WASIKILIZE WAKUBWA TU: PENZI LA BINAMU, part 2 ( MWISHO )

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 338

  • @ankojay_
    @ankojay_  ปีที่แล้ว +38

    Part 1 Ya Binamu, Bonyeza Hapa 👇
    th-cam.com/video/Jq4VKZVZva0/w-d-xo.html

  • @Mussa-fq3xb
    @Mussa-fq3xb 10 หลายเดือนก่อน +4

    Nakubali anko jay hii story imenidindisha sana maana imetawala mapenz

    • @Joyce-fs5cf
      @Joyce-fs5cf 17 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂

  • @barakaabel409
    @barakaabel409 ปีที่แล้ว +21

    Inapendeza sana dada angu ila simlizi hii inavyo onekana sister wewe nimrembo sana nimevutiwa na wewe ila natamani kuwa na mwanamke mrembo mpole mcheshi napenda sanaaaaa Asante Kwa simlizi tamu

    • @thetrends9973
      @thetrends9973 3 หลายเดือนก่อน +1

      Mpole mcheshi utampata wapi sisi ndio tupo viswaswadu😂

  • @uwimanaberybesarahuwimanab4045
    @uwimanaberybesarahuwimanab4045 ปีที่แล้ว +16

    Tamuuuuuu sana jamni👌🔥anko jay tunagupenda sana sisi mashabiki zako🇧🇮🔥💖🙏

  • @shantellekwamboka7444
    @shantellekwamboka7444 ปีที่แล้ว +16

    Finally, simulizi tamu sana,Anko kazi nzuri sana,wakati wa mtu ukfk nobody will b against, na ni vizuri kuridhika n kile ulichonacho, mapenzi kweli kipofu n wako n wako hata km n miaka mingi,,na nivizuri tujaribu kuwa waazi kwa wenzetu hata km

  • @uuuuiiii3917
    @uuuuiiii3917 ปีที่แล้ว +7

    Mmmh anko jay sikwautamu uwo maana nasikiliza simulizi zako mpaka nalala Kwa sauti. tunakupenda mnoo anko jay wetu❤️❤️❤️❤️

  • @olivabata287
    @olivabata287 ปีที่แล้ว +11

    Jaaaamani simulizi ninzuri naimeisha vizuri inaeleweka nainafundisha asante kwa simulizi taaaammm ulete nyengine kali zaidi Aminiaaa Best

  • @chanellairakoze3538
    @chanellairakoze3538 ปีที่แล้ว +7

    Waoooouh anko jay mwenyeweee duuuh wee noma xanaaa👊

  • @olyoly9992
    @olyoly9992 ปีที่แล้ว +8

    Woow nimefurahia sana anko Jay watupa tumaini ya maisha na hizo story banaa daa mungu akujalie maisha marefu kakangu mana watupa mafunzo mazuri sana one ❤❤❤❤❤❤

  • @ziadamtebwa3712
    @ziadamtebwa3712 ปีที่แล้ว +5

    Nzuri sana lna mafunzo hongera koku kwa mapacha wakihindi asante anko J na lissa mwala

  • @getumwamwezi2990
    @getumwamwezi2990 ปีที่แล้ว +9

    Hatimae tumeimaliza Asante kwasimulizi nzul

  • @shahrayn93
    @shahrayn93 ปีที่แล้ว +4

    Ila kuna wa2 wana bahati zao km sabrina jmni...story nzuri na tam sna natamani ingekua movie..hongera jay🎉

  • @Reneeshans04
    @Reneeshans04 ปีที่แล้ว +8

    Aaaah basi Mimi nimekua addicted na simulizi hizi 😊

  • @zabibumfaume598
    @zabibumfaume598 ปีที่แล้ว +8

    Binamu chakula cha hamu Asante sana anko Jay na lissa mwalla kwa utamu wa simulizi Mungu awabariki

    • @mporipori99
      @mporipori99 9 หลายเดือนก่อน

      Chakula cha hamu ni kipi😊😂

  • @sandrinenishimwe4129
    @sandrinenishimwe4129 ปีที่แล้ว +8

    Asate akojeye kwa simurizi zako nzuri nagupenda sana n'a Candr🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @mishelygodlisten1171
    @mishelygodlisten1171 ปีที่แล้ว +9

    Yaan jamn mpk kielewek kabisaaaaaa anko simuliz zako nzri mnooooo anko jay wetu

  • @queenlee9495
    @queenlee9495 ปีที่แล้ว +9

    Hatimae nime imaliza simulizi tamu sana ime nifunza mengi mazuri hasa mapenzi jamni uwiiih😂😂😂 one love wana simulizi mix 💙💚💜

