Lord in ajana wewe Kila wakati make the right decision for me expecially because of my baby girl...........Lord a lot has been said sometimes I feel like giving up Lord just help me
Amen thanks for your support to watch my videos please dont forget to subscribe, like and share to others pia nakushukuru sana by sifaeli mwabuka ni maombi yangu Mungu AKUPE USHUHUDA WASHUHUDIE
GOD S children Inc is bless to everyone and God 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 bless to everyone and God 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 bless to everyone and God 🙏🙏🙏🙏🙏 bless to everyone and God 🙏
Kaka Kwa upande wa gospel wewe ni star wa Africa Kwa jumbe zenye kuponya na uandishi bora message zako zote huinua watu na kuponya na hii ndio injili halisi barikiwa Sana tunakuombea Sana mtumishi sifaeli mwabuka
Ujumbe mzuri sana , Kwa uweza wa roho mtakatifu tazidi kufanya makubwa kaka angu, Hii ngoma ipelekwe Trend za juu 4.3.2 au 1 kabisa. Tuko pamona shuja.
Askofu wangu wakati nasikiliza wimbo umenitoa machozi Hakika kazi zako ni njema Endelea kubarikiwa zaidi unamhubili Yesu wetu kwakumanisha Barikiwa sana Mkuu
Amina barikiwa sana Asante kuwa na Mimi katika huduma yangu, wewe ni baraka kwangu be blessed more thanks for your support and subscribe my channel SIFAELI MWABUKA
amen thanks i really love you wherever you are AKUPE USHUHUDA WASHUHUDIE,new song still trending on youtube if you didnt watch try to watch again and dont forget like,commment,subscribe and share to others,and God bless you more.Its my prayers God to give you testmony say amen,,,,,by SIFAELI MWABUKA
Very good song. Sifaeli Mwabuka you're very humble. Mungu alie juu mbinguni azidi kukupaka mafuta zaidi na akuinue katika viwango vengine zaidi. Ni azimio langu kuimba na wewe mtumishi wa Mungu......
Amen asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami kwenye huduma yangu ya uimbaji,Thanks for your support subscribe my channel and share to others and God bless you
Much blessed 🤲🤲mungu Nina aja nawe bwana Niko hpa nikumbuke pekee yangu sitaweza yesu,,mungu asidi kukuongesea nehema na rehema mtumishi wa mungu,,Amen
It says without God you alone you can so we have to seek God all-time because he is our master above all ,,,we are being frighten by our enemies , others are near and others are our relatives sowe seek lord to help us to overcome all this in Jesus name Amen 🙏🙏a prayer song
Kwa wale tumepitia makuu kwenye haya maisha, ni vigumu usklize huu wimbo mpaka mwisho bila kutokwa na machozi maana dah! Yaani tu basi, ashukuriwe Mungu.
Amen asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami kwenye huduma yangu ya uimbaji,Thanks for your support subscribe my channel and share to others and God bless you
Huu wimbo unanisogeza karibu na mungu
Nina haja nawe Mungu wangu
Nyimbo zako zinanijenga sana ubarikiwe sana
Wow nina Haha nawewe dio maana niko hapa barikiwa sana watch from Kenya 🙏🙏
amen asante be blessed more
Kaka Mungu akuinue zaid kwa Kaz nzur sanaa
🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌👏👏 AMEN 🙏 mtumishi wa Mungu.
Mark this day ukiona sms yangu it's from my heart hip muziki umenipta nguvu ubarikiwe nilikuwa mwisho sasa ni mwanzo I love it
amen asante sana kwa kuendelea kutazama kazi zangu,please subscribe,like,comment my video and share to others and be blessed
Lord in ajana wewe Kila wakati make the right decision for me expecially because of my baby girl...........Lord a lot has been said sometimes I feel like giving up Lord just help me
Nina aja na wewe sana bwana
Amen thanks for your support to watch my videos please dont forget to subscribe, like and share to others pia nakushukuru sana by sifaeli mwabuka ni maombi yangu Mungu AKUPE USHUHUDA WASHUHUDIE
Good bless you my friend
Barikiwa mtumishi mwabuka
Watu wa mwanza like zenu
Mtumishi WA mungu Jana nomeona mtt wako kama sichakosea Kwa All-time tv nilikuswa Saba wanibarikisana
Thanks for watching
Nina haja nawe ndio maana niko hapa Asante mtumishi ubarikiwe from Kenya
Goood vedio barikiwa sana kaka sifaeli
Amen in Jesus Christ name 📞❤️of Jesus Christ for you all
amen asante kwa support yako, please subuscribe my channel and share to others and God bless you
Mwambie Mungu Nina haja na wewe, adui zako wawe adui wa Mungu apigane na wale wanaokuwinda sema Amina na Mungu akubariki
Amina
Hallelujah. Nakupenda Sifaeli
Nina haja na wewe mungu wangu nisaidie
Amen.zidi kunieka kwa maombi
Amina asante
New one official video song.NINA HAJA NA WEWE BY SIFAELI MWABUKA please subscribe my channel🤝🙏🙏🙏
What kind of amazing song,barikiwa sana
Wow you are a blessing to me 🥰
You may never get to know how much impact the audio has had in my life but receive my blessings from God
I like your song all day ♥♥🎤🎸
nice one waooo 🔥🔥🔥🙏🙏
Hongera sana bro
Nina aja nawe ndiomana Niko apa
Nina haja nawe bwana ndio nakufuta kila siku nikubuke Kwa hii mwezi August.
