MAAJABU | MZEE ALIYE NA UMRI MKUBWA ZAIDI DUNIA, MIAKA 160 ANAYEPATIKANA FIZI DR CONGO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 62

  • @andjelanikandolo6046
    @andjelanikandolo6046 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akulinde maisha mengine zaidi

  • @marierichard3074
    @marierichard3074 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen amen amen wow,Mungu akufikishie hadi 200

  • @salehengelelo1667
    @salehengelelo1667 3 ปีที่แล้ว

    Hongera Babu mungu akupe zaidi y’a miaka teleeee

  • @davidwalalason7630
    @davidwalalason7630 3 ปีที่แล้ว +3

    160 years he must be in Guinnessworld record book

  • @MaryMary-df7eb
    @MaryMary-df7eb 3 ปีที่แล้ว +1

    nawafatilia sana kutoka Canada kiukweli..yaani napata faraja sana ninapoona babu zangu japokua sikupataga bahati ya kuishi baraka ila one day inshallah 🤲nililelewa na bibi ambaye alikua naniadithia sana maisha ya baraka na huyu babu nakumbuka bibi aliwai kuniadithia enzi zao leo nashukuru nimemuona..dah rest in peace grandmum i miss u so much 😪😪😪😪

  • @kadunawewe7248
    @kadunawewe7248 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu azidi kukupa umri mrefu babu

  • @saynabmohammed6263
    @saynabmohammed6263 3 ปีที่แล้ว +1

    Wandish gan hawa hawatafiri anavosema wandish WA ajabu

  • @andjelanikandolo6046
    @andjelanikandolo6046 3 ปีที่แล้ว

    Mungu wetu ni mwema
    Mungu akulinde tena

  • @papilumona1896
    @papilumona1896 3 ปีที่แล้ว +1

    Ni mzee kweli lakini hana miaka zaidi ya 100

  • @byaondasadiki9980
    @byaondasadiki9980 3 ปีที่แล้ว +1

    Babu yangu mungu azidi kukulinda

  • @wilsonmsenga6447
    @wilsonmsenga6447 3 ปีที่แล้ว +1

    Miaka 70, ukipendelewa sana miaka 80.sasa hapo unasemaje.

  • @celestinealimasi4866
    @celestinealimasi4866 3 ปีที่แล้ว +1

    Unaishi baba, kweli tunaye mungu anaye tujibu,mungu akupe maisha marefu kweli

  • @paulomrisho19
    @paulomrisho19 3 ปีที่แล้ว +1

    Wow baraka kweli

  • @BMCTV83
    @BMCTV83 3 ปีที่แล้ว +1

    Mzee wangu bado ukingali chuma cha kukutana naye...Mungu wetú abecha bongwe aohelele.

  • @imash04tv20
    @imash04tv20 2 ปีที่แล้ว

    vichwa vya habari bwana hata hapo congo brazzavile hajawahi kufika anasema mzee mwenye umri mrefu zaidi upuuzi huu

  • @wilisavage8204
    @wilisavage8204 3 ปีที่แล้ว +1

    ❤❤❤❤

  • @abdallahmmary8591
    @abdallahmmary8591 ปีที่แล้ว

    Week sio muandishi mzuri hujui

  • @fatimahirakoze7311
    @fatimahirakoze7311 ปีที่แล้ว

    Babu ajui tena kitu jmn

  • @madjaliwalupangolubunga9869
    @madjaliwalupangolubunga9869 3 ปีที่แล้ว

    Abarikiwe

  • @samsonimnyampala
    @samsonimnyampala หลายเดือนก่อน

    Mwandishi hufai kwer mnaonge ujinga gan usiereweka

  • @praygodmtui1407
    @praygodmtui1407 2 ปีที่แล้ว

    Wewe mwandishi mshamba sans

  • @familykabange6328
    @familykabange6328 ปีที่แล้ว

    Kuishi long time ni nehema

  • @bayombejean3959
    @bayombejean3959 3 ปีที่แล้ว

    Iyo sehemu alipo sema kua amezaliwa ni mji wazamani sana tokea wabembe hawafika tanganyika. Wangali milimani.

