Wewe site Mungu Mungu ni Yesu prkeye ebyi wanabdamu Mungu sio mwanadamu kweli acheni kutaniya Mungu Mungu ni Mungu tu Kama una amini uyo siyoo Mungu like
Shetani usipindue Neno la Jehovah ngoja nikujulishe kidogo ( Mungu Baba ni Jehovah ) Mungu Mwana ni YESU KIRSTO) Mungu Roho mtakatifu ni Mungu katika utendaji
TANGANYIKA TV, big up sana MUNGU azidi kuwa ongezeya bidi kwakazi ya utangazaji kama una kubali tanganyika tv weka link zako apa ili tu ungane kwa pamoja💪💪💪
Mungu Mtukufu ni mvumilivu sana na aturehemu. Bora ulogwe kimwili kuliko ulogwe ki akili maana ni mmepotoshwa. Hivi ninyi Wabembe baadhi mnadiriki kuingilia hadi Roho mtakatifu? Eti Mungu Mbembe tena Mungu anae oa! Mnanajisi kizazi chenu pole sana zone Fizi.
Mungu hafi huyo ni wakala wa shetani mlio baki fanyeni matenenezo Mungu wa mbinguni anawapenda acheni kumtukia mwanadanu bali muhabudu Mungu wa mbinguni alie kuumba ninawasii katika jila la Yesu kuanzia sasa awape utambuzi usiwe na miungu mingine ila mimi tu kutoka 20:3 Mungu awabariki mnapo chukua hatu pili someni biblia msikaririshe tuu
Mungu awape macho ya rohoni,binadamu atabski kuwa binadamu tu na Mungu atabaki kuwa Mungu tu huyo siyo Mungu mmepofushwa macho yenu,Mungu awasaidie saaaaaaana
Mungu Jehovah Amesema Mimi ndimi Mungu zaidi yangu hakuna mwingine hao wengine nimashetani wana kopi habari za Mbinguni ila watakufa hao watu hawana hakili Kama huyo wanae mwabudu pia huyo roho wapili ni Roho mtakatifu ndani ya mtu bina damu siroho wa Mungu
Jamani mumahelo amuna hukweli hata Kidogo ,wanayo sema matahifa ni kweli kabisa,leo wame chagula mwenye ana gombola tata wahise ,tukichunguza,vipindi vyote vilivyo pita,akuna mwenye ali hikala fasi ya musa na akuna mwenye alihikala fasi ya yesu,lakini leo hata mwili wa na bii ahuja vimba kaburini kuna kuwa mwengine,jamani,hiyo ni aventure tu kabisa, tena ana kufa na bado sisi watoto wa agano atuja fanya kitu kama alivyo sema eti tuta fanya mihujiza,leo niko na miaka 30 tangu nizaliwe lakini akuna mihujiza nilishaka fanya ,kwa kweli ndugu zangu,mimi muta nisamea kwakuhongea hu kweli.mimi sihoni hukweli ndani ya mahelo ,wengi tuna danganyiwa kama vile wa toto wa dogo,,kifo cha musa kilikuwa cha mihujiza,yesu vilevile naye mihujiza sasa tata wahise alikufa na alifanya mihujiza gani? Mbona alisema eti ana funga shetani na leo shetani ana zidi sana tena sana ku hangamiza watu ?kwa kweli mungu ani sameye kwa Wa zazi wangu kini zala katita kanisa la MAHELO,wengi tuna potea bila hata kujitambua,tuna sema eti tuna funga shetani wapi shetani ana fingwa na njo sasa ana zidi ku potosha watu.mungu asameye Wa zazi wangu kwa kuto kuhona mbele,
Dada jambo mungu akusaidiye uendeley kupinga nakutoka kabisa munjiya yagiza Mungu anaweza yote uyo waise ni aventurier wa mauvais gout mungu awezi kufa atasikumoja o auguw diabe bitoke yako ufate njiy yamungu
hv nyie mnafikil mung ni pambo ety achen fikla za kijinga and mung gan huyo xx itakuwaje huyo mungu mnaymwamn nyie kafariki😀😀 achen kudanganyan ndugu z angu
Mbali na mambo ya dini yenu hiyo lakini Wakongo mnavaa vizuri sana. Wamama wamevaa Kiafrika kabisa. Hakuna vya masuruali na sketi fupi. Wababa wamevaa vizuri sana pia. Ila hiyo dini yenu haifai. Mungu hawezi kufa.
