Hii nafasi ya mzee gumlasenga namuona kabisa mzee wangu jengua😢😭 Alkah ampe kauli thabiti huko aliko🙏 Imagen sasa huyo Mzee angekuwepo huu utamu wa muvi si ungezid maradufu ya hapa. Chukua maua yako🎉 msanii wangu bora wa muda wote pia ni msanii ambaye umenipa ushawishi mkubwa na mm nipende kuigiza tangu mwaka 2008 naamini hipo cku nitakutan na wew inshaallah🙏 hata hii kidaka wewe ndio umenipa ushawishi wa kujiita hili jina bro nakukubali sana kaka tangu hupo na ringo pamoja na mzee onyango respect sana kwako Mungu azidi kukubariki inshaallah🙏
Aiseeee mama Aisha ana maadui Kila kona mmh mpaka madoctar hii atarii kweli binadamu sio watu wa kuwaamini hii tamthiria ina tufundisha vitu vingi sana na aya ndio maisha yetu 🙌🙌
Mko vizuri sana Mnaweza kuigiza huwaIisia yapo haya mambo uswaiiIini kwetu.. Kbs ayaaaa ni hivi hivi. Tunawapenda jamani mututoIee kwa wakati 2 tuzidi kuwasapoti movie zenu
Gumlasenga sasa hapa umekutana na chuma hicho cha kuitwa Ramadan kama mwamba kabisaaaaaa uyo hana utani hongera sana mzee umecheza scene yako kwa utulivu wala huna halaka 👏👏👏👏👏👏
Mpk sasa kitale,stan,kobelo,makusanya, chili,bi wene hao wate bdo hawajaoneshwa ila Mzee kama ni noma sana Mganga mwepesi sna huyu Mzee jengue Mungu amrehemu uko aliko na miss upo wake ktk hii season.
We ms*ng* this time hii movie ukiishia njiani, yani ukituacha njiani AISEE TUTAKUFATA HADI KWENU utueleze vizuri kwanini kila wakati unaanza vizuri unamaliza vibaya. NYOKO WEWE sema unajua sana mwanangu. Keep it up mzee
Ki kawaida mitaani tunapo ishi. Haya mambo yapo kweli. Maana mzungu anawaza ndege inayoluka juu. Sisi waswahili tuna waza kukomowana tu. Pumbavu wanazinguwa sana hawa wachawi
Toa Maoni Yako Kupitia Namba Hii Ya Musa Kitale
Whatsp 0733 999 999
Ongeza dakika ziwe nusu saa
@@HaidaryMayeye kabisaaa
Ya motoooo sanaaaa🔥🔥🔥
Maoni tushaanza kuishiwa ia ongeza mda kidogo walaw Dakika 25 @kitale
Nakubali sana
Team Mzee kama Ramadhani kama tujuane kwenye like anajua mpaka anajua tena 😅😅😅😅
Tupooo
Huyo mzee n 🔥🔥🔥🔥
Tupooo
Mpka natamani ndio awe kweli kiuhalisia🙌😂😂
Anabusara san mashallah Mungu hampe maisha marefu inshalaah🤲 ❤🎉🎉🎉
Tuliotoka kwa clam na kuja huku tujuane, tusiokua na team bali kazi nzuri gonga like hapa twenzetu
😂😂😂😂😂tupooooo
We are here❤❤
Wakali wa kambi popote
Hii nafasi ya mzee gumlasenga namuona kabisa mzee wangu jengua😢😭 Alkah ampe kauli thabiti huko aliko🙏
Imagen sasa huyo Mzee angekuwepo huu utamu wa muvi si ungezid maradufu ya hapa.
