Video ya ANJELA na A.T "Mimi sio saizi yako" haya ndiyo usiyoyajua nyuma yake, uswahili waonekana

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น •

  • @billiahnyaboke1444
    @billiahnyaboke1444 3 ปีที่แล้ว +26

    Anjella anazidi kukuwa kiukweli ana kipaji,guys let's keep supporting her❤️❤️❤️❤️

    • @malikzafarani172
      @malikzafarani172 3 ปีที่แล้ว +2

      Umeona eeeehh 👊🇶🇦

    • @billiahnyaboke1444
      @billiahnyaboke1444 3 ปีที่แล้ว +3

      @@malikzafarani172 yes japo kuna wenye wanamrusha mawe,lkn ndivyo tu wanadamu walivyo

  • @quinneyoyo6608
    @quinneyoyo6608 3 ปีที่แล้ว +40

    Kama umepend uyu mwimbo nip ata like 2 Angella anaweza

  • @allyally5870
    @allyally5870 3 ปีที่แล้ว +19

    Ametisha sanaaa anjela

  • @merlinhope8396
    @merlinhope8396 3 ปีที่แล้ว +5

    Respect kwako queen anjella 👏👏👏

  • @marcosjorge1724
    @marcosjorge1724 3 ปีที่แล้ว +8

    Anjella ametisha sana🔥🇲🇿🇲🇿

  • @fazilmalumalu2113
    @fazilmalumalu2113 3 ปีที่แล้ว +9

    Uchambuzi mme utendeya haki🙂😍

  • @umutoni-roussel5233
    @umutoni-roussel5233 3 ปีที่แล้ว +9

    have been enjoying the song , telling the truth
    its very relaxing song 👌👌👌 with lots of meaningful words Listen carefully 😊😊😊

  • @ramlamasika9664
    @ramlamasika9664 3 ปีที่แล้ว +11

    Wametisha 🔥🔥🔥🔥

  • @judthadhiambo2099
    @judthadhiambo2099 3 ปีที่แล้ว +5

    Anjellah 🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️❤️

  • @zou7470
    @zou7470 3 ปีที่แล้ว +3

    Kwel wametisha kwakwel but anjella yuko vizur 🔥🔥🔥🤗🤗🤗

  • @salhamrisho8138
    @salhamrisho8138 3 ปีที่แล้ว +3

    Wimbo pambe hatar wallah wacheza jasho halitoki mashallah maboork 💃😘🇹🇿

  • @markh8142
    @markh8142 3 ปีที่แล้ว +6

    AT na anjella video kali nyimbo kalisana

  • @aminaabdallah3644
    @aminaabdallah3644 3 ปีที่แล้ว +3

    Anjella oyoooo 🔥🔥🔥🔥

  • @meirenatus5683
    @meirenatus5683 3 ปีที่แล้ว +4

    Anawezaaa njellaa

  • @justinjoshua1059
    @justinjoshua1059 3 ปีที่แล้ว +5

    CHRIS na Esko wambea nyieeee😂😂😂😂😂

  • @marymonjemghalu9362
    @marymonjemghalu9362 3 ปีที่แล้ว +16

    Anjella pambe piga kelele kwa anjella

  • @sabitinaeastafrica5822
    @sabitinaeastafrica5822 3 ปีที่แล้ว +3

    MashAllah angle

  • @baranmohamedmbashir5299
    @baranmohamedmbashir5299 3 ปีที่แล้ว +5

    Video Kali sana utuzi mzuri sana sana

  • @malikzafarani172
    @malikzafarani172 3 ปีที่แล้ว +1

    Anjella anakuja vizuri sn 🇶🇦

  • @sabitinaeastafrica5822
    @sabitinaeastafrica5822 3 ปีที่แล้ว +3

    The sound is great

  • @solanj_fatimafatima7252
    @solanj_fatimafatima7252 3 ปีที่แล้ว +6

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @mercylumala4448
    @mercylumala4448 3 ปีที่แล้ว +2

    Anjella 🔥🔥🔥🔥 #kondegang

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 3 ปีที่แล้ว +8

    Zuchu kwisha abay yake🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @zou7470
      @zou7470 3 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣

    • @babylonyNgwembe
      @babylonyNgwembe 3 ปีที่แล้ว +2

      MHHH ZUCHUUU MOTO MWINGINE USIMFANANISHE NA ANGELA NI MTOTO SANA.

