Shalom ndugu zangu. Asante kwa kipindi hiki kizuri. Lakini kuna kipindi kingine ambacho nimekifwatilia hapa mtandaoni kwamba pale mton wa Ohio hakuna sauti iliosema kwamba Ujumbe wa Brahnam ndo utatangulia kurundi kwa pili kwa Yesu Kristo. Eti hakuna uhakika wowote. Hebu tusaidieni hapo ndugu zangu. Ni mimi ndugu yenu kutoka Ujerumani
107 Jambo lile lile ambalo Yeye alisema nilipobatiza chini hapa kwenye Mto Ohio, wengi wenu walikuwa wamesimama pale, miaka ishirini na mitatu iliyopita, papo hapo kwenye Mto Ohio. Nuru ile, Malaika, alishuka akaja hata tulipokuwa na kusema, “Kama Yohana Mbatizaji alivyotumwa kutangulia kule kuja kwa kwanza kwa Yesu Kristo, Ujumbe wako utaleta Kuja kwa Pili kwa Yesu Kristo.” Na imetendeka. Ni…Yeye bado hajakuja, lakini ona yale umefanya, umeenea ulimwenguni, kote. Ona? Na siku hizi sasa, nikiwaza tu, zile - zile juhudi zilizofanywa, kumekuwa na mamilioni hakika. 54-0515 - Maswali na Majibu Rev. William Marrion Branham
127 Nilikuwa nikibatiza huko mtoni, waongofu wangu wa kwanza, kwenye Mto Ohio, na mtu wa kumi na saba niliyekuwa nikimbatiza, nilipoanza kumbatiza, nilisema, “Baba, ninapombatiza kwa maji, Wewe umbatize na Roho Mtakatifu.” Nikaanza ku-kumwingiza majini. 128 Na mara tu basi kisulisuli kikaja toka juu mbinguni, na hapa ikaja hiyo Nuru, ikiangaza chini. Mamia na mamia ya watu wakiwa ukingoni, saa nane kamili za mchana, mwezi wa Juni. Nayo ikaning’inia papo hapo juu ya mahali nilipokuwa. Sauti ikanena kutoka hapo, ikasema, “Kama vile Yohana Mbatizaji alivyotumwa awe mtangulizi wa kuja kwa kwanza kwa Kristo, wewe unao…unao Ujumbe utakaoleta kule kutangulia kwa Kuja kwa Pili kwa Kristo.” Na hilo liliniogopesha nusura kufa. 55-0117 - Jinsi Yule Malaika Alivyonijia, Na Agizo Lake Rev. William Marrion Branham
Amina, ndugu zangu wapendwa, unajua huwezi kumuhukumu mtu kwa kile alichokiamini bali Neno limuhukumu, lakini hapo tunajichanganya ndugu zangu,Neno liko wazi, inategemea ufunuo uliopata,Kwanza kuhusu mjumbe au Nabii,ninachojua Nabii alizungumzia roho ya Eliya Mara Tano,Eliya,Elisha,YOHANA mbatizaji, William MARRION BRANHAM,na ufunuo 11roho ya Eliya utakuja Tena kwa Israel, ambaye ni Mara Tano,na William Branham ni Nabii wa mwisho kwa upande wa Taifa,na Mungu anafunga ukuraza kwa upande wa mataifa,na kuigeukia Israel,sioni Neno lingine au maandiko yakimzungumza mtu mwingine,baada ya William Branham,kwa sababu Nabii alisema ni sawa alisema, lakini kumbuka kuwa Nabii alisema baada ya yeye kuondoka atakayetuongoza ni roho mtakatifu,na akasema Joshua wetu ni Roho mtakatifu,, Sasa hapo lazima tuwe makini sana, maandiko yanasema sisi Bibi arusi wa kristo ni Mungu wadogo, manabii wadogo,makuhani wadogo, lakini hakumanisha kuwa sisi tumekuwa Mungu laaaaaa!! wadogo, kwahiyo Ndugu Joseph ni Nabii mdogo,Kama Mchungaji alivyo Mungu mdogo kanisani lakini sio Nabii wa kizazi, Nabii wa kizazi William Branham, kulingana na maandiko, kuhusu mahubiri ya Kanda, jamani, jamani, ninachojua hakuna mtu aliyewahi kumwondoa Nabii mimbarani,kwa sababu Mchungaji yeyote ndani ya ujumbe huu akienda mimbarani anachukua ujumbe wa Nabii na kabla tunasikiliza sauti Nabii ktk Kanda,na baada ya Kanda ni mahubiri ambaye Mchungaji anachukua ujumbe katika Kitabu,Sasa hii kusema tumrudishe Nabii mimbarani,sijui imefika wapi,wanaosema hivyo ndio waliomwondoa Nabii mimbarani na Sasa wanamrudisha,kwa kupiga kampeni, lakini ukiangalia kwa makini Kuna kitu nyuma yake,fuatilia kwa makini, kumbuka kuwa Kila Safari ya kiroho au Kila wakati Mungu anapomtuma Nabii wake lazima Kuna b yake ambaye sio sahihi,Musa na akina kora, Kristo na Yuda, Adam na Shetani,Kila wakati,Yanne na Yambre, lakini hatumuhukumu mtu alivyoona Bali Neno litamuhukumu,na NENO ni wazi,Neno la Mungu linahitaji ufunuo,kwa sababu huwezi ukasoma Kama gazeti linamuhitaji roho mtakatifu, Asante sana ndugu na Mungu awabariki!!
