SILINDE ANG'ARA UVCCM WILAYA YA MOMBA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ต.ค. 2024
  • Baraza la umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi UVCCM wilayani Momba limetoa shukrani zake za dhati kwa mh. David Ernest Silinde ambae ni Mbunge wa jimbo la Tunduma na naibu waziri wa kilimo na ufugaji kwakuwa mstari wa mbele katika kufanikisha maendeleo ya vijana wilayani Momba
    Ameyasema hayo Bw.Mandela Mtaki mwenyekiti wa UVCCM wilaya ya Momba katika kikao cha baraza kilichofanyika katika kata ya Myunga wilayani Momba mkoani Songwe

ความคิดเห็น •