KUJITAMBUA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 20

  • @lameckjohn3257
    @lameckjohn3257 4 ปีที่แล้ว +1

    Good said broo
    Addition tu kaka
    Kujitambua ni awareness kwa maana nyingine ambayo ni recognize the truth about your self with consideration of life style,body and environment.Lakini pia understanding your emotion,motives,character and Desires
    Ni kujua umeumbwaje na unafanyaje kazi.Sasa binadamu ni bidhaa kama zilivyo bidhaa nyingine lakini mwanadamu mtengenezaji wake ni MUNGU.Bidhaa zinazodumu na kuishi muda mrefu sokoni ni zile ambazo ubeba utatuzi.Kikawaida bidhaa imeundwa na kukamilika katika mfumo utakaowezesha bidhaa husika kuleta solution(UTATUZI) iliyowekwa ndani yako.
    So tukisema kuwa bidhaa imejitambua ni pale inapofahamu namna ya kutumia mfumo/system iliyopo ndani yake kuzalisha SOLUTION(UTATUZI).Sasa kwa mtu kuwa amejitambua ni pale anapojua ameumbwa vipi na anamfumo gani wa utendaji ndani yake unaofanya kazi kumsaidia ili kutimia matakwa ya mtengenezaji.Mfano uwezi tengeneza simu ikawa haina spika, moja kwa moja haiwezi fanya kazi japo kusudi lake ni kuzalisha sauti.
    Kwa leo inatosha kaka>>>>>>>>>Mimi ni zao la Chimbo school of thought tangu ilipokuwa pale kamanyola sinza karibu na shule ya Mugabe.
    Nilikuja siku moja tu...ilitosha kabisa kuendelea mbele kwenye safari ya kujitambua ASANTE SANA KAKA Harris Kapiga
    Ukipata nafasi pita kwenye chanell yangu>>>th-cam.com/video/hDNdz2q-0ko/w-d-xo.html

  • @thereziaaloyce3430
    @thereziaaloyce3430 7 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @joycelaizer4600
    @joycelaizer4600 4 ปีที่แล้ว

    Nakupenda sn

  • @ibrahimabdu867
    @ibrahimabdu867 4 ปีที่แล้ว

    good sana

  • @ostazclassic3370
    @ostazclassic3370 6 ปีที่แล้ว

    Mzee nipo America hila nakufuatilia sana tena sana mzee wangu👏

  • @archkeels3753
    @archkeels3753 7 ปีที่แล้ว

    Brother naomba mungu akuzidishie maana in vingi sjui

  • @danielmlanda6969
    @danielmlanda6969 7 ปีที่แล้ว +1

    ilove you my brother

  • @wahidamohamed9965
    @wahidamohamed9965 7 ปีที่แล้ว

    yani broo unamaneno mazur sana

  • @ramadhanimagomba7395
    @ramadhanimagomba7395 7 ปีที่แล้ว

    Jamaa unajua sana

  • @wilbardmussa8232
    @wilbardmussa8232 6 ปีที่แล้ว +1

    Good presenter

  • @sultanisharifu6728
    @sultanisharifu6728 5 ปีที่แล้ว

    Sawa kaka ila utajuaje kitu gani kilichokuleta duniani

  • @francisgosbert2354
    @francisgosbert2354 7 ปีที่แล้ว

    asante harris

  • @ibrakadabra8308
    @ibrakadabra8308 7 ปีที่แล้ว

    God bless you

  • @emaboki8709
    @emaboki8709 7 ปีที่แล้ว +1

    nice

  • @yusuphmohamedy1316
    @yusuphmohamedy1316 6 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @msaniimpyaBMW
    @msaniimpyaBMW 7 ปีที่แล้ว

    Nimekusoma kaka!

  • @emmylucas3398
    @emmylucas3398 6 ปีที่แล้ว

    nakuelewa Sana

  • @abdallahmaloweka871
    @abdallahmaloweka871 7 ปีที่แล้ว

    owk bro kapiga

  • @francisgosbert2354
    @francisgosbert2354 7 ปีที่แล้ว

    nimejitambua

  • @husseinmwakasala7565
    @husseinmwakasala7565 5 ปีที่แล้ว

    pia mimi au ww n mmoja kati ya sperm million 300, ambao walitakiwa kuwa wao lkn nikawa mm.. of course bro we are special to something