UHONDO WITH MOZE IYOBO (DANCER WCB)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 130

  • @mwanaishajuma5613
    @mwanaishajuma5613 6 ปีที่แล้ว +2

    Hongeraaaa san mdogo wangu Mungu akupe Moyo huo huo moze

  • @moudymussa7646
    @moudymussa7646 8 ปีที่แล้ว +6

    anty azkil kuwa lakini sn na dogo
    yupo very attractive sn anajielewa.
    big up sn dogo,

  • @tashaali3166
    @tashaali3166 7 ปีที่แล้ว +5

    Ma Shaa Allah Aunty mungu akuwekea mozei iyobo ,ni mpole sana hana maneno his responsibly .mungu akuwekea pahati yako mzuri In shaa Allah,from kenya we are ur fans Auny and Mozei iyobo,

  • @hawaynatimam982
    @hawaynatimam982 5 ปีที่แล้ว +1

    Hongera Sana maana sisi mama zetu wakambo tumeipata Habari

  • @lailahasan2200
    @lailahasan2200 4 ปีที่แล้ว +2

    Yaani ww swebe una visa kweliiiii..

  • @zuenachege2708
    @zuenachege2708 8 ปีที่แล้ว +10

    hongera mama mzazi was mose iyobo kwa malezi mazuri mungu akupe jazz yako.

  • @michaelkazungu25
    @michaelkazungu25 8 ปีที่แล้ว +2

    komaa moze...fanya mambo yako fresh braza...one love sana

  • @esthernyokabikimiti5128
    @esthernyokabikimiti5128 8 ปีที่แล้ว +2

    Wow God bless your mum inlaw. ila tuliza usipate watoto wengi

  • @celinaboniface3657
    @celinaboniface3657 8 ปีที่แล้ว +5

    jaman..mwanamme mpole hadi raha!! aunt mheshm sn moze kiukwel

  • @mariamangel1264
    @mariamangel1264 7 ปีที่แล้ว +6

    Uyo mama pepo ya mungu ataipata wallah nimalia kuskiy iyo istor

  • @samirasamir7734
    @samirasamir7734 8 ปีที่แล้ว +4

    yobo nice sanaa unajielewa nimependa kwakumuweka mama pazuri very nice boy

  • @alialle6441
    @alialle6441 8 ปีที่แล้ว +11

    Aiseee ulipata mama mzuri sana, mimi nililelewa na mama kambo tuliipata!

  • @salmasemboja9367
    @salmasemboja9367 6 ปีที่แล้ว +1

    Napenda unavyoongea na upole wako. Mwenyezi mungu aendelee kukupa hekima uishi vinzuri na aunty na mtoto wenu.

  • @sienakamuya9440
    @sienakamuya9440 6 ปีที่แล้ว +5

    Huyo mama mungu ambariki

  • @herykauli1004
    @herykauli1004 8 ปีที่แล้ว +3

    Dah,your the best Moze,big up pia na mama yako mlezi.

  • @stormingfoh
    @stormingfoh 8 ปีที่แล้ว +1

    Dina ..thx for the show!
    Moze....wewe ni Mtu utakaebarikiwa na Mola!

  • @adamkabila7113
    @adamkabila7113 8 ปีที่แล้ว +4

    pole IYOBO kazi ya muungu hiyo ila big up

  • @mudybarbiefairytopiaumadem8524
    @mudybarbiefairytopiaumadem8524 8 ปีที่แล้ว +2

    hongera na pole kwa yote yaliotokea ktk maisha yako iyobo...

  • @jeannettejaja9651
    @jeannettejaja9651 7 ปีที่แล้ว +5

    ndo mana hakili zako nyingi kumbe we yatima! pole

  • @reginahomondi1370
    @reginahomondi1370 7 ปีที่แล้ว +5

    Mose Iyobo you are very handsome,polite and hardworking

  • @anetikapami4228
    @anetikapami4228 7 ปีที่แล้ว +4

    Dar, kijana mpole kweli adi lahaaa.

  • @rehemawamimi1386
    @rehemawamimi1386 5 ปีที่แล้ว +1

    Yan moze nimpole mpka raha sana

  • @dmodu6432
    @dmodu6432 9 ปีที่แล้ว +5

    ila swebe jamani ni mtundu khaaaaaa😂😂😂😂😂😂😂

  • @dongodfrey3362
    @dongodfrey3362 8 ปีที่แล้ว +1

    nimeipenda.... iyobo anajieleza vizuri...

  • @baby.jnyams7389
    @baby.jnyams7389 8 ปีที่แล้ว +3

    mungu ambariki mama

  • @makamoses321
    @makamoses321 8 ปีที่แล้ว +2

    big up kwako baba cook !!!

