MTOTO WA MZEE MAGOMA AMVAA BABA YAKE LIVE ANATAKA KUUZA NYUMBA AILIPE YANGA MILLION 70 KWA UPUUZI...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ย. 2024
  • #BATTLETV
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 210

  • @GentleGiant-pj2rk
    @GentleGiant-pj2rk หลายเดือนก่อน +6

    Kwa hiyo kuva baraghashia kama hivyo ndiyo unakuwa mtoto wa mzee Magoma😂

  • @mussakilo4916
    @mussakilo4916 หลายเดือนก่อน +9

    Uko sawa ila kumpiga baba yako makofi haipo sawa kwa kauli hii muombe radhi mwenyezi mungu pili muombe baba yako msamaha mshauri akaombe msamama kwa uongoz wa yanga

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 หลายเดือนก่อน

      We unadanganywa kifala mzee Magoma anatoto lakisambaa ka hilo

    • @onesmojustice2348
      @onesmojustice2348 28 วันที่ผ่านมา

      ​@@fahadfaraj6474kwa iyo ww ndio mtoto wake

  • @LinuslusianLinuslusian
    @LinuslusianLinuslusian หลายเดือนก่อน +11

    Kaombe ladhi kwa yanga uyo mzee mjinga sana tena hana adabu tangu utotoni kwake ailikuwa na vurugu yeye ajuhi yanga ilianzisha na tanu yaani wazee waliokuwa wanadai uhuru wa nchi mbumbavu zake.

    • @HurumaEllfura
      @HurumaEllfura หลายเดือนก่อน

      Wewe nae

    • @IsraelMwakagire-hn8pn
      @IsraelMwakagire-hn8pn หลายเดือนก่อน

      Kijana mzazi ni mzazi hayo makofi unayo yasema tengua

    • @velxempire8995
      @velxempire8995 หลายเดือนก่อน +1

      nsem ukwel kuwa weng mashabik wako upande wa klab kwasababu yang iltok kwa bakur mpak hap ilpofika lazma waje juu ila kuna baadh kwel vitu havipelekwi saw ila baadae club ikiyumb mtamkumbuk
      mfano
      rang asili ya yanga zmebadilika
      nembo ya yanga inachezewa mara gold mara blue mara nyeup watu hili wanalion dogo sana subrn mamb yabadilike

    • @simonsadala2386
      @simonsadala2386 หลายเดือนก่อน

      @@velxempire8995ww naye chizi kweli unamtindio wa ubongo uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sanaaa team sio kitabu cha Mungu kwamba hakiwezi kubadilika

    • @NYANGANDOCHIGANGA
      @NYANGANDOCHIGANGA หลายเดือนก่อน

      Yaani rangi wewe ndo inakustua?
      ​@@velxempire8995

  • @sarahkinyashi6213
    @sarahkinyashi6213 27 วันที่ผ่านมา

    Baba na mama ni Mungu wa pili duniani,ndio maana wanasema waheshimu baba yako na mama yako ili cku zako zipate kuwa nyingi,ktk nchi uliyopewa na bwana Mungu wako,ucthubutu kumnyanyulia mkono hata kama kakosea,japo inauma ila zuia hasira🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @seifmsabah4384
    @seifmsabah4384 หลายเดือนก่อน +2

    Watu wasimba walikua wanampa saport sana nakumchochea vp leo wako wapi ndo yamemkuta magoma wao

