There was a time roommates walikuwa wana mess na AC sana mdosi akaamua kutu punish for 2weeks bila AC, tulikuwa tuna lala kwa rooftop, sasa na imagine kwetu ilikuwa 2 weeks sasa wenye wana camp hapo for months🙆🤦😩... it's not a joke
A person from utawala watching now.... was also in qatar during world cup tukirudi someone told us tukemboi tusirudi but when i remembered the high cost of living in qatar i saw its better i come back to 254
Qatar mambo ili change immediately after the worldcup... Huku nje mambo imechemka... For those who are under company no need to change or run away; nje hakuna job..
Shout out To Edward / stevo key za warehouse ....kama agency hawaaminiki kutumia (signatures)za wasee ndio wajaze matumbo....na sii ndio tunawajenga dooh ndio tusake dooh alafu msee ataseke huko itakuwa ajeee bana😅😢😢 ju hata hawakei johhh ....ukifika tena mta watake kukumlza....lakini hiii n kenya😅😅😅😅
Warabu hawataki mtu ajisaidie na pesa yao ndio ukienda vacation unarudi very first...manze gulf bila plans..utakuwa slave wahuko na kuishi kusema kenya maisha n ngumu
Mimi niko lebanon na nilikemboi after 1year,although it's risky but it was worth it.Sahii niko permanent job and I'm doing ok.If hauteswi na boss wako usikemboi but if you're fearing for ur life my sister,bro ruuuuuuun
I am a victim... Am trying to fight my case in court tomorrow... Hoping I will get the papers... To make it worse a Kenyan guy ndio alinicon na akanimess up nikafika hapa... But all in all God is faithful
Wueeeeeh ma beste can mess you up yani wanakudanganya ukemboi kumbe huko nje hakuna kazi yani wanataka uende uteseke nao huko nje😮 kaa tu kwa kazi hadi umalize contract
Mimi nilipigwa maadvice contract iki come kuisha eti oh tujikate nikajiambia kimoyomoyo zi nikaongeza contract Chini Maji.
This guy is very honest,I wish him all the best.kudos for the interview
Rudi MTAA uche
The guy on vest was my friend once working in airport hama then ,,labour city ,kwani ulikemboy
There was a time roommates walikuwa wana mess na AC sana mdosi akaamua kutu punish for 2weeks bila AC, tulikuwa tuna lala kwa rooftop, sasa na imagine kwetu ilikuwa 2 weeks sasa wenye wana camp hapo for months🙆🤦😩... it's not a joke
Hakuna haja ya kukemboi buana,home is the best
Yeah true.
A person from utawala watching now.... was also in qatar during world cup tukirudi someone told us tukemboi tusirudi but when i remembered the high cost of living in qatar i saw its better i come back to 254
Nice bro. Appreciated.
That was a brilliant decision 👌
Qatar mambo ili change immediately after the worldcup... Huku nje mambo imechemka... For those who are under company no need to change or run away; nje hakuna job..
True bro, sahizi kumeanza kuchemka zaidi juu ya summer
Manataka kujifanya kama wanageria vichwa ngumu mzeee mtaumia unajuwa wanaja wamezoeya maisha hadcor toka kwao ,sisi hatuweazani
Huyu anakaa honest sana,ashaanibamba sana
Noma
Apo kwa kwenda shule he has said it all watu waende shule
Kabisa Nduguu.
Wanaume kukemboi weuh 😮heri ladies ni easy kupata job
I know but life ni kujaribu.
Shout out To Edward / stevo key za warehouse ....kama agency hawaaminiki kutumia (signatures)za wasee ndio wajaze matumbo....na sii ndio tunawajenga dooh ndio tusake dooh alafu msee ataseke huko itakuwa ajeee bana😅😢😢 ju hata hawakei johhh ....ukifika tena mta watake kukumlza....lakini hiii n kenya😅😅😅😅
I wish ungespell iyo ricky z
😂
Life iz hard pia uko nje
Yeah bro naelewa.
