Mr le journaliste c quoi ton probleme , tu sais bien que l'artist parle bien Le Swahili et toi aussi mais pourquoi tu forces Les artistes baongeye fraçais
@@ZonartTV @user-cv8np5zk9e et tout le monde qui suit cette émission ne comprennent pas fraçais na engine kitu ule lhomanix alikuya njo goma aiko Paris na 95% ya Batu mu goma bana ongeya Sana kiswahili sasa aye tu muache kufanya emission kwanza juu ya Batu ba nyumbani muanze kufanyia Batu ya France benye abamujuwi ata lhomanix. Auezi ukasikia inchi kama Tanzania, Kenya... Wanamfanyia interview Msanii anaye juwa ata kidogo lugha ya nyumbani (kiswahili) kwenye lugha geni never. Kwa mfano innoss b alipo fika tz interview ilikuwaka kwa kiswahili aimanishi Kama innoss b ajuwi kingereza na sio kama na wao awaitaji watu wengine kutoka inchi tufauti ila nyumbani kwanza. Mais pardon sana kama nitakuwa naongeya mubaya
Bonjour jaime tout te chanson lhomanix
Mon nouveau choson bien t'on la
Bien mon frère Calvin M
✅✅
Mi namukumbuka kwa ile Chason mike makema nilikuaka kalemie
Bonsoir
Votons tous le numéro 3
Va lui voter toi même
Va lui voter toi même
Mr le journaliste c quoi ton probleme , tu sais bien que l'artist parle bien Le Swahili et toi aussi mais pourquoi tu forces Les artistes baongeye fraçais
Nous faisons des émissions pas pour les gens qui parlent swahili seulement, nous avons une audience vraiment large
Tout le monde qui suit cette émission ne comprennent pas swahili