Ukiachana na ufundi wa mashairi, bado stori ni kali sana. Sasa P mzee baba umenyamaza kimya baada ya kumwona Ninja katimba. Si ungeendelea kumnanga? Kakushika kidevu navuta picha ya Neema Mawenge na kakufuma! Hahahahaha... Kiwa Side mbele kwa mbele!
Napenda sana unavyo badilika badilika wenge.. Unajua sana afu combonation yako na zaiid naielewa sana. Endelea kuleta midudo mikali itakayokuletea faida kwako na kwa familia yako. Hakunaga mwanaharakati tajiri duniani
Wah.. Wangapi tumeona demu huyu noma pita na like hapa
Hatari nomaaaaaaaa more love from kenya keep it up
The best featuring I say ..I wish niwaskie Kwa track na scar mkadinali
Haya ndio mamboooo sasaaaaa.... sio ile mpasho uliopita!!!!
Edoooooo kumwembe Saluti kwa braza p mawenge. Kiwalani🔥🔥
OooooooYAAAAAA HII NGOMA NOOMAAAAA
Chemistry yenu haijawahi kuwa mbovu
Kwa ngoma hii ilivyo noma mazee hadi nmesubscriber kabisaaaa sipendi ujinga
Leo nmkua wa 20 nipeni likee zangu
Bonge la ngoma,P mawenge ww NOMAAAA,verse inayoniacha hoi ni pale demu amekutwa na demu mwenzake halafu mkononi kashika tango,hahahaaaaa
Nakukubal Sana mawenge Leo nijibu nivimbe
Woyooooo,dude la kwenda
Mawenge unakipaji sna sema Kaz bro hiphap now inalipa bongo Kaz bro
👑 P mawengeeeeh 🔥🔥🔥noma sana🇰🇪
Hatari na nusu wazeee bonge la idea #goodmusic
Noma na nusu mazee ngoma ya kwenda hii
Oya mwanang p uyu dem noma 💥💥💥💥
P angusha jengine bob upepo twende nao huuu usifeli kakaaa
Bonge la kichupa yaan idea ya uswazi imekaa vizuri sana Yaani uhalisia wa kutosha Nimekikubali kichupa chenu big Up Sana
Oya uyo demu nomaaaa😂😂😂🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Noma sana good music salute kwenu wanangu
Umetisha mwanang pmawenge
Hamjawahiii niangushaaaa coraboo enuu
another duo in Tanzania, Zaiid&Mawenge
Mwanangu p na zaiid good creativity
Oya wanangu uyu P mawenge nomaaaaaa
Ukiachana na ufundi wa mashairi, bado stori ni kali sana. Sasa P mzee baba umenyamaza kimya baada ya kumwona Ninja katimba. Si ungeendelea kumnanga? Kakushika kidevu navuta picha ya Neema Mawenge na kakufuma! Hahahahaha... Kiwa Side mbele kwa mbele!
Hahahahahaaaaa
Kipande cha mwisho ni kikali sana pale huyo demu alipowavamia kwny draft
P una kipaji cha kuandika.... Piga kazi brother
Wanangu kabisa 💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥 chemistry haijawahii acha kitu salama
Afu Ngoma Kali sana
Oyaa noma sana aisee nakubali mawemge
Ee bwanaee Huyu P mawenge nomaaaa 🔥🔥
Wenge Nakukubali Sana Bro💯💯
Maweeeeengeeeeeeeee noma saaanaaaa manzee
Eeeeh!! Kweri huyu demu noma
Baba hamia weus piga mpunga 💥💥
dem ninja huyu dem noma
Great vibe P mawenge.keep up the vibe 🔥🔥👍
Hatari saana Mwenge & Kiwalani
Rapa Bora wa sasa Umetisha p
Uyo atakuwa salama jabir
Nimekubali kweli uyo dem noma
Daahaaa bonge la ngomaaa aseee....mmeuwa wazee
🔥🔥kweli huyu demu noma 😂
P namwana Saprano plz mwambie tunaitaji kumsikia Tena👍
UYU DEM NOMAAAA
Hahaha oyaaaaah uyu demi nomaaa
MAWENGEEEEE $ ZAIDIII
Hongera P Na Zaiid, zidisheni👏👏
Napenda sana unavyo badilika badilika wenge.. Unajua sana afu combonation yako na zaiid naielewa sana. Endelea kuleta midudo mikali itakayokuletea faida kwako na kwa familia yako. Hakunaga mwanaharakati tajiri duniani
Ngoma ya 🔥🔥🔥🙌👊
Booom brox nomaa
Aliyeiandikia hii ngoma story ni fundi anayefuata nyayo zangu za uandishi
HII NGOMA NOMA KINOKO
Noma Sana hiiii🔥🔥🔥
😂😂😂 Mawenge Zaiid 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽 Nomaaaa
La kibabeee🙌🏾
Wengeee💥💥💥💥 noumaaa sana
Mawenge kwenye style hz unamtaka ubaya
Humu ndio umetukamata wazee wa klabu....lete madude ya klabu Mzee acha ngumu
Kak hayo nmauaji kabisaaaaa
dude la kufungia mwaka hili 🙌🏽🙌🏽
Mawenge safari yaks ya music naanza Iona
Hii nyimbo ingefanyiwa promotion ingekuwa ni ya funga mwaka
Noma from kE bro big up☝️☝️
Mawenge nakubali saaana
Z A II D MWAWENGEEEE
Salute broo p
Duuh miteke kama VAN-DAMME
Kweli demu noma huyo..!!
Fundiiiiiiii weeeenge
What hit my geez 🔥🔥🔥🔥
Mbona ckujua uyu mwamba tokea zamani ...group la admin danke kwa kuni add
😊😊
Mwenge Kiwalani on the map again 🔥🔥
Vyema sana jamaaa
😀😀😀 ngoma noma
Nadhani hii ngoma nafungia mwaka maana hii ngoma noma💥💥💥💥
huyu dem noma ngoma noma
Bonge la idea
MzuQa msenangu, lazima nikufuatilie 🇰🇪
Du kwel nomaaa
#team norbal afrika kenya ii kali kaka
Eebana hii ngoma nomaa🔥🔥🔥
Ata hili goma nomaaa
Ngoma yenyewe noma kama uyo demu
Oya masela hii video si kushoot nusu saa tu😁😁😁😂tujiongeze kidogo....#gomalenyewe kali💥
Kwamba mpaka leo unaamini video ni lazima iwe na mameli na magorofa sio? 😂😂😂
Hili Dude Balaaaaaaq
Huyo Dem mbona Kama namjua
Kali
Kiwalan nakubali mkubwa wa kaz
Bonge mojaa la ngomaa
Nakubali iiiiiiiiiiiiiiiii
Hatari sana 🔥🙌
Hii ngoma noma...
MAWENGEE FUNDII KABISA ✊✊
😂😂😂😂 oya huyu demu noma😅😅
MAwEnGeEeEe
Kali sana
This dude 🔥🔥
Kolabo moja na yy kaka
Chemistry noma
Inatosha kusema kuwa unajua sana siku ya nne leo nafwatilia ngoma zako ni 💥
Amazing Sana 🔥🔥🔥