Uzuri kwa mpanzu anaweza tokea pande zote anaweza tokea kulia au kushoto nikimaanisha namba 7 na 11 zote anacheza. Upande wa Kibu au wa Joshua Mutale kote jamaa anapiga, Sasa Kibu na Mutale wanatakiwa wajiongeze sana maana jamaaa amekuja kufanya mapinduzi ya hizo namba 2
Karibu Simba
Kimokoooo😮
🎉🎉🎉🎉🎉,friji bovu nakukubali sana bro
Karibu sana mpanzu Simba ndiyo timu sahihi kwako utafika mbali, tulikuhitaji sana
Welcome mpanzu experienced player
Itakuaje akitua KINZUMBI $ FEI TOTO apo dirisha dogo duuuh😂😂 Mungu atupe maisha marefu kuyashuhudia haya yajayo maana yanafurahisha🦁🦁❤❤❤
KINZUMBI tayari kasajiliwa Kuna timu flan ya Kama c Tunisia basi ni Morocco ila n uwarabun kwa hyo kwa KINZUMBI n ngumu
@@fareedkhalipher3590 oky ila niliskia nikama alizinguana na hio timu
Asante Mungu,Mpanzu ametua Simba,❤❤❤
Welcome Simba sports club mpazuuuuu
Nakukubali sana frij bovu unasema Simba hawamfanyi mtu kitu wanashinda malalamiko mengi
Mashine sana huyu MWAMBA
MUNGU IBARIKI SIMBA
Ubaya ubwela 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁
Mafi shuuli
Welcome to Simba ubaya ubwera kamanda la mauwaj
Welcome Elia Mpanzu
Sema kàka Dev mana simba walipoboronga uliongea sana na ss wanajitahid unasema ndo uzur wako beo
RIP 😭😭MUTOMBO DIKEMBE BASKETBALLER OF AFRICA🎉🎉❤❤
hawa malalamiko fc mwaka huu watalalamika sana
Unajuakaka
Ila Friji bovu huyu mwamba anachambua mpira kikubwa sana inaonyesha anachembechembe za mnyama ndani yake,,kaka tutaku brand wewe uko pw sana
MPANZU HAKUFELI UBERIGIJI BALI ALIIPENDA SIMBA. NDY MAANA ALITAKA SIMBA
Kaka mpanzu jez namba ngapi
Jamaa anacheza namba 7 au 11 zote anapiga
huyu frigi ni mchambuzi hasa anajua huyu sio wa mchongo
Mpanzu karibu kwenye ubaya ubwela.
Sasa jangwani mdomo umewaponza
watatesek saaaana utopor
nakubal sana uchambuz wako kaka
Uzuri kwa mpanzu anaweza tokea pande zote anaweza tokea kulia au kushoto nikimaanisha namba 7 na 11 zote anacheza. Upande wa Kibu au wa Joshua Mutale kote jamaa anapiga, Sasa Kibu na Mutale wanatakiwa wajiongeze sana maana jamaaa amekuja kufanya mapinduzi ya hizo namba 2
huo ndo ubaya ubwera utaskia tff ot simb
Duh bado kunawinga mwingi tena😮 Mh huyu Mo sio mtu mzuri atakuja kuwaua nyuma mwiko
Matamanio yetu wanasimba Bado hata hayajafika asilimia 30 yani Ipo Siku watu watapika ugali kwa kuunga na nazi wakijua wali
MUNGU ENDELEA KUTUPA FURAHA KWANI UTOPOLO KAZI YAO NI KUDHAMINI TIMU ZA KUCHUKUA POINT ZA BURE LKN MWAKA HUU WAMEGOMA KIMYAKIMYA UBAYA UBWELA!!!!!!!!😂
𝔾𝕊𝕄 𝔸𝕃𝕀𝕎𝔸ℙ𝔸 𝔻𝔻𝕄 𝕁𝕁 𝔽𝔼𝔻ℍ𝔸 ℕ𝕐𝕀ℕ𝔾𝕀 𝕀𝕊𝕀𝕍𝕐𝕆 𝔹𝔸ℍ𝔸𝕋𝕀 𝔻𝔸𝕎𝔸 𝕎𝔸𝕃𝕀𝕐𝕆ℙ𝔼𝔼𝔸 ℕ𝔸 𝕐𝔸ℕ𝔾𝔸 𝕄𝕆 𝕋𝕊ℍ𝔸𝔹𝔸𝕃𝔸𝕃𝔸 𝕂𝔸𝕀𝕋𝔼𝔾𝕌𝕎𝔸 𝕏𝕀𝕆 𝕌𝕋𝔸ℕ𝕀
Yaani nashangaaa kwenye ligi moja mzamini mmoja kuzamini timu zaidi ya 6 huu upuuzi upo TFF tuuu.
Naiona Simba ikifika mbele ya ahadi.
MAOMBI KWA ALLAH NI MUHIMU ILI ATUFIKISHE KWENYE NCHI YS AHADI🎉❤🎉
Mpanzu naona kabisa anamtoa mukwala
Huyo ni mkwala tu kama jina lake ila sijaona cha maana kwake anazidiwa na chasambi
MUKWALA HATOKI ANATOKA KIPA NA JINA LA MPANZU LIPO KWA AYUBU🎉😂
Friji nitumie namba yako ya tigo
Sina ya Tigo aisee, airtel hii hapa 0688 501 375
Ndomaana mm nataka nipate mwanaume mwana Simba kwamaana nainjoi kua mwana Simba naipenda Simba hapo Bado fei itakuje tutaua mtu
Ukowap
MAYELE VP? TWAMBIE ANARUDI TANZNIA?
Welcome to Simba ubaya ubwera kamanda la mauwaj