Amen thanks for your support usisahau, like,subscribe and share to others asante sana Mungu akubariki sana
Pia mm nini haja na ww mungu ndio maana niko apa🙏🙏
Ameen
GOD S children Inc is bless to everyone and God 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 bless to everyone and God 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 bless to everyone and God 🙏🙏🙏🙏🙏 bless to everyone and God 🙏
amen thanks
Hii nyimbo imenikuza aki😪🙏🙏
Mungu akuinuwe juu sana kk
Good job
Amen
Hakika Nina haja nawe baba ndio maana nasikia huu wmbo mtamu ,Asnte sana
Amazing nice video....
Shikilia hivyo Bw. Mwabuka
Ata mm Nina haja naye,naomba anitetee nakuniinua.
Emen Emen ubarikiwe sana mutumishi 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Nina haja na wewe mungu
Amen dady sifale mungu azidi kukutumikia
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️what a song
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪Imeweza sana kali aisee 👊ngumi ya uziito mtunguya.
Nice songs ,keep up dear brother from kenya.😂
Amen be blessed
Kila kuchao na wimbo mzuri ubarikiwe asante kwa kuhubiri injili kupitia uimbaji
Nzur Sana ubalikiwe
Mungu Namleta mama yngu Mary Wangila ...Mupe uponyaji kupita kwa huu wimbo katika jina La yesu Amen
lakidube
Oyes hallelujah 🙌
Nakushukuru mno kunitia moyo kwa kutazama kazi zangu be blessed more thanks for your support and subscribe my channel SIFAELI MWABUKA 🙏🏼
Baraka tele
SAFI SANA SANAA
Sante sana mtumishi twabarikiwa kupitia wimbo huu jamani🙏
Hakika mungu awe pamoja nawe wimbo mzuri sana
Kaka Kwa upande wa gospel wewe ni star wa Africa Kwa jumbe zenye kuponya na uandishi bora message zako zote huinua watu na kuponya na hii ndio injili halisi barikiwa Sana tunakuombea Sana mtumishi sifaeli mwabuka
Amen thanks
Amen thanks
Ujumbe mzuri sana ,
Kwa uweza wa roho mtakatifu tazidi kufanya makubwa kaka angu,
Hii ngoma ipelekwe Trend za juu 4.3.2 au 1 kabisa.
Tuko pamona shuja.
Amina kaka Mungu aibariki na asante Kwa kunitia moyo
@@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL sl
@@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL so
Slow to hear
Askofu wangu wakati nasikiliza wimbo umenitoa machozi Hakika kazi zako ni njema Endelea kubarikiwa zaidi unamhubili Yesu wetu kwakumanisha Barikiwa sana Mkuu
Wimbo safi kabisa,barikiwa sana mtumish
Amen mungu wangu Nina haja nawe upigane nao wanaopigana nami
U bless me so much ningependa tupige collabo na wewe
Amina barikiwa sana Asante kuwa na Mimi katika huduma yangu, wewe ni baraka kwangu be blessed more thanks for your support and subscribe my channel SIFAELI MWABUKA
Asante sana..
NIKO HAPA BWANA NITIMIZIE HAJA ZA MOYO WANGU .AMEN
Thank you brother,be blessed
amen thanks i really love you wherever you are AKUPE USHUHUDA WASHUHUDIE,new song still trending on youtube if you didnt watch try to watch again and dont forget like,commment,subscribe and share to others,and God bless you more.Its my prayers God to give you testmony say amen,,,,,by SIFAELI MWABUKA
Very good song. Sifaeli Mwabuka you're very humble. Mungu alie juu mbinguni azidi kukupaka mafuta zaidi na akuinue katika viwango vengine zaidi. Ni azimio langu kuimba na wewe mtumishi wa Mungu......
Amen asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami kwenye huduma yangu ya uimbaji,Thanks for your support subscribe my channel and share to others and God bless you
Unajua kuimba aswa 💪💪💪💪
Watching from. canada
Amen your welcome
Barikiwa sna mtumishi wa
Mungu kwa wimbo mzuri umenibariki nami na haja na
Mungu wngu
Kazi nzuli sana balikiwa Sana mtumishi Kazi ya Mungu itaendelea kudumu Milele na Milele
Hongera
Naipenda Sana ....zidi kubarikiwa ....