  • @annakakozi1748
    @annakakozi1748 3 ปีที่แล้ว

    Samahani kwakuwa sikutapa jina langu mimi ni Anna. nahishi Canada

  • @trofferehaya4010
    @trofferehaya4010 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mzee hajafikisha miaka 120 bado.

  • @chiefndatu1895
    @chiefndatu1895 3 ปีที่แล้ว

    Kama umeskia litombwe

  • @Mamatonny2065
    @Mamatonny2065 2 ปีที่แล้ว

    Acheni uongo.leteni habari za ukweli.!.

  • @Akaoka-nd9tz
    @Akaoka-nd9tz ปีที่แล้ว

    ACHANA NA WONGO TANGANIKA TV. MZEE ANA SEMA AJUWI MWAKA ALIO ZALIWA. VOUS VOUS BASEZ SUR QUOI POUR LUI DONNER 160ANS??
    MZEE N’A PAS CET ÂGE LÀ. IL N’A MÊME PAS 100ans..///

  • @mvanobilali8502
    @mvanobilali8502 ปีที่แล้ว

    izo habari nina mashaka na izo taarifa mlitumia kipimo gani kwa kujuwa iyo idadi ya iyo miaka
    NB:iyo miaka anayo taja ata mbembe wa kwanza ambae tuna mjuwa kufika fizi aja iyeneza.

  • @abdallahmmary8591
    @abdallahmmary8591 ปีที่แล้ว

    Wewe sio muandishi mzuri hujatafsir na hats hajui idadi ya watoto na mwanae was kwanza amezaliwa mwaka gani na familia Kwa ujumla Ili tuweke uino

  • @omaringulangwa3085
    @omaringulangwa3085 3 ปีที่แล้ว

    Acheni uwongo uyo mzee hata miaka 120 ajafika

  • @muragaraphilippe9087
    @muragaraphilippe9087 3 ปีที่แล้ว

    Huyo mzee hana zaidi ya miaka 90-96 Kama Nelson Mandela ✍🏽

    • @nsajigwaburton
      @nsajigwaburton 10 หลายเดือนก่อน

      ivyo uyo mzee na Mwinyi hawapishani

  • @pendezabahombwa6377
    @pendezabahombwa6377 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyo mzee hata miaka 115 haja fikia à

  • @vero57
    @vero57 3 ปีที่แล้ว +1

    Kama hivyo kafanyeni DNA itakua kitu muhimu sana hogera babu

  • @salehaljadidi8206
    @salehaljadidi8206 3 ปีที่แล้ว

    Kama Ana birth certificate muipeleke World Guinness Book ajulikane duniani pote.

  • @OneFa2526
    @OneFa2526 3 ปีที่แล้ว

    Acha amaliziye tu

  • @malcomx4067
    @malcomx4067 3 ปีที่แล้ว

    Mbona hakuna sauti, please.

  • @josephlubaba15
    @josephlubaba15 3 ปีที่แล้ว

    Una uhakika gani kabla kutoa taarifa hii?

  • @saynabmohammed6263
    @saynabmohammed6263 ปีที่แล้ว

    Wewe muandish usifanye kaz hiyo hujui
    Jmn tz musiwape kaz watu bila kupewa interview kuhakikisha anajua

  • @saynabmohammed6263
    @saynabmohammed6263 2 ปีที่แล้ว

    Kasomee uandishi hujui unasikia ww tu
    Unatia aibu Tanzania
    Angalia wenzio wanavotangaza

  • @iddishemi81
    @iddishemi81 3 ปีที่แล้ว

    Bado nashangaa

  • @mialanomangobo9356
    @mialanomangobo9356 3 ปีที่แล้ว

    Abondelwa Mibula ya m’atú mikelele ya ng’ombe

  • @Charlive225.
    @Charlive225. 3 ปีที่แล้ว

    Mmm yaani muojiano ajui hata kuongea anaoji eti siri yakuishi nini mmmm fikiria kabla yakuhuliza swali

