ความคิดเห็น •

  • @gladyvictor9094
    @gladyvictor9094 2 ปีที่แล้ว +2

    Amina

  • @nyambochristelle7640
    @nyambochristelle7640 2 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu🙏arakini mimi nashàngaa sana kwajuu izo ni ndoto zangu myaka mingi kbs!kuanzia swali la pili mpaka saba hivi !!!sijui nitashinda mwenyewe😭

  • @neysalal6687
    @neysalal6687 ปีที่แล้ว

    Ni juzi tu nimeota nimefaulu mtihani kwa alama za juu...Eee Mwenyezi Mungu nakuomba Neema zako zikatawale kwenye hili🙏

  • @merinamillanzi422
    @merinamillanzi422 2 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana Mtumishi. Leo nimepata majibu ya maswali yaliyo kua yananisumbua muda mrefu sana

  • @abuupanther4470
    @abuupanther4470 ปีที่แล้ว

    Asante mtukufu kwa elimu yak mungu akupe nehema zaidi

  • @EllyKimaro-wu9zn
    @EllyKimaro-wu9zn ปีที่แล้ว

    Barkiwa sana mtumishi wa Mungu nimeota sana mazingira ya nyumbani kwetu kijijini sasa umenipa ufamu npita kwenye hali mbaya ya uchumi na magonjwa namba msaada wako

  • @wokovuakarow4909
    @wokovuakarow4909 ปีที่แล้ว

    Amen amen mwalimu Ubarikiwe sana kwa ufunuo juu ya ndoto hizi.
    Tungependa pia tupate elimu ya kiroho jinsi ya kuziombea maana hizi ndoto huwa zinajirudiarudia na haswa pale tu unapotaka kuinuka kimaisha na ukishaona hivyo mambo hayaendi.

    • @saicaglory6834
      @saicaglory6834 ปีที่แล้ว +1

      Amina mtumishi ni jinsi gani nitashinda upinzani huu maana mimi naota mara nyingi nipo kwenye mtihani ha sijui kitu cha kuandika hadi mda unaisha nikitafuta msaada kwa mwenzangu anisaidie nahamishwa position...yaani hii ndoto inanisumbua sana

  • @tumaininzunda7206
    @tumaininzunda7206 ปีที่แล้ว

    Ameen

  • @nancyonderi893
    @nancyonderi893 2 ปีที่แล้ว +2

    Nimeshukuru mtumishi naomba niulize swali aki na nimesumbuliwa sana na hii ndoto unaona ati unaogelea Kwa maji mingi yaani baharini inamaanisha Nini jani

    • @ivyxhiku5627
      @ivyxhiku5627 2 ปีที่แล้ว +1

      Unafaa uombe sana juu ii humaanisha kifo

  • @magrethlwiva6420
    @magrethlwiva6420 2 ปีที่แล้ว +1

    Asant mtumishi

  • @brendaandati3595
    @brendaandati3595 2 ปีที่แล้ว +2

    Na je, ukiota unaenda shule but njiani nilikutana na kijana akataka tupigane sasa sikuendelea na safari yangu ya kwenda shule

  • @jonasjaphetthomas6434
    @jonasjaphetthomas6434 2 ปีที่แล้ว

    Asantente sana mchungaji umenifumbua macho

  • @happinessmkambeni8203
    @happinessmkambeni8203 2 ปีที่แล้ว +2

    je ukiota unaendesha gar hii ni ndoto inamaana gan

  • @marykomba4964
    @marykomba4964 2 ปีที่แล้ว +1

    Mimi nimekuwa naota ndoto za shule ya secondary takribani miezi mitatu now , nakuwa kama nafundishwa na wenzangu, na walimu wale wale niliokuwa nawafahamu, mda mwingine tunakuwa , kama kwenye michezo na wenzangu, mda mwingine nikikosea au kujibu vibaya naadhibiwa , nimekuwa naomba kukataa hiyoo hali lakin Bado na sielewi maana zake ni nn

  • @neemaelias626
    @neemaelias626 2 ปีที่แล้ว +1

    Mi Leo tarehe 21 nimeona niposhuleni ninafanya mtihani nikawa ninajaza majibu lkn nikakutana na swali gumu Kuna rafiki yangu akanisaidia hlf mwalimu akatuona namimi nikagundua kuwa ametuona lkn rafiki yangu yeye hakugundua kuwa mwalimu ameona mwalimu hakusema chochote alipoona lkn alishangaa tu

  • @lucywangeci8391
    @lucywangeci8391 ปีที่แล้ว +2

    Mi naotaga nikiwa nimerudi shule na hili ndota hua inajirudia mara kwa mara jana nikaota darasa la nne mtumishi wa Mungu nisaidiwe kuifanya ina maana gani

  • @DnieyPite
    @DnieyPite หลายเดือนก่อน

    mimi naota niko shule ya msingi darasani tunaandika lakini mm siwezi kuandika ina maana gani

