NO MORE MISTAKES (DAY 2) - PASTOR SUNBELLA KYANDO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
  • Neno lolote linalotamkwa huwa linabaki na kukaa katika ulimwengu wa roho likisubiria muda ili litimie.Neno hilo linaweza kuwa zuri au baya.Lakini pia unatakiwa uwe makini na watu waliokuzunguka maana sio kila mtu anatakiwa ajue habari zako.
    Karibu ujifunze kutoka kwa Pastor Sunbella Kyando.ni somo ambalo litakuinua sana na litabadilisha mtazamo wako juu ya mahusiano.
    UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322
    Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
    Like our Facebook: / therealityof. .
    Follow our Instagram: / realityofch. .
    Subscribe our TH-cam: www.youtube.co....

ความคิดเห็น • 17

  • @delishbby8542
    @delishbby8542 3 ปีที่แล้ว +11

    Your the one of the best Pastors in Tanzania, kwakweli unafundisha vitu ambavyo makanisa mengi hawayagusi na ni vitu halisi sana kuliko vinavyoonekana. Wengi wamebase na mambo yanayoonekana ambayo ni temporary na yasionekana ndiyo halisi sana. Especially haya mambo ya generation curses and fault foundation hii kitu ni uhalisia sana na Biblia iko wazi . Mungu azidi kukubariki na kukutumia Pastor Sunbella. You're going places..

  • @petermunuo1657
    @petermunuo1657 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amen mtumishi barikiwa sana

  • @upendomlelwa57
    @upendomlelwa57 3 ปีที่แล้ว +2

    Tupo pamoja mtumishi kwa mafundisho haya mbaka nivuke na mimi, ili siku moja na mimi nishuhudie matendo makuu ya Mungu, Ubarikiwe sana pastor

  • @mathiashalawa3766
    @mathiashalawa3766 ปีที่แล้ว

    MAN OF GOD umetembea sana kimaarifa. You actually transcend the ordinary standards. GLORY TO GOD.

  • @christinesavai884
    @christinesavai884 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @joycekariuki46
    @joycekariuki46 2 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏

  • @catherinekileva414
    @catherinekileva414 3 ปีที่แล้ว +2

    Natamani kuja kushiriki ibada hii ila sijajua muda wa semina hii inaanza muda gani
    Tafadhali naomba kujua

    • @realityofchristchurch
      @realityofchristchurch  3 ปีที่แล้ว +2

      Ibada zetu ni kila Jumapili saa 3 Asubuhi na Jumatano na Ijumaa kuanzia saa 11 jioni

    • @catherinekileva414
      @catherinekileva414 3 ปีที่แล้ว

      @@realityofchristchurch asante, nashukuru sana.

  • @jessydaktari5209
    @jessydaktari5209 3 ปีที่แล้ว +1

    Powerful 🙏🏿🙏🏿🙏🏿...thank you pastor

  • @gloryrichard5848
    @gloryrichard5848 3 ปีที่แล้ว

    Season 3 natamani kujua inaanza lini..One the Best seminars🙌🏽

  • @marydaniel1121
    @marydaniel1121 3 ปีที่แล้ว +2

    Kweli kbs mtumish Mungu akubariki mnooo

  • @jonathanmwangi6418
    @jonathanmwangi6418 2 ปีที่แล้ว +1

    Mtu anaeza nipea link ya day3 please

  • @stellaprosper2901
    @stellaprosper2901 3 ปีที่แล้ว

    Nimebarikiwa na bado nazid kubarikiwa

  • @gasirigwaaloyce8739
    @gasirigwaaloyce8739 3 ปีที่แล้ว

    Kweli

  • @saumhassan8019
    @saumhassan8019 3 ปีที่แล้ว

    🙏

  • @winnie-rosejeremiah4322
    @winnie-rosejeremiah4322 3 ปีที่แล้ว

    Jamani day 3 ipo?
    Maana naitafuta siioni. Naombeni hata link tu