  • @annakakozi1748
    @annakakozi1748 3 ปีที่แล้ว

    Jambo wandungu zangu kuna mtu ambaye anahitaji number yenu kwa ajili ya mzee

    • @TanganyikaTV
      @TanganyikaTV  3 ปีที่แล้ว

      Tutafute WhatsApp Kwa maelezo zaidi +353 89 426 3576

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 2 ปีที่แล้ว

    Nyinyi waandishi ni watangnyika kweli?au mnajifanyatuu?hatuelewi hiyo lugha, wala hakuna tafsiri

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 2 ปีที่แล้ว

    Uongo, huyo hana miaka hiyo,

  • @hashimidrissa7189
    @hashimidrissa7189 2 ปีที่แล้ว

    Hakuna mwandishi mshamba nilopata kumuuona kama hili jamaa, sasa kama hutafsiri yanayosemwa wewe si tahira tu. Mzee angeongea kwa vituo huku unaelezea alichosema

  • @gracenjuguna809
    @gracenjuguna809 2 ปีที่แล้ว

    M

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 2 ปีที่แล้ว

    Labda 120

  • @fatmakiruwasha2378
    @fatmakiruwasha2378 3 ปีที่แล้ว

    Samahani jamani hirunga gani

    • @bayombejean3959
      @bayombejean3959 3 ปีที่แล้ว

      Kibembe

    • @bayombejean3959
      @bayombejean3959 3 ปีที่แล้ว

      Fatima kiruwasha .incho ni kibembe . Anasema ni mungu ndie aliemlinda na anaongeaga naye tokea ujana wake na alimulinda kwa kazi maalumu ya kulinda asili .wenzake wote walikufaga zamani .

  • @josephlubaba15
    @josephlubaba15 3 ปีที่แล้ว

    Habari nzuri
    Sasa , alijuaje mwaka wake wa muzaliwa?
    Ana vitambulisho ( certificat de naissance) sahihi ?
    Kama La, wewe journalist una ugali Ka gani Kabila ya kutoa hii taarifa?

    • @johnsatr9034
      @johnsatr9034 3 ปีที่แล้ว

      Ni babu yangu mzaa baba ivyo vitabulisho nihuyo kaka yangu mdo anamsahidiya kuvichunga

    • @suleimanmustapha101
      @suleimanmustapha101 3 ปีที่แล้ว

      Hata Kondoa Itololo wapo wazee wenye umri mkubwa, umri wao unakadiriwa kwa kuangalia wajukuu zao ambao nao ni wazee,kwa mfano unakuta mzee alizaa watoto 6 ambao wote wametangulia mbele na ana mkujuu kutoka kwa mtoto wake wa 6 ambaye kwa wakati huo ana miaka 80!
      Njia nyingine ni matukio makuu kama njaa,vita, magonjwa,n k vilivyotokea zamani, kwa mfano mtu anakumbuka vita vya dunia alikuwa na miaka 50 au zaidi, ukijumlisha hapo unakadiria umri wake!

    • @suleimanmustapha101
      @suleimanmustapha101 3 ปีที่แล้ว

      Au zamani mtu anakumbuka nyakati za kutawazwa watemi yeye alikuwa na umri gani,ikijulikana mtemi alitawazwa lini wanajumlisha na kukadiria umri wake

  • @stevemwakisimba5986
    @stevemwakisimba5986 3 ปีที่แล้ว

    Acheni utani nyie miaka150hawezikia hivyo acheni sifa za kikongo miaka150anasahau kila kitu na hua anabebwa tu

    • @bayombejean3959
      @bayombejean3959 3 ปีที่แล้ว +1

      Wewe steve mwkisimba . Unaweza sema nini maana ya neema? Zamani kunawatu walifikisha miaka miatatu na kupitisha .

    • @wilsonmsenga6447
      @wilsonmsenga6447 3 ปีที่แล้ว

      @@bayombejean3959 siyo chips mayai ya kisasa, hapo chakula asilia.