Ben Pol - EBENEZER (Official Audio) - SMS SKIZA to 7916866 to 811

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 410

  • @gabrielmushi2813
    @gabrielmushi2813 4 ปีที่แล้ว +184

    wangapi wanamuona benpol akihamia kwenye gospel mwaka huu ... ?
    karibu kaka tuwe pamoja kwenye gospel industrial 🎙🎙👨‍🎤👨‍🎤👨‍🎤

  • @mercymakundi3582
    @mercymakundi3582 4 ปีที่แล้ว +57

    Mashuhuri kwa hakika,
    Najongea kukupa sifa,
    Wimbo wako wa taifa,
    Na ndomana mim sichoki kukuimba
    Mimi ni nani hata nichoke(chokee),
    Sana nataka sisi tuwe wote(woteee),
    Mimi ni nani hata nizubae(zubae),
    Ushindi ni lazima nikiwa naweee
    Aaah unanikosha unanivuta,
    Aaah unaniita unajificha,
    Aaah unanikosha unanivuta,
    Nimeshafikaa
    Ebenezer ebenezer ooooh ebenezer ebenezer enheee ebenezer ebenezer ohooo ebenezer ebenezer enheee ebenezer
    Asubuhi vile jua likiwaka,
    Natambua ni nafasi umenipa,
    Sio nadekaaaaaa
    Sitaki kabisa kuchomoka
    Wewe hukawii,
    Unayejibu kwa wakati,
    Nakupenda anii,
    Nikiwa nawe sishikiki
    Wew hukawiii, unayejibu kwa wakati,
    Nakupenda anii..
    Aahaa unanikosha unanivuta,
    Ahaaaa unaniita unajificha,
    Ahaaaa unanikosha unanivuta
    Nimeshafikaaaa
    Ebenezer ebenezer ooooh ebenezer ebenezer enheee ebenezer ebenezer ohooo ebenezer ebenezer enheee ebenezer
    Jabari hodari wewe ngome imara,
    Safari sikwami dereva wangu sawaaa,
    Jabaari hodari wew ngome imara,
    Safari sikwami dereva wangu sawaaa
    Jabari hodari wewe ngome imara
    Safarii sikwami dereva wangu salama
    Ahaaaa wew ngome imara
    Ahaaaa dereva wangu sawa
    Ahaaaa wew ngome imara
    Ahaaaa dereva wangu salamaa
    Ebenezer ebenezer ooooh ebenezer ebenezer enheee ebenezer ebenezer ohooo ebenezer ebenezer enheee ebenezer

  • @Dr.zaidi4
    @Dr.zaidi4 4 ปีที่แล้ว +79

    Beautiful variations.We can't spend all our days singing about women,yet the world has other dimensions of reality beyond that

  • @johnmatiko2596
    @johnmatiko2596 4 ปีที่แล้ว +97

    Mtumikie mungu ungali kijana usingoje mpaka uzeeke fanya gosple and God will bless you keep it bro

    • @marymamntine1909
      @marymamntine1909 4 ปีที่แล้ว +1

      Nilijua tu siku moja atakuja huku na muonekano wake unapendeza kabsa

    • @johnmatiko2596
      @johnmatiko2596 4 ปีที่แล้ว

      @@marymamntine1909 ni kweli👏👏👏

  • @innovator3659
    @innovator3659 4 ปีที่แล้ว +38

    amen mliobariiwa kama mimi jumapili ya leo likes zenyuuuu😊

  • @juliethkiwelu8182
    @juliethkiwelu8182 4 ปีที่แล้ว

    Aisee nimefurahi sana... kuna siku nilisema natamani nisikie hii sauti ikimsifu Mungu... na leo imeisikia...Hongera..Ebenezer azidi kukishindia

  • @epos9473
    @epos9473 ปีที่แล้ว +1

    wimbo wako wa taifa 🥹🥹 2023

  • @lindasamwel9520
    @lindasamwel9520 4 ปีที่แล้ว

    Ben Paul brother nakuombea Mungu hichi ulichokifanya umefa nya wimbo mzuri na Mungu atabakia ebeneza kwako

  • @gloglo948
    @gloglo948 4 ปีที่แล้ว +40

    Mungu huwa anakiandaa chombo chake kutoka mbal sana barikiwa Ben pol kwa Yesu kunalpa