  • @umydaddy4697
    @umydaddy4697 6 ปีที่แล้ว

    Mpole maskini. Lakini ulipoulizwa kuhusu mama ungenyoosha maneno na kumsifu na kumshukuru sana kwani kwa maelezo yako amekulea vizuri sana mashaallah

  • @aleezaaleeza720
    @aleezaaleeza720 6 ปีที่แล้ว +1

    Daah mashaallah iyobo mpole hadi raha

  • @missritzzy4112
    @missritzzy4112 6 ปีที่แล้ว +2

    daaah kweeliii mapenziii bhn n Siri ya mtu

  • @nasraeidrayul4383
    @nasraeidrayul4383 9 ปีที่แล้ว

    daaah moses badoo mdogoo kisha mpolee sana masikin nawapenda ant ezakiel na moses nawapenda san

  • @mamashantel9259
    @mamashantel9259 7 ปีที่แล้ว +3

    mpoleeeeeeee daaah mose

  • @pendomwenda6190
    @pendomwenda6190 4 ปีที่แล้ว

    Kwakweli aunty kapata mume

  • @alexpocha7488
    @alexpocha7488 8 ปีที่แล้ว +11

    Good job kwa kumjengea mama yako Mlezi

  • @IsraelSaria
    @IsraelSaria 7 ปีที่แล้ว +14

    Du yuko makini sana huyu kijana, kila la kheri sana.

    • @ab3ab313
      @ab3ab313 5 ปีที่แล้ว

      Israel Saria nqmatakia papa kuki na mama kuki nawatakia maish maref nawapend bure😘😘😘

  • @zuhuraali9983
    @zuhuraali9983 9 ปีที่แล้ว

    mashallah baba cook kabole isisikilize maneno ya watu tunawaombea sana mfunge ndoa anti ezekell tunawapenda sana tukiwa kenya

  • @kaylagodfrey2704
    @kaylagodfrey2704 7 ปีที่แล้ว +4

    kweli moz mpole kweli aunt shikilia apo apo laki usiwe kwasababu mme wakonimpole ndio umuonee

  • @m.mmarckus6298
    @m.mmarckus6298 4 ปีที่แล้ว +1

    Swebe mbeya jamani

  • @emmynjeri2304
    @emmynjeri2304 6 ปีที่แล้ว

    Jamani uyo mama Hongera zake

  • @ceciliakamau4456
    @ceciliakamau4456 8 ปีที่แล้ว +1

    wow lov dis.. M pole aky

  • @irenemaruri595
    @irenemaruri595 7 ปีที่แล้ว +12

    Moze ni handsome jameni

  • @khadijamalifedha5862
    @khadijamalifedha5862 9 ปีที่แล้ว +14

    yaani mpole mashaallah mama cook ashikilie hapo hapo

    • @tashaali3166
      @tashaali3166 7 ปีที่แล้ว

      ma Shaa Allah nice person ,mpole kweli

  • @esthersirmasirma1386
    @esthersirmasirma1386 7 ปีที่แล้ว +4

    congratulations to your mami and congrats! mose she's 'll never forget u.

  • @msadec2465
    @msadec2465 6 ปีที่แล้ว

    hongera sana mama cook kwa kupata mume bora

  • @saumusalimuhassan772
    @saumusalimuhassan772 8 ปีที่แล้ว +2

    Swabe mbavu zangu jamani, baba cookie mpole hata kuongea shida.

  • @newasddong5865
    @newasddong5865 8 ปีที่แล้ว

    huyu sweba ni mtundu sana bt mm humpenda yuachangasha kipindi mose mpole sana anty kapata mume hapa mungu awabariki

  • @mwanasioneric8592
    @mwanasioneric8592 6 ปีที่แล้ว

    Jomonii nampenda Moze mpolee hadi rahaa big up

  • @fidesbenard3243
    @fidesbenard3243 6 ปีที่แล้ว

    Nimempenda uyo mama Mungu aendelee kumpigania kwakila jambo

  • @celineagalo7229
    @celineagalo7229 8 ปีที่แล้ว +5

    mmenichekesha kweli

  • @mosesmelikiory2775
    @mosesmelikiory2775 4 ปีที่แล้ว

    Nakuku Bali MOZE wajina mwezangu

  • @maryclairegifty2556
    @maryclairegifty2556 8 ปีที่แล้ว +1

    pwahahaaaa,eti aendelee kukata kiuno,hahaaa

  • @eliyababungire7050
    @eliyababungire7050 7 ปีที่แล้ว +2

    I vote moze iyobo big up to you💪💪

  • @penifakombwe3951
    @penifakombwe3951 7 ปีที่แล้ว +2

    hongera sana unasauti nzuri pia ni mpole sana

  • @youngson472
    @youngson472 8 ปีที่แล้ว +4

    Ukiona shida manyanyso na mitihani inakuandama katika dunia jua neema inakalibia

  • @makamoses321
    @makamoses321 8 ปีที่แล้ว

    ebana !!! ME NAWAKUBALI SANAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA !!! e fm pamoko sanaaa

