TAZAMA TUKIO ZIMA LA MZEE CHIDUMULE KUKABIDHIWA GARI NA KUHANI MUSA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 49

  • @GloryMrema-uw3mx
    @GloryMrema-uw3mx 10 หลายเดือนก่อน +7

    Mungu wa Mbinguni azidi kukutunza Baba yetu Kuhani Musa Richard Mwacha❤❤❤

  • @musa-v3f
    @musa-v3f 9 หลายเดือนก่อน +1

    nina ushuhuda alikuja Houston miaka ya nyuma akasema vijana wanaaanza nyimbo nawaona leo wana magari lakini mimi/chidumule natembea kwa miguu naona leo Mungu amejibu maombi yake jina la Bwana liimidiwe ktk jina la Yesu uendelee kumtunza yeye na gari lake ktk jina la Yesu ameen

  • @dismaslalubare4196
    @dismaslalubare4196 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mmemtesa mda mrefu mzee wetu chidumule kwa kupiga magoti mda mrefu jamani....mimi ni mzee pia kama ni mimi ningeanguka hapo kwa kweli....hongereni sana kanisa kwa kuwaheshimisha wazee....MUNGU AWABARIKI SANA

  • @rosemuhandoofficial5676
    @rosemuhandoofficial5676 10 หลายเดือนก่อน +3

    Aaaamina Babangu KUHANI MUSA Mungu akubariki mnooooooooo umetutunza ,

  • @suzanarupia6484
    @suzanarupia6484 9 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤ Mungu hakulinde chidumure nyimbo zako tumecheza sn na Zina mahadili na busala na mafundisho na sahuti yako himeturia hukiimba mtumikie yesu tuko pamoja one love❤.

  • @Pinsonmuhoza-us6qn
    @Pinsonmuhoza-us6qn 10 หลายเดือนก่อน +3

    Nimebarikiwa na hili jamaa.mungu akujazie zaidi ulipotoa kuhan musa

  • @handenitakuru6696
    @handenitakuru6696 9 หลายเดือนก่อน

    Mtihani mkubwa katika hii Dunia na Mungu wetu wa mbinguni atusamehe Amina

  • @jovitasilasi-zz4hu
    @jovitasilasi-zz4hu 10 หลายเดือนก่อน +3

    MUNGU akubariki kuhani Kwa kuwakumbuka walioandaliwa na MUNGU Kwa ajiri ya kazi yake MUNGU akubariki sana kuhani Musa

  • @bernadetachaula9047
    @bernadetachaula9047 10 หลายเดือนก่อน +3

    Amina napokea zawadi kutoka KWA YESU

  • @victorshani1184
    @victorshani1184 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu akuzidishie zaidi kuhani Mussa kwa kuona kuwa mzee Chidumule anastaili pongezi kwa huduma alioifanya

  • @agnesspaul1866
    @agnesspaul1866 9 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤❤Muñgu awabariki wote walio guswa na ili pacha wangu Muñgu akubariki mnooo

  • @revmsamilaofficial6607
    @revmsamilaofficial6607 9 หลายเดือนก่อน

    Kibinafsi tendo hilo ulilolifanya limenibariki sana tena sana.
    Ubarikiwe

  • @godfreymwamaso2424
    @godfreymwamaso2424 9 หลายเดือนก่อน +1

    Amen ubarikiwe mtumishi wa Mungu kuhani musa Mungu akuinue

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 9 หลายเดือนก่อน +3

    Kukosa msimamo na kuyumba kama bendela na kufannywa chambo ili kuzinasa roho zilizo dhaifu ili kutoka kwennye fundisho la bwana yesu na kuchukuliwa na mawimbi huu mwisho wa mavuno kila mbegu lazima iwe dhahili je ni mtama au kalnda au mbigiri hakuna kificho tena tunajionea kwa macho

  • @FistonWilly
    @FistonWilly 9 หลายเดือนก่อน

    Muzee chidumumule MUNGU YEHOVA Anakupenda Kazi yake Bwana Ina Ugumu wake ,Mazito Mengi, Na furaha yake ni hii ya Uungwaji mkono, , Na Hata Sina kitu ila Nasema tu Shukrani Kwa MUNGU WETU YEHOVA BWANA Kupitiya jina la Ngomeni kwa Kuhani na Mwalimu Musa Richard Mwacha, Amina Amina Amina milele Atukuzwe kabisa Bwana Wetu Yesu kristo wa Nazareth Aliye Hai,Amina Yangu Kwake na isikike Ngomeni namimi kupitiya mtumishi wake Mwalimu Kuhani Musa Richard Mwacha,Amina.

