Jamani, sasa hii ni BBC au kitu gani? Kila siku kwa mawaiki sasa mtangazaji ni mmoja tu?? Haikuwa hivo tangu mwanzo na kwa maoni yangu, ilipendeza sana
Lakini asume umemlea mtoto kwa miaka kadhaa kwa upendo wote na mtoto pia anafahamu kuwa wew ndiye baba ni miaka kama 20 hivi unadhani utakua ktk wakati gani wew na mtoto mtakapo pima na kugundua wewe sie baba yake mzaz na yeye sio mwanao wa kumzaa
Asante sana
DNA ni muhimu, ku mpakazia mtu kulea mtoto asiye wake sio vizuri, kulea ni jukumu kubwa sana.
Tuna omba angalau muongezewe mda wa li saa
Angalau saa moja itapendeza
Jamani, sasa hii ni BBC au kitu gani? Kila siku kwa mawaiki sasa mtangazaji ni mmoja tu?? Haikuwa hivo tangu mwanzo na kwa maoni yangu, ilipendeza sana
Waongeze watangazaji bwana zamani ilinoga sana leo Salimu Kikeke kesho Zuhura Yunus na wengine ilinoga sana
Wafrica Bado tuko usingizini hasa nyie mnao Pinga DNA mnalea umalaya nikitu kibaya mtu kukupakazia mtot asie wako
Ukosawa maana hatamimi nimewahi kupakaziwa
Lakini asume umemlea mtoto kwa miaka kadhaa kwa upendo wote na mtoto pia anafahamu kuwa wew ndiye baba ni miaka kama 20 hivi unadhani utakua ktk wakati gani wew na mtoto mtakapo pima na kugundua wewe sie baba yake mzaz na yeye sio mwanao wa kumzaa
@@thobiasmwakyusa573 ndugu mistaki tukae sana adi miaka iyo nataka angalau utu tudogo sio umli uo