Mungu akubariki mpendwa, una haki ya kuamini kile unacho jisikia na sina haja ya kukuelewesha ili uamini kile Branham amesema ni mahamuzi yako mpendwa. Ujumbe ulirikodiwa ili bibi arusi ajisikilie mwenyewe na Joseph anasisitiza umusikilize mjumbe wako, hajasema yeye amekua Eliya wa 5, na anaye kataa huduma ya kanda ndugu Branham anasema ni mbuzi, asiyeamini. Sasa ni kwako kuchagua kua mbuzi ao kondoo anaye sikia sauti ya mchungaji wake. Inategemea na mbegu ilio ndani yako wakati umekasirika kuhusu Joseph kua Nabii ambaye mjumbe wako amesema afu wewe unajaribu kuelewesha inamaana mjumbe hakujua alichokua na sema? Hali yako ya sasa ya akili unaposoma comment hii inaonesha umo katika tabaka hipi, kama wewe mbuzi hutapenda kusikia huduma ya kanda na kama wewe ni kondoo utaamini kile ndugu Branham amesema kuhusu Joseph. Shalom na Mungu wa Branham akubariki
23 Nilipomweka wakfu kwa Bwana, ile asubuhi, kulikuwako na watoto wengi wachanga waliosimama, nao walikuwa na mama pamoja nao madhabahuni, nilipomchukua Joseph mikononi mwangu, pasipo kuwazia nililokuwa nikisema, Nilisema, “Joseph, mwanangu, wewe ni nabii.” Hilo ndilo ombi langu, kwa vyovyote vile, nami ninaamini itatimia, kwamba, Mungu atachukua kila kitu alichopata kunipa mimi, na kukijumlisha maradufu mara maradufu, na kukiweka juu ya mvulana huyo, ndipo nitakapoondoka yeye atapachukua mahali pangu. 59-1129 - Na Tumwone Mungu Rev. William Marrion Branham
239 The second: I’d like to live long enough that I could see my little Joseph setting there become a minister, take the spirit that I shall leave him. May my spirit come upon him. When I dedicated him to God, standing there in his mother’s arms, I don’t know, there was ten or fifteen babies, when I picked him up, the Spirit caught me, and said, “Joseph, my son, you are a prophet.” God, let my spirit come in a double portion on my son. 60-0608 - Having Conferences Rev. William Marrion Branham
222 I’m going one of these days, friends, going to leave the world. I pray that God will take the spirit that He’s let me have, and put a double portion upon my son, Joseph, to shine the Light while I’m gone. 223 And so then, I expected Billy…Billy is one of the finest boys the world could…He wasn’t called in the ministry. Now, I don’t want to leave without having somebody to represent, take my place when I’m gone. 61-0124 - Blind Bartimaeus Rev. William Marrion Branham
Amina tunamshuru mungu kwa neno lake la kweli la kulipata like ono
Mungu akubariki sana pastor John. Hakika wewe ni mtumishi wa kweli wa Bwana.