Chukua maua yako🎉 msanii wangu bora wa muda wote pia ni msanii ambaye umenipa ushawishi mkubwa na mm nipende kuigiza tangu mwaka 2008 naamini hipo cku nitakutan na wew inshaallah🙏 hata hii kidaka wewe ndio umenipa ushawishi wa kujiita hili jina bro nakukubali sana kaka tangu hupo na ringo pamoja na mzee onyango respect sana kwako Mungu azidi kukubariki inshaallah🙏
Team Kama Ramadhani Kama, gonga like twende pamoja.. pole kwa wana Kariakoo
Aiseeee mama Aisha ana maadui Kila kona mmh mpaka madoctar hii atarii kweli binadamu sio watu wa kuwaamini hii tamthiria ina tufundisha vitu vingi sana na aya ndio maisha yetu 🙌🙌
Wee kweli hii Kali hii
ᴋᴡᴇʟɪ ᴋᴀʙɪsᴀ ᴋᴀᴋᴀ
Kabisa yani binadam awaaminiki
kwel Dada hpo umxema
Mko vizuri sana Mnaweza kuigiza huwaIisia yapo haya mambo uswaiiIini kwetu.. Kbs ayaaaa ni hivi hivi. Tunawapenda jamani mututoIee kwa wakati 2 tuzidi kuwasapoti movie zenu
@@DidaAlly-iz1it swadakta
Kweli kbsaa
Nzuri sana sana hongera kitale kwa mafunzo mazuri sana ❤ASANTE SANA
Gumlasenga sasa hapa umekutana na chuma hicho cha kuitwa Ramadan kama mwamba kabisaaaaaa uyo hana utani hongera sana mzee umecheza scene yako kwa utulivu wala huna halaka 👏👏👏👏👏👏
Hakuna nafuuu woiiiiii mpk madaktar ni wangaaa🙌🏻😭
Munaweka episode dakika kidogo sana tunaomba muongeze muda kidogo ❤❤❤
Mm kutoka kenya hongera sana Mzee kama Ramadhan nakupenda yangu yote 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
sema we jamaa unajua sana ilipga Maneno ya kuambia nikasema umeotea ukaja na Binadam ila kwa hili 🙌🙌🙌🙌🙌 we noma
Tupo team kama ramadhani kama
ahhhhh ili dude noma yaaan km nyimbo yako dude noma
Wakwanza leo kuiona from 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Mombasa
Hongera kitale move nzuri....twamuamini mzee kama much lov❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kwann mda unapunguza ila muvi❤❤❤
Move tamu adi tunaona vipande ni vidogo bro sema unajitahidi huchelewi kuachia jitahidi kaz nzuri sana hongera Kaka mkude
Noma sana❤❤❤
Wakwanza mie oyooooo ❤ much love from TUNDUMA ❤🎉
Kazi nzuri sanaaa,Mr kitaleeee ,tamthilia nzuriii ya kusisimua,na kuburudishaaaa moyooo,km ramadhani km, mzeeee wabusaraaaaaa sana,hekimaaa kwa wingiii,muendelezoooo tafadhaliii tunasubiriaaa,shukran,Mr kitalee tukoooopamojaaa
Kweli kikulacho kinguoni mwako aisha maaduwi niwengi sana mzee kama nakupenda sana baba yangu mubarikiwe sana🎉🎉❤❤❤❤
Waouuuuuuuu🎉🎉🎉❤❤❤hi move nimpenda sana mungu azind kuwabarik sana 🎉❤
Mpk sasa kitale,stan,kobelo,makusanya, chili,bi wene hao wate bdo hawajaoneshwa ila Mzee kama ni noma sana Mganga mwepesi sna huyu Mzee jengue Mungu amrehemu uko aliko na miss upo wake ktk hii season.
Saf kabisa unatoa Kwa wakati kitale movie Kali sana hiii❤
Duh....!!! Wabaya watu jamani😢😢
Mungu akubariki sana kitale.mungu akuzidishie akilini na maarifa asante sana kwa muda wako. Ninzuri sana congratulations.