  • @judithamanzi5528
    @judithamanzi5528 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimeota ndoto kuwa nipo shule ya bording na nimefika nikakosa kitanda lakini wenzangu woote wamepata. Na nilipoingia bafuni hapo shuleni nikakosa ata sehemu ya kusimama kuoga maana waloshajaa na hakuna anayenipa msaada. Nisaidie kuitafsiri baba

  • @fabianbenardngatunga2713
    @fabianbenardngatunga2713 2 ปีที่แล้ว +1

    Niliota ndoto mke wa mdogo wangu akiambiwa kuwa hata pata mimba wala uchachu uchachu wa mimba maana yake nini

  • @user-xc3ik1hu3q
    @user-xc3ik1hu3q 5 หลายเดือนก่อน

    Mimi naona nkufanya mtihani lakn simalizi wenzangu wote wanamaliza mimi nabaki hivyo hadi niamke. Nikweli kuwa mimi kila ninachoanzisha haliwi kabisa mahusiano, biashara vyote haviendi

  • @rebeccakadzo8057
    @rebeccakadzo8057 ปีที่แล้ว

    nko Saudi Arabia,nimeota nko kwenye chumba Cha mtihan lkn sijafanya ule mtihan inamana Gani hio

  • @neemaelias626
    @neemaelias626 2 ปีที่แล้ว

    Jana tarehe 20 niliota ndoto nikiondoka kwangu nilivyokuja kurudi nikakuta rafiki yangu amebeba mimba ya mume wangu

  • @namalwagaudencia5637
    @namalwagaudencia5637 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana ,na ukiota unapigwa na mamamkwe mawe katikati ya utosi, na msichana uiomjua akitaka kukata panga na Askari wanakuja wanawafukuza inamaanisha Nini?

  • @jasminisharifu7446
    @jasminisharifu7446 ปีที่แล้ว

    Niliwahi kuota nimefanya mtihani nimepata maksi za kulizisha kdg wastan wa alama hz B,B ,C ,C na nilikuwa na furaha sana

  • @hildageorge1781
    @hildageorge1781 ปีที่แล้ว +1

    Kama unafanya mtihani na hukumaliza na majibu hujui na unasaidiwa na msimamiz inamaana ganii

  • @dorisilukinja4507
    @dorisilukinja4507 ปีที่แล้ว

    Umenigusa kwenye kuangalizia majibu.

  • @KizaConstantino-cq2vz
    @KizaConstantino-cq2vz 2 หลายเดือนก่อน

    Nakutakia mafanikio mema

  • @marycianakimamle7577
    @marycianakimamle7577 ปีที่แล้ว

    Mtumishi mie kunandoto hii ya kuota mwanangu àmepotea mwanangu wa kike inanisumbua pia nifanyeje kuikataa hii roho isitimie nisaidie

  • @marycianakimamle7577
    @marycianakimamle7577 ปีที่แล้ว

    Hii ndoto nimeota ninafanya mtihani nimejibu maswali yote na Niko swali la 46 swali la 45 inaonekana jibu la hesabu nakumbuka ila nimesahau na msimamizi anadai muda unakaribia kuisha na moyoni napambana kumaliza japo wengi walirukaruka kujibu maswali nikaamuka

  • @fridaboniface4326
    @fridaboniface4326 ปีที่แล้ว

    Na ukiota kinyesi inamaanisha nini

  • @user-ko7pq1tv2k
    @user-ko7pq1tv2k หลายเดือนก่อน

    Nimeingia darasani,nikaanza kufundisha,nikakuta darasani Kuna neno limeandikwa,neno Hilo ndiyo nikalitumia kuuliza swali,mwanafunzi wa Kike akawa amenijibu,na jibu la swali sio sahihi,ni nini tafsiri ya ndoto hii?

  • @fabianbenardngatunga2713
    @fabianbenardngatunga2713 2 ปีที่แล้ว +2

    Nikweli mana niziota ndoto za shule sana nasasa naona npo kwenye majaribu

  • @emilygodda8755
    @emilygodda8755 2 ปีที่แล้ว +1

    Baba, mimi ni mama nina watoto, lakini nimeota muda kidogo ndoto imejirudia sana, nimeenda shule na hapo ni mwezi wa 12 yaani wakufunga shule, nikashanhaa sasa nimekuja kumbe kuna mtihani, halafu mwaka mzima sijaonekana shule, sielewi hata cha kujaza,

  • @merinamillanzi422
    @merinamillanzi422 2 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana Mtumishi. Leo nimepata majibu ya maswali yaliyo kua yananisumbua muda mrefu sana

    • @mukadiforoadera3250
      @mukadiforoadera3250 2 ปีที่แล้ว +1

      Unaota na unafanya mutihan unapata diprom nahaifanane nazawengine inamanishanini??