Be blessed
Asanteni ndugu kurusha kipindi hiki songa mbele n'a mimi naamini gucheza Kanda Kanisani kwetu
❤❤❤❤
Keep press pray❤ brothers and sisters
Amen
Shalom ndugu zangu. Asante kwa kipindi hiki kizuri. Lakini kuna kipindi kingine ambacho nimekifwatilia hapa mtandaoni kwamba pale mton wa Ohio hakuna sauti iliosema kwamba Ujumbe wa Brahnam ndo utatangulia kurundi kwa pili kwa Yesu Kristo. Eti hakuna uhakika wowote. Hebu tusaidieni hapo ndugu zangu. Ni mimi ndugu yenu kutoka Ujerumani
107 Jambo lile lile ambalo Yeye alisema nilipobatiza chini hapa kwenye Mto Ohio, wengi wenu walikuwa wamesimama pale, miaka ishirini na mitatu iliyopita, papo hapo kwenye Mto Ohio. Nuru ile, Malaika, alishuka akaja hata tulipokuwa na kusema, “Kama Yohana Mbatizaji alivyotumwa kutangulia kule kuja kwa kwanza kwa Yesu Kristo, Ujumbe wako utaleta Kuja kwa Pili kwa Yesu Kristo.” Na imetendeka. Ni…Yeye bado hajakuja, lakini ona yale umefanya, umeenea ulimwenguni, kote. Ona? Na siku hizi sasa, nikiwaza tu, zile - zile juhudi zilizofanywa, kumekuwa na mamilioni hakika.
54-0515 - Maswali na Majibu
Rev. William Marrion Branham
127 Nilikuwa nikibatiza huko mtoni, waongofu wangu wa kwanza, kwenye Mto Ohio, na mtu wa kumi na saba niliyekuwa nikimbatiza, nilipoanza kumbatiza, nilisema, “Baba, ninapombatiza kwa maji, Wewe umbatize na Roho Mtakatifu.” Nikaanza ku-kumwingiza majini.
128 Na mara tu basi kisulisuli kikaja toka juu mbinguni, na hapa ikaja hiyo Nuru, ikiangaza chini. Mamia na mamia ya watu wakiwa ukingoni, saa nane kamili za mchana, mwezi wa Juni. Nayo ikaning’inia papo hapo juu ya mahali nilipokuwa. Sauti ikanena kutoka hapo, ikasema, “Kama vile Yohana Mbatizaji alivyotumwa awe mtangulizi wa kuja kwa kwanza kwa Kristo, wewe unao…unao Ujumbe utakaoleta kule kutangulia kwa Kuja kwa Pili kwa Kristo.” Na hilo liliniogopesha nusura kufa.
55-0117 - Jinsi Yule Malaika Alivyonijia, Na Agizo Lake
Rev. William Marrion Branham
Bwana akubariki mpendwa, nimekutumia kile Branham amesema. Naamini itakua baraka ukimusikia yeye mwenyewe. Shalom
Amina, ndugu zangu wapendwa, unajua huwezi kumuhukumu mtu kwa kile alichokiamini bali Neno limuhukumu, lakini hapo tunajichanganya ndugu zangu,Neno liko wazi, inategemea ufunuo uliopata,Kwanza kuhusu mjumbe au Nabii,ninachojua Nabii alizungumzia roho ya Eliya Mara Tano,Eliya,Elisha,YOHANA mbatizaji, William MARRION BRANHAM,na ufunuo 11roho ya Eliya utakuja Tena kwa Israel, ambaye ni Mara Tano,na William Branham ni Nabii wa mwisho kwa upande wa Taifa,na Mungu anafunga ukuraza kwa upande wa mataifa,na kuigeukia Israel,sioni Neno lingine au maandiko yakimzungumza mtu mwingine,baada ya William Branham,kwa sababu Nabii alisema ni sawa alisema, lakini kumbuka kuwa Nabii alisema baada ya yeye kuondoka atakayetuongoza ni roho mtakatifu,na akasema Joshua wetu ni Roho mtakatifu,, Sasa hapo lazima tuwe makini sana, maandiko yanasema sisi Bibi arusi wa kristo ni Mungu wadogo, manabii wadogo,makuhani wadogo, lakini hakumanisha kuwa sisi tumekuwa Mungu laaaaaa!! wadogo, kwahiyo Ndugu Joseph ni Nabii mdogo,Kama Mchungaji alivyo Mungu mdogo kanisani lakini sio Nabii wa kizazi, Nabii wa kizazi William Branham, kulingana na maandiko, kuhusu mahubiri ya Kanda, jamani, jamani, ninachojua hakuna mtu aliyewahi kumwondoa Nabii mimbarani,kwa sababu