SubhannaAllah, SubhannaAllah Allah hakika akujaalie afya tele tupate kuckia mambo mazuri,, nasubir kwa hamu sehem inayofuata,, Nakupenda kwa ajir ya Allah.
@@Awatee ila warabu hawatupendi watu weusi wallah wanatuambia sisi atuna nuru utasema si waislamu wanashindwa na wazungu ambao hawajui dini ila allah ataleta kheri inshallah
Asante sana sheikhe wetu Mungu akuzidishie afya njema na uhai uzidi kutuelimisha tunakupenda sana kwa ajili ya Allah tupo pamoja 🤝
SubhannaAllah, SubhannaAllah Allah hakika akujaalie afya tele tupate kuckia mambo mazuri,, nasubir kwa hamu sehem inayofuata,, Nakupenda kwa ajir ya Allah.
Mashallah shekhe kishki mungu akuhifadhi uendeleekutupa darsa Ila nimefurah umenichekesha
Allah akupe umri twawli na afya jema na mema duniani na kiama akupe kitabu chakokwa mkono wakulia 👐👐
Mashaallah shukran
Asante...
Mashaallah Allah akubarik
Tupo pamoja inshaaalah
Alhamdulilah rabilalaamina
Allah akbar
MashaAllah nimefurahia umefila USA I wish ungefika Nebraska Omaha tungekukaribisha sana. InshaAllah maybe next time
Ma Sha Allah
hongerasa kwakut2paelimuu
Masha'Allah
MASHA ALLAH
Mashaallah
Aallah mdulilah
Ma ashallah
Alhamdulillah
mashallah
Shekhe warabu kwa nini Hawa tupendi watu weusi
Anae mchukia binaadam mwenziwe ujue ana mapungufu mtihan mkubwa kwa waislam hiv sas allah atujaalie tuwe wenye kupendana
@@Awatee ila warabu hawatupendi watu weusi wallah wanatuambia sisi atuna nuru utasema si waislamu wanashindwa na wazungu ambao hawajui dini ila allah ataleta kheri inshallah
Masha Allah
Mashaallah
MashaAllah
Mashallah
Mashallah