  • @chancekwibe4265
    @chancekwibe4265 4 ปีที่แล้ว +26

    Mwenye anakubali ben P like apa, uyu ni machine wakiwango kikuu sana you are number one kbs my brother ben Izeeeee

  • @charlesvent9280
    @charlesvent9280 4 ปีที่แล้ว

    Baada ya kimya kingi kwa waimbaji wa gospel kuto release ngoma mpya, Mungu kainua Ben awatoe usingizini....! Kama unaamini kuwa kila kitu ni kitumishi cha Bwana achia like twende sawa 🇹🇿🇮🇱🇰🇪

  • @josamjoel2079
    @josamjoel2079 4 ปีที่แล้ว

    Kama na wew umetambua kwamba wimbo huu kautunga Goodluck gozbeth nyosha kidole twende sawa

  • @ernestmjukuu
    @ernestmjukuu 4 ปีที่แล้ว

    Haijalishi Nini kitatokea wewe utabaki kuwa Mungu ...wewe Ni Ebenezer

  • @susanstanley530
    @susanstanley530 4 ปีที่แล้ว +1

    Unajua kaka Mungu akusimamie

  • @chasamatv5782
    @chasamatv5782 4 ปีที่แล้ว +243

    Tokea nianzage kukoment cjawah pata likes lewo kwa jina la Ebenezer naomba nipate!!

    • @fjojoly
      @fjojoly 4 ปีที่แล้ว +1

      like zinakusaidia nini

    • @chasamatv5782
      @chasamatv5782 4 ปีที่แล้ว

      Tunafurahia mziki mzuri kaka!!

    • @eneolatukio8493
      @eneolatukio8493 4 ปีที่แล้ว +1

      Kwanini sasa hujawai pata? Huwa una comment out of topic au?🙄

    • @leavefx8986
      @leavefx8986 4 ปีที่แล้ว

      chasama tv lewo

    • @chazzbarton6729
      @chazzbarton6729 4 ปีที่แล้ว

      Hivi hizi likes zina saidiaga nn au mendo mshamba

  • @gideonimathew6491
    @gideonimathew6491 4 ปีที่แล้ว

    Kila nikiona jua asubuh najua ni nafas nimepewa na Ebenezer.
    Tanzania 🇹🇿 ina amani kwa sababu ya Ebenezer
    ❤️❤️❤️❤️❤️❤️🇹🇿

  • @erickmislakuba237
    @erickmislakuba237 4 ปีที่แล้ว

    Vijana wa Kikristo tumkalibishe yesu kwenye Maisha yetu, Na nyumba ya I baada peke ya kumjengea Mungu ni moyo wako pekee Na sio kuhangaika kujenga masinagogi yanayoingia wanyan'ganyi Na wasengenyaji

  • @electionassenga6507
    @electionassenga6507 4 ปีที่แล้ว

    Et wenginee wanasema ni vizur kufanya hiv ni vizur ndiooo....hii nyimbo imekubadilisha wapi......akiimba zingine anakuwa ametenda dhambi ganii....zote n Sana'a...... Ata aimbe hizi wazinzi wazinifu wez n.k mtaendelea tuu .....@ben pol u made it for your God....wasikujudge. Et uimbe hiz au zile.....imba ruka cheza lkn ustende dhambi.....

  • @inocentmartin1753
    @inocentmartin1753 4 ปีที่แล้ว

    Kaka yetu taratibu akirud kwenye gospel wangap wanamkubal nyimbo zake za sasa za gospel tofauti na bongo flavour

  • @abeidmayanga809
    @abeidmayanga809 4 ปีที่แล้ว

    Safi huko nako siyokubaya kaka njoo tunakukaribisha sana hongera kwa mapinduzi

  • @pendomwabuka8696
    @pendomwabuka8696 4 ปีที่แล้ว

    Ben pol Mungu kakupa kipawa kikubwa sana endelea kumtumikia kwa uaminifu,,👏👏

  • @GadiEdiomwakanyamale
    @GadiEdiomwakanyamale 4 ปีที่แล้ว +1

    Hichi ndicho nilikuwa nikisubiri nahitaji Mungu aendee kusema na ww uje moja kwa moja karibu tufanye ibada ya sifa kwa Mungu wetu yeye ndy anaestahili kusifiwa EBENEZAR na ninafurahi sana kukuona ukimsifu Mungu kwani unapata ya Mbinguni na Duniani