Jamani watangazaji nawqpendq sana bure mimi, eti uyo kaka mtangazaji rafikiyake ya rashidi lusambo ayupo tena kwenye tanganika te jamani mumepoteza mtangazaji mzurisana mikinilikuwa napenda tanganika te ajiliyake jamani 😊
Mungu awahurumie saaaana mukamata binadamu mwenzenu eti ndo mungu duuuuhhh mbona yesu alikufa naa na siku ya tatu akafufuka akafufuka je nyinyi uyo umungu wenu mbona hakufufuka mungu saaaidia hawawatu nauwape macho yakiroho 😞🙄🙄🙄
Yesu hana uwezo wowote atafunguaje jicho la mtu. Msishangae kusikia haya. Wakati unakuja ambapo wafu wataisikia sauti yake, nao watatoka makaburini; wale waliot enda mema watafufuka na kuwa hai, na wale waliotenda maovu, wata fufuka na kuhukumiwa. Mimi siwezi kufanya jambo lo lote kwa mamlaka yangu mwenyewe.
Poleni sana kwa wana familia kwa kuachwa na mpendwa wetu zaidi sana baba wa familia. Kweli inauma moyoni hakika. Mungu awawezeshe katika kipindi hiki kigumu cha maisha.
Cweki neno lkn naweza kusema tu dunia imekwisha🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔eti mungu mtu mmmh acheni kumkufuru mungu jmn,,,, alikua Yesu pekee hakutokea mwingine wala hatokuja kutokea
watanzania wenzangu mko wapi? njooni muone huku watu wanavopandwa wamegeuka kuwa pamba, tumbaku na korosho, tupia like hapa na wewe kama na umeisoma hiyo
Astaghafrullah Astaghafrullah Allah awajalie hidya ili mpate mjuwa mwenyezi mungu wa kweli msidanganye watu. Mbona kafa kama yeye ni mungu?amkeni acheni imani potofu
sisi raha yetu nikuona video sio kusema kawaida mtu anakuanga anaoji watu mwisho wa mazishi tayari mtu amishazikwa unaweza ukaoji watu sio tu kusema sema yani Autulii
Aibu aibu kwa wabembe.Maelfu yenu kufuata mutu kama Munugu wenu. Ninyi ndiyo sababu damu zinaendelea kumwangika hapa. Kuwa Na jirani kama ninyi Ni mukoshi
pelo abandelwa yeah but the way you wrote it seemed like your were bashing the reporters but since it’s your opinion that’s no problem 😆 Worley’s Acknowledge the good work that they did
Mimi nashangaa na Nini wa kristo munasema mungu sio mutu sasa huyo yesu sio mutu ? Hakuzaliwa na Maria ? Musome yohana 10 - 31 mujuwe yesu nayeye alikuwa mutu . N'a juu yahiyo ndio mana munapoteza watu .
Shukrani sana Tanganyika TV. Muko juu sana . Best swahili television Congo nzima . Good job
Nawote hao ambao wana chukua utukufu wa Mungu hakika hawata dumuuuuu kwajina la Yesu kristo aliye hai Ameeeni
Na wewe unachafua kabisa jina la Yesu lina nini?
Wewe site Mungu Mungu ni Yesu prkeye ebyi wanabdamu Mungu sio mwanadamu kweli acheni kutaniya Mungu Mungu ni Mungu tu Kama una amini uyo siyoo Mungu like
Abedi Byaese hata yesu sio mungu ach ujinga
YESU PEKEE NDIE NJIA YA KWELI YA UZIMA WA MILELE MUKUJE MTUBU NDUGU ZANGU 🙏🙏🙏
Kabisa iyo kweli kabisaaa
Tanganyika TV iko juu juu Zaidi. Tunaruka kila kona. Big up sana crew yote hapo DR Congo
Bado mko mbali sana muombe Mungu awape macho ya roho na sio yanyama, hakuna mungu mtu
Kina zumarida ni wengi
Unaongea kweli nivyaaibu sana
Big up kwa Tanganyika tv hakika mumejitaidi kwa kiasi kikubwa kuboresha kazi hii. Tumewapata tukiwa USA. Good work.