Salute uyo G sana kumbe ni msee wa mtaa apo Utawla team Embakasi good job guys 💯
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢....Not Good At All...Na Summer Heat .. God Have Mercy 🙏🙏🙏.
Amen. Ni noma
Mazee jo noma
Pole sana Kakaangu Allah atakufanyia wepesi InshaAllah
Inshallah appreciated
Thanks for this information bro a lot have learnt
My pleasure bro.
Rasta never dies.. binadamu azidi survive qatar ni pesa yako as the guy puts it
Huyo Jamaa I gues ni WA kampuni nilikuwa inaitwa Amwaj
Hata mimi husema badala ya kukemboi better kuenda exit
Kazi safi bro
Appreciated mkuu
Keep pushing best youtuber
😊 appreciated 🙏
Channel igrow kabisaa
Nashukuru bro, channel ni yenu bro. Without you guys hakuna channel.
Waaah noma
Sana life ni kujituma.
Good job ...nice story
Thanks bro, come back for more
Influence noma kweli
Uyu jamaa nimeenda na yeye mjei pale labour city...Team erico
Kabisa bro
Waiting ukuje tupige interview yangu
I love how frank and articulate this guy is.. thank you for your honesty bro 👍
Appreciated bro
Life manze
Maze, nafurahia sana show zako. Keeping it real. Zidi kuchanua wasee bana.
Hustle kazidi.
Ndo nmekudiscover leo huku YT. Nko huku stato pia.
Karibu msee..
nyc one .... waiting for the next part ..
Part 2 on the way
Good info here from tiktok
Thanks appreciated
Good job man
Thanks bro na appreciate
So interested mkuu❤
Keep up
😂😂wah heri Dem akemboi
Why
Good work bro more informative keep up
Thank you, I will
bora akuna mvua
Do anything but usikemboi, patience pays, I have seen people who started with 700 and now earn 15k-40k
Yeah true bro.
Nice information. Mungu awalinde. I have been in contract and I have never thought of kemboing..
Warabu hawataki mtu ajisaidie na pesa yao ndio ukienda vacation unarudi very first...manze gulf bila plans..utakuwa slave wahuko na kuishi kusema kenya maisha n ngumu
True Bro. Lazima mtu ajue vile atajituma.
Eeh manze na mtu akuwe na plan kenye unataka kuduu na pesa yenye utasave in a certain period of time
excellently true
Huyu interviewer anataka kutoa Siri zote na zingine ni Mungu anawalisha
haina noma bro leaders wametufail ndo tunatoka nchi yetu tukijaribu kuchange home
Noma sana.
Good work, op day moja pia mtaskiza risto ya kwangu
Inshallah Bro
Have been to Qatar what he has said it's true....usijifanye mjanja utajua hajui
Yeah true bro.
So informative
Glad to hear that.
Good job bruh!
Appreciate it
Waaah kaka hii noma bro
Sana bro. But ni God bro
Bro ur doing good job love the way bring story ya arab country
Shukran monene
Mimi niko lebanon na nilikemboi after 1year,although it's risky but it was worth it.Sahii niko permanent job and I'm doing ok.If hauteswi na boss wako usikemboi but if you're fearing for ur life my sister,bro ruuuuuuun
Appreciated for your response
Khaiii,Ericko what happened
Ni kama tu Lodwar, watu hulala nje coz of desert heat .
Wazoe kutembea Kenya kabla ku fly out
Nice one my G
Appreciated bro
I love this honesty
Appreciated thanks for watching.
Aky nakutafute follows bro
Zeki good job
Appreciated
Eeeee noma sana bt katafungukia
Kabisa
Jamaa ako fiti😂😂😂
Uyo boyz tumekua na yy salama pri.sch huruma ricky
So far nice TH-camr to watch. Keep a good job bro.
I appreciate it!
I feel you men
Nice work bro.