Number one mimi mister kitalee
The best movie 🙌👏👏hiiya Leo kali😘🥰
movie nzuri kazi yako safi saaana big up saana
We ms*ng* this time hii movie ukiishia njiani, yani ukituacha njiani AISEE TUTAKUFATA HADI KWENU utueleze vizuri kwanini kila wakati unaanza vizuri unamaliza vibaya. NYOKO WEWE sema unajua sana mwanangu. Keep it up mzee
Dunia ina mambo Kweli from Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Hiii ya pili dunia ya kwanza kama unakubali like hapa kwanza
❤❤❤❤❤ una kipaji kikubwa umejaliwa na Allah Allah. Wajina lang mussa kitale utafika mbali sana ❤❤❤ inshaallah 🙏
Hii muvi inatufunza vitu vingi sanaaa sanaa kwasababu huyo mzee yupo razi ashinde njaa ili amuumize mtu duh 😢 ndani hakun hata kiti
Toka lin mchawi akawa na akili
Mlijuaje kuwa naisubir, hii series ni 💥💥🙌
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉Ni ya motooo sana nipo 🇲🇼 na wanangu tuna fatilia kwa makini
Ki kawaida mitaani tunapo ishi. Haya mambo yapo kweli. Maana mzungu anawaza ndege inayoluka juu. Sisi waswahili tuna waza kukomowana tu. Pumbavu wanazinguwa sana hawa wachawi
Kazi nzuri sana bwana kitale
Wa kwanza wa kwanza wa kwanzaaaaaa😂😂😂😂❤❤❤
Yote tisa kumi hii nyimbo,,,,,,, Asaaante kwa upendo wako.....❤
Mimi nais mzee Ramadhani ni mkombozi kweli kwaiyo tufanye namna tukamuone angalau na kiroba cha Michele 🎉😂😂😂😂
Kama Ramadhani kama yupo 1 tuu dunia hii ndio uyoo sasa 😀😀😀😀💪💪💪💪
Kitale hapa umetuweza hii kali sana ❤❤
Mzee ramadhan kama ❤❤
Nataman nijue huyu aish amewafanya nini hawa binadamu
Wa kwanza from TZ 🇹🇿🇹🇿
Mzee KAMA❤
Asanteni kwa kutusikliza jomn ❤❤❤ mungu awabarki jamn shabiki zenu tunawapenda sana
Safi sanaaaa
Kila siku uwe unaachia kipande tunasubili sanaa hii move ni ya moto sanaa
Kitale yupo vizuri sana ajawai kukoseaga
Mzee kamaa ramadhani kamaa maua yako 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Iko vizuri achilia bila kukawia brother
Mjomba ni Mama kazi nzuri...🙌🙌
Wakwanzaaaa from🇰🇪🇰🇪🇰🇪nipeni likes zangu wadau❤❤❤❤
Kitale mungu akuifadhi tu
Mzee kama oyeee❤
Wachawi wapo kwenye kikao 😂😂😂 wanajadili
Mi naogopaaa😂😂😂
Kazi nzuri kaka jitaidi kutufikisha mpka final 🔥🔥🔥
Wa kwanza mm leo
🔥🔥 ni tamu balaa ina dakik ni chache bhna
Bwana Musa tunainjoy ilasasa mudanimfupi san
😂😂😂😂😂 Aisha anavyo chungulia juuu
Nilsubir kwa ham jamn hongera sana bro kitale moviee umeiweza inakushawish uendelee
Pole mama Aisha😢 hiii ni her kweli
Siku zote wazee wenye mapengo huwa sio wa kuwaamini😂😂😂😂😂😂😂
😂😂kwel kb
😂😂😂😂@@AishaKhamis-gs6qc
I love that ❤❤❤❤❤
Mzee Ramadhn Ana maua yake Toka maneno ya kuambiwa anajuwa sana
Kitale me naomba Maana ya samahani Ahsante!!
Hongera sana kaka Kitale kazi nzur ❤❤❤❤❤❤
Akuna anae kuweza una dunia ya kipekee yako kaka big up sana
Mtu wako wa karibu ndo adui yako wa badae.hii tamthilia ina funzo kubwa mno
Nakubar sanaaa kazi nzuri sanaaa
Haaa dk chache mmejaa hivi😂😂😂🎉🎉
Kweli usimuamin mtu nimejofunza kitu hongereni
😂😂😂 nimeruka chap nilivyopata notification 🎉🎉🎉🎉❤
Kama Ramadhan kama🔥🔥🔥
Huyo mama Aisha angekua karibu ningempiga ata Kofi ili akili izinduke khaa😅
Yaan ana akili nzito sana😅
Watching from Mozambique 🇲🇿
Team mganga wameyatimba😂😂😂😂😂naona next episode paka ataongea apo😂😂😂
🎉🎉Much love
Always tunatoka Instagram na kuja TH-cam 😂
Team ramadhan kama nipo hapa babu anajua
Safi sana uwe unatoa kila siku usiku 🎉
Mbona gumu la senga yupo nyuma mze wangu ramadhan kama 3 bila
Hili dude nomaaaa
Babu aisha umetisha yan uko vzur sura yenyewe inasdifu yaliyomo
Umeona eeh ana kavaa uhusika
Pamoja
Uyu mzee gunasenga ni noma sana
Mkude Simba watakurogaaaaaa
Kaka Kitale dude kali hili sema una tupa mdaa kidogo 😅,sema babu Kama anaweza sanaa
Goma linazidi kusonga mbele big up sana kitale
Kara Ramadhani kama🙌🏼🙌🏼
Wa kwanza
Apo sawa utuwaishie episode kama ivoo
🤣🤣🤣🤣🤣😁zayi na babu ubaya ubwera
Mjukuu wa mzee kama hapa naomba like
Daah cy kwa maadui hao kumbe mpka Madoct 😢