atakuja kuleta ujinga weka yy ndani kwa jela ashike adabu😢hila baraka pia yy ajui kinacho endelea musimutoe makosa jameni 😢😢waja mungu akutie nguvu kwa mmbo unayo pitia nawapenda sana tugonge like n kusema amen tukisonga🙏🙏🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🔥🔥🔥🔥🔥

  • @WilliamLeonard-i6i
    @WilliamLeonard-i6i 13 วันที่ผ่านมา +31

    Dhu nami leo nime wait aisee kama nawe una angalia saivi gonga like hapo.🎉🎉🎉

    • @KhadijaKhadija-cz1yh
      @KhadijaKhadija-cz1yh 13 วันที่ผ่านมา +1

      Mumuponji.kazinzuli.acana.namag.nabalaka

    • @MwanaishaBaruti-k6o
      @MwanaishaBaruti-k6o 12 วันที่ผ่านมา

      😊😊😊😊😊😊😊😊😊​@@KhadijaKhadija-cz1yh

  • @JanetRiziki-ut2is
    @JanetRiziki-ut2is 11 วันที่ผ่านมา +3

    Jaman mponji una akili sana kaka hongera kwa kazi nzuri ❤❤❤❤❤

  • @mamitomamita6284
    @mamitomamita6284 13 วันที่ผ่านมา +1

    Very gud mponji

  • @rahmasuleiman9334
    @rahmasuleiman9334 13 วันที่ผ่านมา +9

    Hadi rahaa hongera saana Mponji akili kuuubwa 🎉🎉🎉🎉

  • @KKK-v6j
    @KKK-v6j 13 วันที่ผ่านมา +4

    Hongera mponji 🎉🎉🎉🎉🎉 njia ya muongo ni mfupi 😅😅😅😅😅😅

  • @omanbid7794
    @omanbid7794 12 วันที่ผ่านมา +3

    Mponji unahakili sana hongera sana kazi yako nizuri sana❤❤❤❤❤

  • @nibarutaesperance3510
    @nibarutaesperance3510 13 วันที่ผ่านมา +10

    muponji kazi nzuri nimependa msimamo wako 🇱🇷👍

    • @MarikiaMbombwe
      @MarikiaMbombwe 13 วันที่ผ่านมา

      Sana tu laiki zk izo

  • @AminaAfrican
    @AminaAfrican 11 วันที่ผ่านมา +1

    Akili ya kupewa chagaya na yako saf sana mponji chukua maua yako 🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @Alicebahati-h6f
    @Alicebahati-h6f 12 วันที่ผ่านมา +2

    Mponji hongera sana magi yani umesahau kabisa kama mama shadia hakutakii mazuri mpka unataka mkukasirisha mponji usiwe hivo magi utapoteza ladha ya ndoa alafu nawapenda nyote kinomaa 🎉🎉❤❤❤😊😊😊

  • @HidayaAbdallah-l2l
    @HidayaAbdallah-l2l 13 วันที่ผ่านมา +17

    Yan baraka wew sio mtu mzuri kwa rafiki Yako

  • @CarolyneMalala-o6x
    @CarolyneMalala-o6x 13 วันที่ผ่านมา +13

    Mponji upewe maua yako baba na uendelee vivyo hivo🎉🎉🎉🎉🎉. Mama Shadya kumbuka hakuna kitu ulipanga ukafanikiwa tafuta kazi ufanye lazima utoke jasho ndio upate pesa hakuna vya bure😂😂😂😂😂😂

    • @buru1235
      @buru1235 12 วันที่ผ่านมา +1

      100%dear wallai n heri ageomba tu mponji pesa 😃😃😃 Alf najua nikuigiza kusema tu ukweli huyu Hajira alienda Shule kweli wallai 😃😃🤦

    • @CarolyneMalala-o6x
      @CarolyneMalala-o6x 12 วันที่ผ่านมา +1

      @@buru1235 Alijua tu akiomba hatapewa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🎂