Birindwa Thomas video nzuri sana
Watangazaji mko vizuri sana!!! Karibuni Tanzania.
Nawapata vizuri sana kutoka nchini 🇦🇺 AUSTRALIA Congo boy
Tubuni nyinyi wapotevu mungu ni mmoja tu .
Shetani usipindue Neno la Jehovah ngoja nikujulishe kidogo ( Mungu Baba ni Jehovah ) Mungu Mwana ni YESU KIRSTO) Mungu Roho mtakatifu ni Mungu katika utendaji
TANGANYIKA TV, big up sana MUNGU azidi kuwa ongezeya bidi kwakazi ya utangazaji kama una kubali tanganyika tv weka link zako apa ili tu ungane kwa pamoja💪💪💪
Mungu Mtukufu ni mvumilivu sana na aturehemu. Bora ulogwe kimwili kuliko ulogwe ki akili maana ni mmepotoshwa. Hivi ninyi Wabembe baadhi mnadiriki kuingilia hadi Roho mtakatifu? Eti Mungu Mbembe tena Mungu anae oa! Mnanajisi kizazi chenu pole sana zone Fizi.
Mungu hafi huyo ni wakala wa shetani mlio baki fanyeni matenenezo Mungu wa mbinguni anawapenda acheni kumtukia mwanadanu bali muhabudu Mungu wa mbinguni alie kuumba ninawasii katika jila la Yesu kuanzia sasa awape utambuzi usiwe na miungu mingine ila mimi tu kutoka 20:3 Mungu awabariki mnapo chukua hatu pili someni biblia msikaririshe tuu
Mungu awape macho ya rohoni,binadamu atabski kuwa binadamu tu na Mungu atabaki kuwa Mungu tu huyo siyo Mungu mmepofushwa macho yenu,Mungu awasaidie saaaaaaana
Mungu Jehovah Amesema Mimi ndimi Mungu zaidi yangu hakuna mwingine hao wengine nimashetani wana kopi habari za Mbinguni ila watakufa hao watu hawana hakili Kama huyo wanae mwabudu pia huyo roho wapili ni Roho mtakatifu ndani ya mtu bina damu siroho wa Mungu
Nafurahi sana Congo yetu muna ongeya kwenye tiv kama wa Tanzania 🇹🇿 ila jameni uyo anaenda wapi tusu biri mwisho muzuri
Ashukuriwe Jehovah kwakua ngusha kiti cha huyo shetani itwae tata
Mungu anakufa kunachaguliwa mwengine kama mkuu wa timu ya mpira
Yesu ni Bwana wa mabwana
Niujinga mungu anakufa
Mungu hafi, huyo sio Mungu
Ni mungu(asiye Mungu wa kweli)
Jamani mumahelo amuna hukweli hata Kidogo ,wanayo sema matahifa ni kweli kabisa,leo wame chagula mwenye ana gombola tata wahise ,tukichunguza,vipindi vyote vilivyo pita,akuna mwenye ali hikala fasi ya musa na akuna mwenye alihikala fasi ya yesu,lakini leo hata mwili wa na bii ahuja vimba kaburini kuna kuwa mwengine,jamani,hiyo ni aventure tu kabisa, tena ana kufa na bado sisi watoto wa agano atuja fanya kitu kama alivyo sema eti tuta fanya mihujiza,leo niko na miaka 30 tangu nizaliwe lakini akuna mihujiza nilishaka fanya ,kwa kweli ndugu zangu,mimi muta nisamea kwakuhongea hu kweli.mimi sihoni hukweli ndani ya mahelo ,wengi tuna danganyiwa kama vile wa toto wa dogo,,kifo cha musa kilikuwa cha mihujiza,yesu vilevile naye mihujiza sasa tata wahise alikufa na alifanya mihujiza gani? Mbona alisema eti ana funga shetani na leo shetani ana zidi sana tena sana ku hangamiza watu ?kwa kweli mungu ani sameye kwa Wa zazi wangu kini zala katita kanisa la MAHELO,wengi tuna potea bila hata kujitambua,tuna sema eti tuna funga shetani wapi shetani ana fingwa na njo sasa ana zidi ku potosha watu.mungu asameye Wa zazi wangu kwa kuto kuhona mbele,
Sasa Mungu tena kafariki!!