    • @user-bo5qp9gz8m
      @user-bo5qp9gz8m หลายเดือนก่อน

      Wamemkimbia baada ya kuona anatakiwa kulipa 😂😂😂😂😂

    • @seifmsabah4384
      @seifmsabah4384 หลายเดือนก่อน

      @@user-bo5qp9gz8m basi ndo aijue dunia

    • @seifmsabah4384
      @seifmsabah4384 หลายเดือนก่อน

      @@user-bo5qp9gz8m kama na uzee ule bado hajaitambua basi itamtambulisha

    • @seifmsabah4384
      @seifmsabah4384 หลายเดือนก่อน

      @@user-bo5qp9gz8m kama na uzee ule bado hajaitambua basi itamtambulisha

  • @RaphaelMwaipopo
    @RaphaelMwaipopo 26 วันที่ผ่านมา

    Magoma aombe msamaha kwa yanga

  • @imraannassor1799
    @imraannassor1799 หลายเดือนก่อน +1

    Facts🎉

    • @omarmbega702
      @omarmbega702 หลายเดือนก่อน

      Kuwaiyo mdomowote kumbeunategemeanyumbayababaako hanisimkubwawe kumalamamaako

  • @RamadhaniNgwena-x6m
    @RamadhaniNgwena-x6m หลายเดือนก่อน +1

    Wewe mtoto yanga sio sawa na mzazi wako acha kumtusi mzee wako

    • @IssaAusi-s6h
      @IssaAusi-s6h หลายเดือนก่อน

      Sasa kaka uyo jamaa kweli atakua na akili anakula bule na kulala bule adi Kesho kwababa muache ampige makofi alale kaliakoo

  • @MikidadiKambinda-tr6rl
    @MikidadiKambinda-tr6rl หลายเดือนก่อน +3

    Ushauri. Mashauri. Baba. Yako. Aende. Akawaombe. Radhi. Viongozi. Wa. YANGA. Wao. Ni. Binadamu. Watamuelewa. Tu. Kwani. Hakuna. Binadamu. Mtimilifu. Isipokuwa. ALLAH. Subuhana. Wataala

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg
    @BardenBensonMwamfupe-dk3yg หลายเดือนก่อน +1

    Mzee wa hovyo sana

  • @user-vu8vy1rv2j
    @user-vu8vy1rv2j หลายเดือนก่อน +1

    Ww uko sai sana auwezi kupata lana yoyote mugu amekuona

  • @alfaxadRobert
    @alfaxadRobert หลายเดือนก่อน

    Nashauri mzee na familia imsaidie wakaiombe yanga msamaha. Yanga inauongozi sikivu watasamehe mzee apumzike

  • @ansigarymbele8446
    @ansigarymbele8446 27 วันที่ผ่านมา

    Umeona mzee

  • @user-vu8vy1rv2j
    @user-vu8vy1rv2j หลายเดือนก่อน +3

    Walimpoza watu wa simba huyu mze akilizake nipumba

  • @user-zv3rm3st3b
    @user-zv3rm3st3b หลายเดือนก่อน +1

    Ninyi mnaye mtupia madongo mtoto wa magoma ni makolo mliemshauri aishitaki yanga

  • @user-uw8nj9yp9z
    @user-uw8nj9yp9z 28 วันที่ผ่านมา

    Toka kwenu😂

  • @RizikiMbembela-b6h
    @RizikiMbembela-b6h หลายเดือนก่อน

    Atar sana

  • @saimonijonas4356
    @saimonijonas4356 หลายเดือนก่อน +1

    Mwambie Baba yako akasome dua inayoitwa Kurujuani.😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @josephmathayo5139
    @josephmathayo5139 หลายเดือนก่อน +1

    Jamb la Msingi huyo Mzee aende Yanga Kuna Msamaha. Na aweke wazi walio Nyuma yake.

  • @simonchristian6319
    @simonchristian6319 27 วันที่ผ่านมา

    GSM msamehe mzee

  • @saidiathuman-og6bc
    @saidiathuman-og6bc หลายเดือนก่อน

    Wew kijana uko sawa saana unaongea ukweli saaf saana

  • @simonchristian6319
    @simonchristian6319 27 วันที่ผ่านมา

    Yanga mumsamehe huyo mzeee,njaaa

  • @rehaniabeta
    @rehaniabeta หลายเดือนก่อน +1

    Mzee yuko sawa

    • @suleimanjokoro
      @suleimanjokoro หลายเดือนก่อน

      Ushauri wa kijinga kama huo ndiyo uliomponza huyo Mzee.Wewe pia ni Wa kuwekwa makofi!