  • @TatuMkeso
    @TatuMkeso 13 วันที่ผ่านมา +2

    Mponji hongera sana

  • @MariaBwarwa
    @MariaBwarwa 13 วันที่ผ่านมา +4

    Hahahaaaa hajra Hana hakiri kudanold tyu yaaani hanatumia hakili za watu, wew mage hacha ujinga wewe funga ndoa, mauwa kaka mponji❤❤💚💚💚💚

  • @MercymauaKarisa
    @MercymauaKarisa 13 วันที่ผ่านมา +12

    Huyu baraka saivi anasinya eti ndoa iharishwe, na vyenye nasubiri ubwabwa😂,na keki,
    Wangapi wanamkubali Mponji kwa kumfuatilia mama Shadya, wekeni like zenu tukingoja ubbwabwa😂😂😂😂

    • @GladysKarembo
      @GladysKarembo 13 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂naungoja sana huo ubwabwa kwa kweli 😂

  • @imanissa5531
    @imanissa5531 13 วันที่ผ่านมา +9

    Nimependa hiyo mponji hongera sana ama kweli siku za mwizi ni arubaini🤣🤣🤣🤣

  • @WilliamLeonard-i6i
    @WilliamLeonard-i6i 12 วันที่ผ่านมา +4

    Baraka ana zingua ndoa Kwanza mengine yafuate kama unasapoti ndoa kwanza nipe sapoti kwa like hapo make mtoto kwanza hajatekwa.❤❤❤❤ mama shady pran ime shindikana.

  • @ashamwanganzi6400
    @ashamwanganzi6400 12 วันที่ผ่านมา +2

    😂😂😂😂nimeipenda hio mponji congratulations san❤❤❤❤❤

  • @HdhHsh-y2e
    @HdhHsh-y2e 13 วันที่ผ่านมา +6

    ❤😂🎉muponji hongera sana broo Yani unaakili kweli umenifuraharisha sana ila baraka nimunafiki sanaa sasa ushajuwa ukweli harusi tunayooo🎉🎉❤❤😂😂

    • @challemartin
      @challemartin 13 วันที่ผ่านมา

      Mpaka nione ndo nitaamin lasivyo ndoa

  • @helinasubila987
    @helinasubila987 13 วันที่ผ่านมา +3

    Mungu niodolee marafiki kama Hawa wanafiki

  • @darzone1020
    @darzone1020  13 วันที่ผ่านมา +3

    Your views, likes, comments, share and subscriptions mean the world to me. Love y'all ❤❤❤

  • @NeemaEli-wl1dz
    @NeemaEli-wl1dz 11 วันที่ผ่านมา +1

    Mponji nakupenda sana unahakili sana

  • @aminandurya
    @aminandurya 13 วันที่ผ่านมา +1

    Hongeraa sana mponji 🎉🎉🎉🎉kz nzuri wapenzi ❤❤❤

  • @julienneaboki4105
    @julienneaboki4105 12 วันที่ผ่านมา +2

    Narudi tena ongera mponji umefanya vizuri hi filamu inapendeza sana nimefulai

  • @ClariceMatulanga
    @ClariceMatulanga 12 วันที่ผ่านมา +1

    Hio macho ya mama shadia nikama kashetan vileee

  • @AsifiweMsigala-j3c
    @AsifiweMsigala-j3c 13 วันที่ผ่านมา +1

    Du h ni nzur sana na inafindisha sana❤❤❤❤

  • @ImeldaKabby
    @ImeldaKabby 12 วันที่ผ่านมา +1

    Wew baraka siutoe wew hio milioni 10

  • @JohariHasham
    @JohariHasham 13 วันที่ผ่านมา +2

    Waoooo mponji hongera sn alafu mage aca kiherehere 😢😢😮😮😮😮🎉🎉🎉🎉❤❤❤😂😂😊

  • @HidayaAbdallah-l2l
    @HidayaAbdallah-l2l 13 วันที่ผ่านมา +5

    Kamtoe wew baraka si unauchungu sana kwnin usiende kwa baba yake mzaz alipe ela mwanae apew baraka taila kwl