  • @zawadikatana-zd9xj
    @zawadikatana-zd9xj ปีที่แล้ว +8

    Waaah ak hata kama umekata tamaa maisha ila unapo soma hili simuliz unaongeza jjhudi kwamaana siku yako ipo na ww utainjoi na maisha

  • @GloryGoodluck-f9t
    @GloryGoodluck-f9t ปีที่แล้ว +3

    Duuh nimecheka😂 nimelia😭 nirah tu nimeipenda balaa❤❤jusmin maua yak mam 🌹rahul😍 wapo wachach San dunian watu Kam haw

  • @ibtisammazrui5400
    @ibtisammazrui5400 6 หลายเดือนก่อน +1

    Tamthilia safi sana,yaani anko J kiboko na Lisa Mwala umebarikiwa kipaji cha uandishi,mungu awabariki

  • @ladyt1471
    @ladyt1471 ปีที่แล้ว +4

    Yule aunt aliyekuporomoshea matusi kaja kwako kutafuta msaada kweli usmudharau mtu hujui kesho iko vipi ......asante anko Jay kwa simulizi tamu yenye mafunzo

  • @wilkisteradhiambo3072
    @wilkisteradhiambo3072 ปีที่แล้ว +5

    Nimefurahia Anko Jey na Lissa mwalla nitowe shukrani zangu Toka moyoni Asanteni and be blessed 🙏🙏❤️♥️

  • @margaretmabishi8297
    @margaretmabishi8297 ปีที่แล้ว +8

    ❤👌👌❤ Mwisho Mtamu Sanaaa❤

  • @janethdaud201
    @janethdaud201 ปีที่แล้ว +11

    Jamani nimeipenda,lissa andaa nyingine🙏

  • @victoriajulius5239
    @victoriajulius5239 ปีที่แล้ว +13

    Anko umeupiga mwingi hapa nimekupenda bure haujachelewesh muendelezo❤❤❤

  • @peninahmmbone4648
    @peninahmmbone4648 ปีที่แล้ว +6

    Asante kwa sehemu ya pili Anko J from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 with love

    • @maurinekimaro3717
      @maurinekimaro3717 ปีที่แล้ว

      Jamanii sijawahi kupenda simulizi lakini dah nimesikiliza kama mbili ivi duuh hatari mpka imenimalixia mbs

    • @Mussa-fq3xb
      @Mussa-fq3xb 10 หลายเดือนก่อน

      Love

  • @leahmajaliwa6575
    @leahmajaliwa6575 ปีที่แล้ว +18

    Leo nimewahii asanteni Sana vipenzi vyetu madame lissa na ankojay karibuni Bujumbura 🇧🇮

  • @lulusenzia4807
    @lulusenzia4807 ปีที่แล้ว +3

    Ahsante simulizi mix uncle j big up

  • @ReginaMwenzelatifah
    @ReginaMwenzelatifah ปีที่แล้ว +4

    Jamaniii simulizi ninzuri sana nimeipenda sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @RahimMamdani
    @RahimMamdani 11 หลายเดือนก่อน +1

    Anko Anko Anko. ww ni best story teller. Yani ni kiboko. Mm ni fan yako mkubwa Tanzania.

  • @aloyce6583
    @aloyce6583 ปีที่แล้ว +6

    Wanawake wana shida sana, ni kama watoto.

  • @aminaomarimaidi
    @aminaomarimaidi ปีที่แล้ว +7

    Hongera koku Haya sasa jifunze kihindi 😅😂😅

  • @aminaomarimaidi
    @aminaomarimaidi ปีที่แล้ว +2

    Najisikiaje sijui
    Dah simulizi nzuri sipati picha

  • @AllyJuma-ss4lm
    @AllyJuma-ss4lm ปีที่แล้ว +4

    Unatukosha sanah kaka simuliz zako zote ni tamu hakuna mbya jomony anc

  • @ChristinesifaRuwa-ix9iy
    @ChristinesifaRuwa-ix9iy ปีที่แล้ว +4

    Story nzuri sana anko na lisa hongereni sana sabrina na rahur pamoja na jasmin kuwa rafiki mwema nmejua kua popote uendako lkn mapenzi ya kwel yana rahur tu

