LIVE: UKISIBIWA NA HAYA UNAJINI RUBAMBA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ต.ค. 2024
  • fair use is a use permitted by copyright statute that might otherwise be infirnging non - profit education, or personal use tips the balance in favor of fair use all credit for copyright material used in video goes to the respected owner, #Zinjibartv #FahariyaZanzibar #IkuluChamwino #Dodoma

ความคิดเห็น • 55

  • @aishasaid5702
    @aishasaid5702 4 ปีที่แล้ว +6

    Mungu awalaani wanga na wachawi wote nawachukia sana

    • @lifeinmiddleeast8179
      @lifeinmiddleeast8179 ปีที่แล้ว

      😢😢 walla.kila ninachoanzisha hakiendelei na Zaid naanza kuona ndotoni

  • @saeedsaeed7381
    @saeedsaeed7381 4 ปีที่แล้ว +2

    Peace,Mercy & blessings of Almighty Allah be upon our beloved Sheikh, Watamaman,CEO of Zinjibar tv,photographers,Directors,Driver,Drone operator, viewers & Fans ameen yarab....Masha Allah Sheikh your lecture are fire 🔥 🔥 as always, you explain it in way so beautiful👍👍

  • @wardawahida8316
    @wardawahida8316 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah awalaani majini wabaya , mashetani na waganga wote. Kiswahilli ingine yanipita ngumu sielewi.

  • @aydaabbas9580
    @aydaabbas9580 4 ปีที่แล้ว +4

    HASBIYALLAH WANEEMAL WAKEEL. 😔

  • @rumaukombo6415
    @rumaukombo6415 4 ปีที่แล้ว +2

    Allah awape kheri

  • @shamiraabdallah9656
    @shamiraabdallah9656 4 ปีที่แล้ว +5

    Mm nikweli mabega huwa yananiuma kilasiku niko oman

  • @doyohuqa9467
    @doyohuqa9467 4 ปีที่แล้ว +2

    Hakika Zinjinar tv fahari yetu...

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 2 ปีที่แล้ว

    Shekhe salamghaikum vip hali

  • @khairunmsheba4637
    @khairunmsheba4637 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah mungu akubarik

  • @nasirshekhi6070
    @nasirshekhi6070 3 ปีที่แล้ว

    Jazzakka Allahu khyern 🤲

  • @zubedatatu7852
    @zubedatatu7852 3 ปีที่แล้ว

    Masha Allah Mungu awazidishie umr nkiwa Dubai

  • @nasuefendkhamis409
    @nasuefendkhamis409 4 ปีที่แล้ว +2

    maashaallah

  • @kuruthummkalawa7290
    @kuruthummkalawa7290 4 ปีที่แล้ว +1

    Maa shaallah

  • @salummzee9739
    @salummzee9739 9 หลายเดือนก่อน

    Lakin sheikh Allah ametuahidi kuiwa hufanyi ibada ya swala na kutengana na maasi ukaipenda dunia kuliko Akheir wallah utadhalika ktk dunia utakosa heshima utakosa amani ulanika na mandoto machafu ila ukijikurubisha kwa Allah mola atakulinda sasa yote unazungumza lakin Ibada na uchamungu tumepata

  • @ibrahimabdallah6490
    @ibrahimabdallah6490 4 ปีที่แล้ว +1

    Aslm Aleikum vipi nitapata hiyo dawa yakumsaidia mtu kuacha tembo/mvinyo ;washukran.

  • @sabitinaeastafrica5822
    @sabitinaeastafrica5822 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah shekh yusuf

  • @aminamundhir2713
    @aminamundhir2713 4 ปีที่แล้ว

    Subhanaallah jamani watu wabay hawamuogopi Allah hata kidogo yaarab

  • @aishasaid5702
    @aishasaid5702 4 ปีที่แล้ว +1

    Hakika sheikh nakupa mkono ni kweli wanatumia sura ya watu wengine ilitokezea kwa shemegi yangu alifanyiwa aonekane mwanga wala sio mwanga alikimbiwa mpaka na mkewe

  • @fatmafatoom6553
    @fatmafatoom6553 4 ปีที่แล้ว

    Wallah mnayo yaongea watu wengn hawawez Amin mpk yawafike zaman nlkua siamin km Kuna uchaw na Majin ila kwass jinsi nnavyoumwa nmeamin na huu n mwaka wa 14 ss nnasurubika ,,,ila nashukuru kuwa fahamu nikirud afrika lazm n watafute kwa gharama yeyote ili maana nmepoteza vitu vingi Sana inshallah wataalah nmeshajihis nmepata mtetez ss.

  • @munezerozilfa9886
    @munezerozilfa9886 4 ปีที่แล้ว

    Allah awajaze kheri nyingi tv zjb

  • @mohamednoordin2015
    @mohamednoordin2015 4 ปีที่แล้ว +1

    Asallam aliekum

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 2 ปีที่แล้ว

    Mtihani mkubwa shekhe

  • @shaadenshaduni7755
    @shaadenshaduni7755 4 ปีที่แล้ว +2

    Jamani nina vitu vyingi nime visikia ninavyo nisaidieni

  • @wardawahida8316
    @wardawahida8316 3 ปีที่แล้ว

    Shukran kwa elimu.