Dada jambo mungu akusaidiye uendeley kupinga nakutoka kabisa munjiya yagiza Mungu anaweza yote uyo waise ni aventurier wa mauvais gout mungu awezi kufa atasikumoja o auguw diabe bitoke yako ufate njiy yamungu
Auzu bilahi mina sheitani rajim bismillahi rahmani rahmi
hv nyie mnafikil mung ni pambo ety achen fikla za kijinga and mung gan huyo xx itakuwaje huyo mungu mnaymwamn nyie kafariki😀😀 achen kudanganyan ndugu z angu
dah hamna tofaut n..................😈😈😈😈😈😈😈
Nawafuata nikiwa Pretoria south Africa ila kwetu ni hapo Katanga ya juu .
Shukrani
Mbali na mambo ya dini yenu hiyo lakini Wakongo mnavaa vizuri sana. Wamama wamevaa Kiafrika kabisa. Hakuna vya masuruali na sketi fupi. Wababa wamevaa vizuri sana pia. Ila hiyo dini yenu haifai. Mungu hawezi kufa.
Mungu amefariki innalillah wainnaillah rajuun
Mungu wape maarifa hawa maana mungu anakufa mungu anaingia haja tumieni akili
Poleni kwa msiba.
Jamani muombeni mungu awasamehe maana hamjui munacho abudu kweli mmwamtosha nisha na mungu
Mungu gani anaekufa huyo anaacha watu wake duniani watasaidiwa nanani,??
Tanganyika TV naomba kuwasiliana na nyie tafadhali.
Ahsante sana!
Tunasubiri siku yakihama ndo tutafaham atakapowekwa na MUNGU wa mbinguni
Ache kumtaja mungu nyinyi
Mungu. Awasamehe. Sana. Mungu. Simitu. Haonekani. Pasipomaono. ..
Mimi nasema sio Mungu huyoooooo geukeni ndugu zangu Yesu Anarudi msije mkakutwa na mkaachwa na mmeshapoteza muda mwingi wapendwa
imefanyika x3
Huyu Tata namfanisha na Mfalme Zumaridi aka mungu chini ya jua ambaye kanisa lake lilifungiwa na Serikali ya Tanzania!!!
Jamani watangazaji nawqpendq sana bure mimi, eti uyo kaka mtangazaji rafikiyake ya rashidi lusambo ayupo tena kwenye tanganika te jamani mumepoteza mtangazaji mzurisana mikinilikuwa napenda tanganika te ajiliyake jamani 😊
Lakini naona watu mumedanganyika nani kawambaia kwamba Mungu anakufa?
afufuke basi na yeye bahada ya siku tatu na yeye afufuke basi
🤣🤣
Hawezi. Huyu ni mifupa na nyama na damu. Ni binadamu wa kawaida.
Hatari sana
Mungu awahurumie saaaana mukamata binadamu mwenzenu eti ndo mungu duuuuhhh mbona yesu alikufa naa na siku ya tatu akafufuka akafufuka je nyinyi uyo umungu wenu mbona hakufufuka mungu saaaidia hawawatu nauwape macho yakiroho 😞🙄🙄🙄
Dunia mzima wapi???mbona Mimi cjawai kumsikia toka ni zaliwe Nina miaka40 Sasa😂😂😂
Ata mm namsikia leo
Hata mimi sijawahi na nina miaka 42.
Selina Langu 😂😂😂😂we noma
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 yani nivyakuchekesha 😂😂 na mtangazaji mnashida kweli
Mnaongea sana watangazaji
Hivi ni kweli haya mambo yapo hapa duniani jamamni YESU WAFUNGUE HAWA WATU wamefungwa kwenye chumba cha Giza nene
Hhhhhhh
Mbonamuna.potia.jamani??
Yesu hana uwezo wowote atafunguaje jicho la mtu. Msishangae kusikia haya. Wakati unakuja ambapo wafu wataisikia sauti yake, nao watatoka makaburini; wale waliot enda mema watafufuka na kuwa hai, na wale waliotenda maovu, wata fufuka na kuhukumiwa. Mimi siwezi kufanya jambo lo lote kwa mamlaka yangu mwenyewe.
