Mm nashangaa, mbona vitambulisho vya kura huwa vinatolewa mapema sana kwann hizi zinachelewa, vijijin huku bado kabisa wapo wengine hawajui hata kuna zoezi hilo
waziri mkuu hapo serikali mmechemka huyo dgo hana makosa na hili nilishalisema toka mda sana sijui kwa nn halitekelezwi.Idara km ya nida nchi zote huwa haitembei kuwafuata wtu ili kusajili bali huwa wanaweka vituo vya kudumu ambavyo ni full na hutoa huduma 24/4 nchi zima.kwa mfano hapo tz ilitakiwa kila wilaya iwe na ofisi ya nida ambayo inakila kitu yaani inajitoshereza kuanzia kujiandikisha mpka kitambulisho kutoka.hii inaongeza speed na uhakiki wa taarifa za mwomba kitambulisho.na si kuzunguka nchi zima kuandikisha wtu tz ni kubwa hamuwezi.asanteni
Kweli mwashimiwa waziri hawo wanamazarau makubwa walikuja Serengeti kwenye maeneo yamakazi mpaka na leo hatujui hata Mahalia yakuwafuata wanakera Sana jaman hawa majamaa nikero kubwa ety
Nida wanazingua kishenzi na wanapokea rushwa ndio upate kitambulisho haraka kwa kweli watumishi wa serikali wa ngazi za chini mnamuangusha raic wetu au ndio mpaka mtumbuliwe ndio mtajirekebisha????
Jaman tunafeli wap mbona hatutumii hata akili za kuzaliwa? Swala la kum pa MTU kitambulisho hasa ambaye hujui kazaliwa wap! , Mmekutana tuu alafu una mpa kitambulisho tena cha Taifa!! ,Tusilie wala kupiga kelele pale tutakapo kuta had wale watu wafup na wenye macho madogo nao wana tambuliwa kama waTzd ,tusisitze haraka kwa kisingizio cha kusajili SIMU ,tusisitize umakini
kweli wanazingua sana nida nida hawa wanazingua
Hapa mweshimiwa waziri mkuu tusaidie maana hii nikero
😂"20 pesa fasta unapata namba!"
30 elfu zangu walikula kwa sababu nilikuwa nahitaji kitambulisho
Yan bora umesema kwanza wananyodo na mazarau ukienda hawana hata ushirikiano wanakujibu kwa zarau
Ukweli nida ni kelo sana hawafai😏😏
MAJARIWA simba wa nawe yenye moto 👊👊👊👊👊👊💥💥💥💥
Viambatanisho kwenye form ya kuombea kitambulisho huwakwamisha wengi hasa wa vijijini.
Juma Kubobela hivi unaamnatanisha hadi cheti cha kuzaliwa eti?
yani hao wakutifua tifua wanataka hela
NIDA OVYO SANA BABA WANATUKWAMISHA SN SN..NIDA KICHEFUCHEFU. WANA LUGHA CHAFU SANA SNA WANAJIONA MIUNGU WATU..WAACHISHWE WACHAGULIWE WENGINE TU.
yaan mimi mwenyewe nilienda kwenye ofice za wilaya naulizia Chet cha Nida wahudumu wakanicheka kwakwel sikuelewa
Wanataka hongooo
Yaani awa nida ni wasumbufu sana hao
Mm nashangaa, mbona vitambulisho vya kura huwa vinatolewa mapema sana kwann hizi zinachelewa, vijijin huku bado kabisa wapo wengine hawajui hata kuna zoezi hilo
😄 😄 😄 Wa mjini pia wanasumbuliwa kishenzi.
C vijijini hapahapa mjini wengine tangu mwez 4 mpaka sasa kimyaaaa
waziri mkuu hapo serikali mmechemka huyo dgo hana makosa na hili nilishalisema toka mda sana sijui kwa nn halitekelezwi.Idara km ya nida nchi zote huwa haitembei kuwafuata wtu ili kusajili bali huwa wanaweka vituo vya kudumu ambavyo ni full na hutoa huduma 24/4 nchi zima.kwa mfano hapo tz ilitakiwa kila wilaya iwe na ofisi ya nida ambayo inakila kitu yaani inajitoshereza kuanzia kujiandikisha mpka kitambulisho kutoka.hii inaongeza speed na uhakiki wa taarifa za mwomba kitambulisho.na si kuzunguka nchi zima kuandikisha wtu tz ni kubwa hamuwezi.asanteni
C vijijin hata hapa hapa mjini wengine tangu mwez4 until now kimyaaaa mzee baba
Kweli mwashimiwa waziri hawo wanamazarau makubwa walikuja Serengeti kwenye maeneo yamakazi mpaka na leo hatujui hata Mahalia yakuwafuata wanakera Sana jaman hawa majamaa nikero kubwa ety
Anakukenulia huyo mh. mtumbue.
Nida wako taratibu sana,watu tunajiandikisha zaidi miaka bilabila
Taifa ni letu simu tumeletewa zisajiliwe kikamilifu.
Mtumbue huyoo mh
Mh hao nida ni shida sana
Nida wanazingua kishenzi na wanapokea rushwa ndio upate kitambulisho haraka kwa kweli watumishi wa serikali wa ngazi za chini mnamuangusha raic wetu au ndio mpaka mtumbuliwe ndio mtajirekebisha????
Hata mbeya ni shida
Kaz imewashinda njoo temeke uwone uwozo wataka watumbuliwe
Natamani muheshimiwa atembelee hii wilaya bila ya taarifa akaone kulivyojaa madudu.....
Nida wanazngua mkuu tumbua wotee
***JAMANI KATIKA SEHEM AMBAPO SERIKALI IMEFELI NI HAPO KWEYE VITAMBULISHO LINAONGELEWA JUU JUU TYU BILA 20000/= HIWEZ KUPATA***
Halafu ukiingia ndani ya office zao wamejaza vitambulisho sijui ht vya nani.
asumin Hakim vya watu wanataka hela kwanza
Aibu
Ili mambo yaende chapu huduma isogezwe atlest ngazi ya kata
Niliandisha mwaka Jana mwezi wa pili mpaka leo sija pata kitambulisho changu NIDA wanafanya madudu makubwa mno
Pole Sana.
Jaman tunafeli wap mbona hatutumii hata akili za kuzaliwa? Swala la kum pa MTU kitambulisho hasa ambaye hujui kazaliwa wap! , Mmekutana tuu alafu una mpa kitambulisho tena cha Taifa!! ,Tusilie wala kupiga kelele pale tutakapo kuta had wale watu wafup na wenye macho madogo nao wana tambuliwa kama waTzd ,tusisitze haraka kwa kisingizio cha kusajili SIMU ,tusisitize umakini
Njoo na kiomboi mheshimiwa tunateseka
Hata Shinyanga, kishapu hatuwaelewi hawa NIDA hawastahiri kabisa.
Akitoka magufuli aingie majakiwa nchi itasonga maana awa jamaa ...duuuuh wanauchungu na tz
Most of the time what they are talking is all bushit ,