  • @Zubaiba
    @Zubaiba 13 วันที่ผ่านมา

    Hongera mponji kwa msimamo wako🎉🎉🎉 nakupenda sana

  • @HidayaAbdallah-l2l
    @HidayaAbdallah-l2l 13 วันที่ผ่านมา +2

    Duh jamn leo watano uku mkuje mkuje mkujeeeeeeeee❤❤❤❤❤❤

  • @Gracekadzo-ix4zt
    @Gracekadzo-ix4zt 13 วันที่ผ่านมา +2

    Nimewahi leo kazi poa sana mfunge ndoa acha na vitisho vya mama shidiya

  • @jeniphermyingajeniphermyin8029
    @jeniphermyingajeniphermyin8029 12 วันที่ผ่านมา +1

    Hhhhhhh huu mchezo unafundisho zito sana,Mungu akubariki Mponji,,kila hatua nisomo

  • @esterkimalio8846
    @esterkimalio8846 13 วันที่ผ่านมา

    Duuuuuh,,,,,,hongera sana mponji umenifurahisha sana duuu,,,basi ukichelewesha muendelezo maana nahisi inayokuja nitamu mnooooo

  • @veronicaonchuru
    @veronicaonchuru 13 วันที่ผ่านมา

    Mponji hongera sana 🎉🎉🎉🎉

  • @SharonKimono
    @SharonKimono 13 วันที่ผ่านมา +1

    Mipango kwisha jameni 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅mupoji Leo nimekushukuru

  • @DayanaDonatus
    @DayanaDonatus 12 วันที่ผ่านมา +1

    hajra mwaka wako huu jua linazidi kukuwakia

  • @YunucKhalid
    @YunucKhalid 13 วันที่ผ่านมา

    Hongera mponji kwa maamuzi yko

  • @HafsaShekigenda
    @HafsaShekigenda 13 วันที่ผ่านมา

    Mponji weee hongera

  • @silviailenji7745
    @silviailenji7745 12 วันที่ผ่านมา +1

    Next plea😂 haki mama shadya wewe😂😂kiburi na ujinga ndio zako😅

  • @SyombuaMuvengei
    @SyombuaMuvengei 13 วันที่ผ่านมา +3

    natokea kenya 🇰🇪 pamoja Jamani like zenu hata kama nitano🎉🎉🎉🎉

  • @LeimanLeiman-h4d
    @LeimanLeiman-h4d 13 วันที่ผ่านมา

    Barakaa jana nilikuambia wew nishogaa tena mkubwaaa,,unasapot mwizi

  • @dhahabudeche926
    @dhahabudeche926 13 วันที่ผ่านมา +12

    Kweli mponji una akili yaani nimependa huo ujasiri🎉🎉❤❤

  • @Verokimwesh
    @Verokimwesh 13 วันที่ผ่านมา

    Shadia baba😂😂😂😂😂😂

  • @davidmaing8157
    @davidmaing8157 13 วันที่ผ่านมา

    Muponji unacheza gemu vizuli❤❤ ongela sana

  • @veronikandamalya
    @veronikandamalya 13 วันที่ผ่านมา

    Nimeipenda hiyoooo mwaaa

  • @JuliethSanagala
    @JuliethSanagala 12 วันที่ผ่านมา +1

    Mponji nimeipenda hiyo

  • @Najmahnyangasi
    @Najmahnyangasi 13 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤❤❤❤kazi safi

  • @ElizabethGakii-vt6bj
    @ElizabethGakii-vt6bj 13 วันที่ผ่านมา

    Hongera sana mponji kwakutumia akili🎉🎉❤

  • @Fatmahemedy
    @Fatmahemedy 13 วันที่ผ่านมา

    Safi sana mponji kazi nzuri

  • @AdellaMwita-xz5zm
    @AdellaMwita-xz5zm 13 วันที่ผ่านมา

    Mambo ni moto ❤

  • @Arafa-dt9sh
    @Arafa-dt9sh 13 วันที่ผ่านมา +1

    Nimepend msimamo wa mponj hongera.sana 😂😂😂😂 yaan kama namuona baraka akipata.taarifa.mponji pleas.tuletee.kesho ep ya 50.da! Hadi raha ❤❤❤❤❤❤ half mama hajra kichw cha boga kwe jaman

