TUNATANGULIZA SAMAHANI KWA KUCHELEWESHA KUIWEKA MUVI HII "KUBWA KULIKO" PIA MASHABIKI ZETU WAPENDWA MSISAHAU KU SUBSCRIBE/ LIKE/SHARE&COMENTS CHANEL YETU. THANX FOR YOR SUPPORT 👏👏👏
Uliambiwa usipige mluzi, ona sasa yamekupata😂😂😂😂😂,kazi nzuri sana , nimecheka kama fala mahali tin anatoka nje ya gate na kujipata bado yupo ndani😂😂😂😂♥️♥️♥️💪💪💪
Aiseee mmenikumbuxha kulikuwa na mlnzi shulen ya msingi alikuwa anadai ucku aliwa ametulia kwenye lindo anasikia kuku na vifaranga vinapita af akiangalia haoni kitu hahahahaaaaaa
TUNATANGULIZA SAMAHANI KWA KUCHELEWESHA KUIWEKA MUVI HII "KUBWA KULIKO"
PIA MASHABIKI ZETU WAPENDWA MSISAHAU KU SUBSCRIBE/ LIKE/SHARE&COMENTS CHANEL YETU.
THANX FOR YOR SUPPORT 👏👏👏
Bado walevi mbwa
Already subscribed
Kaka xax iv.mnatishaa xanaaa
Mbona tena mmekwama jamani tupeni vitu
@@vascothedon9783 tayari ipo utube
Nampendaga tiny jamani ❤️❤️❤️tujuane wanaomoenda tiny 🤣🤣🤣🤣🤣from254
Kazi nzuri wallah ❤️🇹🇿❤️
Mmetisha wakurungwa tin naomba kufanya kazi na wewe kaka
Hahaha unataka kusafili kwakutumia nyota ya mwezio Hahaha
Kubwa kuliko,, wapi likes za tin white
Tunao ipenda hii movie tujuane kwa like
Tupo wengi
Naikubali
jamaniii kubwa kuliko
Jmn inachekesha kwel ii movie
Tupi wengi na tunampenda tiny pia He is awesome
Da nilikuwa naingoja kazi safi sana💯💯
Ata mm
Xf
😆😆🤣🤣🤣🤣hamjawahi kuniangusha..the best comedian in tz
shabiki wenu kutoka Kenya,,,,napenda sana kazi zenu
Nomaaa tiniwhite wallah niko oman nnatamani kama tukutane ivi face to face maana mwili wako tuh pekeake comedy 😂😂😂😂
Jamani nampenda nagwa atar
tin ninoma kwkuigiza
Wako vizurivalooo
Ila nagwa anajua kuigiza... Jamaa akicheza muhuni utampenda... Akija mstaarabu utasahau
Hii Movie Ya Kubwa Kuliko Huwa Sichokagi Kuiangaliaa Ujuzi Wa Hali Ya Juuu Like Twende Sawa
Move zako Mr tin white zinatoaga stress. Aisee hongera kazi yenu.
Tin uko safi hapo
Mmetisha kubwa kuliko noma sanaaaaaa@@@@
Uliambiwa usipige mluzi, ona sasa yamekupata😂😂😂😂😂,kazi nzuri sana , nimecheka kama fala mahali tin anatoka nje ya gate na kujipata bado yupo ndani😂😂😂😂♥️♥️♥️💪💪💪
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 msalimie mama mwenye nyumbaa
😂😂😁😁😁
😂😂😂😂😂Jmn Kama unamchamba m2
Alichogundua ana nyota ya ng'ombe sio yambwa🤣🤣🤣🤣❤
❤❤❤❤❤❤🎉 kubwa kulikl wap iyooo likes za tin white
hahahahahaha bangi nilinde nionekane jini mkubwa bange ukivuta unaonekana km shoga big up brooo
Tin na mkojan akili zenu mnazijua mwnyew😆😆
safi saan ilikua wap hii muv jaman mbon mmeichelewesha saan
Duuh kweri kubwa kuliko😀😀nacheka mpaka naumwa
daaaaa mnaweza sana. ndungu zangu
Mko vizuri noma sana kubwa kuliko tuna wait part 3
Nampendea bulee huyu Kama kajazaa balaa telee jicho kaa bahali nipeni like zangu
leo wa kwanzaaaaa
Nice film
#tin_white...jembe ase
Kazi nzuri sana wallah
The best one
Napend sana kazi zenu❤️❤️❤️
Nawapenda sana hawa waigizaji haswa ni mkojani na tin white
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Waaaa move kali sana
Wa tisa mimi aisee kali kuliko
Aisee nimeipenda kinoma 😊❤
Wazee wanageria ahaaaa kubwa kuliko😂😂🤣🤣
Nawakubali sanaa wakubwa mnafanya kazi kubwa sanaa
😂😂hatari sana et mwanakulitafuta mwana kulipata
movie iko pow sn tiny white umenivuruga kwa hii movie
Ukisikia kubwa kuliko ndio hii mamaaa anakimbia anarudishwa apo apo mbavu zangu mm.jaman 😂😂😂😂😂
Napenda Sana movie zako tin white
kumchinja kobe taimingi ♬💯💯
Mpo vizuri wabongo
very nice kubwa kuliko
Nampenda nagwa san
HiliDude bwana weeee la Kimataifaa👊🔥🔥🔥+254
Nice.
