CHICKEN CREAMY PASTA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 28 ธ.ค. 2024
- 📌Chicken creamy pasta
▪️Ni tamu na rahisi sana kuandaa
▪️unaweza ukatumia brand yeyote ya past na cooking cream uipendayo
▪️Kama hauna cooking cream tumia nazi tui zito
▪️kuweka tomato paste sio lazma sana unaweza ukaacha
❤️Enjoy pia usisahau ku subscribe, like, share na hata ku comment kama una swali lolote. Shukran
❤❤❤❤
❤❤