Jambo gani kuu Jafari kufungua macho au kufufua wafu tambua jina LA YESU NI MLAKA KUU
Mungu wenu amekufa muta abudu Nani Sasa ujinga tu ndo munakaliya hapo mutahenda motoni nyiye
Mungu we 🤔ivimungu anakufaka munapoteya motoinawasubiri oooooooo
Poleni sana kwa wana familia kwa kuachwa na mpendwa wetu zaidi sana baba wa familia. Kweli inauma moyoni hakika. Mungu awawezeshe katika kipindi hiki kigumu cha maisha.
Kukufa bila Yesu ni Bure...
Sasa nafsi inaonja hukumu. Watu wa Mungu nani amewaroga?? Dini ya kichawiii
Cweki neno lkn naweza kusema tu dunia imekwisha🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔eti mungu mtu mmmh acheni kumkufuru mungu jmn,,,, alikua Yesu pekee hakutokea mwingine wala hatokuja kutokea
Watu wangu wameangamia kwa Kukosa maharifa
Wengi wako bado gizani muombe munguawaokowe
Iyo kweli
Mungu mtakatifu haoi haji saidii chooni 2 timotheo 2:26 wapate tena fahamu zao hao watu ili watoke kwenye mtego wa shetani
Kabisaaa wapi uliona mungu kazi kwa musanduku mbona alibambwa msalabani daaaahhh 🙀🙀😧😧🥺🥺
There's a dermag in their minds no God ho can die never ever
Acheni kukufuru, Mungu hawezi kufa na diabete.. nipe verse ya mu bible. Sasa hivi jehanamu inamusubiri
Mtihani kwa kweli mwenyezi Mungu awaongoze awatowe gizani
Heeee mnatumia mandiko gani duuu MUNGU warehemu
Mungu kavutaa?ngoja akakione cha mtemakuni huko kwa Mungu wa kweli.
watanzania wenzangu mko wapi? njooni muone huku watu wanavopandwa wamegeuka kuwa pamba, tumbaku na korosho, tupia like hapa na wewe kama na umeisoma hiyo
Kweli ndugu hi ni giza ya nafsi dahh Allah anisimamie katika uislm wangu mpk naingia kaburini🇹🇿
Mhuuuu najiona hapa mungu tupe mwisho mwema
wabembe hawana dini , niwapotevu wengi wao wa kristo ukiona mwislam wamesilimishwa kwenye kuoa ao kulewa ao kaeshi burundi na tanzania 😒
Kazi kweli kweli
Wanaongea kiswahili kizuri kama watz
hino Dunia mashetani hawatoisha
Astaghafrullah Astaghafrullah Allah awajalie hidya ili mpate mjuwa mwenyezi mungu wa kweli msidanganye watu. Mbona kafa kama yeye ni mungu?amkeni acheni imani potofu
Kweli iyo mungu awasamee kabisaa
Amkeni mlipo lala nyinyi watu washingo ngum mnachefuwa sana
Innalillah wainnaillah rajiun
Naweweumechanganyikiwa.yesu.siyo.mungu.rudidarasani..lnnalilah.wainnailahy.rajioun😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Congo nyie mungu anawaona ndio maana ghasia haziishi huko,mungu mtu !!!!!!!? Badilikeni sasa
😂😂😂😂😂❤❤
Uyu baba Ni mpunbafu sana
Watu wangu wanapotea kwakukosa maharifa
🎉🎉🎉😢rip
Ka mungu kenu kanakufa😄
Haya yote mupate nyama ya kuchoma mujaze matumbo yenu. Mzee mpumbafu anaacha anapotosha roho za watu.