    • @matukutajuma156
      @matukutajuma156 29 วันที่ผ่านมา

      MZAZI HAPIGWI MKOFI USISUBUTU KIJANA!😮

  • @noellaalfred8371
    @noellaalfred8371 28 วันที่ผ่านมา

    Nyie mwambien baba yenu mkaombe msamaha yanga

  • @velxempire8995
    @velxempire8995 หลายเดือนก่อน

    Saiz hamta muelewa kabsa kwasababu timu inafanya vizuri
    leo magom mbaya ila badae myamwona mzur MUDA UTAAMUA

    • @user-ze8dv7xo1g
      @user-ze8dv7xo1g หลายเดือนก่อน

      Na nyie mda utaongea Kwa mo dewji

    • @dinoboyarnold661
      @dinoboyarnold661 หลายเดือนก่อน

      Wewe KOLO tulia unataka mzee wa watu afirisike

    • @JemaTito-lr7un
      @JemaTito-lr7un หลายเดือนก่อน

      Acha upumbavu wewe hivi unazani gsm ameweka pesa ili zipotee hels yuko kwa jili ya kutetea ugali wake na pesa ya gsm sio kama simba kila kiongozi anaangalia anaposhiba yeye tu wako kwa maslihi binafsi

    • @FatmaJumawazir
      @FatmaJumawazir หลายเดือนก่อน

      Kwanza bilioni 20 zipo wap achaneni na sisi

  • @joshuasibonike4486
    @joshuasibonike4486 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni boya tu

  • @anthonynyange6333
    @anthonynyange6333 หลายเดือนก่อน

    Nendeni kama Familia mkawaombe yanga naamini wanajua ni amepotoshwa na ametumika kufifisha jitihada za yanga. Duuh pole sana kwamsimamo wako

  • @IssaAusi-s6h
    @IssaAusi-s6h หลายเดือนก่อน +1

    Sasa c ukajenge yakwako kweni yakwako iyo nyumba unajua kaipata vip

  • @jumarajabu1624
    @jumarajabu1624 หลายเดือนก่อน

    Bangi mabaya sana

  • @FatmaJumawazir
    @FatmaJumawazir หลายเดือนก่อน

    Anaongea kwa uchungu pole kaka mwaya

  • @shalooboyburundi
    @shalooboyburundi หลายเดือนก่อน

    apana hiyo ni kauri mbaya sababu muzazi ni muzazi

  • @CuthbertAnthony
    @CuthbertAnthony 29 วันที่ผ่านมา

    Wewe sio mwanae acha kutumika

  • @mansooralaisri5200
    @mansooralaisri5200 หลายเดือนก่อน +1

    Alijipanuwa kama koti la Agha Khan

  • @nargismtawa
    @nargismtawa หลายเดือนก่อน

    duuh😢

  • @user-ug1nv3xl4d
    @user-ug1nv3xl4d หลายเดือนก่อน

    Mo amlipie wenyew sindo walimtuma

  • @user-xr2rp2vx4g
    @user-xr2rp2vx4g หลายเดือนก่อน +1

    Mtoto nae ni miongoni wa wapumbavu na hana heshima kwa mzazi, mzazi ni mzazi hata kama anakosea,

    • @mutakagoza4759
      @mutakagoza4759 หลายเดือนก่อน

      Wekolo

    • @user-xr2rp2vx4g
      @user-xr2rp2vx4g หลายเดือนก่อน

      @@mutakagoza4759 hata kama ningekuwa utopolo,sina haki ya kumkejeli mzazi,hiyo inathibitisha zaidi kauli ya Manara kuwa we ukiwa utopolo unakuwa HAMNAZO isipokuwa mzee Kikwete na mzee Sunday Manara

  • @thomasluhumbika9606
    @thomasluhumbika9606 หลายเดือนก่อน

    Tatizo la bangi kuvuta ukubwani acha akipate alichokuwa anakitafuta

  • @IssaAusi-s6h
    @IssaAusi-s6h หลายเดือนก่อน +1

    chizi linataka hati tafuta vyakwako

  • @wazirisaid8326
    @wazirisaid8326 29 วันที่ผ่านมา

    Yani wewe humalizi miaka miwili bila ya kuwa chizi. Labda Kama huyo mzee Magoma sio baba yako mzazi.