  • @babydarling4775
    @babydarling4775 9 ปีที่แล้ว +2

    jmn Moze unatafuna kucha hadi hadharan duuuh

  • @salminmassanga1195
    @salminmassanga1195 8 ปีที่แล้ว +1

    conglat broo so kind

  • @leilayussouf1172
    @leilayussouf1172 8 ปีที่แล้ว

    swebe ananifrahisha wala huboe😂😂😂kipindi nd kinachangamka

  • @jessicargeofreybuninange3267
    @jessicargeofreybuninange3267 6 ปีที่แล้ว

    Oooh my god 😢😢😢😭😭😭pole moses kupoteza mama nimajonzi japo pia some story with me .duh nimelia sana boss #@moseiyobo

    • @princessayla1937
      @princessayla1937 4 ปีที่แล้ว

      Jessicar Geofreybuninange sorry sister

  • @jifunzekuhusuwewe7475
    @jifunzekuhusuwewe7475 6 ปีที่แล้ว

    Safi sana Kijana Mungu awatunze

  • @priskapaulo2625
    @priskapaulo2625 6 ปีที่แล้ว

    Nakupenda Uko mpole

  • @prinerlee3510
    @prinerlee3510 8 ปีที่แล้ว

    hahahaahahah yan swede jmn mweee nakuona mbal sn asee unajua snaaa

    • @arafalali8569
      @arafalali8569 8 ปีที่แล้ว +1

      duh aisee ni sheda
      inamaana wanavoishi kama wazazi na hawaishi kama wanandoa
      swali hapo naomben mnijibu
      ikitokea mwanamke anamahusiano na mwanaume mwingine jee uyo mwanaume ataona wivu au ataachilia?

  • @isaha7664
    @isaha7664 8 ปีที่แล้ว +5

    Toto tu ilo kwa ant Ezekiel

  • @hajrayussouf6573
    @hajrayussouf6573 8 ปีที่แล้ว

    swebe unajua kuniua mbavuuu😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @bashrush4821
    @bashrush4821 8 ปีที่แล้ว

    Dina ww mzuri tyu tuwe marafiki plz

  • @kassimnassieb1605
    @kassimnassieb1605 8 ปีที่แล้ว +2

    swebe baba..!

  • @ashillypshija4619
    @ashillypshija4619 4 ปีที่แล้ว

    Yaan mnaongea sana huyo mwenyewe ata hamumpi nafasi vizuli mnaongea nyie tu

  • @adijaadija8339
    @adijaadija8339 5 ปีที่แล้ว

    Mzuri jamani

  • @tanvirtelecom1317
    @tanvirtelecom1317 7 ปีที่แล้ว +2

    Namupendasana.moze

  • @bashrush4821
    @bashrush4821 8 ปีที่แล้ว +1

    Kimbiza bro unaweza usikate tamaa

  • @mczundaoriginal2491
    @mczundaoriginal2491 9 ปีที่แล้ว

    mjitahidi intervew yote muionyeshe nimependa sana mnavyohoji swebeee wa kaole nimefurahi kumuona

  • @starlily07
    @starlily07 9 ปีที่แล้ว

    Good job Dina Marios, penda sana jembe langu.

  • @janethmollel9618
    @janethmollel9618 8 ปีที่แล้ว +6

    Kumbe sii mama wakambo wote wabaya

  • @bahatramadhan8022
    @bahatramadhan8022 9 ปีที่แล้ว +2

    kmbe mozee ni mpole sn maskini.

    • @11z52
      @11z52 7 ปีที่แล้ว

      Nice familia ya iyobo

    • @nyamiziballe7787
      @nyamiziballe7787 6 ปีที่แล้ว

      hongela sana baba kuki

  • @bettylichotimkuna5762
    @bettylichotimkuna5762 8 ปีที่แล้ว +6

    wanaume wa WCB wote ni wadogo, wake zao wakubwa mno, cijui ni kwa nini

    • @AsdfAsdf-fj9sm
      @AsdfAsdf-fj9sm 7 ปีที่แล้ว

      betty lichoti mkuna aki real 👍👍 I don't know y ? aki

  • @rachelmulonda6648
    @rachelmulonda6648 9 ปีที่แล้ว +3

    Mose so cute

  • @mwibakywamatumba8801
    @mwibakywamatumba8801 8 ปีที่แล้ว +1

    na watakiya masikilizo mema kwa bwana mose iyombo

  • @lucyabel2643
    @lucyabel2643 7 ปีที่แล้ว +6

    asiishie hapo atafute hata biashara nyingine za kufanya maana udancer unaenda na umri

  • @sarah.wangoi.5691
    @sarah.wangoi.5691 7 ปีที่แล้ว +2

    nice show

  • @wendynduta1664
    @wendynduta1664 8 ปีที่แล้ว +2

    Maswali gani haya jameni?