  • @MoosaMd-h6b
    @MoosaMd-h6b 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akuwekee nafasi ya mbele mbinguni kuhani Musa Richard Mwacha

  • @consolatamedard6593
    @consolatamedard6593 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kumtumikia Mungu kuna faida sana aisee

  • @wanguwangu34
    @wanguwangu34 9 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana kumkumbuka chidumule

  • @KhadijaAli-zd8jq
    @KhadijaAli-zd8jq 10 หลายเดือนก่อน +3

    AMINAAA SANA BABA KUHANI MUSA RICHARD MWACHA MUNGU WAKO ANIKUMBUKE NA MM KHADIJA ALLY MBUNDA NIGUSE YESU KRISTO WA KUHANI MUSA RICHARD MWACHA NAOMBA NISAIDIE

  • @lucywilson5875
    @lucywilson5875 9 หลายเดือนก่อน

    Hii ni Injili ya wapi Mungu wangu

  • @PauloMkini
    @PauloMkini 9 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana Babaangu mwemaa

  • @mcDoubleDInano
    @mcDoubleDInano 9 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa Sana kuhani nimebarikiwa na baraka hii

  • @simonmwakolo2474
    @simonmwakolo2474 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki

  • @RuthJohn-r6l
    @RuthJohn-r6l 10 หลายเดือนก่อน +1

    Sifa na utukufu ni zako Mungu

  • @peterdaimon-ug6fd
    @peterdaimon-ug6fd 9 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg
    @BardenBensonMwamfupe-dk3yg 10 หลายเดือนก่อน +1

    Amina

  • @gloriamichael7935
    @gloriamichael7935 10 หลายเดือนก่อน +1

    Amen ya radi

  • @saitawilson7307
    @saitawilson7307 10 หลายเดือนก่อน +1

    Aminaa 🙏🙏🙏

  • @musaissa7463
    @musaissa7463 9 หลายเดือนก่อน

    kila zawad ya kzm inagharama yake😢😢😢

  • @mistikateleli
    @mistikateleli 10 หลายเดือนก่อน

    Amina aaaaaaaa 👏

  • @edsonoisso4271
    @edsonoisso4271 10 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @thomaskitemi3283
    @thomaskitemi3283 9 หลายเดือนก่อน

    Nani nakupongeza sana kuhani Musa Kwa hili.pia Bwana akuongoze sana ubebe baadhi ya Wachungaji waasisi WA walio na khali ngumu.

  • @NaomiAgreey
    @NaomiAgreey 10 หลายเดือนก่อน

    Baba Lao big up

  • @jackmabirangacharles9398
    @jackmabirangacharles9398 9 หลายเดือนก่อน

    AMEN

  • @AlexMkwama
    @AlexMkwama 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kiukweli kama tutawaacha washirika waauza mboga wasio na msaada , kilio Chao kitatuhukumu.

  • @BaliatuMadodi
    @BaliatuMadodi 9 หลายเดือนก่อน

    Amina sana

  • @ManenoSimkoko-df9yj
    @ManenoSimkoko-df9yj 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ameni

  • @niyiesther6571
    @niyiesther6571 10 หลายเดือนก่อน

    Ameeeeen saaana kabisa

  • @simbajumanne9718
    @simbajumanne9718 9 หลายเดือนก่อน

    Sadaka za watu masikiniiii hizooo.unazowatapeli

    • @Mundi-oz7os
      @Mundi-oz7os 9 หลายเดือนก่อน

      Siwezi kukuunga mkono kwa kauli yako kwa sababu kama ni utapeli angeweza tu kukaa na hizo pesa. Kadhalika hajawahi kumlazimisha mtu kutoa alicho nacho. Ila sikupenda jinsi waluvyojiingiza katika lile linalotia shaka kuwa wanafanya promosheni ya hiyo kampuni ya magari. Kwenye namba plate kwa nini kuandikwa jina la kampuni? Mhusika ni huyo Mzee Chidumule. Wangemuandika yeye. ( Halafu ashakum si matusi gari mbona kama ya Rushayna aliyopewa na Manara juzi tu😊?)

  • @MwilaMathias
    @MwilaMathias 9 หลายเดือนก่อน

    🇨🇩♥️♥️🇹🇿🙏

  • @jacquelineshuma3302
    @jacquelineshuma3302 10 หลายเดือนก่อน

    Amina sana baba mkesha ulipendeza sana watu tulifurahia sana baba mkesha ujao ufanyike uwanja wa taifa😅 Tanzania tunakupenda tunapenda pia huduma ya fsf

    • @AshuraAlly-t1d
      @AshuraAlly-t1d 9 หลายเดือนก่อน

      Hahahaha tulienjoy kweli bora kweli unaokuja tukafanyie taifa

  • @aishajuma7813
    @aishajuma7813 10 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏🙏🙏🙏🇴🇲🇴🇲🇴🇲

  • @FistonWilly
    @FistonWilly 9 หลายเดือนก่อน

    NGOMENI KUNA MAMBO, KWA MWALIMU KUHANI MUSA RICHARD MWACHA MUNGU WETU YEHOVA NAENDELEE KUKUTUZA NA KUENDELEA KUKUONGEZEA GRADE HIZO TUKA PATE KUFIKIWA KTK MIBARAKA YA MAISHA ,AMINA,AMINA,AMINA.

  • @jovinusjovenary9024
    @jovinusjovenary9024 9 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @boscomalangalila
    @boscomalangalila 9 หลายเดือนก่อน

    Amina