  • @Magreth-rw1hd
    @Magreth-rw1hd ปีที่แล้ว +4

    napenda san adithi zako vizur sana❤❤❤

  • @mwanaally4972
    @mwanaally4972 ปีที่แล้ว +2

    Daah iko p xna anko j unatisha xaan kwa sauti nzuri na vionjo pia✌️🔥🥰Lissa mwala hukoseag dear✌️🔥❤️🙏

  • @marynyamvula5896
    @marynyamvula5896 ปีที่แล้ว +7

    Lisa dada we muguakumbari sana pamoja na ankojey wembarikiwe sana muguawape uzima maana doo

  • @binthassan9191
    @binthassan9191 ปีที่แล้ว +5

    Mbele kwa mbele 😂😂,,Anko jay mapesa Ahsante sana kwa burudani maridhawa❤❤

  • @JulianaMwatela
    @JulianaMwatela 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ankojay wewe ety waitwa Nini mjegejo😂😂😂😂Mali safiii

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si ปีที่แล้ว +5

    Ahsante anko jay kwa burudani elimu

  • @salmasasha
    @salmasasha ปีที่แล้ว +3

    Simulizi nzuri sana, na inamfunzo yake mazuri ❤❤

  • @AtupeleMwakalinga
    @AtupeleMwakalinga หลายเดือนก่อน +1

    Hongela sana uncle j

  • @NassaaziAngela
    @NassaaziAngela ปีที่แล้ว +3

    Nimefrahi sana kwasaba sabrinah ameweza kuolewa Rahul akampa mapacha mara mbiri, Nata man I nipate maisha mazuri kama ya Sabrina.

    • @RahelIbrahim-id2li
      @RahelIbrahim-id2li ปีที่แล้ว +1

      Nami nakutakia maisha mema,uyapate uyatakayo

    • @jinaanhkareem3650
      @jinaanhkareem3650 3 หลายเดือนก่อน

      Amiin dear Mungu mwema utayapata Nami pia kwa sote

  • @PhoebeWafula-d6c
    @PhoebeWafula-d6c ปีที่แล้ว +2

    sipati picha jamani mahaba haya nacheka hadi 😂😂😂 ankojoy mapesa simulizi nzuri jamani lisa lisa jamani tamu simulizi kwa mpingi❤❤❤❤

    • @FaudhiaNjombi
      @FaudhiaNjombi ปีที่แล้ว

      Tok nizaliwe mapenz ya ain iyo uwaga nasikia kweny simuliz cjawah ata kuyapata

  • @shunaside8956
    @shunaside8956 ปีที่แล้ว +3

    Ila jmn huyu dada kanyanduliwa san duuuh hhhh anko jey mashallah unajuaa😚😚

  • @aminajuma
    @aminajuma ปีที่แล้ว +5

    Jamani history Nzuri kabisa
    Ila Tanzania kuna ugonjwa wa ZINAA kweli kiasi kikubwa!!! Maana binti mmoja analala na vijana Zaidi y’a tano kwa umri mdogo hivo???
    Mungu alete shifaa Tanzania jamani 🙏🥹

    • @RahelIbrahim-id2li
      @RahelIbrahim-id2li ปีที่แล้ว

      Ni hatari,uhalisia sidhan kama itawezekana kuwa mzima

  • @NairatyMchomvu-ri9wz
    @NairatyMchomvu-ri9wz ปีที่แล้ว +3

    Asante sana anko jay nimeupenda hii simulz ❤❤❤❤❤❤❤

  • @NaomyBernard
    @NaomyBernard 8 หลายเดือนก่อน +1

    Simuliz tamu sana Asante kwa simuliz ank

  • @Nasrasuleiman-p1f
    @Nasrasuleiman-p1f ปีที่แล้ว +1

    Simulizi nzuri sn kwakwel nimeipend sn ❤❤❤

  • @LissaBosh
    @LissaBosh 7 หลายเดือนก่อน +3

    Wengine hatu mabwana huyo Dada malaya Duuuuuu ase Kazi yake ni kutiana2 Duuuuuu 😂😂😂😂

  • @oman6219
    @oman6219 ปีที่แล้ว +2

    Hongera my love Kwa mapacha

  • @Maliamu-t4s
    @Maliamu-t4s ปีที่แล้ว +3

    yani jey unajua mbaka unajua tena❤❤❤

  • @hdhjdh775
    @hdhjdh775 ปีที่แล้ว +2

    Daaah jamn tamu na tamu sana jamn natamani hata nijinaniii😂😂😂😂 much love 🎉🎉🎉anko j❤❤❤ Asante San 😊

  • @rehemakaunda5648
    @rehemakaunda5648 ปีที่แล้ว +12

    Ankojay hii story ni 🔥. Yaani wakati nasikiliza wakati mwingine nasikitika sana, saa nyingine nacheka peke yangu kama chizi fresh.
    Jasmine ni rafiki wa ukweli sana, Rahul ana mapenzi ya kweli.

