Very good. She is a prayerful woman. Thts why she hs survjved. She's full of wisdom. Keep praying, God will open another avenue 4 you. Supporting ur parents, is a blessing.
The problem ni kutaka kuishi a lavish life style while hakuna pesa. Why would you rent a house worth 20k for your family as a kadama? Isitoshe umekuja na pesa kidogo alafu una rent nyumba ya 10 k tena!!!! Choices waseee!! the truth is the world is selfish including your MOTHER and FATHER. Always look out for yourself first and invest in yourself. Saidia masikini utakua umekopesha mungu but family saidia tu kiasi but just tuu it’s not your responsibility.
Hii pesa ya gulf watu huona kaa ni mingi ya kuchange life style, na hii inataka ujifinyilie ndio atleast ubuy a place to stay ,sio kufanya 7 yrs na ata Huna plot ,,pia ukiwa sacco ,na uko gulf kubuy plot na kunljenga ni haraka sana ,
This lady is still energetic...arudi gulf..she can go to Oman,or Baharain ni medical tu atajilipia akilipiwa nyumba itamsaidiaje ama atalipiwa miezi ngapi...again kuna watu wana ata watoto watatu n wanaishi single room...ajitume n ajue kumanage pesa zake...
Contract or no contract mungu ndie anasaidia,, mimi kama kemboi nimejenga na nalipa morgde kwa ruto and soon na nunua plot ingine na na pesa za kuosha hamam, si kuuza nyanya
Gulf sio ya kila mtu ,hizo miaka umefanya job na si kwaubaya hiyo pesa ilikua imetosha plot na ,hao kaa ya 4 bedroom ,ndio nilisema nilikuja gulf juu ya my future na na my kids ,na nko karibu kuhm nikule mazao bila ata kufanya job ,in all my life , mama yako agekaa ata hao ya 7 k mnasave na kubuy na kujenga ,na pia aweke biashara sio kumutumia na kukaa hapo anakula pesa zote
Ladies lesson learned...let's us invest in ourselves 😢wazazi na relatives huku nje hawana huruma ...kwanza sisi tuko gulf tukitoka huku bila kitu wanatuona trash 🗑 na ndio tumekuwa tukisaidia
You still young girl rundi gulf dear kuna chances mob. Alafu team gulf hata kama tunasaidia wazazi tuwe tuna invest with AMG Realtors nd u will never regret. Atlst unabuy plot then unajijengea hakuna mambo na kurent.pole mama
MKIMBIZI, na metro na kazi ya leave out ni wapi na wapi😂😂😂kwanza mansura ulijikaranga mwenyewe,,, MKIMBIZI ni kuishi ndani kwa mwarabu, bora uko na offday uende upumzike accommodation
Mi huskiliya Hawa madem wanakujanga gulf huruma sana, Kuna wale wabaya na Kuna kama Huyu mzuri she just want to work and support her family, but surely siku hizi u don't have to firahisha everyone, sometimes you have to be stinjy and be happy
Ukiwa Diaspora please invest,weka pesa money market,buy bonds,take an investment or saving plan...lock for three years and start earning bonuses. Get partials after 3yrs or lock for 10yrs. Once back to Kenya you'll have good money to start over here. The young you are the better.
Kuna vitanda hivi vya raha sijui mbao zao hawapigi dawa huleta kunguni....mimi jirani yangu alibahatika hizo kunguni akatupa kila kitu ndani ya room hadi toys za mtoto akanunua kitanda chengine na godoro jengine....sasa watu wengine hawashuhuliki. .maybe hao mnapatana nao ni wachafu
Makosa alifanya ni kutafuta nyumba exp na hakuwa na doh,agetafuta nyumba single tu,kukua na mtoto kijana na uko stable ki financial tuna manage kyenye tukonayo heri hiyo single ikona amani kuliko kuwa hosted,
Ur mum ddnt use brain as kikuyu lady 27k u two. That's lots of cash,bter ugekuwa na loan ya 50 by 100 plot paying zile zs 250k huko matuu at keast mum atulie huko ba bness yake
Mwangi pls you are boring us when you preempt the story and you tell the story kabisa for 3 minutes making us to forward the story but by bit to the end who loses, you. Be like Symo K pls he lets us wait to listen.
Very good. She is a prayerful woman. Thts why she hs survjved. She's full of wisdom. Keep praying, God will open another avenue 4 you. Supporting ur parents, is a blessing.
Family members are most people used to bring team strong down.lesson learned and experienced
There is always another chance sister , don't give up
I'm a strong woman I don't give up easily no matter what
Veeeeeery veeeeeery STRONG GIRL, GOD IS WITH YOU GIVE YOUR NO.
