Msikie Jane Misso Anasema (part1)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ต.ค. 2024
  • #Janeebeneza

ความคิดเห็น • 13

  • @liliank646
    @liliank646 5 ปีที่แล้ว +1

    Umetishaaa umenena vema

  • @leahmwankundile8522
    @leahmwankundile8522 5 ปีที่แล้ว +1

    Kabisa wanaofanikiwa wana watu nyumaaaa
    Pia nyimbo za injili ni dawa ya kupona magonjwa dawa za stress dawa za majaribu pia ni faraja kwakweli safi sana da jane miso

  • @helvinngeleja2956
    @helvinngeleja2956 5 ปีที่แล้ว +1

    ameen...dada jane....nakukubali saana kwa kusema kweli..love kama zote

  • @christianngao5608
    @christianngao5608 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki sana kwa huduma nzuri nakuombea ufanikiwe kwa kila jambo jema ufanyalo, barikiwa sana dadaangu wa faida

  • @TheKandoya
    @TheKandoya 5 ปีที่แล้ว +1

    Big up my sister in law

  • @lembojunior1920
    @lembojunior1920 5 ปีที่แล้ว +1

    HEKIMA KUBWAA...MANENO KUNTUUUU

  • @johnyassin1208
    @johnyassin1208 5 ปีที่แล้ว +1

    fact my sister

  • @leahmwankundile8522
    @leahmwankundile8522 5 ปีที่แล้ว +1

    Safu hii kabisaaa

  • @elibarikiminja5716
    @elibarikiminja5716 5 ปีที่แล้ว +1

    Umesema kweli mtumishi wa Mungu, kumbuka Injili ni moto hivyo inavita sana

  • @kedimonainea2597
    @kedimonainea2597 5 ปีที่แล้ว +1

    Umeongea ukweli Mtumishi Wa Mungu

  • @reginahmutua8419
    @reginahmutua8419 5 ปีที่แล้ว +1

    It doesn't matter what we are going through. As long as we got Jesus we will accomplish our destinyz.

  • @neemajonthan8731
    @neemajonthan8731 5 ปีที่แล้ว +1

    Wao! I like that idea my dear keep up lvly sister barikiwa kwa huduma yako maana wa share nasi ulaji - ajira.Mungu autazama zaidi moyo wako wa upendo na kuwajali wengine hivyo hakika Mungu hataachilia nafasi adui kudumaza huduma yako zaidi atakuwekea walinzi na kumkemea yule adui mharibifu Ooooooh! more blessings dear God leads you........say amen

    • @ladybilionaire379
      @ladybilionaire379 5 ปีที่แล้ว

      Amen my dear napokea kabisa by Jane Misso