jifunze quran kusoma na kuandika sehemu ya 24

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 40

  • @user-tu4dv2gd6i
    @user-tu4dv2gd6i ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah nimejiunga toka juzi lakini kwa uwezo wa Allah nipo sehem ya 24 unafundisha vzuri Allah akulipe nasi tupate ufaaham wakuelewa

  • @user-ro3pj6ps7o
    @user-ro3pj6ps7o 6 หลายเดือนก่อน +1

    Wallah Mungu ndio mwenye kukulipa kesho aghera mana unajitaid kwauwezo aliyokupa allah nasi tunajitahidi sana wanafunzi wako hongera nikiona kama nipo 🇹🇿

  • @arafakinyuma376
    @arafakinyuma376 2 ปีที่แล้ว +1

    Jazzakallah khayra ustadhi

  • @user-jz2su4co4d
    @user-jz2su4co4d หลายเดือนก่อน +1

    Kaka Allah akulipe umri wenye kheri na maana nimejifunzapakubwa sana maana nimekuelewa vizuri Allah akupe hitaji la moyo wako lenye kheri na wewe

  • @ismailonline5496
    @ismailonline5496 2 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah ustadh الله يبارك لك على نشر العلم

  • @saidseif1605
    @saidseif1605 11 หลายเดือนก่อน +1

    Baraka Allahu Fikum

  • @aliissaomar8406
    @aliissaomar8406 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashaalla

  • @fatmaidah9750
    @fatmaidah9750 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah

  • @fatmasaid9765
    @fatmasaid9765 2 ปีที่แล้ว +1

    آمين يارب العالمين

  • @hassannanyanda2238
    @hassannanyanda2238 2 ปีที่แล้ว +1

    Shukran wa jazaaka llaah khaira. Na tumeitika kher uliyotuita kwayo.

  • @NulhatiWanu
    @NulhatiWanu 23 วันที่ผ่านมา +1

    Ostazi mm kichwa changu kigumu cjui kwann yan natamani nijue ila kuna hali inanijia tu yakutotambua yan ata nnavovijua ni vichache na kwa mbinde sana mpaka kuvifamu nisaidie nitokane na hii ali naichukia sana

    • @muhammadkipangatv2674
      @muhammadkipangatv2674  22 วันที่ผ่านมา

      Amka usiku na uswali swala za Usiku tahajjud / (qiyasmu -llail) na umombe sana Allah kwa dua hii رب زدني علما ورزقني فهما
      (RABBI ZIDNII I'LMAA WARZUQNII FAHAMAA)
      Maana / tafsiri ya dua : Ewe Allah nizidishie mimi elimu na unipe fahamu

  • @fatmasaid9765
    @fatmasaid9765 2 ปีที่แล้ว +1

    جزاك الله خير

  • @georgeotieno2818
    @georgeotieno2818 2 ปีที่แล้ว +1

    Shukran sheikh nimejiunga Leo nimefaidika kuanza SASA Mimi mwanafunzi wako nahisi kwenye Moyo kumeingia kitu Allah akulipe akupe nguvu na afya na uhai tuendele kupata faida.

    • @muhammadkipangatv2674
      @muhammadkipangatv2674  2 ปีที่แล้ว +1

      Amiin
      Shukran san allah akubaarik na kufanyie wepesi katika kila jambo la kheri dunian na aakhera

  • @user-lf9eh4mz1j
    @user-lf9eh4mz1j 2 ปีที่แล้ว +1

    Allah atuhifadhi sote in shaa Allaah 👏👏👏

  • @user-iz5ig6io7g
    @user-iz5ig6io7g 2 ปีที่แล้ว +1

    Ustadh asaiv daras naelew kidg nazil heruf ambz nilikuambiag zinanitatz asaiv alhamdulillah nazjua

    • @muhammadkipangatv2674
      @muhammadkipangatv2674  2 ปีที่แล้ว +2

      Maashaa allah
      Namuomba allah azid kukufanyieni wepec wanafunz wot

  • @chondecannibal6108
    @chondecannibal6108 2 ปีที่แล้ว +1

    Sheikh mungu akuongoze kwa mema inshallah. Nalifuatilia sana somo hili nasubiria sehemu ya 25

  • @user-iz5ig6io7g
    @user-iz5ig6io7g 2 ปีที่แล้ว +1

    Shukrani ostadhi sin chkkulp bali malip yap kw Allah akuongoz kwkil jamb kwkujitolea kutupatia elim ya akher

  • @khamissalum9285
    @khamissalum9285 2 ปีที่แล้ว +1

    No.ipi yakuchangia pesa

    • @muhammadkipangatv2674
      @muhammadkipangatv2674  2 ปีที่แล้ว +2

      Maashaa allah
      +255653697912 / 0653697912 . Mohamed Ahmad
      Allah akubaariki katika mali zako na familia yako

  • @shamymhmazan7778
    @shamymhmazan7778 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah Allah akuhifadhi akuzidishie umrimrefu tuzidi kupata faida toka kwako shukran

  • @shamimahsaleem8395
    @shamimahsaleem8395 2 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂😂sheikh ulivo chapa apo nimekumbuka nilikua mtukutu sana chuoni siku haipiti bila mjeledi 😂

  • @missmoona4497
    @missmoona4497 2 ปีที่แล้ว +1

    Maashallah sheikh jazaka ullahu khair, mm mtihan upo kwenye hiz heruf inshaallah nitajitahid, na unatoa darsa kwa week ama baada ya siku ngp?

    • @muhammadkipangatv2674
      @muhammadkipangatv2674  2 ปีที่แล้ว +1

      Nia yang kila siku nitoe darsa
      ila nikipata dharura hua natoa siku 1 ya pili napumzika kwa wiki kwa uchache nitoe vipindi vi 4 na kuendelea

    • @missmoona4497
      @missmoona4497 2 ปีที่แล้ว +1

      @@muhammadkipangatv2674 maashallah nzur nimependa na Alhamdulillah najiona naelekea nataman ingekuwa tuna soma live, pia nahis kama unatoa kwa week vipind vi4 tofaut tofaut kwakua tunajifunza na tunasua sua nahis wengine utatuacha njia panda kwa speed kwakua hatusomi live atilist ingelikuwa tuna soma online grp tunafanya imraa hii ingetusaidia sana. Lkn all in all jazaka ullahu khair tunapata mawili matatu shukran Allaha akupe umri mrefu pia kizaz chema inshaallah 🙏

    • @muhammadkipangatv2674
      @muhammadkipangatv2674  2 ปีที่แล้ว +1

      @@missmoona4497 maashaa Allah
      Amiin kwa sot
      Shukran sana Allah akubaarik ushauri wako mzur saan
      Tunataraji kusoma online Allah akutuwafikisha kupata vitendea kazi