Yes she is strong!!❤
@@carolyewa4711sure I'm a strong woman
The problem ni kutaka kuishi a lavish life style while hakuna pesa. Why would you rent a house worth 20k for your family as a kadama? Isitoshe umekuja na pesa kidogo alafu una rent nyumba ya 10 k tena!!!! Choices waseee!! the truth is the world is selfish including your MOTHER and FATHER. Always look out for yourself first and invest in yourself. Saidia masikini utakua umekopesha mungu but family saidia tu kiasi but just tuu it’s not your responsibility.
Ata yeye ni mtu anajaribu kutafuta life sometime mungu huelewa
Hizi pesa zinataka akili kama hauna akili uwezi saidika nikama kukula roto na uende raha zako ju pesa ni mob
Hii pesa ya gulf watu huona kaa ni mingi ya kuchange life style, na hii inataka ujifinyilie ndio atleast ubuy a place to stay ,sio kufanya 7 yrs na ata Huna plot ,,pia ukiwa sacco ,na uko gulf kubuy plot na kunljenga ni haraka sana ,
This lady is still energetic...arudi gulf..she can go to Oman,or Baharain ni medical tu atajilipia akilipiwa nyumba itamsaidiaje ama atalipiwa miezi ngapi...again kuna watu wana ata watoto watatu n wanaishi single room...ajitume n ajue kumanage pesa zake...
Exactly my point
Wee pole dear. May God open doors for you 🙏
Pole mama ....May God open your door 😊
Lesson learnt,kaa kwa contract kama huteseki,pesa za huko nje ni mob but ........think twice before ukemboi.team strong tujikaze manze
Contract or no contract mungu ndie anasaidia,, mimi kama kemboi nimejenga na nalipa morgde kwa ruto and soon na nunua plot ingine na na pesa za kuosha hamam, si kuuza nyanya
Its not the end ,continue trustinh God ,tafuta doo nikuconnect na Jamaa anapelekana serbia 🇷🇸 ni Europe
Sina mengi 😢may God opened door for you gal you have a good future 🙏🙏🙏🙏just forgive them watashangaa nakuombea mungu utaenda Europe 🙏🙏🙏🙏❤
Amen Amen 🙏🙏🙏
Happy New year
Oh Dear. Parents, Mum was taken care by this beautiful girl, when she comes bck, you can't pick her phone.
Gulf sio ya kila mtu ,hizo miaka umefanya job na si kwaubaya hiyo pesa ilikua imetosha plot na ,hao kaa ya 4 bedroom ,ndio nilisema nilikuja gulf juu ya my future na na my kids ,na nko karibu kuhm nikule mazao bila ata kufanya job ,in all my life , mama yako agekaa ata hao ya 7 k mnasave na kubuy na kujenga ,na pia aweke biashara sio kumutumia na kukaa hapo anakula pesa zote
20k rent 😮wee ata wee hio n mchezo na hii job ya gulf haiyaaa
Alikosa MTU WA kum advice,woiaaa pole mamaaa.
Ingia online utafute kazi ya Au pair London, or France, Gernany hizo kazi ziko nyingi sana hata USA
Sinahitaji uwe na documents gani? And do they have age limit?
You are a beautiful girl.may God open doors for you.
Thanks
Amen 🙏🙏
Babe ndo jina yake 😅😅😅😅😅😂😂😂😂
How you wish to help may God expand your brand
Akii amesaidia familia yake and the pay kumtupa nje😢😢😢kuna Mungu
parents , be sensitive and merciful to your own to children
She is principaled❤❤hata saudi kuguni na others wako katil
Wawawa she has seen it all. God hv mercy n let her get her heart desires
She can make a good DCI officer,she has evidence videos on every story 😅hizo kunguni surely.
Ladies lesson learned...let's us invest in ourselves 😢wazazi na relatives huku nje hawana huruma ...kwanza sisi tuko gulf tukitoka huku bila kitu wanatuona trash 🗑 na ndio tumekuwa tukisaidia
Kabisaa imeanza Hadi nmeanza kuchukua kwetu..wanataka niwafanyie Kila kitu na time sikuwa uku walikuwa na bidii ya kujitafutia
Sasaa na akipata job Europe mtoi ataachwaa wapii😢😢😢may God see her thru akii..
Exactly from doha to alkhor fare ni 110qr
Huyu ni wa kwetu kabisa
I wish angerudi huko jordan kulikuwa kuzuri nayeye they were good pple
You still young girl rundi gulf dear kuna chances mob.
Alafu team gulf hata kama tunasaidia wazazi tuwe tuna invest with AMG Realtors nd u will never regret. Atlst unabuy plot then unajijengea hakuna mambo na kurent.pole mama
Hiyo class ilkuagusha hse ya10k single ya 4k ilikuwa
MKIMBIZI, na metro na kazi ya leave out ni wapi na wapi😂😂😂kwanza mansura ulijikaranga mwenyewe,,, MKIMBIZI ni kuishi ndani kwa mwarabu, bora uko na offday uende upumzike accommodation
Kamsoo you are a very strong girl. May God come thr for you.