  • @LLl-p4r3l
    @LLl-p4r3l 13 วันที่ผ่านมา +1

    Kumekucha Yani patamu hapo 🤣🤣🤣🤣nimecheka kwa sauti xana kwa nyumba zawenyewe daa

  • @AnatoriNtakirutimana
    @AnatoriNtakirutimana 13 วันที่ผ่านมา

    Vizuli sana mponji simama kama mwana ume

  • @focusmaghanga6143
    @focusmaghanga6143 12 วันที่ผ่านมา +1

    Ajikaze sio😂😂😂 nalonalo mwamba

  • @fatumasalim3915
    @fatumasalim3915 13 วันที่ผ่านมา

    Hahaha mphonji mungu azidi kukuongoza haki uwajue wajanja

  • @wemasangasanga757
    @wemasangasanga757 13 วันที่ผ่านมา

    Waoo mponji nimekupenda bule

  • @RehemaManyeso
    @RehemaManyeso 13 วันที่ผ่านมา

    KAZI nzuri jamani ❤🎉🎉

  • @SalomeAmani-k5s
    @SalomeAmani-k5s 13 วันที่ผ่านมา +1

    Hapo patamu sana

  • @faridafaridaa4618
    @faridafaridaa4618 13 วันที่ผ่านมา

    Ila mama shadia mzur mashaAllah

  • @viviankasena
    @viviankasena 13 วันที่ผ่านมา +1

    Mponji hongera sna umenifurahisha endlea n huo msimamo wko usibadili mmi nasubiri ubwabwaa 😂😂❤😊

  • @JohnAdam-m7o
    @JohnAdam-m7o 13 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂Mponjii umemkiss vipi huyo mwenzako jaman 😅😅😅😅

  • @bakarabuu7282
    @bakarabuu7282 13 วันที่ผ่านมา

    Jamani taamu ❤❤❤❤

  • @PaulinWandemba-wy6nd
    @PaulinWandemba-wy6nd 13 วันที่ผ่านมา

    Niatari kbs 😅😅

  • @SbsBts-g3v
    @SbsBts-g3v 13 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉mauwa ya mponji 🎉🎉🎉to 🎉 Next please

  • @BATULIMUSSA-j6w
    @BATULIMUSSA-j6w 13 วันที่ผ่านมา

    Good

  • @umentco9600
    @umentco9600 13 วันที่ผ่านมา

    Hogera sana mponji umeogea kama wanaume mia

  • @helinasubila987
    @helinasubila987 13 วันที่ผ่านมา

    Nimepeda hio hogela mpoji kazi safi sana na wewe mage suga sana usipotese ndoa yako kwa ujiga munafiki balaka muodoe kwa maisa yako mama sadia mama mujiga

  • @SalamaRajabu-c6h
    @SalamaRajabu-c6h 13 วันที่ผ่านมา

    Big up Mr mponji hakika mama shadia kaumbuka leo

  • @BoraHamisi-zl6xy
    @BoraHamisi-zl6xy 13 วันที่ผ่านมา

    Hahahaha 😂 jamani imeishia pazuri aisee naomba mwendelezo

  • @Fazila-j2s
    @Fazila-j2s 13 วันที่ผ่านมา

    Baraka,shadya anaye baba

  • @khadijaomar7015
    @khadijaomar7015 13 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂ngoja leo nicheke

  • @ElinisafiMacha-h4t
    @ElinisafiMacha-h4t 12 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂mage mpuuzii wewee daaah hatariiii

  • @PendoSamwel-vc4eg
    @PendoSamwel-vc4eg 13 วันที่ผ่านมา

    Safi sana mponji simamia msimamo wako huohuo

  • @imanissa5531
    @imanissa5531 13 วันที่ผ่านมา +3

    Patamu hapo 💗💗💗

  • @SakinaHassani-xm7ti
    @SakinaHassani-xm7ti 13 วันที่ผ่านมา +2

    Baraka unakera bhaaaaaan😂😂😂

  • @Anitajoseph792
    @Anitajoseph792 13 วันที่ผ่านมา +1

    Hongera sana Mponji kwa busara zako ona sasa Shadya kapatikana kirahisi tu 😂😂😂Mama Shadya kaumbuka hadi aibu jamani LOH!

