QURAN TAJWEED NA QARY ABDALLAH RAJAB KTK USIKU WA LAILATUL QADRI MASJID MTORO JIJINI DAR.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 11

  • @MohammedRashidSuleiman
    @MohammedRashidSuleiman 3 หลายเดือนก่อน

    mashaallah Mungu akuzaidishie punz na saut yakusomea Quran

  • @hamzaharuna5077
    @hamzaharuna5077 8 หลายเดือนก่อน

    Mashallah bingwa huyo

  • @KhalifaOmary-g9w
    @KhalifaOmary-g9w 4 หลายเดือนก่อน

    Htr sana mwalim wangu

  • @mukhtarsaid-mukinho
    @mukhtarsaid-mukinho 8 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah, jazakallahu khairah

  • @UmmuJauzan
    @UmmuJauzan 8 หลายเดือนก่อน

    Tanagu linibakwata wakawa na barka

    • @KhalifaOmary-g9w
      @KhalifaOmary-g9w 4 หลายเดือนก่อน

      Waisalm tunakashifiana hivyo

  • @UmmuJauzan
    @UmmuJauzan 8 หลายเดือนก่อน

    Hiyo ndo qura,n ya kufundishwa sio ile ya warangi ya kuiga

    • @IssaJuma-jj6jx
      @IssaJuma-jj6jx 8 หลายเดือนก่อน

      inakuuuma au kwa warangi kusoma

  • @UmmuJauzan
    @UmmuJauzan 8 หลายเดือนก่อน

    Hapo wa mana huyo Jafu tu wengine wote ulowataja wahuni tu

    • @theworldandcraziestguys2729
      @theworldandcraziestguys2729 8 หลายเดือนก่อน

      Nawausia waislamu Wote Kurejea Aya ya 11 Ndani ya Suratil Hujurati ...na taaawil za Wanawazuoni wote Unaowajua wewe...
      Unaowapenda na usiowapenda..
      Ikiwa unayasema haya Kwa Ujinga basi kwa Rehma za mola Umesamehewa lakini jua ni Makosa Makubwa ndani ya Sheria Tukufu ya KIISLAM
      Nakuombea baada ya Leo tabia hii iliotajwa ndani ya aya Hii ya 11 al HUJURAT isiwe ndo mwendo wa maisha yako baada ya LEO MPAKA KUFA KWAKO ILI TUFIKE SALAMA MBELE YA MOLA MLEZI....
      ﴿ يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا لَا يَسْخَرْ قَوْمٌ مِّن قَوْمٍ عَسَىٰ أَن يَكُونُوا خَيْرًا مِّنْهُمْ وَلَا نِسَاءٌ مِّن نِّسَاءٍ عَسَىٰ أَن يَكُنَّ خَيْرًا مِّنْهُنَّ ۖ وَلَا تَلْمِزُوا أَنفُسَكُمْ وَلَا تَنَابَزُوا بِالْأَلْقَابِ ۖ بِئْسَ الِاسْمُ الْفُسُوقُ بَعْدَ الْإِيمَانِ ۚ وَمَن لَّمْ يَتُبْ فَأُولَٰئِكَ هُمُ الظَّالِمُونَ﴾
      [ الحجرات: 11]
      سورة : الحجرات - Al-Ḥujurāt - الجزء : ( 26 ) - الصفحة: ( 516 )
      O you who believe! Let not a group scoff at another group, it may be that the latter are better than the former; nor let (some) women scoff at other women, it may be that the latter are better than the former, nor defame one another, nor insult one another by nicknames. How bad is it, to insult one's brother after having Faith [i.e. to call your Muslim brother (a faithful believer) as: "O sinner", or "O wicked", etc.]. And whosoever does not repent, then such are indeed Zalimun (wrong-doers, etc.).
      KWAKIFUPI AYA INATUFUNDISHA KUWA (USIMDHARAU UNAEMJUA NA USIEMJUA..👌)
      PENGINE HUYO UNAEDHARAU AKAWA BORA KULIKO WEWE MBELE YA MOLA MKARIMU...
      ASTAGHFIRULLAH YAA RABBY WA ATUUB ILAYKA

    • @AbdallahSaad-q1h
      @AbdallahSaad-q1h 8 หลายเดือนก่อน +1

      Usiwaseme waislam wenzako vibaya kwamba niwahuni Kwan hakuna anaejuwa yupo nafas gan mbele ya muumba wetu ko kikubwa nikuish vzr tyu