Kwa kweli hatuezi epuka kusikiliza hizi nyimbo zilizotungwa kwa ustadi mkubwa zaidi. Sauti kali sana ya Shaaban Dede ni yenye kuvutia kwa nyimbo zote za Juwatta. Hongera kwa miziki yenu. Hii saxaphoni ilipulizwa kwa ustadi mkubwa kweli kweli. Tutasikiliza hizi nyimbo milele.
Huu wimbo unipeleka Mbali miaka ya nyuma na unipa amani moyoni. Wapi kama watunzi wa nyimbo kama hawa siku ziku hizi? Hawako.Hawa walikusha vipaji vyao kwa manufaa binadamu kwa kupaza ujumbe kupitia kwa utunzi wa nyimbo.Mungu warehemu waliotutangulia.
Nyimbo hizi zinanikumbusha mbali sana Hapa Bw Kakele ameanza na Mzee Lusungu anamaliza Nazi Bw Mabela kama take arafu mdomo wa bata Mzee mzima Bw Mnenge kinanda Bw Mdogoh
Kwa nini siku maalumu isitengwe kuwakumbuka hawa mashujaa wa muziki''' tunajua muziki haujawalipa lakini tuwaenzi kwa kutenga siku moja'''' Mapenzi ya wake wawili hayawezi kuwa ya kweli''' ukewenza umemponza eti'' aliendewa kinyume''
Nakumbuka mbali sana. Kwa kweli ya kale ni dhahabu. Pumzikeni kwa amani wazee wataalam Lusungu, Mnenge, Waziri, Akida , kwa uchache, Amin.
Kwa kweli hatuezi epuka kusikiliza hizi nyimbo zilizotungwa kwa ustadi mkubwa zaidi. Sauti kali sana ya Shaaban Dede ni yenye kuvutia kwa nyimbo zote za Juwatta. Hongera kwa miziki yenu. Hii saxaphoni ilipulizwa kwa ustadi mkubwa kweli kweli. Tutasikiliza hizi nyimbo milele.
Huu wimbo unipeleka Mbali miaka ya nyuma na unipa amani moyoni. Wapi kama watunzi wa nyimbo kama hawa siku ziku hizi? Hawako.Hawa walikusha vipaji vyao kwa manufaa binadamu kwa kupaza ujumbe kupitia kwa utunzi wa nyimbo.Mungu warehemu waliotutangulia.
Nani kama msondo.Saidi Mabera kaiva katika gitaa la solo. Mpulizaji naye hukutaka masihara. Kibao Ete utamu ni ule ule lkicha ya miongo hiyooo
Nyimbo hizi zinanikumbusha mbali sana Hapa Bw Kakele ameanza na Mzee Lusungu anamaliza Nazi Bw Mabela kama take arafu mdomo wa bata Mzee mzima Bw Mnenge kinanda Bw Mdogoh
Zuberi Ndete kinanda Waziri Ally Kizinjah
Hizi nyimba zinakupa ujumbe na si hizi za hawa watoto wetu wa siku hizi
Hongera mtaalam mzee lusungu uliyekuwa ukizipangilia nyimbo nyingi za msondo ngoma wakati huo mungu akupumzishe kwa amani amina.
Ahsante sana Pangamawe Abdi Ridhwan Totoo ktk organ na Mnenge ktk Saxophone
Old is Gold
Moja ya classic ya Msondo baada ya kutoka Gurumo na wanamuziki wengi mahili wa Msondo original ya Nutta Jazz
Pongezi RTD kwa kuhifadhi hizi na nyingi nyinginezo
nakumbuka kipindi hicho bendizetu zilikua zikitumia vyombo aina yarenger nibalaa siomchezo vinasikika mpaka kilomita ishirini muziki unasafiri bwana enzi haiwezi rudi
shukrani mzee. zimenikumbusha mbali. msondo ngoma wakali hao
muziki hulikuwa unapigwa hauwakwenye chakula unadilki kushiba.
haiwezekani hata siku moja kaka mapenzi ya watu wawili
Ukisikia raha, ndo hizo, miziki ya zamani inaraha yake
Waimbaji naona ni Joseph Lusungu na Juma Akida. ORGAN NI ABDI RIDHWAN TOTOO A SAXOPHONE MAPAFU YA PAPA NI MZEE MNENGE RAMADHAN SOLOIST NI MZEE Mabera
Unamuacha wapi Shaaban Dede na sauti yake ndio husikika sana na ndie mwenye kurudia rudia.
Kwa nini siku maalumu isitengwe kuwakumbuka hawa mashujaa wa muziki''' tunajua muziki haujawalipa lakini tuwaenzi kwa kutenga siku moja'''' Mapenzi ya wake wawili hayawezi kuwa ya kweli''' ukewenza umemponza eti'' aliendewa kinyume''
Kwa kweli ingekuwa jambo jema
hilda eliya umenena vyema sana dada Hilda
@@digitalworld5577 wazo lako ni zuri sana Hawa chamudata walifirie hili
Japo kwa dhati naunga mkono hilo swala lakini kupata kituo cha redio Tanzania ni balaa jamani huku mombasa Kenya.
Jaluo wa Kenya huyu
Wenye moyo huo hawapo
ndiyo hapo kaka asante