ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Asante madam kwa kutuelimisha mungu akuzidishie maujuzi zaidi
Asante sana,,, mim nikpromote tangazo linakubali lakin baadae naambiwa boost again na nikibust halileti wateja sjajua changamoto nin msaada please
Dada naomba namba plz
Ukitaka kutumiya sponsored kutangaza plz tupe maelezo kwasababu naona wengi wana tumiya
Madam nataka kutumia acount ya Instagram ya biashara bila kuungqnishq na fb
Mtu mwenyewe hujibu comment
Aki,hapo kwenye malipo ndo iko shida...nalipaje kwa PayPal? Na nataka nilipe kwa MasterCard
Hello somo nimelipnda ss je huwa unamsaidia mtu kufanikiwa unachoeleza
Habar, mamy nikitaka kuirudisha account angu iwe ya kawaida nafanyaje 😢
njinsi ya kupromoti video nielekeze
Sasa mm mbna nikipromote Inachukua mda mrefu saaaana
Mimi sion sehem ya switch to business profile
umeiona boss
Hujui kueleza
Ww unajua
kichwa chakoo ndo kigumu
Mi apo kwenye payment ndo interest angu ilipo
Mastercard inapo Failed kulipa nafanyaje?
Asante Dada Shamim.. Natamani sana kujua kwny payment hapo
ms Jammie Chambo Dada kuna kipindi nilijalibu kufanya hivyo AF nilitumia card ya Mme wangu ndani ya siku tano lakisita ilikatwa bank yan sina hamu na hiyo kitu
Sasa kma hauna ukurasa fb
n lazima uwe nao