  • @ramadhanimrungu5806
    @ramadhanimrungu5806 หลายเดือนก่อน

    Kweli dogo ulimshauri sana mzee lkn akukuelewa sawa msalaba wake

  • @MaombiPiusi
    @MaombiPiusi หลายเดือนก่อน

    Jaman YANGA mim nitimu yangu damdam,naomba nimuombee msamaha jamn.

  • @MnadaMayonga
    @MnadaMayonga หลายเดือนก่อน

    Yanga tuisamehe familia ya MAGOMA ila akikata rufaa tutie kibano zaidi!

  • @CuthbertAnthony
    @CuthbertAnthony 29 วันที่ผ่านมา

    Jitu Zima Bado linamtegemea baba kuishi kwake, kajenge yako

  • @salumshilla-ki4ug
    @salumshilla-ki4ug หลายเดือนก่อน

    Mm ni shabiki wa Simba sana siipendagi yanga ila naukibali sana uongozi wayanga unaongozwa na vijana waelewa nenda avic town kama mtoto ukaombe radhi kwa niaba ya baba yako ila asiuze nyumba

  • @AbdallahKarata
    @AbdallahKarata หลายเดือนก่อน

    Duh hii atar

  • @HajiHassan-w3k
    @HajiHassan-w3k หลายเดือนก่อน

    Mzee magma akawaombe radhi yanga

  • @anithqpaul3923
    @anithqpaul3923 หลายเดือนก่อน

    Raiti angekusikiliza ayoyote yasinge tokea babako ni mujinga Sana tena sana

  • @husseinmbaya4855
    @husseinmbaya4855 25 วันที่ผ่านมา

    Hanaadabu

  • @elishagregory1595
    @elishagregory1595 หลายเดือนก่อน

    Kaka acha kumtukana baba Ako ,,,unaanza je kufikiria kumpiga makofi baba Ako eb mtake radhi bwana ,,, chamsingi nenda ukamwombee msamaha kwa yanga

  • @NeemaKelvin-k8c
    @NeemaKelvin-k8c หลายเดือนก่อน

    usijaribu kumpiga baba yako,pia hiyo kauli yako achana nayo kamuombe msamaha,

  • @fadhilidanieli1478
    @fadhilidanieli1478 หลายเดือนก่อน

    Hataaa kamaaaa Kauli yakumpigaa makofi umekosea

  • @angelsgabriely3575
    @angelsgabriely3575 หลายเดือนก่อน

    Kumuombea baba yako msamaha kwa yanga,..lkn hyo kaul ya kumchapa makof unamkosea baba yako hata km kafanya kosa!..jtahd umumbee msamaha kwa Yanga

  • @user-hu2hl9sx1n
    @user-hu2hl9sx1n หลายเดือนก่อน

    Wote mnalaana umpige babaako watafute kwako

  • @Pretty-t9e
    @Pretty-t9e 27 วันที่ผ่านมา

    😅...,

  • @simonndunguru1629
    @simonndunguru1629 หลายเดือนก่อน

    Wamemponza Wote wamemtoroka ataishia jela Magoma
    Shetani ni Binadamu wamemponza Machakavu Jamani

  • @brysonkaale3003
    @brysonkaale3003 หลายเดือนก่อน

    Magoma anafanana na yule ndege anaeitwa kwa Kisikuma"Kimelanzoka!,amemeza kichwa cha nyoka asiyejua ana ukubwa gani!!,Sasa moto utamwakia!