  • @SumaiyyaKhamisMohammed
    @SumaiyyaKhamisMohammed 6 หลายเดือนก่อน

    Nikwel kbsa nishamuona sikumjua mpka Pete nilimpa sasa shekh nisaidie

  • @modestercyprian3245
    @modestercyprian3245 4 ปีที่แล้ว +1

    Jamani vituvinanichoma miguuni mnanisaidiaje

    • @LutfiyaHaji
      @LutfiyaHaji 8 หลายเดือนก่อน

      Km mim

  • @iddijumaali7192
    @iddijumaali7192 4 ปีที่แล้ว

    Shukran

  • @mussakhamisi-tn5ft
    @mussakhamisi-tn5ft ปีที่แล้ว

    daw

  • @jacobponga1540
    @jacobponga1540 2 ปีที่แล้ว

    Assalam Alaykum. Tiba ya majini, wanga ni ipi Masheikh ?

  • @shaadenshaduni7755
    @shaadenshaduni7755 4 ปีที่แล้ว +1

    Mimi hayo matatizo yote alo yataja ninao

  • @ashrafyyousuf6821
    @ashrafyyousuf6821 ปีที่แล้ว

    Wafetu,

  • @evelynengilah523
    @evelynengilah523 ปีที่แล้ว

    Shetani.Ashindwe

  • @mariamnadzua3980
    @mariamnadzua3980 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyo jini anaingia vipi mpaka anamfanya mtu kijakazi?

  • @akrammahtabi935
    @akrammahtabi935 4 ปีที่แล้ว

    Inatish kwa kweli

  • @ubahhemed6184
    @ubahhemed6184 4 ปีที่แล้ว

    Sheikh mama ukimuona mzima lkn miguu yake haifanyi kazi hawezi kujisaidia lolote mwaka wa tatu huu tumeangaika mpaka tumechoka,

  • @shimafuad6868
    @shimafuad6868 3 ปีที่แล้ว

    Mie ulivyosema kuhusu jini rubamba kufanya fitna ya kudhaniana basi nimehisi uso wangu umekunjika kwa hasira na mwili umenisisimka Sana. Dalili zote ulizotaja ninazo zoooote hakuna nilobakisha. Kila siku sura lngu linakuja Kama mnyama nikijiangalia kwe kioo hapo hapo nasoma Dua. Ya kujiangalia kwe kioo basi uso unajirudi

  • @jumanasoro8903
    @jumanasoro8903 4 ปีที่แล้ว

    Wapi imeandikwa kwamba maji ya msikitini yana baraka, acha kudanganya, lete ushahidi kutoka kwenye Quran au Sunna

    • @wardawahida8316
      @wardawahida8316 3 ปีที่แล้ว

      Yasaidia mtoto mdogo aliyechelewa kuongea akinywa, ni wazee wa kale waliokuwa wakifanya hivi zamani sijui kama ukweli au la naskia tu.

  • @yabdul1782
    @yabdul1782 4 ปีที่แล้ว

    Iko mahali kwa Qur'an au hadith inazungumzia kuhushu nyota au bahati? Sijawahi kusikia pana kitu kama bahati kwa dini.

  • @shaadenshaduni7755
    @shaadenshaduni7755 4 ปีที่แล้ว +1

    Nina bega moja linaniuma sasa hivi ni mwaka wakumi natembea nalo

    • @saidmohammad6347
      @saidmohammad6347 4 ปีที่แล้ว +1

      Nenda hospital ukachuliwe.
      Usije ukaliwa hela zako kwa maneno matamu ya waganga

    • @saidmohammad6347
      @saidmohammad6347 4 ปีที่แล้ว +1

      Mara watakwambia rubamba mara jini mahabba. Ilimradi ni vituko tu.
      Hebu nyie mnaijifanya walimu badilisheni mada tena.
      Wafundisheni watu fik-hi na akida.

    • @wardawahida8316
      @wardawahida8316 3 ปีที่แล้ว

      @@saidmohammad6347 kwanini kwani we mchawi? Hupendi kheir MADA IENDELE InshaAllah wa Biidhnillah.

    • @kadijahajali3918
      @kadijahajali3918 2 ปีที่แล้ว

      Ni kweli shekhe yapo tele hayo mimi nikuwa naumwa na kichwa kila siku siolewi hata nikata mume bure tu wanakuja lakini hawatimizi lengo ndiyo mtihani

    • @kadijahajali3918
      @kadijahajali3918 2 ปีที่แล้ว

      Nikifanyiwa dawa ya kisomo nikipewa makombe mm baadae yanakuwa hayana rangi tena yanakuwa meupe ndiyo hivyo