Vraiment dah bolange kweli
sisi raha yetu nikuona video sio kusema kawaida mtu anakuanga anaoji watu mwisho wa mazishi tayari mtu amishazikwa unaweza ukaoji watu sio tu kusema sema yani Autulii
Hivi hilo nikanisa gani linaitwaje
Akili ya kibembe
Kufuru .ndio maana magonjwa .vita haviishi
Mungu wa Babembe amefariki, Nini kitafuata
Ohhhhh sheet 😏😏😏😮
Vyahaya saaana 🙈🙈🙊
TOBA ROHO YANGU.. MUNGU MTU TENA!? DAH! AMA KWELI DUNIA INA MAMBO. WATU WANAJITAHIDI KUKUFURU ULIMWENGU HEBU MIE MSINIMALIZIE MB ZNG.
Roho za ginza izo akuna kitu apo
Upuuzi mtupu
🙆♂️Makubw 🤔
Madogo yana nafuu
Kwa hiyo mpaka serikali ya Congo pia amebebwa na huu upuuzi?
Jiwaze wabembe bwana mnavisa vingi mungu awahurumie
Ccm imetawala kongo
Upendo Zahaki hahahaha
Mzee wa kanisa usikufuru kuna duniani na akhera. Je kama wamuabudu mtu utaenda kujibu nn .chunga unachokitamka kitakufunga mbele ya mola wako
Jiwaze jamani duuuuhhh wanaatia aibu
KWA UJINGA HUU AMANI YA DR CONGO IKO MBALI MNO!
Kumbe wajinga ni wengi2
Aibu aibu kwa wabembe.Maelfu yenu kufuata mutu kama Munugu wenu. Ninyi ndiyo sababu damu zinaendelea kumwangika hapa. Kuwa Na jirani kama ninyi Ni mukoshi
Mbona mulisemaga mwenye ata mu gombolaka ata kuwa parmi wa toto wa agano tena wana kuwa wa 24 ?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 uyu sasa kaka yake na nabii TITO
Ujinga mtupu ninge penda president felix🇨🇩🇨🇩 afukuze ilo kanisa Ki ukweli 😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏
Unalopoka Yohana hakuitwa Mungu wala Yakobo pia we tambua Yesu kristo hakumzungumzia mtu bali Roho mtakatifu matendo 2:1-4 vipofu nyie hamjui neno
ANGALIENI MOSHI WACHAGA WALIVYOKUFA KWA KUKANYAGA MAWESE😥😥😂😂😂😂
Tatizo hilo jina mnalomwita. Sielewi kabisa
Tutajionea mengi kwenye hii dunia
kumuita Mungu si jambo la kushanganza,hata na shetani ni mungu,biblia ina sema.
kawaida nikurikodi vyote badaye mwisho wa kilio unahanza kuoji watu
We
sasa nyinyi kila video munaongea sana kuliko kutuonesha video
pelo abandelwa 🤦🏾♂️ nenda ukafanye Video yako alafu onyesha Video tu bila maelezo
@@yakutumbaasukulu688 that's was my opinion bro sorry
pelo abandelwa yeah but the way you wrote it seemed like your were bashing the reporters but since it’s your opinion that’s no problem 😆 Worley’s Acknowledge the good work that they did
@@yakutumbaasukulu688 okay you blame me for not reason you can go watch different TV how they take the video
pelo abandelwa ndugu unamanisha nini by watch another tv show
SHETANI KAWAPIGA AKILI NA KUZIMWAGIA MAJI MACHAFU....UWIIIII
Wabembe wote Na wasomi, wazee, ...wote ni watu gani? Watu gani hawa . Vita Ni hapa chuki Ni hapa kuabudu miungu Ni hapa katika Kabila la wabembe!!!
Ujinga mtupu tunawaombea Mungu afunguwe ufahamu wenu.
Mimi nashangaa na Nini wa kristo munasema mungu sio mutu sasa huyo yesu sio mutu ? Hakuzaliwa na Maria ? Musome yohana 10 - 31 mujuwe yesu nayeye alikuwa mutu . N'a juu yahiyo ndio mana munapoteza watu .
Utajita Mungu uishi????
Nahuyo mungine atakufa
Hakuna kulia kuna kushoto amsalimie firaun laanatullah alayh
🤣🤣
Mungu Ana weza kufa
Niulize hii ninchi gani maana naona wanazunguza kiswahili
Mungu. Hafi. Nanialimuonamungu. Musi. Okeeuogo
Mungu. Anamugazamukalisana. Hatahuwezikutazama.
Mungukafa. Musikufuru
ila ubadirishe staili yako .