    • @epmarkchami2536
      @epmarkchami2536 ปีที่แล้ว

      Yan uyo dada Kama ana nuksi vile kila mwanaume ana mkimbia duu

  • @JulianaMwatela
    @JulianaMwatela 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mapenzi matamu jameni ukipata Mtu sahihi jameni nyieeeeeee😢😢😢😢❤

  • @NeemaMzur
    @NeemaMzur หลายเดือนก่อน +2

    Ivi nyie aya maisha ya ndoto au yapo kweri.
    Dah 😂😂💔

  • @soniblessed7815
    @soniblessed7815 ปีที่แล้ว +23

    Thanks for this team strong kujeni uku tupuguze stress zaa mwarabu 😂😂

  • @bibizainab-fk4bt
    @bibizainab-fk4bt ปีที่แล้ว +2

    Anko J Asante kwa simulizi nzuri

  • @aminaomarimaidi
    @aminaomarimaidi ปีที่แล้ว +6

    Asante na wewe anko
    Penda chana❤

  • @MichouChalome-p4u
    @MichouChalome-p4u หลายเดือนก่อน +1

    Uri pitiya mengi pole🎉🎉🎉🎉

  • @girukwishakaclaudine5374
    @girukwishakaclaudine5374 ปีที่แล้ว +12

    Hi Lissa Mwalla?leo nawai kabisa like zenu jameni❤
    Asante Anko Jay nimejifuza kweli simulizi hii nitam 😘🤭😂🤣🙏🙌

  • @mwambambokani9082
    @mwambambokani9082 ปีที่แล้ว +2

    Nimeyipenda sana kweli❤❤❤❤

  • @ZaitunSwaleh
    @ZaitunSwaleh ปีที่แล้ว +3

    ❤❤❤anko jay nimependa iyo

  • @LissaBosh
    @LissaBosh 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nipe mapacha wanhu yani nipe Macha wangu

  • @lucykarii6860
    @lucykarii6860 ปีที่แล้ว +9

    Hii guys kwa kweli imeweza❤❤

  • @LissaBosh
    @LissaBosh 7 หลายเดือนก่อน

    Mwichoni Tam yani Duuuu 😂😂😂 sanaaaaa

  • @Thesons-e9p
    @Thesons-e9p ปีที่แล้ว +33

    Warundi tupo wengi 🇧🇮🙌🏾

  • @oman6219
    @oman6219 ปีที่แล้ว +4

    Anko jay nakupenda Sana

  • @BarakaMgoyo
    @BarakaMgoyo ปีที่แล้ว +3

    Hongera uncle Jay una kipaji Sana

  • @reachelchemtai2604
    @reachelchemtai2604 ปีที่แล้ว +4

    Hakika hi simulizi Hina mafunzo Sana mungu ndiyo mpakaji

  • @jinaanhkareem3650
    @jinaanhkareem3650 3 หลายเดือนก่อน +2

    Wacha nimpe hongera koku kwa kupata rafiki mwema Jasmin Jasmin Jasmin naomba urafiki na wewe ❤❤❤❤❤❤

  • @NoëllaZabibu-h3x
    @NoëllaZabibu-h3x 9 หลายเดือนก่อน +2

    Nc anko jay ❤❤❤❤❤

  • @aminaomarimaidi
    @aminaomarimaidi ปีที่แล้ว +5

    Safi sana koku
    Rahul ndiye mumeo sasa!

  • @Kichaweleomary
    @Kichaweleomary ปีที่แล้ว +3

    Nzuri sana❤❤

  • @aminachiziamina
    @aminachiziamina 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nmefurahi sana nitamu

  • @lenardmlunga7353
    @lenardmlunga7353 ปีที่แล้ว +1

    Moto Sana Ankojay🤝

  • @AllyahMlk
    @AllyahMlk 8 หลายเดือนก่อน +3

    Siyo siri simulizi hiyi nimeipenda mno kwakweli wewe upo vizuri sana Ankojay nimekupenda kwakweli ata na wey unaonekana siyo haba😍🇹🇿🇹🇿

  • @flaviajoseph8771
    @flaviajoseph8771 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana uncle Jay