  • @NicholausZongo
    @NicholausZongo หลายเดือนก่อน

    Usimpige baba yako.ata kama kakosea

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl หลายเดือนก่อน

    Laanatuzimewajaa uzeeni baata mtulie mtubuzambizenu mnawaza mipiletu dinizenu hamzijui. Mnafikila nini maisha ya kabulini na siku ya kiyama😢 lailtimgelijua msingeipenda Duniakupitiliza. Ukumbushotu huwo kwaanaetaka. Duniamapito naninjia inategemea umeipitiavipihiyonjia iliutimize lengo lakuumbwa

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv หลายเดือนก่อน

    Hapa ndo unapokuja Uharamu wa mpira... 😢😢

  • @VedastusSylivester
    @VedastusSylivester หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂😂

  • @MagdalineMambo
    @MagdalineMambo หลายเดือนก่อน +2

    Hao waliyomtuma wampe hiyo millions 70

    • @minazsaid2470
      @minazsaid2470 หลายเดือนก่อน

      Wapo wapi na washakimbia 😂

    • @yusufumpako5364
      @yusufumpako5364 หลายเดือนก่อน

      @@minazsaid2470 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @user-pn3wz2eb5z
    @user-pn3wz2eb5z หลายเดือนก่อน

    Ikiwa unamkataa mzee wako utamkubali nani?

  • @alfanisebalua9333
    @alfanisebalua9333 หลายเดือนก่อน

    Ukosawa sana ila swala la makofi achana nacho .mwache apambane na hali yake

  • @apostlejacksonkalinga5191
    @apostlejacksonkalinga5191 หลายเดือนก่อน

    Wamsahe tuu anatesa family

  • @chrisostommzeru4747
    @chrisostommzeru4747 หลายเดือนก่อน

    Waliomdanganya watamsaidia kwa hilo wako wapi???!! Magoma piga magoti kwa yanga taifa kubwa watakusamehe.

  • @kambalekambale541
    @kambalekambale541 หลายเดือนก่อน

    Magoma alizoea kuwatingisha akina manji kwa injinia kafeli huyo mzee jela inamhusu

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv หลายเดือนก่อน

    Usifikie kutamka kumpiga mzee hata amekosea.....
    Kaa nae chini aachane na hizi harakati

  • @user-wc1xv4kn5w
    @user-wc1xv4kn5w หลายเดือนก่อน

    We ni mjinga sana tafuta vya kwako acha kuangalia Mali ya Mzee wako

  • @MawazoKitumbo
    @MawazoKitumbo หลายเดือนก่อน

    Wote ni walewale baba na mtoto

  • @user-gg4kw6le3b
    @user-gg4kw6le3b 28 วันที่ผ่านมา

    Gamba lote hili linakaa kwa mzee wake duh

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 หลายเดือนก่อน

    Kijana unabusara sana lkn una baba muhuni

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 หลายเดือนก่อน +1

    Ww mtoto huna akil magoma yuko sahihi wacha ainyooshe yanga

    • @pastorstevenmdoe5143
      @pastorstevenmdoe5143 หลายเดือนก่อน

      Kamsaidie kwanza kulipa fain

    • @user-jf7vx9nb9m
      @user-jf7vx9nb9m หลายเดือนก่อน

      Huna akili ww ..maana saiv hainyooshi yanga ananyooshwa yy ..kwa kulipa hela wala hajaitarajia sasa hapo sijui una mpa ushaur gan huyo kijana...maisha yenyewe haya hela yote anatoa wapi wacha mtt akae pemben ni sahihi

  • @andersonshimbi1378
    @andersonshimbi1378 หลายเดือนก่อน

    Yeye abambwe makofi tena mengi sana, au achinjwe, akatwe kichwa atupwe baharini

  • @MOHAMEDYUSUPH-oq1th
    @MOHAMEDYUSUPH-oq1th หลายเดือนก่อน

    Jaman uyo jamaa cio mtoto wa mzee magoma uyo mmakonde mmja anadhalilisha kabila tu mshamba uyo kachinje kuku acha kutafuta umarufu wa kijnga

  • @user-vj6py9tq9v
    @user-vj6py9tq9v หลายเดือนก่อน

    Huwezi kupata ladhi ila watu ndio wamemponza unajua kuna watu wazima wanakera na hawashauriki ko apambane na hali yake