  • @lorainenyaga6309
    @lorainenyaga6309 4 ปีที่แล้ว +22

    Your voice was only made to praise God not man or women.. The greatest gift a man can do for woman is by being a priest in her home.. Him knowing God is enough love.. You can not love if you have not been loved..
    Let all creations that have breath praise thee

    • @joshuanindi1005
      @joshuanindi1005 4 ปีที่แล้ว

      Loraine Nyaga fact

    • @elishaluhwago6940
      @elishaluhwago6940 4 ปีที่แล้ว

      Oh sure.. The Greatest gift from a man, is leading his woman to Jesus, being a home pastor..
      i like this. i take it
      thank u Loraine

  • @farijjmohammed7723
    @farijjmohammed7723 4 ปีที่แล้ว +2

    listening from Yuan China ngoma iko poa

  • @yohanapeter5228
    @yohanapeter5228 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akufuatilie hadi urudi kumuimbia moja kwa moja

  • @charlesblazio7597
    @charlesblazio7597 4 ปีที่แล้ว

    Utainiliwa mpk utashangaa km ukiamua kuokoka na kumuimbia Mungu pls Ben imba gospel my broo natamani iwe hivyo

  • @TingaMedia
    @TingaMedia 4 ปีที่แล้ว +52

    Kama na wewe Umeona Benpol katu Suprise basi Gonga Like hapa kwangu kisha SUBSCRIBE chanel yangu tuwe marafiki

  • @torokauje1764
    @torokauje1764 4 ปีที่แล้ว +1

    Ulianza mwaka vizuri na bado unaendeleza uzuri hii ni kazinzuri broo Mungu akuonyeshe mema na mazuri uzidikutupa uzuri♡

  • @jescamaumbi1320
    @jescamaumbi1320 4 ปีที่แล้ว +5

    Ebenezer wewe ukawii unaejibu kwa wakati nakupenda 🙏🏻

  • @communicativegirls4433
    @communicativegirls4433 4 ปีที่แล้ว +1

    thanks benpol napenda saut yako na nimependa zaid wimbo wa ebenezer Mungu akubark maradufu u r so amazing ❤ i hope this song will open up for you this year hakka unapendeza hata gospel you r multidimensional misician lov u 🤩❤🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻hu utakua wimbo wangu wa mwaka awesome ❤

  • @happymichael7433
    @happymichael7433 4 ปีที่แล้ว

    Nitafrah sana benpol akija ktk gospel namuombea sana sana

  • @Darpress
    @Darpress 4 ปีที่แล้ว +10

    Kaka unakuja taratibuuuuu god blesss uuu

  • @koyosafaris6051
    @koyosafaris6051 4 ปีที่แล้ว

    Ebenezer ni jiwe kuu la pembeni ni wimbo mtamu sana

  • @iddymohammed8525
    @iddymohammed8525 4 ปีที่แล้ว

    ben pol nakukubar ukoseagi ata siku moja mi kati ya wasanii hapa Tz ukitoa mtu ninaye mkubar kwa kuimba simba wew wa pili

  • @deuslucylucy2700
    @deuslucylucy2700 4 ปีที่แล้ว

    Asnt Ebenezer kwa hii pumzi uliyo tujalia....

  • @l.h.l2254
    @l.h.l2254 4 ปีที่แล้ว

    Safi napenda melodi uliyotumia. Ni wimbo wa dini but sio kama zile ambazo ukisikia tu kinanda unajua ni wa dini. Very great bro... Rythm na melody ipo nutral fulani hivi. Muslims who love music lets know each other.

  • @joelmakinga4220
    @joelmakinga4220 4 ปีที่แล้ว +10

    Mfalme wa mda wote 🔥🔥🔥🔥
    Gonga like kama unakubaliana na mimi.