  • @loisebasilica7506
    @loisebasilica7506 ปีที่แล้ว +6

    Iyo sauti huwa inatusisimua sana anko jay wacha tu

  • @Zawadinadine
    @Zawadinadine ปีที่แล้ว +2

    Lissa mwala utatuuwa ss ma single hatulali usiku sauti ya anko na yo ni balaaa lissa na tamani kaka yangu akuowe ilove you ❤ my we

  • @lulusenzia4807
    @lulusenzia4807 ปีที่แล้ว +4

    Nimefurahi shangazi kakomeshwa😂😂😂😂

  • @AshaSamson-tl8bt
    @AshaSamson-tl8bt ปีที่แล้ว +1

    Jmn hii simuliz ni tam hatar yean ad raha❤️❤️ utam utam tu😂😂

  • @LissaBosh
    @LissaBosh 7 หลายเดือนก่อน

    Safi sanaaaaa nime enjoy

  • @oman6219
    @oman6219 ปีที่แล้ว +5

    Ende Tu bukoba asizunguwe 😂

  • @everlinekenga437
    @everlinekenga437 ปีที่แล้ว +5

    Madam Lisa Na ako Jay twazidi kufurahia simulizi zenu Tamu twawapenda sana❤❤❤

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว

      Thank you so much

  • @alisalim2145
    @alisalim2145 ปีที่แล้ว +2

    Nilipenda pakweny ndoa yarafikiak😍❤🤞

  • @medinahsamita3981
    @medinahsamita3981 ปีที่แล้ว +4

    Shkran ankojey lakini umeniumiza😂😂

  • @PiaraBachuke-yx9hd
    @PiaraBachuke-yx9hd 2 หลายเดือนก่อน +1

    So poa jaman hii simulizi mpaka naifeel sana ujue😅😅

  • @jumabuckary7698
    @jumabuckary7698 ปีที่แล้ว +6

    I love this story ❤❤❤

  • @JoyceMlowo-qk5vs
    @JoyceMlowo-qk5vs ปีที่แล้ว +3

    Nyie mapenz haya aswa umpate anaekupenda na unampenda aswaaa kumeza shahawa unaona kama unakunywa maziwa😊

    • @SharifaAmisi
      @SharifaAmisi ปีที่แล้ว

      Mmh kwakweli uyu bint anamapenzi ya dhati maana siyo kwa kumeza shaawa izzo

  • @janetkazungu7795
    @janetkazungu7795 ปีที่แล้ว +3

    😅😅😅😅😂😂😂we anko jay mambo yanaharibika huku😅😅😅😅

    • @ghm1711
      @ghm1711 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣Anko ameupiga mwingi

    • @cadeaualiza
      @cadeaualiza ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂

    • @AliBadi-p4i
      @AliBadi-p4i 8 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂

  • @mayungamassawe7088
    @mayungamassawe7088 6 หลายเดือนก่อน +1

    Atimaee mtumamalizaa simulizii nzur mno na ya kufundishaa

  • @isabellachizi4346
    @isabellachizi4346 ปีที่แล้ว +3

    Anko j unatisha ww 😅😅 the story is too hot 🔥 ❤

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว +1

      😀😀😀😀

  • @LissaBosh
    @LissaBosh 7 หลายเดือนก่อน +1

    yani we Anokjay kutiana2 hawachoki Sasa
    Jaman 😂😂😂😂 mmmmm ase 😂😂😂😂

  • @macrinasalama-j8v
    @macrinasalama-j8v ปีที่แล้ว +2

    Waah unajua sana kusimulia story nimeipenda ❤sana

  • @ruthwaithera2650
    @ruthwaithera2650 ปีที่แล้ว +14

    Jusmin is a such a true friend..Rahur had true love..not a day without simulizi🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 much love Anko Jay

  • @adelamibaleo588
    @adelamibaleo588 หลายเดือนก่อน

    Hi Anko Jay Napenda sana simulizi zako ❤you’re doing great great job 😊🔥

  • @shadyasalum192
    @shadyasalum192 ปีที่แล้ว +9

    Bado tunaendelea na simulizi tamuu tunainjoi na simulizi tamuuu 🥰🥰

    • @Manirihotheogene-jp8fb
      @Manirihotheogene-jp8fb ปีที่แล้ว

      Hakika kwa simlizi hii" nibora uwe umetimia yaani full people ukiwa nusu huchomoki'!!

  • @MarthaThomas-wp4yi
    @MarthaThomas-wp4yi วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂😂😂 umekulwa jamani duuuuh we noma