Wazee wa nigeria 😅😅😅
KAZI nzuri kuweli
Watching from Sweden 🇸🇪 nwapenda xan jmn ❤️❤️...... iloo jumba bala🤣🤣🤣🤣😂😂
Hahahaha hapafai apo bora ukae home tu
Hi
Hi
Gigy are u in Stockholm?
MBavu zangu 😂 unakimbia unatokea apoapo
TIN WHITE nakukubali ata ukiigiza peke yako movie yote
Jamani anae sema hii movie mbaya mchawi au mnasemaje
Shukurani sana mko vinzuri😂😂😂😂🙏❤️
Jamn muvi nimeipenda yaan nacheka mpk najikuta nampg mtu kibao 😂😂😂😂
Mukovzur mashallahu nasubr ya 3
Oyaa wakurungwaaaaa
😮😮😮😮😮 gonga laiki apa lam bado mfuatiliaji
😂😂niki sanga juu ya kisanga kaka white
Kubwa kuliko mzee kumekuchaaaaaaa
Twende pamoja na hawa vijana nani huko na mm like hapa
Wakuu mnaonaje Hawa majamaa wakipata tunzoo
Daa a hawa jamaa ni wa aina yake sio kwa comedy hiz
Kama umesikia "OLA" like twende saw
Ujawai kukosea meze twende kaz
Ujawai kukosea MZEE kwenda kazi
😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ati naroteti kama dawa ya mbuu
Big up kwa kaka ske mavoko
Naipenda sana😂😂😂😂
Hii movie nzuri sana
Wazee wa Nigeria or Ghana😂😂😂
Lakini si umeelewa kaka?😂
Nigeria
Sasa Tini umeambiwa usipige mluzi😂🤣we umepiga wa nn🤣
🤣🤣🤣alitak aamin nn kitatokea
😃😀😃😀
Boka agapata kazi kamahajabu 🙈🙈🙈🙈🙉🙉🙉🇧🇮
Kubwa kuliko ni tam sana tunaomba nyingine
😂😂wallah tin white utaniuwa kw kucheka eti unavuta bangi km shoga 🤣🤣🤣
🙏🙏kazi nzuri tini white
mstucheleweshee utam mkojan tafadhal
Aiseee mmenikumbuxha kulikuwa na mlnzi shulen ya msingi alikuwa anadai ucku aliwa ametulia kwenye lindo anasikia kuku na vifaranga vinapita af akiangalia haoni kitu hahahahaaaaaa
Chupa kwa chupa hatua kwa hatua mpaka tufikie tamati weka like ww kama umeikubali
Mm binadamu nina mwisho wa kuona ....lol
Kma Kuna mtu kasikia msemo wa tinny wait mwanakulitafut mwanakulipata ebu like apo kma umelisikia hiloo😄😄
bangi bn huwa inasiri moja lazima uweka vidole juu kama shoga
Mwili wangu kama unavyouoma mafuta matupu nateseka mimi 😀😀😀😀😀😀
😂😂😂
Dahh!!! Hatareeeeeee
Hahaha et ukiwa unavuta bangi unaweka mkono km shoga
Hahaaaaaa mwana kulitafuta mwana kulipata
😂😂😂honger Mr tini good movie
Tin amepatikana jamani🤣🤣
Kazi nzur san
Akhhhh! Maajabula
Hii kweli kubwa kuliko
Hatareee
Nimekuwa wa 8 safari hiii
Nzuri sana moves yenu nimeipenda
🤣🤣🤣Mwana kulitafuta mwana kulipata 🤣🤣🤣🤣
Hahaha ukivuta bange jini haji
Hihihiiiiii kanikosaaa hapa tu ndo nlkuwa napawait mm
Nak7bali sana tin white😂
huyu jamaaa anajua hahahahahahahahaaaa
Ushaambiwa usipge kelele lakn ww bdo unaita wakulungwa😂
Hapo mm ndiyo nimechoka😀😀
@@asiaseif7229 😂😂😂😂
@@jovintosssi3287 yaani ni kiazi kweli😀😀
Jamanii Ii kaz inamfaa🤣🤣🤣😜
😄😄😄mwana wakulitafuta mwana wakulipata
😂😂😂😂😂😂😂Show iko top 🇰🇪
Eekeni 3from Kenya together
Jaman ni noumah nawapenda saaaan
Tin kwann hamtaki kutujibu Ringo yupo wapi? Pleas tunamuitaji uyu chalii bwana
Ringo hana ishu mbwembwe nyingi
@@asrymohd6690 aaa mbona yuko poa akiwa na tini mambo yananoga
Ringo anagombea ubunge