Nina haja na wewe Yesu ndio maana nko hapa
So sweet song
Wow, barikiwa Sana mtumishi
Mungu tunayemwabudu ni muweza yote,na maombi ya wanaomwamini pia huyajibu.
Mungu akuinue zaidi mtumishi wa mungu
Hongera kwa ubunifu huu
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu hata mimi pia nahaja nawe ndio maana niko hapa nabarikiwa barikiwa sana
Asante Jehova,,hakika nikona haja na wewe do maana nakutumikia mungu wangu amen
Sifaeli,nyimbo zako nzuri na za kubariki.barikiwa sana.
Barikiwa sana wimbo safi sana mtumishi wa mungu amen amen 🙏🙌👏
Asante sana nikuombe tu video mpya ya wimbo AKUPE USHUHUDA WASHUHUDIE itakuwa youtube next week by monday be ready and subscribe my channel thanks
Wow wimbo huu unanituliza moyo asante Sifael
Amen
Amina Mungu Akubariki baba Yako
Nyimbo mzuri sana. God bless you. Uzidi kubarikiwa.
Kila ninaposkiza huu wimbo nadondokwa Na machozi Mungu sikia machozi yangu😢🙏
Nice 👍👍 brother
Wimbo mzur Sana ✅✅✅
Much blessed 🤲🤲mungu Nina aja nawe bwana Niko hpa nikumbuke pekee yangu sitaweza yesu,,mungu asidi kukuongesea nehema na rehema mtumishi wa mungu,,Amen
From Zimbabwe i feel blessed, wish i cud get some English translations , Praise the talents
It says without God you alone you can so we have to seek God all-time because he is our master above all ,,,we are being frighten by our enemies , others are near and others are our relatives sowe seek lord to help us to overcome all this in Jesus name Amen 🙏🙏a prayer song
Emmanuel from Kenya Mimi na hisi mabadiliko moyoni mwangu kupitia nyimbo zako ubarikiwe sana 🙏🙏
asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami ,thanks for your support please subuscribe my channel and share to others
Nina haja nawe mungu,zidi kupigana na madui wa destiny yangu.
asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami,thanks for your support subuscribe my chanel and share to others
Very nice brother,acceptable
UBARIKIWEEE SANAAAA 🙏🙏 MTUMISH SIFAEL
Wooooow before hata sijafika katikati ya wimbo uzuri unatiririka tu wenyewe....love this from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nabarikiwa sana papaaa
Wow nice one
Wonderful!
🙏 servant of God you are blessings to many
amen thanks for watching and listening AKUPE USHUHUDA WASHUHUDIE
Kwa wale tumepitia makuu kwenye haya maisha, ni vigumu usklize huu wimbo mpaka mwisho bila kutokwa na machozi maana dah! Yaani tu basi, ashukuriwe Mungu.
Naomba Mungu, kumbuka haja za moyo wangu kupitia huu wimbo...🎤🎶🎶🙌🙌🙌
Kazi nzuri na inabariki kusikia na kuona! Mungu azidi kukuinua katika kumtumikia
Hakika ujumbe uko na mafuta
Amina baba nakushukuru Sana utukufu Kwa Mungu aliye juu asante Sana kunitia moyo na kuniombea mtoto wako nifike mbali zaidi
hi kaka unaguza mioyo ya wengi wewe na pastor hakuna tofauti kiongozi
best ever,,,,sweet voice
Amen asante sana nakushukuru kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you
Amen and amen
Nakukubali sana mungu azidi kukuinua
Mungu akubariki mtumishi
Wow!👏👏 nice song.Nina haja na ww ndio maana niko hapa,Amen🙏 God bless you shine shine shine in Jesus name
Nashukulu sana SIFAELI kwakuiba hu wimbo umenigusa moyo ni Nina haja nawe bwana oh thenk you Jesus 🙏🙏
Be blessed mtumishi
Kali sana Mtumishi unenimaliza
Best worship song!
Barikiwa sana kwa wimbo nzuri
Amen
Barikiwa Sana mtumishi
🙏🙏🙏
Amen..haja ya moyo wangu ni wewe mingu wangu
Kenya 🇰🇪twabarikiwa
Nabarikiwa kila saa ninapo sikiza nyimbo zako mtumishi wa Mungu. Mungu akuzidishie neema na kibali chake hata nawe pia uzidii kubarikiwa🙏🙏
Amen asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami kwenye huduma yangu ya uimbaji,Thanks for your support subscribe my channel and share to others and God bless you
Nabarikiwa sana ninaposikia nyimbo zako bro. Mungu atende jambo kwa kipaji alichokupa wewe,Amen