  • @glorymanga3650
    @glorymanga3650 13 วันที่ผ่านมา

    Goood❤

  • @FatumaMuhamedi-qv6lv
    @FatumaMuhamedi-qv6lv 13 วันที่ผ่านมา

    Mponji maua hayooo🎉🎉🎉🎉🎉

  • @HassanSeif-mh6oh
    @HassanSeif-mh6oh 13 วันที่ผ่านมา

    Mponji 😂 nice dah nikajua utakubali kutapeliwa kiboya bila kuchunguza😂😂😂😂

  • @MonicaNduwimana
    @MonicaNduwimana 13 วันที่ผ่านมา +1

    Magee nagupenda sana❤️❤️❤️🇧🇮

  • @famidaally2665
    @famidaally2665 13 วันที่ผ่านมา

    Mashadiya nawe zumbukuku kweli😂😂😂 acha tu usishindane na mponji kwa sasa❤❤🎉🎉 nawapenda

  • @AnselmeKAKUNDO
    @AnselmeKAKUNDO 12 วันที่ผ่านมา +1

    Mponji, kwa kweli, umepambana sana. Hajira huyu anakusudi la kukufanya maskini.

  • @ChristinaLeonard-cu9ru
    @ChristinaLeonard-cu9ru 12 วันที่ผ่านมา +1

    Jaman yiyo ndowa inafugwa au haifungwi maana tumeshoka kusubili😊

  • @BimkubwaJuma-ew5dg
    @BimkubwaJuma-ew5dg 12 วันที่ผ่านมา +1

    Wee mage moumbavu Sanaa mjinga kabisa

  • @Haji-yr9db
    @Haji-yr9db 13 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂❤🎉🎉 mponji una akili nyingi sana

  • @VeronicaOtieno-u3f
    @VeronicaOtieno-u3f 13 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂Shadya Baba utajichukia

  • @JumaOmar-s4m
    @JumaOmar-s4m 13 วันที่ผ่านมา

    Baraka si mtu mzuri

  • @BimkubwaJuma-ew5dg
    @BimkubwaJuma-ew5dg 12 วันที่ผ่านมา +1

    Sikupendi baraka fisadiii tooo

  • @aishapatrick2256
    @aishapatrick2256 13 วันที่ผ่านมา

    Kkkkk mama shadya bwana mbona vituko

  • @ChristinaChiwalala
    @ChristinaChiwalala 12 วันที่ผ่านมา

    Kamtafute wewe mbaraka safi sana mponji

  • @Amena-z5r
    @Amena-z5r 13 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂 mwisho wa ubaya ni aibu kimekuramba mama shadya

  • @MariamOmary-uq3rs
    @MariamOmary-uq3rs 13 วันที่ผ่านมา

    Baraka nyoko zako

  • @ESTHERSILVIA-pj3dn
    @ESTHERSILVIA-pj3dn 13 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂 weeeh mponji unaakili naye hajira mpango wake umefail

  • @AshaAbdallah-y1h
    @AshaAbdallah-y1h 13 วันที่ผ่านมา

    Hajraaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 aibu naona mm

  • @JoyceVodacom
    @JoyceVodacom 13 วันที่ผ่านมา

    Asanteeeeee ukweli umejulikana duhhhhhh hadi raha

  • @FatumaYassini-rp5zu
    @FatumaYassini-rp5zu 13 วันที่ผ่านมา

    Baraka acha roho mbaya

  • @hidayazuu
    @hidayazuu 13 วันที่ผ่านมา

    😂😂nimeipe hiyo

  • @annangeranko309
    @annangeranko309 11 วันที่ผ่านมา +1

    Mbona Baraka anakuwa kigeugeu simuewi

  • @LucyMassi
    @LucyMassi 13 วันที่ผ่านมา

    Mna nifulahisha sana jamani❤