  • @nurumwangoka7424
    @nurumwangoka7424 4 ปีที่แล้ว +8

    Ben Ben Ben Ben Ben ujue unajua Sana MUNGU aendeleee kukuinua 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @bonfacemwashi1641
    @bonfacemwashi1641 4 ปีที่แล้ว +4

    Mimi ni Mkenya napenda jinsi Benpol anaimba na sauti nzuri sana, Gospel inakufaa sana kaka Ben, Mtumikie Mungu
    God bless you

  • @vivatundulisuu3554
    @vivatundulisuu3554 4 ปีที่แล้ว +5

    Hakuna kama MUNGU milele daima hakudai pumzi japo anakukopesha ninakupenda Ebenezer

  • @davidjoseph6771
    @davidjoseph6771 4 ปีที่แล้ว

    Mung wangu akufanye km atakavyo jmn .naskia raha kukuskia kwmb umemkumbka aliekuumba sas usilud kule ten we piga hiz hiz uokoe na wengne ,umepew bure saut uhai pia na mungu na ww mtumikie mungu bure ingawje atkuli baraka

  • @BETConlineTVTZ
    @BETConlineTVTZ 4 ปีที่แล้ว

    dhahili watu tumechoka na mizigo anayotubebesha shetani. ebenezer tusaidie

  • @humphreypaul9735
    @humphreypaul9735 4 ปีที่แล้ว +3

    Nasikiliza tena na tena kazi nzuri kaka

  • @iddsadick6819
    @iddsadick6819 4 ปีที่แล้ว

    Dondosha korabo na angel Bernard tuone inakaaje 🔥🔥

  • @GloriousRestorationTV
    @GloriousRestorationTV 4 ปีที่แล้ว +1

    Oh! Kama unaona BWANA akimbadilisha Ben kama alivyofanya kwa walter Chilambo like yako hapa twende sawa..

  • @saleciaaloyce714
    @saleciaaloyce714 4 ปีที่แล้ว

    Ben pol Mungu wa Mbinguni akuinue kwa viwango vingine uzidi kumtumikia, yaan naisikiliza huu wimbo bila kuchoka na kuuludia , 🔥🔥🔥

  • @humphreypaul9735
    @humphreypaul9735 4 ปีที่แล้ว +3

    Kazi nzuri kaka

  • @franklwehela7595
    @franklwehela7595 4 ปีที่แล้ว

    Nguvu za Mungu zinaenda kumshinda shetani.
    #EBENEZER.
    BEN PAUL....

  • @frankfrancis6965
    @frankfrancis6965 4 ปีที่แล้ว

    Mungu hashindwi na chochote ,,naamini liko kusudi la Mungu ndaniyako,,,nami ni kati ya watu waliotamani tanguzamani kuona sifa zitokazokinywanimwako zinaelekea kwa Mungu,,najifunza kuimbavizuri kutokakwako ,,,endelea kutumika kwaMungu naamini hutajuta bro,,,(TH-cam Frank Francis -Ndani ya Yesu)

  • @ajheemclassicaltv7608
    @ajheemclassicaltv7608 4 ปีที่แล้ว

    Hapa collaboration kati ya Goodluck X Ben Pol unahisi itakuaje

  • @pendondossy2158
    @pendondossy2158 4 ปีที่แล้ว

    Yan huku ndio kwako Ben pol pambana lzm utamuona MUNGU

  • @chakushangazaonline3812
    @chakushangazaonline3812 4 ปีที่แล้ว +4

    hongera kwa kumkumbuka MUNGU 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @mussamwenga100
    @mussamwenga100 4 ปีที่แล้ว

    Hongeza juhudi zaidi brother ni vyema kumcha Mungu kwani yeye ndo kila kitu

  • @adolphmwangoje2887
    @adolphmwangoje2887 4 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana humu ndo sautiyko inkufaaa jombaaa

  • @rachelmbilinyi4193
    @rachelmbilinyi4193 4 ปีที่แล้ว +1

    Karibu kaka kwenye gospel

  • @franconyigu2213
    @franconyigu2213 4 ปีที่แล้ว +3

    We jamaa unajua kuimba bahna 🙏

  • @Gsimon923
    @Gsimon923 4 ปีที่แล้ว

    Ebenezer
    Unajibu kwa wakati 🙏

  • @robjotechinswahili4581
    @robjotechinswahili4581 4 ปีที่แล้ว

    Ben Paul sauti ya kumuimbia Mungu hiyo. Kuwa kama Walter bhna maana ananibariki sana na sasa na wewe unaanza kutubariki. Mungu atakupa zaid vya duniani na vya Mbinguni. Usirudi nyuma bro let's sing for God unapendezea sana. 👍👍👍👏👏👏

