🅻🅸🆅🅴 : MSIGWA ANAJIBU TUHUMA ZA KUDAIWA NA MBOWE BILIONI 5.....

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
  • #JAMBOTV
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►TH-cam: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

ความคิดเห็น • 15

  • @The1979bornagain
    @The1979bornagain 9 วันที่ผ่านมา +2

    Hizi story za Mbowe sijui kafanya nini ni kujisumbua tu. Kama kesi ya ugaidi ambayo ilikuwa afungwe maisha jela au anyongwe mpka kufa ilifeli hivi inawezekana vipi ujinga na uzushi wa Peter Msigwa uiangushe CHADEMA? Wanamwandama Freeman Mbowe lakini ukweli ni kuwa dhamira ni kuifuta au kuodhoofisha CHADEMA kwa ujumla wake!!

    • @friendsofpeopleorg1157
      @friendsofpeopleorg1157 9 วันที่ผ่านมา

      YULE MSIGWA KATUMWA KUIDHOOFISHA CHADEMA.
      KUWENI NAE MAKINI, MWACHENI ABWABWAJE NA MSIMJIBU. ANAPOJIBIWA ANAPATA KIK ANASIKIKA...

  • @RajabuSeify
    @RajabuSeify 9 วันที่ผ่านมา

    Je kama kudaiyana fidia mahakamani viongozi chadema mdaiwe sh, ngapi kwa matusi yenu kashifa majukwaani au mbowe unatafuta mtaji kuendesha chama😅

  • @NickmbeckNkinda-z3g
    @NickmbeckNkinda-z3g 8 วันที่ผ่านมา

    Huyu jamaa anaona yeye yko sahihi kuwajibu watu kwa anavyotaka yeye na kwa jaziba

  • @SaidAlly-uh4qw
    @SaidAlly-uh4qw 8 วันที่ผ่านมา

    Peter msigwa nyinyi hamumuwezi hata hao chadema wenyewe wanamjua kwa kujenga hoja nampongeza msigwa katufunulia wengi uchafu wa mbowe tulikuwa hatumjui kiundani kumbe mbowe ni mtu mbaya tena mshenzi hawezi hata kuwa mjumbe wa nyumba 10

  • @JohnRwabigene
    @JohnRwabigene 9 วันที่ผ่านมา

    Kama ungeshinda ungeweza kama chadema kwenda CCM,na kwanini ukuama kabla ya uchaguzi

  • @friendsofpeopleorg1157
    @friendsofpeopleorg1157 9 วันที่ผ่านมา

    MBOWE NI JEMEDARI WA TAIFA LA TZD. AACHANE NA MSIGWA MNAFIKI.

  • @friendsofpeopleorg1157
    @friendsofpeopleorg1157 9 วันที่ผ่านมา

    KUMKARIBISHA SAMIA PAMOJA NA KUWA ALIMTIA GEREZANI MBOWE ALIDHANI MAMA ALIPO SEMA MARIDHIANO KATIBA MPYA INAKWENDA MEZANI MATOKEO YAKE TUNASHUHUDIA sijui soka katekwa, na mambo kibao.

  • @DamasAmos-ue2gh
    @DamasAmos-ue2gh 8 วันที่ผ่านมา

    Ivi nikitugani kinawasumbua msigwa nimloo wamadalaka sasakapata kibalua chalisha litimbolake achaneni nae alipo enda CCM anajisikia kuongea chochote kwajili ya kuwacha fua viongozi wa chadema achaneni nae uyosawa na mbwa anae bweka ata akiona kivuli anatuvu Luga akili zetu ili ajue wana chadema watajibu nini

  • @AkidaDaudi
    @AkidaDaudi 9 วันที่ผ่านมา

    Ivi nyinyi Ni chombo Cha chadema au Ni Cha wanachi mtuambie tuache kuwasikiliza Mana naona mnatugawa katika vyama acheni ujinga.

    • @hashimuuhehwa4252
      @hashimuuhehwa4252 9 วันที่ผ่านมา

      Chombo cha kupigania haki sio chombo cha vibaka

  • @salmyhussein6255
    @salmyhussein6255 9 วันที่ผ่านมา

    Wacheni watu wazungumze, Kuna mambo mengi chadema wanaituhumu serikali na hawana ushahidi, ccm nayo ikisema ianze kwenda mahakamani kutaka ushahidi si ni kuua democrasia huko, juzi juzi mbowe alisema Samia ameuza bandari, na wao wakisema wanataka kulipwa itakuwaje? Wanao ushahidi wakutosha kua mauziyano ya bandari yalifanyika

    • @BeatusNgereza
      @BeatusNgereza 9 วันที่ผ่านมา

      Kwani huju wewe?

    • @hashimuuhehwa4252
      @hashimuuhehwa4252 9 วันที่ผ่านมา

      Salmyhussein6255 nini Chadema wameituhumu ccm na niuongo?

    • @salmyhussein6255
      @salmyhussein6255 9 วันที่ผ่านมา

      @@hashimuuhehwa4252mahakamani hakutaki ukweli, kunataka ushahidi,