    • @mariamnjama3963
      @mariamnjama3963 3 ปีที่แล้ว

      @@babylonyNgwembe Ata huu wimbo wa Anjella nauskia sai but zuchu 2mnts kutoka nikajua na kuupenda tayar... Zuchu sukar anjella chumvi

  • @munirashughuli7224
    @munirashughuli7224 3 ปีที่แล้ว +2

    Ttoz Anjjela🔥😄

  • @shaadenshaduni7755
    @shaadenshaduni7755 3 ปีที่แล้ว +2

    🔥🔥🔥✌

  • @munadlebobo5234
    @munadlebobo5234 3 ปีที่แล้ว +4

    Ngoma iko moto

  • @Farajahelene23031
    @Farajahelene23031 3 ปีที่แล้ว +2

    konde girl hot girl i salute you much love one love kisabengo ilove it

  • @joselynesango4075
    @joselynesango4075 3 ปีที่แล้ว +2

    Anhélas anaweza

  • @mary5162
    @mary5162 3 ปีที่แล้ว

    Dada Anjella 💕🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @anjelinakasembe845
    @anjelinakasembe845 3 ปีที่แล้ว

    Jamani du miseries🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️

  • @joselynesango4075
    @joselynesango4075 3 ปีที่แล้ว +2

    🔥🔥🔥🔥🇺🇸🌎

  • @ritamalkia2973
    @ritamalkia2973 3 ปีที่แล้ว +1

    I tell you ni Motoooo!

  • @asdxsa1008
    @asdxsa1008 3 ปีที่แล้ว +1

    AT karibu tena na Dada yetu

  • @yussufchumy6345
    @yussufchumy6345 3 ปีที่แล้ว +1

    Wametisha sana anjela na AT ila raha ya kijora ukikamate

  • @zabibuamissi1141
    @zabibuamissi1141 3 ปีที่แล้ว

    Kwa uchambuzi 🙌🙌

  • @macamezunguzungu5697
    @macamezunguzungu5697 3 ปีที่แล้ว

    Karudi kwenye game💪

  • @guelorlumande7405
    @guelorlumande7405 3 ปีที่แล้ว

    Nawakubali sana

  • @jorgettemwajuma5428
    @jorgettemwajuma5428 3 ปีที่แล้ว +1

    😀😃😃

  • @mishikitendo4441
    @mishikitendo4441 3 ปีที่แล้ว

    Angel

  • @blacknaralow9593
    @blacknaralow9593 3 ปีที่แล้ว +1

    How

  • @mdashthebest3112
    @mdashthebest3112 3 ปีที่แล้ว

    Jeshi

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 3 ปีที่แล้ว

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌

  • @pendolazaro4686
    @pendolazaro4686 3 ปีที่แล้ว

    Katisha

  • @babylonyNgwembe
    @babylonyNgwembe 3 ปีที่แล้ว

    ANAFANYWA DARAJA TU KUMPITISHA ANJELA DHID YA NYIMBO YA ZUCHU SINGELI ILA WATAMWAGA SSHV KAMA Q. CHEIF

  • @abdulraufmohammedsalum6806
    @abdulraufmohammedsalum6806 3 ปีที่แล้ว +3

    Hakik mm mzanzibar halis ila hii nyimbo mbaya kuliko zote zilizopt

  • @williadiemmanuel6275
    @williadiemmanuel6275 3 ปีที่แล้ว +1

    Hamna kitu hapo nimeangalia vizuri tatzo wasanii wa sasa hivi hata hawajulikani wanataka kushindana na waliokuwa tayari wamefanikiwa kuwini game huyu msanii hata kijijini kweru hawamjui hata nyimbo zake sizisikii anabidi ajibrand kwanza kuliko kukimbilia mabifu ya kijinga kama video yake ikifikisha watazamaji laki tano kwa siku moja njooni dm mnikumbushe

    • @aysharahman3080
      @aysharahman3080 3 ปีที่แล้ว +1

      🙄sasa hapo Kuna bifu gani?

    • @ismailkatala4792
      @ismailkatala4792 3 ปีที่แล้ว

      Sawa

    • @ELLYTECH
      @ELLYTECH 3 ปีที่แล้ว +2

      kijana acha kukurupuka.. ushatumia vitu vyako au

    • @donatimr656
      @donatimr656 3 ปีที่แล้ว +1

      Kwann wanaume sahiv mnaa hizii mambo za roho mbayaa hivi ajibrand vipii yaniii ......nakukumbushaaaa wewe ni mwanaume

    • @babylonyNgwembe
      @babylonyNgwembe 3 ปีที่แล้ว +1

      KONDE GANG WANA KURUPUKA SANA KUSHINDANA KIBIASHARA NA WCB MWISHO WANA PATA HASARA