Mchungaji yeyote ndani ya ujumbe huu akienda mimbarani anachukua ujumbe wa Nabii na kabla tunasikiliza sauti Nabii ktk Kanda,na baada ya Kanda ni mahubiri ambaye Mchungaji anachukua ujumbe katika Kitabu,Sasa hii kusema tumrudishe Nabii mimbarani,sijui imefika wapi,wanaosema hivyo ndio waliomwondoa Nabii mimbarani na Sasa wanamrudisha,kwa kupiga kampeni, lakini ukiangalia kwa makini Kuna kitu nyuma yake,fuatilia kwa makini, kumbuka kuwa Kila Safari ya kiroho au Kila wakati Mungu anapomtuma Nabii wake lazima Kuna b yake ambaye sio sahihi,Musa na akina kora, Kristo na Yuda, Adam na Shetani,Kila wakati,Yanne na Yambre, lakini hatumuhukumu mtu alivyoona Bali Neno litamuhukumu,na NENO ni wazi,Neno la Mungu linahitaji ufunuo,kwa sababu huwezi ukasoma Kama gazeti linamuhitaji roho mtakatifu, Asante sana ndugu na Mungu awabariki!!
Mungu akubariki mpendwa, una haki ya kuamini kile unacho jisikia na sina haja ya kukuelewesha ili uamini kile Branham amesema ni mahamuzi yako mpendwa. Ujumbe ulirikodiwa ili bibi arusi ajisikilie mwenyewe na Joseph anasisitiza umusikilize mjumbe wako, hajasema yeye amekua Eliya wa 5, na anaye kataa huduma ya kanda ndugu Branham anasema ni mbuzi, asiyeamini. Sasa ni kwako kuchagua kua mbuzi ao kondoo anaye sikia sauti ya mchungaji wake. Inategemea na mbegu ilio ndani yako wakati umekasirika kuhusu Joseph kua Nabii ambaye mjumbe wako amesema afu wewe unajaribu kuelewesha inamaana mjumbe hakujua alichokua na sema? Hali yako ya sasa ya akili unaposoma comment hii inaonesha umo katika tabaka hipi, kama wewe mbuzi hutapenda kusikia huduma ya kanda na kama wewe ni kondoo utaamini kile ndugu Branham amesema kuhusu Joseph. Shalom na Mungu wa Branham akubariki
23 Nilipomweka wakfu kwa Bwana, ile asubuhi, kulikuwako na watoto wengi wachanga waliosimama, nao walikuwa na mama pamoja nao madhabahuni, nilipomchukua Joseph mikononi mwangu, pasipo kuwazia nililokuwa nikisema, Nilisema, “Joseph, mwanangu, wewe ni nabii.” Hilo ndilo ombi langu, kwa vyovyote vile, nami ninaamini itatimia, kwamba, Mungu atachukua kila kitu alichopata kunipa mimi, na kukijumlisha maradufu mara maradufu, na kukiweka juu ya mvulana huyo, ndipo nitakapoondoka yeye atapachukua mahali pangu.
59-1129 - Na Tumwone Mungu
Rev. William Marrion Branham
239 The second: I’d like to live long enough that I could see my little Joseph setting there become a minister, take the spirit that I shall leave him. May my spirit come upon him. When I dedicated him to God, standing there in his mother’s arms, I don’t know, there was ten or fifteen babies, when I picked him up, the Spirit caught me, and said, “Joseph, my son, you are a prophet.” God, let my spirit come in a double portion on my son.
60-0608 - Having Conferences
Rev. William Marrion Branham
222 I’m going one of these days, friends, going to leave the world. I pray that God will take the spirit that He’s let me have, and put a double portion upon my son, Joseph, to shine the Light while I’m gone.
223 And so then, I expected Billy…Billy is one of the finest boys the world could…He wasn’t called in the ministry. Now, I don’t want to leave without having somebody to represent, take my place when I’m gone.
61-0124 - Blind Bartimaeus
Rev. William Marrion Branham
Unamwamini Nabii,!!?
Nabii ndiye alisema hivyo.
Amen
Amen
Amen