  • @user-wk2bg8zf3l
    @user-wk2bg8zf3l หลายเดือนก่อน

    YULE MZEE KASHINDA KESI ISIPOKUA VIONGOZI WA YANGA WAMEMPATIA PESA ARAFU WANATANGAZA KUA WAO NDO WAMESHINDA

    • @JemaTito-lr7un
      @JemaTito-lr7un หลายเดือนก่อน

      Acha uwongo bwana hata mawakili hawajatokea mahakaman na waliomtuma wangempa hela kubwa sana kama angeshinda kwanza nanavopenda sifa magoma hata bure. Mzee angefulahi kushinda kesi

  • @FatmaJumawazir
    @FatmaJumawazir หลายเดือนก่อน +2

    Baba chizi anapata mtoto Mwehu akizingua piga makofi mwaya😂😂😂

  • @AnnoyedDove-oo3kk
    @AnnoyedDove-oo3kk หลายเดือนก่อน

    Haki huinua Taifa lkn Tz hakuna haki mahakama inahukumu mahakama ina hukumu😂😂

  • @titusmallanda8141
    @titusmallanda8141 28 วันที่ผ่านมา

    Huyu mtoto ni lofa sana sana, hivi hajuwi kimfaacho MTU chake? Akajenge ya kwake, Sasa yeye mdume mzima Bado anamkorome baba, tafuta yako.

  • @muhammadmuhammad5043
    @muhammadmuhammad5043 หลายเดือนก่อน

    Hii Asie Sikia Lamkuu Huvunjika Miguuu Taamaa Mbele Mauti Nyuma YANGA Musije Mkamsamehe Huyu Mzee Ili iwe Funzo Kwa Wengine Kama Hamkufanya Hilo Basi Yatakuwepo Haya Kilawakati...Atiwe Adaba Maneno Mazito Kasema Kijana Asie Sikia La..???N.K

  • @user-iz3hs8jl5p
    @user-iz3hs8jl5p หลายเดือนก่อน

    wale waliokua wanamsapoti magoma wengi wakawa wanashangilia wamchangie hiyo hela

  • @georgelazaro3940
    @georgelazaro3940 หลายเดือนก่อน

    Uwezi kupinga baba ako acha kuongea ujinga umeanza vizuri

    • @user-yr8gd2qw5p
      @user-yr8gd2qw5p หลายเดือนก่อน +1

      Wewe angekuwa baba yako ungesapoti ujinga kama huo wa kuangamiza family usiwe bwege kuwa baba sio kigezo cha kukusapoti kwenye upumbavu wako ata kama ww una akili kama hizo basi we ni choko kama wengine we kwa akili yako ya bangi unadhani anaweza kuishinda taasis kwa uwezo upi tena taasis yenye viongozi nje na ndani ya serikali acheni uzwazwa

  • @ALCADOJAMES
    @ALCADOJAMES หลายเดือนก่อน

    Msitetee huyo Mzee uyu kijana yupo sahihi suala la anaishi kwao ni mwanae sio mtoto wenu ata mm Mzee akileta ujinga kama huu mm mapema anakula mkongoto wa kutosha na laana sipati mungu mwenyewe ndo wa kunlaani cio kunguru kama Mzee magoma pumbavu kabisa

  • @jumaitanga9731
    @jumaitanga9731 หลายเดือนก่อน

    Akili huna unang'ang'ania nyumba ambayo stop yako tafuta maisha yao mwache auze mali yake

  • @mansooralaisri5200
    @mansooralaisri5200 หลายเดือนก่อน

    Mtu akifika miaka 50 anakuwa Fitina mkubwa. Halafu hasikii ushauri wowote.