  • @sweetbartcloud2787
    @sweetbartcloud2787 8 ปีที่แล้ว

    nakuelewa sana din uko vizuri

    • @11z52
      @11z52 7 ปีที่แล้ว

      Nice moze iyobo

  • @celineagalo7229
    @celineagalo7229 8 ปีที่แล้ว

    nimeipenda hiki kipindi.

  • @habibakhlifa8534
    @habibakhlifa8534 6 ปีที่แล้ว

    Moze iyobo nii mtoto sana kwa aunti jamani wasanii achenii kuchukua vitoto vya watu mkavibaka yanij huyu moze mdogo mnoo

    • @NonoNono-qp3zu
      @NonoNono-qp3zu 6 ปีที่แล้ว

      Habiba Khlifa, watoto ndio watamu jaribu uone

  • @frankjohn0714
    @frankjohn0714 8 ปีที่แล้ว +1

    noma San

  • @rahapaulina1451
    @rahapaulina1451 7 ปีที่แล้ว +1

    mungu awaongoze mdumu. anty Ezekiel na moze

  • @aleezaaleeza720
    @aleezaaleeza720 6 ปีที่แล้ว

    Kisauti chake hadi kinatamanisha

  • @schimami4162
    @schimami4162 8 ปีที่แล้ว +1

    we hanic

  • @shabyally8678
    @shabyally8678 8 ปีที่แล้ว +1

    nice one

  • @zashabamani4618
    @zashabamani4618 8 ปีที่แล้ว

    jamani moze anaonekana mlokole balaaa yani pole hatariiiii

  • @muniragambere3085
    @muniragambere3085 8 ปีที่แล้ว +1

    jmni mbna mple ivi mtoto wa watu u.......by da way uko poa mozee

  • @deniswitman2959
    @deniswitman2959 9 ปีที่แล้ว

    daaaa bro mose yupo cool sanaa

  • @alialbusaidi9130
    @alialbusaidi9130 7 ปีที่แล้ว +1

    Malaya tu so wasopenda kuvaa nguo za ndani ILI watingishe makalio hususan uko Bongo wanapenda sn kujiraisisha

    • @fbhj443
      @fbhj443 7 ปีที่แล้ว +1

      ali albusaidi Acha kuiponda bongo,uhuni kila mahali upo nanihulka ya mtu

    • @rahapaulina1451
      @rahapaulina1451 7 ปีที่แล้ว +1

      ali albusaidi acha wivu hauwezi kukusaidia chochote.sauti yake mungu ndo kampa

    • @innossvevo3482
      @innossvevo3482 7 ปีที่แล้ว

      ukovizur yobo safi sana bb maisha malefu uixh

  • @zulfaandan280
    @zulfaandan280 7 ปีที่แล้ว

    Best father

  • @swabrinamasoud106
    @swabrinamasoud106 6 ปีที่แล้ว

    Penda xna iyobo

  • @kilahunjakilahunja810
    @kilahunjakilahunja810 8 ปีที่แล้ว

    Sasa ww swebe umekua mtangazaj ama? Kutwaaa kuingilia dina anavyoongea, sasa tunashindwa hata kufurahia shoo, dina ana mhoj mose swebe kuingilia khaaaaaa

  • @zulfaandan280
    @zulfaandan280 7 ปีที่แล้ว +1

    Wooooow

  • @ramadhanibrahim7619
    @ramadhanibrahim7619 8 ปีที่แล้ว

    Hapo ni majanga matupu kwa kumsikiliza tu huyo dogo Aunt amemlaghai kwa udogo wake subiri Sande atoke Jela Abudhabi uone km atavumilia,Mke anauma ujue,Moses igeuze ungekuwa ww Sande harafu yakukute km hayo ungejisikiaje?Wanawake nuksi sn

    • @aminaally9156
      @aminaally9156 5 ปีที่แล้ว

      Wee ramadhan ibrahim umefanya nicheke mpk bas yaan cjui unawazaga nn jmn aah

  • @mwandumazaoidrossa1702
    @mwandumazaoidrossa1702 6 ปีที่แล้ว

    Swebwe tu est fou toi😀😀

  • @meryaugustino1270
    @meryaugustino1270 8 ปีที่แล้ว

    huyo aunt ni mapepe aliolewa kiislam na mume wake atujasikia kama aliachana naye mara tunasikia kapora mume wa mtu huyo moze kwa kweli mungu amuazibu huyo aunt ezekiel laana kum

  • @husseingwanone7825
    @husseingwanone7825 6 ปีที่แล้ว

    Iyobo

  • @erastojuma8235
    @erastojuma8235 8 ปีที่แล้ว

    iko poa xana iyobo