Aslm Aleykm,nawaomba kituo cha qaswida&quran&darsa tv,mpeni salamu zangu Sheykh walid aniombee mungu maneno yake yaweze kunipatia Athari fii ddareyn,wallahi yana hikma na mafunzo ya hali ya juu,Allah ampe umri tuweze kunufaika nae,salamu zangu ni hizo Sheykh walid nahitaji dua zako za dhati,ni Mimi nduguyo Khalid Mahsan Omar, mkaaji malindi Kenya, shukran.
huundio umuhimuu kwakumpendaa jirani ndio huu
Masha'Allah Alhamdulillah 🙏
Allah Karimaaa she wanguu nimesomaa kituu kupitia mawaidhaa hayaa Allah atufanyiee WEPESII sotee ummati Muhammad saw
kwa kweli darasa zako shekh Walid wewe ni manufaa. Mungu akupe umri watu wengi wapete manufaa
Alhamdulillah, mashaallah mwalim barka inshaallah Allah akujaalie umri mrefu na atunufaishe inshaallah kutokana na elimu yako amiin
🌹
بارك الله فيك يا استاذ وليد
ونفعنا الله بعلمك
جزاك الله ووالديك الجنه
Mimi Role Model Wangu Wew SHEIKH WALID
Alhamdulillahi, Shekh Walid Allah akuhifadhi kwakupitia baraka na utukufu wa bwana mtume Muhammad (S.A.W)
Maa shaa Allah
Alla akuhifadhi
Shukran ....jazakallah khair...Allah akupe umri mrefu
Allahu Akbar jazaka Allah kheir sheikh
Allahuakbaru! Allahuakbaru! Allahuakbaru!
Allahu Akbar, 😁😁😁 swallah allahu Allih wasalam
Salamu zangu kutoka qatar kwa sheikh walid na team ya darsa tv. Mungu awa bareek
Allahumma Amiin Kwa Sote
Maashaallaah Alhamdulillah
Allah akulpe sheikhs kwa hzi darasa zako nmejfunza meng
Allahu-akbar!
Alhamdulillah nimepata kitu!!
Alhamdulillahi
Allahu allah atupe cheo hiko cha uumin inshallahu
aamin
Aslm Aleykm,nawaomba kituo cha qaswida&quran&darsa tv,mpeni salamu zangu Sheykh walid aniombee mungu maneno yake yaweze kunipatia Athari fii ddareyn,wallahi yana hikma na mafunzo ya hali ya juu,Allah ampe umri tuweze kunufaika nae,salamu zangu ni hizo Sheykh walid nahitaji dua zako za dhati,ni Mimi nduguyo Khalid Mahsan Omar, mkaaji malindi Kenya, shukran.
W.salaam alhabib zimefika Inshaallah
@@DarsaTV. shukran
Jifunze quran kusoma kuandik gusa picha yangu hapo kama hautojl
Kwani siohikima
Nakili kwa moyo na kutamka kwa ulimi na kuandika kutumia vidole ya kwamba
Sheikh Walid wewe ndie Role model Wangu.
ndio maanaa zalmanii ilikuwa mbs Zanzibar ikakatika ilikuwe tafautuu Mombasa ikuwe tafautuu na baraalal na zalzbar