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 หลายเดือนก่อน

    Huyu kijana yupi sahihi umepunguza ugumu wa jambo kupitia huyu anaweza kutokea jambo

  • @YusuphJuma-s2g
    @YusuphJuma-s2g หลายเดือนก่อน

    Usije ukampiga baba Yako kabisa ukapata laana

  • @IssaAusi-s6h
    @IssaAusi-s6h หลายเดือนก่อน +1

    ukiangalia koment nyingi za wanayanga unagundua ni umaskini unawatawala yani wanasapot adi ili jinga tag ubavu kula kulala nyumbani kijana mwenyemiaka zaidi ya 27 duh mtiani sana huu

    • @RashidKaoneka-bj8mm
      @RashidKaoneka-bj8mm หลายเดือนก่อน

      Ujue we kolobwinyo m

    • @onesmojustice2348
      @onesmojustice2348 28 วันที่ผ่านมา

      Nyie makolonjinji mpaka mnyooke na mzee magoma wenu😂😂😂😂😂

  • @mussandikumana3561
    @mussandikumana3561 หลายเดือนก่อน

    Akiuza nyumba si anauza nyumba yake ata Yanga awawezi kumdayi iyo pesa labda yeye mwenyewe sio juu ya Yanga

    • @JemaTito-lr7un
      @JemaTito-lr7un หลายเดือนก่อน

      Nyumba yake ndio anakaa wapi kama co huyo dogo ndio atatakiwa kumtunza muwe mnajierewa angekua na nyumba 2 swa kinyumba chenyewe 1 kwahiyo dogo aendeshe boda apeleke hesabu kwa bos alishe familia alipe kodi wanapokaa watoto wake na babake we maisha ya dar unayajua wewe au nawe unakaa kwa mzazi?

  • @Ablahisaid
    @Ablahisaid หลายเดือนก่อน

    Ww jua hyu ni baba yk huwezi kumpa mabomba km hyo duu mzee hana makosa hata akawa mwizi au chiz lazima uwe na maneno mazur

  • @HannanSomaiyah-wp7ny
    @HannanSomaiyah-wp7ny หลายเดือนก่อน

    Mzee mbishi huyu sijui Mke wake anaishi vipi na huyu mzee 🙄Siku zote mdomo humponza kichwa,na ogopa wa nje wanaoshangilia maneno,Alijiona mjuaji then masikini halafu unamdomo mchafu,

  • @pastorstevenmdoe5143
    @pastorstevenmdoe5143 หลายเดือนก่อน

    Cha msingi muende na mzee kwenye club ya Yanga ukamuombee msamaha

  • @audaxbizimana8084
    @audaxbizimana8084 หลายเดือนก่อน

    Jinga kweli nyanyua umpige baba yako kisa mpira uone laana itakavyokuvaa

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 หลายเดือนก่อน

    Yaaani kwann asiombe msamaha ,wanamdanganya simba

  • @user-qi7px6nb8r
    @user-qi7px6nb8r หลายเดือนก่อน

    Mzee magoma hana akili.Kikubwa wewe nenda kwa injinia ukaongee nae atakuelewa tu.

  • @YOSHUAMWAMPETA
    @YOSHUAMWAMPETA หลายเดือนก่อน

    BABA YAKO ATASHINDA KESI USIOGOPE.Umuombe Msamaha KWA KUSEMA UTAMPIGA MAKOFI HAPO UMEKOSEA .

    • @jumannemwakalinga2586
      @jumannemwakalinga2586 หลายเดือนก่อน

      Ni mwiko na laana kubwa sana kumpiga mzazi wako, ukifanya hivyo utabaki umeehuka.

  • @firedon2463
    @firedon2463 หลายเดือนก่อน

    Kija yupo sahihi huyu mzee alionywa na wa2 wengi juu ya hili swala bt hakusikia wenda kulikua na wa2 nyuma yake sasa wasimame nae pia hapo

  • @ansigarymbele8446
    @ansigarymbele8446 27 วันที่ผ่านมา

    Mzee huyu alikuwa na hamak ya madaraka

  • @babycandycharles7816
    @babycandycharles7816 หลายเดือนก่อน

    Hawexi kupatalaana mzee kayataka wewe alitaka sifa kutoka kwa mashabiki maandazi wa Simba yeye aliona sifa leo mtoto apate laanana kwann

  • @user-sz6ht5wm2g
    @user-sz6ht5wm2g หลายเดือนก่อน

    Dogo nakuomba kauone uongozi wa Young-Africans ninaamini watakupokea hilo zee lisamehe tu, wanalitumia tu maadui wa Yanga