Bro usiweke staircase. Weka pavers so that mtu anatembea straight bila kutumia stairs. You will thank me later. Watu wazee na wheelchairs watakushukuru. Inaitwa ADA.
Thank you Prezzo. Mungu aendelee kukubariki kwa kujitolea na Bidii. How I wish ningefika kwa ufunguaji wa hio Nyumba. Am proud of you Son. May God continue to Bless the Work of Your Hands Amen.
After kujenga do you need second wife niko hapa tunaeza 😂tukaendeleza maisha a professionally air traffic control that's my profession ,am financially stable ni mwanaume sina
Bro usiweke staircase. Weka pavers so that mtu anatembea straight bila kutumia stairs. You will thank me later. Watu wazee na wheelchairs watakushukuru. Inaitwa ADA.
I love your energy, vision and your hard work
Thank you Prezzo. Mungu aendelee kukubariki kwa kujitolea na Bidii. How I wish ningefika kwa ufunguaji wa hio Nyumba. Am proud of you Son. May God continue to Bless the Work of Your Hands Amen.
Great work. Umebarikiwa
Kazi safi, Mungu azidi kukubariki
God bless the work of your hands
kazi safi bro
Iyo style ya kujenga tank tufanyie video tuone poa, congrats
Kazi safi wakwitu
Well done from tz
Great job young
Good work Prezzo
Kijana mdogo lakini Ako na akili ya wanaume kumi,prezzo mungu azidi kukuinua juu, umeshinda matajiri wengi sana
Ata mimi nngetaka kukua hapo hiyo siku ,nmekuwa Niki follow every step
Good job
Mungu mbele na watch kutoka Kuwait 🇰🇼 kazi poa kina kwa home
Nice job bro
Solar hutengeneza sitima
Nowadays solar ndio inatumika na watu wengi bill ya stima weeh wacha tu
After kujenga do you need second wife niko hapa tunaeza 😂tukaendeleza maisha a professionally air traffic control that's my profession ,am financially stable ni mwanaume sina
😅😅😅😅
@@sarahngugi2779 ama niaje simtu hubonga 😂
epic
Tafuta phrase ingine hii ya mkate wacha😂
Hii ya mkate iko sawa😂😂
😂😂😂
iko top iyo ya mkate.
Runda imeflood 🤣
Nice job