MAKALA: UMUHIMU WA SHAMBA LA MALISHO YA MIFUGO (VIKUGE)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
  • Karibu katika makala maalum inayoandaliwa na Wizara ya Mifugo na Uvuvi ili kukufahamisha majukumu, mafanikio, mikakati na fursa mbalimbali zilizopo kupitia wizara hii na taasisi zilizo chini yake, pamoja na kukuelimisha wewe mwananchi namna unavyoweza kujikwamua kiuchumi kupitia sekta za mifugo na uvuvi.
    katika makala hii utafahamu kuhusu shamba la mbegu na malisho ya mifugo lililopo Kata ya Vikuge, Wilaya ya Kibaha Mkoani Pwani.

ความคิดเห็น • 4