Jukwaa la Wakulima : Ufugaji Samaki Maji Baridi "Channel Ten"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 9

  • @sammarley1413
    @sammarley1413 3 ปีที่แล้ว

    Elimu ni nuru na ujinga nijiza.
    Huyu mtaalam nathael anaongea kitaalam kabisa nimependa sana.
    Watangazaj mjitahid sana kutizama nani mnaefanya nae mhadala.
    Mfano hayi ni huyu mtaalamu nathael
    Asanteni sana

  • @olivemwamengonakilimombeya6951
    @olivemwamengonakilimombeya6951 3 ปีที่แล้ว

    Namba naomba jamaniii

  • @anithalobina4986
    @anithalobina4986 6 ปีที่แล้ว +2

    Oyooooo Dr. Madalla

  • @sakinaomary8874
    @sakinaomary8874 7 ปีที่แล้ว +3

    Aloo nimejifunza kitu kwakweli ahsanteni sana

    • @allytimamiabubakar4208
      @allytimamiabubakar4208 5 ปีที่แล้ว

      Nimependa kipindi, mada(somo),mtangazaji,mfugaji,mtaalamu na maelezo yake ya kina yasiyo na choyo. Asante

  • @rikekikonyo2265
    @rikekikonyo2265 4 ปีที่แล้ว

    Shukrani kwa elimu

  • @stevenmwanganga8888
    @stevenmwanganga8888 4 ปีที่แล้ว

    mradi ni mzuri
    pia ufugaji unalipa
    nimepata kitu kutoka kwa huyo mzee anayefuga

  • @olivemwamengonakilimombeya6951
    @olivemwamengonakilimombeya6951 3 ปีที่แล้ว

    Kwa utaalamu zaid

  • @olivemwamengonakilimombeya6951
    @olivemwamengonakilimombeya6951 3 ปีที่แล้ว

    Nisaidien nawapataje?