  • @joshuanindi1005
    @joshuanindi1005 4 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe,Mungu akuongoze katika njia yake

  • @jacksonvalence7365
    @jacksonvalence7365 4 ปีที่แล้ว +1

    👏👏👏👍kazi nzuri kaka benpol

  • @geneskimario7136
    @geneskimario7136 4 ปีที่แล้ว

    Mungu kakupa sauti nzuri ya kumtukuza ni vyema ukamrudia na kumtukuza, dunia tunapita 😔 😔 kanyimbo kazuri sana

  • @djkodatz1894
    @djkodatz1894 4 ปีที่แล้ว +15

    Wimbo wako ni wa taifa jamani like kwa ben pol by Koda

  • @boniphacepetro5820
    @boniphacepetro5820 4 ปีที่แล้ว +9

    Hapo sawa nyimbo kama hizi 🆗🆗

  • @moreenedwin5943
    @moreenedwin5943 4 ปีที่แล้ว

    Ben pol karibu kwenye gospel

  • @nicolenabintu2509
    @nicolenabintu2509 4 ปีที่แล้ว +2

    Wimbo Borha waku mshukuru baba Mungu wetu wa mbinguni 🙏❤️ Ben ⭐️

  • @kiltechservices
    @kiltechservices 4 ปีที่แล้ว

    Talented Bernard Paul.. vizuri kutumia kipaji chako kumrudishia na Mungu sifa 🙏🏽

  • @pax6447
    @pax6447 4 ปีที่แล้ว

    Ebenezer
    Wale wamungu anaweza tujuwane

  • @mropeamadeus5445
    @mropeamadeus5445 4 ปีที่แล้ว

    safi sana kushukuru MUNGU kwa wema wake yeye ni Ebenezer

  • @paulseneda
    @paulseneda 4 ปีที่แล้ว +6

    Gospel for life brother kote unaweza but hii ndo balàaa zaidi

  • @emilywanje9256
    @emilywanje9256 4 ปีที่แล้ว +4

    yani hua sipendi mziki wako kabisa ila hii naikubali.. 🙏 ✔️ 💯 🎶 👌 wale wasaudia tujuane?

  • @franklinbutama7537
    @franklinbutama7537 4 ปีที่แล้ว

    Jaman wimbo mkali kinyamaaaaaaaaa dah Ben pol ni nyokooooo, shikamoo Ben pol

  • @ruthhamisi3844
    @ruthhamisi3844 4 ปีที่แล้ว +1

    Waoow 👑👑

  • @gbrowngbatz7867
    @gbrowngbatz7867 4 ปีที่แล้ว +4

    Hil n changuo jema lakn Usipokuwa makini bro ndo unaenda kupotea kwenye mzk nakukubal Sana.

  • @hypermanhk3800
    @hypermanhk3800 4 ปีที่แล้ว

    Ngma flan hivi yakikubwa sana.

  • @shelomaday4633
    @shelomaday4633 4 ปีที่แล้ว

    Oooh hebu wacha nisikilize vzr nikama umkuja ktk gospel eee karibu Sana utaona vile utainuliwa Zaid yahapo ulivyo.utakuwa juu sana.big up BEN

  • @rassimbaengswahili6191
    @rassimbaengswahili6191 4 ปีที่แล้ว +8

    Nice, i like the fact that sometimes you artists do remember God existence

  • @healthtalkwithivonmdeta6154
    @healthtalkwithivonmdeta6154 4 ปีที่แล้ว +2

    Kwa yesu kunogile 💃💃😇😇

  • @nesteremmanuel5073
    @nesteremmanuel5073 4 ปีที่แล้ว

    Ben pol ana foc kuimba bongo freval ila ana sauti ya ghospol Karissa😍😍😍

  • @paultamba1126
    @paultamba1126 4 ปีที่แล้ว +27

    its anointed vocal,takin off scripts in his other songs i usually get powerful gospel melody