Thanks ✌
@@JUSTZEKIkwahivo hakuna job aki na ndio nilikwa nataka my bro akam qatar
Buda hii wera tunaipambania lakini tunapitia shida Sana
Naelewa msee, hustle muhimu
Nilikuwa hapo Asian city
Listening to this and i think zenki should also feature wenye wanafollow the legal process but they get messed up by the sponsors...
Yeah sure ruth. Find me one.
I am a victim... Am trying to fight my case in court tomorrow... Hoping I will get the papers... To make it worse a Kenyan guy ndio alinicon na akanimess up nikafika hapa... But all in all God is faithful
But soon coming 254
Ako 254 Already go watch part 2.
Kabisa.
New subscriber.
Just stumbled into this.
Nice content.
🇰🇪🇰🇪🇰🇪👏👏👏
Appreciated
Good job zeki
Appreciated
😮
Good job
Rickie hapo kwa tamaa 😂 but we all aim to upgrade
Pole brathe....May God change your situation.....You will get a breakthrough
For sure bro, watch part 2 hapo .
mbogi ya fmm bigup
Kabisa
Mundu ni mugikuyu uyu
Zeki thanks sana bro
Poa bro
Bro rudi Githunguri ufanye dairy farming.
😂😂 watch his 2bd video ako kenya sahizi.
Hii sio Githunguri ya kiambu,ni ya Utawala maze.
Mmh rickie wewe hapo kwa tamaa ndio ilikulost 😅
Wueeeeeh ma beste can mess you up yani wanakudanganya ukemboi kumbe huko nje hakuna kazi yani wanataka uende uteseke nao huko nje😮 kaa tu kwa kazi hadi umalize contract
Kweli kabisa.
Usikubali.
I know rick he is a good guy
Nice guy.
Msee mpoa sana.
I know this jamaa bana ata akitaka kukemboi alinishow he is a nice guy.
Yeah a good guy..
Watch part 2 yake.
No way...hizo 100k watu hutumia kwenda Qatar better ufungue kibanda ya grocery mahali huku Kenya..and you will see your self going places bruh
Good job
Thanks so much
Bans at tyms its permanent ama 5 yrs minimum😂😂
Wishing him all the best arafu ukuwe nabibi au girl friend Kenya anakuzubuwa SI mtu anaesha tokwa na wazimu😮😮😮
Sana but wanaume ni kujikaza.
Na unangoaaa ajab
Back home my brother
Sahizi ako home. Watch 2nd episode
@@JUSTZEKI🎉
Ii ukemboi ni ya madem pekee. Atleast wao wako na pochi la biashara wanapiga bei. Wanaume kujiingiza hapa ni u bladfakin
Mostly yes. Then the danger u end up in casket..
Kuombewa mcango...contract or go back home.
Buda una Fanya KAZI poa
Shukran bro.
Sorry sana bro haki I pray for you 🙏
We appreciate
Interesting story but interviewer should give space to the guy to express his story....he interrupts so much
Yeah improving on that.
Si aende nchi ingine gulf
Aje na pesa gani sasa after loosing 200k
Next you can interview me😊😊
Sure aina ile cheza pale kwa DM my no. Iko hapo.
Apo kwa usiharibu bedroom😂
Weuh i thought makhadama ndo huwa tu wanamurife😂
Kila msee budah
Chonjo bro
someone tell me the agency he mentioned kindly
Elmavale agency
Elmvale agency hapo westlands nyuma ya Africa 1 house opposite fedha house, very genuine ndo pia ilinileta
@sarahsugut2098 how much total?
Nice 🙂
🙏🙏🙏asante
Karibu
Good bro endelea kuelimisha watu..
Kwani kuna kuku huko?
Kwa wingi😂😂
bsconding is the worst you can do, without proper documentation you cannot get many services
Yeah right bro.
So he made the bad choice juu ya tamaa, kwetu sai ni kubaya watu wanatemwa we are just praying but ni kubaya sai
How can I reach you I would love to tell my story too
Niaje bro. Just DM kwa WhatsApp nko hapa 0740498174.