Amen🙏🙏
Be strong my dear ❤
Weeee 5 years yote nikiwa nahudumia watu wanajiweza kwakila kitu aki nahizi kazi za waarabu maybe waniloge hyo huruma abaki nayo Malaika mi hapana, 🙌
Ako strong Sana may God come through 🙏
Yvonne, I remember you.
Glad you remember me
Btw who called you that your bf was dead?
Yah agesema juu anaeza kuwa ako life
Mi huskiliya Hawa madem wanakujanga gulf huruma sana, Kuna wale wabaya na Kuna kama Huyu mzuri she just want to work and support her family, but surely siku hizi u don't have to firahisha everyone, sometimes you have to be stinjy and be happy
Ukiwa Diaspora please invest,weka pesa money market,buy bonds,take an investment or saving plan...lock for three years and start earning bonuses. Get partials after 3yrs or lock for 10yrs. Once back to Kenya you'll have good money to start over here.
The young you are the better.
I just wish mtu akuwe na home ya kuangalia watoto wa Hawa wasichana aki
Kunazo,kwa youtube ya kinyanya alikuwa anafanya advertisement ya hio home,ibachukua watoto from 3yrs to 18yrs
Pole dada, I wish you bought a plot instead of renting a house at 20k per month for your mum.
Umbwa mm tunafanyanga ivi juu ya watoi
Sure ..angechukua hao ya 7k hata
@@AnnMulwa-z5s sasa kwanini ume niita mbwa?
Amejiita mbwa sio wewe. To show how she regrets her decision @peninarkamau6993
Ni kweli hiyo pesa ni mingi , angekuwa amenunua kaploti
Atii hiyo page inaitwa?
Huku kunguni ni wengi 😂 especially rooms za hawa watu but mimi it doesn't bother me nachapa tu kazi
pia mimi naumwa vilivyo usiku😂😂😂
@cynthiamungai mimi aki bora wanipee pesa kunguni ziko kwao😀🤣
😅😅😅tutazibeba tukienda home@@Valentinelifestyles
Chawa nazo nikwa wingi but zile za kichwa, but Hua wananishangaa juu wote Wana zipata but mimi hazijawahi kunifikia 😂😂😂
Kuna vitanda hivi vya raha sijui mbao zao hawapigi dawa huleta kunguni....mimi jirani yangu alibahatika hizo kunguni akatupa kila kitu ndani ya room hadi toys za mtoto akanunua kitanda chengine na godoro jengine....sasa watu wengine hawashuhuliki. .maybe hao mnapatana nao ni wachafu
It's a moving story. Pole sana Kwa yote for what you have gone through. Give us her number we send some coins. I wish I can help more
I day I'm gonna share my story to these channel😢🙏🙏🙏
Watu wa home watakupenda tu ukiwa na pesa
Makosa alifanya ni kutafuta nyumba exp na hakuwa na doh,agetafuta nyumba single tu,kukua na mtoto kijana na uko stable ki financial tuna manage kyenye tukonayo heri hiyo single ikona amani kuliko kuwa hosted,
Cjabambika vile unataja watu na majina
karembo kuja huku tuchape job tena kisha turundi jamuhuri tuanzie Familia
Let people learn a lesson from her kwanza unajiangalia alafu unaangalia family yako. I have heard many cases like this
Enda Oman ndio hutasaidika haraka ex gulf ni two weeks process only but ni vile sasa huna passport
Hi
Leta connection
I lovewangi
Si mtoto atawachwa na her mum.
It is better to try to look for Europe. For Europian County are better.
Kivipi aki natamani
Connection please 🙏
Interested do connection please
Hey Yvonne gal😊,,we miss you ooh
Hi too
Bt alipiga hesabu mbaya 20k ni mob akie angelipata ya 7k na token 3k na zote ikifika ni 12 k staki jokes alaa kwani mtou anakula iyo yote....
Take time, because of your boy get something to do just for your own finences be stable then marriage,
The mum used her money thru rent instead of her doing something with the cash its weird
Niko Jordan i know paul
Jordan sio gulf
Ur mum ddnt use brain as kikuyu lady 27k u two. That's lots of cash,bter ugekuwa na loan ya 50 by 100 plot paying zile zs 250k huko matuu at keast mum atulie huko ba bness yake
Egyptians hawapeani chakula.
Mwangi pls you are boring us when you preempt the story and you tell the story kabisa for 3 minutes making us to forward the story but by bit to the end who loses, you. Be like Symo K pls he lets us wait to listen.
Tulia wewe😅
@@Dynamic32.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Maridha sio malida
Wewe na wewe skiza story wacha mambo