  • @nyakai5182
    @nyakai5182 4 ปีที่แล้ว +1

    Safi safi good song Ebenezer nasikilza Nikiwa Kinshasa Congo 👍👍

  • @davidwambura5915
    @davidwambura5915 4 ปีที่แล้ว

    Huyo dogo Pall Clement Kama ameweza kukushawishi uimbe Gospel basi akushuhudie pia uokoke katika Roho na kweli

  • @nuwayosincere8126
    @nuwayosincere8126 4 ปีที่แล้ว +5

    Here in China we love you Ben pol.God bless you

  • @dassaysonmusic
    @dassaysonmusic 4 ปีที่แล้ว

    Bonge la kaz blood

  • @ellymichael672
    @ellymichael672 4 ปีที่แล้ว

    Karibu katika Industry ya Gospel Big Brother

  • @sekelamwangosi3289
    @sekelamwangosi3289 4 ปีที่แล้ว

    Naipenda hii nyimbo had nalia kwa furaha😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @jacklinelafrenz6694
    @jacklinelafrenz6694 4 ปีที่แล้ว +5

    Nice song, msg 🙌🏽👏🏾🔥🔥

  • @mgogomtata
    @mgogomtata 4 ปีที่แล้ว +1

    Muwaha....kulawa mpunguzi ahaadyaaaaa hono kwinaaa yee zabibu.....kaza na aino ya Dini...nyeee chikuhembaaaa na #ebenezer wagogo woooseee muzeee akuno

    • @hjklhjkl4108
      @hjklhjkl4108 4 ปีที่แล้ว

      Lonje mwana kwetu

    • @godblessjrtz.8652
      @godblessjrtz.8652 4 ปีที่แล้ว

      Mbona ayuno si amanyile chigogo viswanu, akulonga kotya akulya mayungu.hahahaha maasai mtata hapa

    • @mgogomtata
      @mgogomtata 4 ปีที่แล้ว

      HahhAh muwaha wina mavi kumesoooo hahaha

  • @Baba-JJ
    @Baba-JJ 4 ปีที่แล้ว +1

    As usual mzee, hujawahi kukosea! Wewe ndo baba lao, the King himself kwenye muziki.

  • @ezekielnjau8830
    @ezekielnjau8830 4 ปีที่แล้ว

    Muda mrefu nilikua najiuliza why humuimbii Mungu, maana kakubariki sana, uzid kubarikiwa brother

  • @shukraningela2487
    @shukraningela2487 4 ปีที่แล้ว

    Kujaaaa gospel kakaaa

  • @eliudmartine03
    @eliudmartine03 4 ปีที่แล้ว

    Kaka hatari sana hii naomba tufanye remix ya hii Ngoma

  • @Japhet_John_Joseph
    @Japhet_John_Joseph 4 ปีที่แล้ว +7

    Nice song appreciation to you bro..

  • @beatricekingsley5062
    @beatricekingsley5062 4 ปีที่แล้ว

    Nakupenda Ben pol

  • @brysonsabun4657
    @brysonsabun4657 4 ปีที่แล้ว

    Ongeza zingine nyingi kama hizi #Benpol

  • @gibsonyshadrack4543
    @gibsonyshadrack4543 4 ปีที่แล้ว

    Huu wimbo niwa godlack amempa beny wangap tunaamin gdlack ataibadirisha BOGO freva kuwa bongo gosple

  • @paschalm9849
    @paschalm9849 4 ปีที่แล้ว +2

    Nice 1 bro

  • @berthinamenda1776
    @berthinamenda1776 4 ปีที่แล้ว

    Ben umefanya la maana sana kuimba hivi....keep keep doing gospel bro

  • @abdalahathumani3463
    @abdalahathumani3463 4 ปีที่แล้ว +3

    Keep it up broh you are the best singer

  • @mwachamwacha5538
    @mwachamwacha5538 4 ปีที่แล้ว

    Man of God .Ben Paul Mungu azidi kukuinua .hiyo ndio sababu Mungu alikupa sauti nzuri ni kwa ajili ya kumtukuzia yeye .barikiwa zaidi

  • @masaropatience
    @masaropatience 4 ปีที่แล้ว +10

    Msani wangu
    Much love from Burundi 🇧🇮